Mashallah hii kasida Ina ujumbe mkubwa sana Allah akubariki sana ust. Juma faki katika kazi zako na maisha yako yote amiin kasida tamu sana Hadi rahaaaaa wallahi Yani roho inapenda kabisa 🤲🥰
😢😢hii qaswida inagusa familia yangu watu wamewekeana chuki ndugu wa baba mmoja na mmoja awaongei 😭😭natamani niwakalishe chini wote waisikilize hii qaswida