Тёмный

Arusha: Mama aliyemchinja mtoto wa jirani yake akamatwa, jeshi la polisi lafika eneo la tukio! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Авто/Мото

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 106   
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 17 часов назад
Jmn da mtt mzuri mdog ndot zimezimish binadam jmn da!😢😢😢😢😢
@WillySonny-u1k
@WillySonny-u1k 16 часов назад
Uchawi hauna faida maana wachawi nao wanahangaika na maisha biashara na misoto yote.shetan anakuongoza kuua ili uende nae jahanam Hawa wameuwa Toka 1991 mpaka Leo hajakamilisha idadi mpaka ameaibika tu ,jaman shetan Hana huruma nasi hata tunapojiona tuna maisha magum .umaskin sio dhambi Kwan maskin walikuwepo tangu zaman ,maisha ya mwanadam ni miaka 80tu Tena hata hiyo ni bahat kuifikia ,wito wangu naomba tujikabidhin kwa Mola wetu mlezi ili tuwe na mwisho mwema.narudia Tena shetani Hana huruma nasi hata kidogo.
@Jurbeg
@Jurbeg 17 часов назад
Nao wachinjwe pumbavu 😡😡😥😭
@MariamKombo-s2v
@MariamKombo-s2v 16 часов назад
Mwamposa alikuja Arusha, wachawi wote wataanguka . Ameshavunja ngome zao wataumbuka kw jina la yesu
@HUSSEINKINGO-os4wv
@HUSSEINKINGO-os4wv 15 часов назад
wewe endelea kumuanini mwamposa kuliko mungu.
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 15 часов назад
​@@HUSSEINKINGO-os4wv kwa kweli duh ni hatari eti mwamposa dah 💩🚮🤣
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 14 часов назад
Marium jina lako sio sahihi kabisa kumuamini Mwamposa😢
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 10 часов назад
Mwamposa yenyewe ni mchawi. Ashaua watu kipindi kile kama unakumbuka
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 6 часов назад
​@@nickalreadyknowskachanga nyikiwa huyo mwamposa mwenyewe Asipo bafrisha maudhui yake Atasagamenk Allah Atupe soote mwishon mwema
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 6 часов назад
Mm nilikuwa naomba selekali yetu, waganga wakienyeji wasiwepo Tanzania 🇹🇿 wapigwe malifuku Tanzania isiwe na wanganga wakienyeji yoyonte anaejihusisha na kazi ya uganga akamatwe, nakila mganga atafuye biaashaala za kufanya, kwa mawazo yngu Mimi naona Imani itashuka Tanzania yetu maana Hawa wadanganya watu wkiondolewa kwenye inchi yetu. Vifo vitapungua jamani lohoo zinauma sana, waganga wajadi acheni kumaliza watu mungu apendi, 😢
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 16 часов назад
Ya rabbi nsataraa MARIAMU balaa hii, rabbi Mtt kukatwkatw tunaomba isitokee tena loh mtt mdogo, jamani,ushirikana n balaaa rabbi tusaidie, rabbi allamina,loooh,balaa,kubwa, ilokuta mtt,looo,
@ruthsawida8507
@ruthsawida8507 Час назад
Wananchi wa Arusha mpo vizuri uzeni na Hilo eneo kabisa
@OphiryNtirniga
@OphiryNtirniga 16 часов назад
Nmeumia Sana Sana, baas 2
@allymtunge5530
@allymtunge5530 17 часов назад
Ila malipo hapa hapa unakosa utu kabix
@DannyElias-t3v
@DannyElias-t3v 14 часов назад
Duuuh huyu mama hana uchungu na mtoto wa mwenzie
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 16 часов назад
SEREKALI TAFAZALI CHENI HIYO KUBWA SANA MFATILIZIENI SANA MYOLOLO MLEFU HUYO 😢😢😢
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 16 часов назад
Tuombe sana Mungu
@JamilaKelota
@JamilaKelota 18 минут назад
Mimi ndomana simuamini mtu kabisa ata awe ndugu huwa naishi kwa hofu sana eheeee Mungu wa mbinguni tulindie watoto wetu 😢
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 4 часа назад
Waganga wote wauawe nchini Ndo mizizi yakila shari
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 13 часов назад
Duuuh matukio kila siku dunia nzima ina mafuriko ya maovu usiamini hata ndugu marafiki au majirani kila mmoja mwangalie kwa jicho la tatu 👀 👁
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 6 часов назад
😭😭😭roho imeniuma jmn umli wa wanangu. Wamepisha darasa tu heee Mungu mpokee nalaika wako wazazi tuliombali na familia tukisikia matukio aya Amani atuna kikubwa kumuomba Mungu atuiindie malaika wetu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 16 часов назад
Huyo n kua tu laanahtullah,
@DotoS12
@DotoS12 17 часов назад
Ila hao police hawajafanya vzr angeletwa mtaani kwanza
@redemtamkemwa6067
@redemtamkemwa6067 15 часов назад
Wauliwee
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t 56 минут назад
Inna lillahi wa 'Inna ilaihi raji'un subhana ALLAH
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 15 часов назад
Ndo maana mwalim Mwakasege anafundisha na kusisitiza kila mtu kuombea mtaa anaoishi
@miaduana
@miaduana 15 часов назад
Hapo tena sana 😢
@HarrisOthman-p7i
@HarrisOthman-p7i 8 часов назад
Ukisikia watu wenye roho ngumu huyu mwanamke aliefanya iv na yy yumo,,mnyama sana
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Час назад
Jamani karembo sn
@generosennko8343
@generosennko8343 10 часов назад
Wazazi tafadhali. Ni wakati wa sote kukaa chini ba kufundisha watoto na wajukuu zetu mbinu za kujilinda wanapokuwa wakipita mitaani. Mojawapo ni kutokusimama njiani na kuongea na mtu yeyote hata kama ni ndugu. Pia cha muhimu ni kutumia mbinu ya kupiga kelele endapo atakuwa kwenye hatari yoyote. Mbinu zipo nyingi. Tumieni kufundisha watoto
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 12 часов назад
Umdhaniaye siye na usiyemdhani ndiye!
