Тёмный

NANDY ALIVYOONA AIBU KUKUTANA NA BILLNASS NA FAMILIA YAKE KWENYE USIKU WAO WA PETE 

Bona Tv
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 152 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Masha Allah wapare kumbe wazuri na wanaongea vzr masha Allah Mkawe na maelewano mazur ktk uchumba hadi ndoa yenu dada Nandy na kska Billinas amina yarabi allamina Ila Dada Nandy umekosewa kwenye gauni mwenzangu jiziwa nje hikocsi vzr ila kama nawakwaza kuongea huvyo naomba msamaha wenu
@mariashauri6192
@mariashauri6192 2 года назад
*3.7K was on Live💍**#NandyBillnas**♥️Lyimo na Mfinanga🥂Nandy ako na🤰Mlandiziii kumenoga 🔥 **#mcgarab** **#DroneYaBonaTV**🔥*
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 года назад
Kiasi alone aibu anakwenda kukutana vipi na wakwe zake maziwa nje ndo heshima ya wapi hiyo?! Wenzie wote wamevaa vizuri nguo za heshima. Amefunika kichwa maziwa nje😏
@bintichausa4744
@bintichausa4744 2 года назад
Duh biharusi nusu uchi wakwezo wapo wanakuona duh mungu tunusuru .
@neemamarwa5326
@neemamarwa5326 2 года назад
Washazoea kuuona uchi wake mitandaoni muache a enjoy hahahaaa
@xuseenyusuf80
@xuseenyusuf80 2 года назад
Tusiwe wanafki jamani hongera kwa shughuli Nandi ila hicho kifua Jamani chote kiko nnje kama anaenda kupiga shoo ya mziki mnisamehe kama nime mkwaza mtu eti mnasema mashaAlla kapendeza kifuanje chote😭😭
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 2 года назад
Ndo mavaz yao wanaona ivo ndo kupendeza
@aminaqatar5041
@aminaqatar5041 2 года назад
Baba pia anayaona maziwa ya mwanae subah Allah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
🙁🙁
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 2 года назад
Ni shida
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 2 года назад
Hajapendeza kiufupi
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Kidogo nione kitumbo ndi ndi ndi kwa mbaali nikaona na ziwa ndi ndi ndi👌👌👌
@franciscarfatuma5051
@franciscarfatuma5051 2 года назад
Congratulations to you Nandy 😘😘😘💃💃
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 2 года назад
Jamani enyi wanawake wenzangu nawaomba tuvae nguo za heshima kwani dini zote zinaelezea hivo. Mbona tunajidhalilisha jamani
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 2 года назад
Unaweza ukawa UKo sawa ila,ikiwa wao wanaona wako sawa na hawakulazimiswa kuvaa hivyo basi hakuna taabu yoyote.
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 2 года назад
Kunanguo nyingi za fashion za kuziba kifua jpo hta kidogo
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 2 года назад
Wacha zako
@monicamushi5192
@monicamushi5192 2 года назад
Hata hayakuhusu,,,vaa wewe,,,,,kila mtu atahukumiwa kivyake
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 2 года назад
Kukumbushana kuko lkn wapo wanaotaka kukumbuahwa na wapo waliokuwa hawataki kukumbushwa kama ww
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 2 года назад
Kwani we mtangazaji hapa nandy aliingilia wimbo gani
@maryamalhabsi4364
@maryamalhabsi4364 2 года назад
Maa shaa Allah 😍😍😍😍😍😍😍❤️
@supertallone1902
@supertallone1902 2 года назад
Nambie ntafute pesaa😅😅jaman Nandy wangu posa tuu imekua kama sendoff..."ubunifu" Shikamoo pesa! Mungu awatangulie kwenye safar yenu!❤🔥
@johasaeed391
@johasaeed391 2 года назад
Alafu mbona kama mjamzito
@tatuomari781
@tatuomari781 2 года назад
@@johasaeed391 Ni mjamzito anajitahidi sana kuficha tumbo yani hayupo comfortable kabisa hicho kipepeo alichobeba mkononi yani akitulii kwa kweli kimemsaidia sana kujitahidi kuficha tumbo lake
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 2 года назад
Ongea sn my friend Nandy mungu akufanyiye wepesi zaidi ikima zaidi kwa ndoa yako naazidishe upendo katiyenu🥰🥂💃💃💃💃
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 года назад
Mashaa allah arf maboork na ikawe ya kher
@sharifaabdulkarim2572
@sharifaabdulkarim2572 2 года назад
Mashalah yann hapo maziwa wazi au
@dianamarua2632
@dianamarua2632 2 года назад
Woow nandy kadamsh mashallah
@freshamwangishow2117
@freshamwangishow2117 2 года назад
Nandy wapendeza👏🤩💃
@saumunassoro9983
@saumunassoro9983 2 года назад
Mash Allah dadangu 😘😘😘😘❤️
@Veni584
@Veni584 2 года назад
Wamemvalisha kinguo gani hicho mpaka hawezi kutembea
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 года назад
Nandy hongera💟ila fundi kakosea kifua kazidsha kuacha wazi sana haipendez bado sku ya mahari maziwa nje.seriosly?
