Тёмный

NANDY AFUNGUKA KUMZAWADIA BILLNASS RANGE LENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA MBILI 

Bona Tv
Подписаться 391 тыс.
Просмотров 109 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
NANDY AFUNGUKA KUMZAWADIA BILLNASS RANGE LENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA MBILI
#Bonatv #Exclusive
#diamondplatinumz #harmonize #nandy #marioo #zuchu #alikiba #rayvanny
#yangasc #simbasc #ligikuunbc #mayele #alikamwe #ahmedyally #hashimuibwe #wasafitv #live #millardayo #ayotv #entertainment #soundcloud #spotify #podcast #vlog #music #newmusic #1ontrending

Развлечения

Опубликовано:

 

10 апр 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Ata akimlea si mmewake Acheni maneno🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️❤️❤️❤️❤️🍹
@Agneskiki1
@Agneskiki1 Год назад
Nifikisheni hata 200 subscribers watu wangu 😢 nitashukuru sana 😢🙏 Love you guys 😘
@cutypisy1803
@cutypisy1803 Год назад
Mashallah nandy anajua kupenda na kujali
@salamadaima7661
@salamadaima7661 Год назад
Nandy anajua kupenda na kujali😍😍😍😘😘😘😘😘❤❤❤❤💯
@hanamuson891
@hanamuson891 Год назад
Congrats nendy penda mme wako asikwambie mtu much love from kenya...
@congratulationmayunga3833
@congratulationmayunga3833 Год назад
Ilaaa katika ndoa za wasaniii billinass hababaishi naimanii ndoa Yao na Nandy itadumu milele na milele Ishaa allah
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Год назад
Nandi na billnass nawapenda Sana mungu alinde ndoa yenu
@remyriziki5620
@remyriziki5620 Год назад
Amin
@mary-cm5je
@mary-cm5je Год назад
Nand ogera zana❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 Год назад
xema nandy mahaba anayawez mtoto huyu....❤💯 bilnass ukimuacha nandy nakuachia laaana!😃🖐
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Год назад
😂😂😂😂Mwehu weee laana hiyo kwioo
@tatotato506
@tatotato506 Год назад
​@@rukiaiddyyahaya9506 😂😂😂😂😂😂
@congratulationmayunga3833
@congratulationmayunga3833 Год назад
Akimuacha namchukua mimi🤣🤣🤣
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 Год назад
Nandy hongera sana 🙏 inapendeza hata mama zetu waliwaoenda waume zai nawe kaza Buti ucijali visokorokwinyo kazi Yao. Happy birthday mume wa Nandy🍾🥂🎂 good couple ❤
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Год назад
Tatizo Tanzania tumezoea kupewa yan kuchuna tu mwanaume kumbe na wao binadamu kam pesa ipo sio mbaya Mume wako unajiweka expensive nayeye siku yakuzaliwa lazima atarudisha kitu cha gharama kwako
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Год назад
Saafi Nandy
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
I love this couple❤
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Год назад
Nawapenda sanaaaaa❤❤
@adventinalaurent3999
@adventinalaurent3999 Год назад
I love this couple❤❤❤
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Nand umekua now unajua kuvaa unajistir honger❤️
@rosenjokamahenge1746
@rosenjokamahenge1746 Год назад
Amejistiri wap Umekiona icho kigauni alicho kivaa kilivyo kifupi?
@edyteemba1918
@edyteemba1918 Год назад
@@rosenjokamahenge1746 jamani ni fashion dah
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Hapo ndo kajistir paja zote waz
@edyteemba1918
@edyteemba1918 Год назад
@@lindambilinyi6253 jamani biashara sasa angevaa derra angeuzaa?
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Год назад
Iyoo nguo hujaiona mpaka chini tatuta picha inayomuonesha mpaka chini
