Brother NARUDIA TENA. Unajua unayemtumikia. MUNGU HADHIHAKIWI. KWA YESU NINAYEMJUA HAKUNA UHUNI KAMA HUO ULIO NAO. BADILIKA KAKA. INJILI SI MIMANENO. NAO YESU NI WENGI. WEKA YESU WAKO WAZI. ACHA MICHANGANYO. WENGI MNAFANYA BIASHARA TU MITANDAONI HUMU.
Viewers utapata wengi ila nashauri chagua upande mmoja kaka usichanganye tafadhari Kwa wapenda mdundo na maneno watakuunga mkono ila wapenda injiri tunasema hapana kaka.
nawewe hebu fanya kinach kuhusu yasiyo kuhusu achana nayo wewe hujui chochote kuhusu yeye na mungu wake unakaz za kufatilia maisha ya watu unanikera sana
@@life_1good KWA hivyo nisipofuatilia MAISHA ya WATU nifuatilie ya WANYAMA SIO? Uko sawa kabisa unaposema kuwa yeye na mungu wake. Nice! MIMI NAMFAHAMU MUNGU MMOJA tu, na ALIYE WA WATU WOTE na VITU VYOTE, aliyetaka TUONYANE, KUPANGANA NA KUWEKANA SAWA. ILA HUYO WAKE simfahamu KABISA. IWE UNAJUA AU HUJUI, KILA MTU NI MLINZI WA MWINGINE KWA MUJIBU WA MUNGU ILA KATIKA MEMA TU. EZEKIEL 3:16-21, EZEKIEL 33:1-9 na ISAYA 58:1, WAFILIPI 2:4 SIFA NA PONGEZI ZA WAHUNI WAPENDA-MDUNDO MTAZIPATA SANA ILA KWA MUNGU NIMJUAYE SIDHANI. ASANTE!
@@ometelangathegodofyoutube Mungu ni yule yule jana, leo na hata milele. Hakuna Mungu wa kikenya au lugha ya kikenya kwenye BIBLIA. HIZO NI LUGHA ZA KIHUNI. ACHENI UPOTOSHAJI! KAZI KUU YA DINI ZA KISASA NA VIONGOZI WAO NI KUWAHADAA WATU KWAMBA WANAENDA MBINGUNI KWA UPUMBAVU WALIOUSHIKA NA KUUFANYA KIFASHENI KUMBE WANAISHIA KUZIMU.