@jackyjacky2046
@jackyjacky2046 2 года назад
Mashaallah lakini nguo poa lakini maziwa inje mbele ya wazazi sio poa
@ndayushimiyerungarunga8438
@ndayushimiyerungarunga8438 2 года назад
Nandy Ongera sana
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 2 года назад
MashaAllah mtt wakike hyoo
@ashafujo3506
@ashafujo3506 2 года назад
Mashaallah bby nandy so cute
@alicenice1711
@alicenice1711 2 года назад
Mashallah
@hellenngailo6584
@hellenngailo6584 2 года назад
hio bona tv ni jinga sanaaa
@salmayahya1107
@salmayahya1107 2 года назад
Sasa nandy umevaaji jamani hii shughuli ya heshima kifua chote kipo wazi ndo nini ivi
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 2 года назад
Nimeipenda iyo ongereni sana maana wengine tunaishia kuvaa pete tu
@zou7470
@zou7470 2 года назад
Mansh'allah nandy kapendeza ❤❤
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
watu nikujivalia tu hawajui hata dress code .
@jovinusalex4066
@jovinusalex4066 2 года назад
Umependeza mrembo
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 года назад
mbna matiti ya bilnas yanaonekana na kila mtu kuuliza tuu
@veronicagervas4607
@veronicagervas4607 2 года назад
Namuona pili wa kitimtim😊
@kahimbeshamu7270
@kahimbeshamu7270 2 года назад
Nandy ana mimba ao sioni vizuri
@aminaqatar5041
@aminaqatar5041 2 года назад
Yes anamimba
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 2 года назад
Ndio mwaya anayo
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 2 года назад
Here mi umbeya huu hivi baada ya kuona comment yako ndo imenibidi nitoe macho yote
@selinaslaa7262
@selinaslaa7262 2 года назад
At mm naona mbn tumbo linamzid jmn😅😅
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 2 года назад
@@rachelkihaka9204 😂😹😹😹
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 2 года назад
If God says yes no One can say no
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Hy ndo nyimbo gn?
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 2 года назад
Mashallah nandy
@israeleliezeli5090
@israeleliezeli5090 2 года назад
Unajua bado siamini inanibid niamini mamb ni 🔥❤️❤️❤️
@preciouskinzali9417
@preciouskinzali9417 2 года назад
Mashallah my sweetness
@atukuzwelameck4324
@atukuzwelameck4324 2 года назад
OMG 🥺❤️🙌
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 2 года назад
Manyonyo nje na yamejaa mziwa. Ina maana mimba ni kubwa hiyo
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 года назад
Manyonyo hayapo nje,hiyo ni less yenye rangi ya mwili wake! Labda kujichora hapo sawa.
@aishakimaro9758
@aishakimaro9758 2 года назад
Mmh maziwa nje na wakwe ndani
@catherinelandas1938
@catherinelandas1938 2 года назад
Nandy kadamsh sana
@saraphinajoely7047
@saraphinajoely7047 2 года назад
Mungu awajalie nawapenda
@evakiwia1052
@evakiwia1052 2 года назад
Hv manyonyo hayo wazazi wapo au wametoka kidogo
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Mwenyezi mungu awazidishie upendo kwakweli ❤️
@janepherkhisa8581
@janepherkhisa8581 2 года назад
Kwani Nandy ni mjamzito?