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Год назад
Akh napenda hiii couple
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 Год назад
Wanambeza nandy maana baadhi ya wanawake wamezoea vitonga hivyo nandy kutoa zawadi wanaona maajabu wakati ni kawaida pia ni mme wake
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Год назад
K. Kuna couple naipenda n hii
@shammytv1719
@shammytv1719 Год назад
Nandy mungu aitunze familia yako
@sacg9783
@sacg9783 Год назад
Pendaneni Nandy watu Wana maneno lkn msiyasikilizeee❤
@MwanaidKimario-tc6zp
@MwanaidKimario-tc6zp Год назад
Nimeipenda sana hii.
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Год назад
Hongera sanaa hata yy kukupa nafadi ya kukuowa nizawad kutwaa kwako kuliko hyo reng injoy your life
@pamelaakinyi4769
@pamelaakinyi4769 Год назад
I love you nandy respect your husband atakama unamzidi hela Bora mapenzi kuna waliona pesa na penzi halipo
@irenemacha5661
@irenemacha5661 Год назад
Nandy umeweza sana ❤
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Год назад
Waooooooo!!!
@user-gw5lb9ju5m
@user-gw5lb9ju5m 10 месяцев назад
❤❤❤❤
@bellazara6448
@bellazara6448 Год назад
Kweli dada nimume wako maneno yawatu acananao
@sarahmwakilasa7425
@sarahmwakilasa7425 Год назад
Hongera nanderaa
@mynambwambo2072
@mynambwambo2072 Год назад
Love lives here.. see how nenga is happy jamm.. not a fakeJoy.. ❤
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Год назад
Umejibu vizuri mdogo wangu pochi ni kitu gani sifa tu
@sikukuuomar
@sikukuuomar Год назад
Nawapenda sana muzid kupendan Nandy mume uyoooo
@rithashayo4774
@rithashayo4774 Год назад
Basii mboso punguza umbea ulikuwa unaharibu suprise
@shirondungu4412
@shirondungu4412 Год назад
Nandy funga maskio juu hata upee nini itabaki tu kuwa yenyu .. Yani ni ya family
@JofuJoel-wy7sc
@JofuJoel-wy7sc Год назад
mtangazaji yuko vizur
@salamanyange1751
@salamanyange1751 Год назад
Hongera Sana
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Год назад
My couple
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Год назад
❤❤❤
@furahamanju
@furahamanju Год назад
Wenye roho zakwanini najuwa mpo mnajipanga mje na maneno yenu yauongo.hamuwabadilishi ng'ooo
@furahamanju
@furahamanju Год назад
Adi raha jamani.upendo kama huwo?bilnass ukipima kumuacha nandy ,au akagawa penzi lake kwamwingine.,kwakweli nitakuachia laana.anakupenda sana mkewako na wwe unampenda pia.msiachane mpaka kufa.Mungu uwasaidie
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
Nandy watu lazima watatafuta nini sababu ya kumpenda Mme wako
@edyteemba1918
@edyteemba1918 Год назад
Khaa kwa hiyo asimpende?
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
@@edyteemba1918 cjamanisha ivyo nilichomanisha binadamu wabaya sana awemakini na mvumilivu pia changamoto ninyingi sana kwenye mapenzi
@edyteemba1918
@edyteemba1918 Год назад
@@edinakyaruzi9226 oooh kweli
@Graceyust
@Graceyust Год назад
Siwezi kusema ila ni zaidi ya elf 90 sasa umefanya nini?
@MusaChesco-be7ss
@MusaChesco-be7ss Год назад
Gud life
@rackelstylist
@rackelstylist Год назад
❤❤❤❤❤
@mgazawagaza7501
@mgazawagaza7501 Год назад
Mapenzi kupendana jamani
@LatifaWilliam-ng8hr
@LatifaWilliam-ng8hr 9 месяцев назад
Nyie mnaishia kuchezewa tu na kuzalishwa hahahaa 😄 😄 😄 kupendwa raha san
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
Mmmh jaman ilo miambili😢 na velar shingap em mtuache
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614 Год назад
Mi nikaogopa kusema pengine sijui. Maana mwenzetu kampa mumewe daladala tatu wee
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Год назад
@@hadijaabdallah8614 ilo gari ukiagiza japan au uk ni mill 110-130 coz vogue ndio 150 Ukitaka za michezo south africa mpaka mill 50 unapata
@ensonventures1256
@ensonventures1256 Год назад
​@@flackomasterbaddest4155 range rover sport 2014 model hakuna ilivyo chini ya tzsh 150m..na sport autobiography nayo ni zaidi ya tzsh 200m..ata za mchongo labda upate old model 2008
@ensonventures1256
@ensonventures1256 Год назад
Velar nayo sio chini ya tzsh 300m
@ANDREWKAZUNGU-gt7lb
@ANDREWKAZUNGU-gt7lb Год назад
Pamojasana
@rehemasteven5962
@rehemasteven5962 Год назад
Wanadamu nao wahapendi maendeleo ya watu wivu tu ndo unawasumbua saaana nandy songa mbele tu acaha na wapinga kirstu
@amonia96
@amonia96 Год назад
My lovely couples,just do you guys, they're just jealous
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Год назад
Ngawiraaaa😂😂😂😂
@grolyjepha5771
@grolyjepha5771 Год назад
Unaogopa Kuachwa ndo mana unafnya ivo
@mariedelarie873
@mariedelarie873 Год назад
Nandy ilo shingo je?
@veronicajulius6741
@veronicajulius6741 Год назад
Hawezi kusema kiasi afu apoapo kasema😅
@samiramasudi7493
@samiramasudi7493 Год назад
😂😂😂😂
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 Год назад
We Nandi hakikisha ndugu zako wanajitosheleza,Hawalii njaa ndio unaamua kufanya hivyo.
@saidaramadhan2099
@saidaramadhan2099 Год назад
Kwa mtazamo wako tu unaona Ile familia inanjaa
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Год назад
Halafu yule mfupa kwa kapu anakutoa nishai eti unavaa bag fake hajui unanunua vitu vya maana
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 Год назад
Laki nne au afutatuuuu?😂😂
@fatumamkingie3867
@fatumamkingie3867 Год назад
Nani kaamin. Nenga ametimiza miaka 30 mh, je , nandy atakuwa na miaka ngap
@neemasawe7016
@neemasawe7016 Год назад
31
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Mmeanza,,...watz na miaka puuuu...
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Год назад
​@@mwitaagness455 😂😂😂
@monnahamour9892
@monnahamour9892 Год назад
mwenzio kazaliwa 1993 piga hesabu hapo
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
@@monnahamour9892 hata qngezaliwa 2003, its okay....but watz na miaka mmetia fora, khaaa...utakuta mtu anafuatilia miaka ya mtu as if wote tungezaliwa mwaka mmoja, jamaniiii....mtu yulo radh asiangalir maendeleo akadeal na miaka hata hiyo 93 unajuaje km ni ya kweli, so kila mtu hasimami siku zinaenda, na je umri mkubwa huku Tz nu dhambi??? Maana utasikia flan kazeeka, huwa nachekaaaa....huez kuta mzungu anajudge umri, tupunguzeni ujinga.
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 Год назад
Kutaka kusifiwa tu baada uwape zawadi kubwa wazazi wako kwanza ,sifa zakijinga tu
@damianlyimo5782
@damianlyimo5782 Год назад
Acha kilanga tafuta hela
@chimpayachimpaya5644
@chimpayachimpaya5644 Год назад
Mume ni mzazi pia
@theresiamwacha7845
@theresiamwacha7845 Год назад
Wivu tu
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Год назад
Wazazi wake si amewajengea nyumbaaa kibaba Allhamdullilah
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 Год назад
Wacha roho mbaya
@jescadario8718
@jescadario8718 Год назад
Bilinass ukimuacha nandy mungu akulaan 🎉
Далее
Epic Reactions 😂
00:33
Просмотров 2,7 млн
다리에 힘이 풀려버린 슈슈 (NG Ver.)
00:11
Просмотров 700 тыс.