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 13 часов назад
Hatari sana yaan dunia imeharibika mpaka naogopa😭😭
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 16 часов назад
Kuvaa hijabu sio dini kuna watu wanatumia hayo mavazi kuficha uchafu wao, Hongera kwa wananchi kuvunja nyumba hiyo mngefanya hivyo hivyo na wabakaji vunja kabisa nyumba wasirudi kabisa
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 7 часов назад
Dini haitaokoa mtu yeyote hilo tujue maama kuonekana mbele za watu mwema kumbe moyoni mwake hakuna Mungu
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 5 часов назад
NDUGU MWANDISHI: -KWANZA PONGEZI KWA KAZI YAKO PILI: NIKUOMBE ,KABLA YA KUANDIKA NA KUTUMA MITANDAONI UWE UNA HAKIKI ,"IPO SAWA"...!!!??? -MFANO: KWA TAARIFA YA WENGI,MTOTO ALIYEFARIKI KWA KUCHINJWA ,JINA LAKE NI: MARIAMU JUMA, NA WALA SIO,"MARIAMU HATIBU"....KAMA ULIVYOANDIKA. -MR.HATIBU NDIYE MUHUSIKA WA MAUAJI. -BILA SHAKA,UMENIELEWA
@LeonardBadili
@LeonardBadili 11 часов назад
Alijisitiri kuficha maovu yake ili watu wajue mtu wa dini aisee MUNGU haigiziwi jamani
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 6 часов назад
Mungu Aigiziwi lazimaAtakufichua
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 16 часов назад
Ety wew ni rafk ake wa karib😂😂😂 angalien maswal ya kuuliza
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 6 часов назад
Syo shida manboyake nyeti anafanyasiri
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 16 часов назад
😲😭😭😭😭 My Tanzania 🇹🇿 💔🤷
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 6 часов назад
Watanzania wengi wanadanganyika na mtu anayejifunikafunika ndio maana maandiko yanasema utahukumiwa kwa matendo yako
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 6 часов назад
Jamani mtoto mzuri kapotezwa 😢😢😢
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 16 часов назад
So sad 😭😭😭🙏
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 17 часов назад
inakuaje unamuua mtoto mdogo kama huyo... Wanawake watu katili sana.
@ashamusa203
@ashamusa203 16 часов назад
Wanawake!!!!!! Ujasikia kama ameshilikiana na mumewe, kwani wewe ujayasikia matukio ya mauwaji ambayo wanaume wamefanya
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 10 часов назад
​@@ashamusa203Huwa tunadanganywa jinsia ya kike inaoongoza kwa huruma kumbe ni uongo
@YunusiAthuman-ep5mc
@YunusiAthuman-ep5mc 8 часов назад
Inalillah wainna illah rajiuni
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 9 часов назад
Kwa amri yangu ninge mnyongaaa yeye na bwana ake na yoyoote atakae husikaa kwa hili hakuna haja ya kusumbua polisi na mahakimu Aiseee Tanzania 🇹🇿 hii ya moto kweli pumzika kwa amani Binti mzur
@AmarinoBahha-p7y
@AmarinoBahha-p7y 5 часов назад
Hii roho ngumu ingetumika kudai katiba mpya, tungeshaipata zamani
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b 6 часов назад
Jamani jmn 😭😭kama ni wakwake atajisikiaje😭
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 15 часов назад
Im speechless 😢
@Rich-wo
@Rich-wo 6 часов назад
Hii ni majira ya Aliyetuumba jmn…Siri zote lzm ziwekwe wazi
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 17 часов назад
Jesus lord 😭💔
@omanmct135
@omanmct135 8 часов назад
Subhanallllah😢
@RajabuAbdi-rs7sp
@RajabuAbdi-rs7sp 57 минут назад
Laanatulah ibilis
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 17 часов назад
Kwanin mnaruhusu ajifunike uso mkatili kama huyo
@veeJesus
@veeJesus 17 часов назад
Proud to be 😢
@Myright888
@Myright888 16 часов назад
Yaani jamaniii
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 16 часов назад
A muslim kuna uislam na waislam upo
@ZubeirKhamisAbdallah
@ZubeirKhamisAbdallah 15 часов назад
Acha unafki
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 10 часов назад
Sio kila anaevaa kiislamu ni mwislamu.