@joycemalidadi7204
@joycemalidadi7204 2 года назад
Sweet
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
Hongera
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 2 года назад
Kamimba kaleee
@khadijakhamis381
@khadijakhamis381 2 года назад
Kapendeza nandy.. Ila gauni kifuwa kiko wazi mbele za wazazi n wakwe sio poa
@hassanalabdulwahhab5183
@hassanalabdulwahhab5183 2 года назад
Kabisa
@conymbetsa9377
@conymbetsa9377 2 года назад
Nandy kapendeza
@yassintaibrahim24
@yassintaibrahim24 2 года назад
Mashaallah 🔥🔥🔥😘😘😘
@geofreymsengi9971
@geofreymsengi9971 2 года назад
Wasanii kwa Kiki Damond & Zuchu Kiki Haijapita Muda Biinas & Nandy Kiki Ok Mzur
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 2 года назад
Sas nandy na billnass hapo wamefanya kiki gani
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 года назад
knikama naona kwaaaaa mbali 🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🤰🤰🤰🤰
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 2 года назад
ATAKAYE TAKA ATATANUA AMBAYE HATIKI ATAKAA HUKOHUKO🤣🤣🤣
@salmahabdallah7203
@salmahabdallah7203 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
😂😂
@vanessamshanga318
@vanessamshanga318 2 года назад
Kwani ni mjamzito?
@irenembura8045
@irenembura8045 2 года назад
So cute 💋💋💋
@florachogo243
@florachogo243 2 года назад
Hayo.manyonyo kwa wazazi na wakwe duuu ,mhhhh huu uzungu noma
@susanhaizmann8641
@susanhaizmann8641 2 года назад
The video is not clear too much Light is blending people
@estherndanu913
@estherndanu913 2 года назад
Tuwachane na mapenzi ya hawa wawili, hatuyatambui
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
Mbon kitumbo🙆‍♀️ kikubwa ivo vp tena nandy wangu macho yngu yote yapo kweny tumbo
@esterchama8813
@esterchama8813 2 года назад
Kumbe nawe umeona hilo
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
@@esterchama8813 ndio siy kawaid yake kushik shika tumbo nipo mbl ila naona tumbo
@tatuomari781
@tatuomari781 2 года назад
@@lucylucy3678 Ana mimba inaonekana wazi tu, ingawa anajitahidi sana kuficha
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
@@tatuomari781 dahh yan nilichok kuumiz macho mbk nikagundua hap siy bure
@anitatibesigwa6680
@anitatibesigwa6680 2 года назад
Mamaa mbona Kama we ni mama kija
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 2 года назад
Pacha angu Nandy unaniangusha wakwe hawapaswi kuona manyonyo hayo!, Hayo n ya kumuonueshea Bilnass mkiwa chumban siyo hadharan hapo
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 года назад
Nandy hili tumbo Co bure mimba hii🤣🤣
@norahprizzah4443
@norahprizzah4443 2 года назад
Ndiooo
@prettyablaali5175
@prettyablaali5175 2 года назад
Nyimbo nimeipenda anojua jina lake aniambie
@nachizombongandu5367
@nachizombongandu5367 2 года назад
Ndio by Rehema semfuko
@remiomar7154
@remiomar7154 2 года назад
nandy anaonekana ana kibedi au macho yangu wanawenzengo
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 года назад
NANDY UMEDAMSHII ILA HAYO MAZIWA MMH MMH
@lailaoman3856
@lailaoman3856 2 года назад
Nandi mjamzitouwakika
@hassanmody3005
@hassanmody3005 2 года назад
Inapendeza kwa mtu mwenye uwezo aoe kuliko kuishi kinyumba kinyume na dini inavyotaka.
@moruamis2634
@moruamis2634 2 года назад
Lait namimi ningalikuepo yani ni ma shamsham.
@mercyfuraha4552
@mercyfuraha4552 2 года назад
Hiyo nguo mbele ya wakwe khaa
@esterdoriye4780
@esterdoriye4780 2 года назад
Mandy huo mkono kesho utauma maana hutulii hahahaha
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Kmb umeona km mm
@sadanassor6158
@sadanassor6158 2 года назад
Ammy akose sio kweli all in all ❤❤
@hellenngailo6584
@hellenngailo6584 2 года назад
watu hawaonekani cheeee
@raybby9291
@raybby9291 2 года назад
Yani iyo gauni ingekuwa ndefu ndo angenoga zaidi
@shakilarajabu8059
@shakilarajabu8059 2 года назад
Umepndz ila hicho kipepeo sasa kila saaa knapepea knatunyima kuona vzur inakuw kama chengachenga
@zlfamz3540
@zlfamz3540 2 года назад
Ukwl nanda uk na mimba acha kufika dada
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 года назад
Tena kubwa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
🔥🔥🔥🔥
@shameelashameela9857
@shameelashameela9857 2 года назад
Ndugu wa nandi wanavitambi
@mereniaenzubery6045
@mereniaenzubery6045 2 года назад
Huyu Nandy Hana shangazi wakumuelekeza namna ya kuvaa mbele za wakwe? Au ndio Mila za watu?
@everlinesemvua9760
@everlinesemvua9760 2 года назад
Nandera
@aminakwekwe8581
@aminakwekwe8581 Год назад
Umependeza asikuambie mtu I like you
@enterenter1921
@enterenter1921 2 года назад
Lini Tena haya majanga🤣🤣
@ashudahiza7871
@ashudahiza7871 2 года назад
❤❤❤❤❤
@dhweyaali4865
@dhweyaali4865 2 года назад
❤️❤️💕
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 года назад
Hapo kifuani vipi jamii inakuangalia, uzuri wako unatosha,na si lazima uoneshe heshima ya mwanamke wazi hivyo. mila na desturi kuzingatiwa.
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 года назад
Naic nandi
@mmn7480
@mmn7480 2 года назад
anamimba
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 года назад
Mmmmh hao washajazana mimba wajanja saan hawa kama majizo na Lulu wanazuga tutoa mahali mara pap ndoa mara utasikia nandy kajifungua 🤣
@ramlakisuka4178
@ramlakisuka4178 2 года назад
Utoe mdundo wako huo tuwekee mdundo unaoendelea kwenye shugulli
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 2 года назад
Huo mtindi vp mbona uko nje? Hapo umezingua
@helenshella6809
@helenshella6809 2 года назад
Nandy hiyo ni mimba ama naona vibaya mimi
@lailaoman3856
@lailaoman3856 2 года назад
Mnazinguwa sasandonini kuweka biti lisilo eleweka
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 2 года назад
Mimba kubwa tuu, hapo inamiezi 6 kma sio 5
@witnessmmari9902
@witnessmmari9902 2 года назад
Bahati yako upande wa mume ni waume tupu,mbele ya wakwe unaficha makucha nakuwasitiri hicho kifua unatafuta mume mwingine wakati ushampata,mshambiwa ndoa haina ustaa,
@nuraansuhail2578
@nuraansuhail2578 2 года назад
Wamekulana were mwisho wameamua kushiba
@boazmvellah6286
@boazmvellah6286 2 года назад
Msije shangaa nyimbo kumbee🤣🤣🤣
@neemamarwa5326
@neemamarwa5326 2 года назад
Hahahaaaa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 года назад
Onyesheni Mila na desturi zenu. Hayo mambo ya kubeba vipepeo, mikia nakazalika ni ya KINIGERIA, SASA NYINYI NI A ANIGERIA? KILA KITU KUIGA TUUU. NOT GOOD AT ALL.
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Kwan nandy mjamzito
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 2 года назад
Ndio
@salmahabdallah7203
@salmahabdallah7203 2 года назад
Na mm ndio nimekazana kuangalia tumbo nikaona ni tofauti
@lucymsumaly338
@lucymsumaly338 2 года назад
Nandyhunalolote
Далее
UNAWAJUA NDUGU ZAKE NANDY WEWE?ONA WALIVYO WAZURI!
4:32
А вы знали что металл тонет?
00:32
maids wakiingia ukumbini
3:54
Просмотров 1,2 тыс.
KIJANA MALAYA LEO KAYATIMBA | DONTA TV
28:44
Просмотров 88 тыс.
NANDI AMWAGA CHOZI LA MAHABA/BILLNAS AMVESHAPETE/
9:46