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 4 часа назад
Wachimbe ata kwa.marafiki zake maana inatisha sana
@demicratia4071
@demicratia4071 10 часов назад
Kuwe na msako wa nyumba kila mwezi nyumba zi searchiwe kila mara wako wengi kama haooooo
@KabulaMichel
@KabulaMichel 9 часов назад
Hao mgewafungia ndani na kuwamwagia petroli nakuwawashia moto wafie humo
@allymtunge5530
@allymtunge5530 4 часа назад
Kakatisha ndoto ya mtoto kwa ujinga wake achomwe moto azalani
@Rich-wo
@Rich-wo 6 часов назад
Trust no one
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 6 часов назад
Kam walipata hadi kitabu cha kuzimu ina maana hata hivyo vitu alikuwa ana wauzia ,mboga mboga sio za kawaida
@daprince7545
@daprince7545 5 часов назад
Madhehebu mengi ndio mafichoni mwa wachawi, wanajifanya waumini sana
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 8 часов назад
Ahojiwe zaidi hayuko pekeyake ataje mtandao wote
@Keyjop
@Keyjop 15 часов назад
Waligusa pabaya, toka mwaka 1900 naa 🙌
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 17 часов назад
Huyu w mwisho yuko sawa huyu mama pakaataje wasaidizi wk asiwachiliwe haraka
@zainabukuku3878
@zainabukuku3878 16 часов назад
Wale wa am proud to be a muslim wako wapi?😢
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 16 часов назад
Una akili za hovyo kwaiyo unamaanisha nn au unafikili kuitwa Muislam ndo inamaanisha wewe ni mwenye iman! Uislam sio tu kwenda msikin ni vitendo na Iman!wee mbona unaitwa zainab lakini ni kafir!!?
@stanleypius3365
@stanleypius3365 15 часов назад
🤣🤣🤣🤣
@NasibuAlban
@NasibuAlban 15 часов назад
We ukifanya kosa sio dini dini zote zimekataza maovu
@MsAggie5
@MsAggie5 15 часов назад
😂😂😂
@marthageorge5043
@marthageorge5043 15 часов назад
😂😂😂😂
@ip_header
@ip_header 9 часов назад
Very sad news 😢
@sonnyr1899
@sonnyr1899 17 часов назад
Kila siku psykopati hua ni mtu usiye mdhaniya kwa kweli
@AminaMsocha
@AminaMsocha 3 часа назад
Mtangazaji nsalimie uyodada namjua uyounaemhoji saumu
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug 9 часов назад
Mbona ni maskini bado
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho 2 часа назад
Bwana turehem
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w 10 часов назад
Jee ni yy auu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 8 часов назад
😢😢😢
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Час назад
Hizo risiti ni michango ya watu ya chama cha kufa na kuzikana
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 7 минут назад
Sasa na Iyo bado sijui wawili au saba?!
@shabanikitula645
@shabanikitula645 8 часов назад
Mariam juma sio msrism hatibu
@HarounAbdul-fn2si
@HarounAbdul-fn2si 8 часов назад
Afungwetu
@Ibraah-w2q
@Ibraah-w2q 6 часов назад
Duuuu?
@JumaJohn-pg9hc
@JumaJohn-pg9hc 6 часов назад
Kwanini mnawaficha
@munawaromary7752
@munawaromary7752 15 часов назад
Dunia imekwisha
@omanmct135
@omanmct135 8 часов назад
Mawaji yamezidi ntanzaniya
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 4 часа назад
.
@NeemaMtweve-x5y
@NeemaMtweve-x5y 4 часа назад
Tumwachie mungu yy ndomtoa hukumu
@godfreymakundi601
@godfreymakundi601 6 часов назад
,,,,,
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 2 часа назад
Huyo simtu wa dini ni mchawi 2.
Далее
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн