Тёмный

Askofu Gwajima akiwasha Bungeni "Si muda mrefu utaanza nawewe kupima Samaki" 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 Год назад
🔥🔥🔥👍
@DicksonAlfonsi-vv3uc
@DicksonAlfonsi-vv3uc Год назад
Huyu jamaa apewe nchi
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
Ubarikiwe Sana Mtumishi
@jacobmgumiro156
@jacobmgumiro156 Год назад
akili kubwa sana
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Год назад
Yes Mh Gwajima, walijua hilo kuhusu Vision ila kupewa hela kunategemea na budget iliyopo so kwa muda huu acha tuwape uwakala na sisi wafugaji wetu wakubwa na viwanda watajifunza kitu kupitia mahusiano hayo
@damianandrew3074
@damianandrew3074 Год назад
Tungekuwa na wabhnge Kama gwajima ,msukuma na kishimba nchi ingekwenda mbali sana
@anaelnassary675
@anaelnassary675 Год назад
Nakupenda sana
@damianandrew3074
@damianandrew3074 Год назад
Yes clinical thinker good show them
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Год назад
Kwanza suala la kuwa meli nyingi za uvuvi hakuna mipango yani utaona viongozi hawana maono mapana kuhusu wananchi wanajiangalia wao tu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Год назад
Kweli kabisa Mh Gwajima. Uvuvi Tz mchango wake ktk pato la taifa ni aibu ya nguoni kabisa. Mpeni Mh Waziri meli za uvuvi baharini. Mpeni trilions!
@MerereJr
@MerereJr Год назад
Askofu Gwajima akili yako ni kubwa sana. Hao wabunge they are too low to accomodate your ideas, thats why tjey even fail to clap for your points.
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Год назад
Hivi inawezekanaje lac tanganyika kigoma ifungiwe harafu maziwa mengine yafanye kazi?!!.
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 Год назад
Hapo ndo Kuna siasa kali. Hawa wajamaa kigoma waliitenga kitambo.
@HolloGilihe-ln3lu
@HolloGilihe-ln3lu Год назад
Erizabhet .. Emaso
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Tuhamie Burundi tu au mnataka tujadiliane kuhusu waganga wa kienyeji
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 Год назад
ASKOFU MFUFUA WAFU😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄🤝🤝🤝
@tarithalusola4458
@tarithalusola4458 Год назад
Wivu Tu wewe. Yuda kama jina lako
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Год назад
Mkoa wa Zanzibar!!??!😅😂
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Год назад
Wah mifugo tuliyonayo ukilinganisha na population yetu 62mil ni kitu kidogo sana. Jiulizeni kwa siku tunakula mifugo kiasi gani na mifugo huongezeka kiasi gani kwa siku? Fikirieni kufanya baadhi ya wanyama pori kufugwa majumbani mf nyumbu, kanga, kwate, nk. Kiitoweo kitakuja kuwa nabupungufu mkubwa!
@hassanndabila8244
@hassanndabila8244 Год назад
inajengwa na inabaki salama mungu awabariki sana kwa hilo kwa nchi yetu
@issahrashid6319
@issahrashid6319 Год назад
Askofu mfufua wafu
@manasekijangayamba2023
@manasekijangayamba2023 Год назад
Hakuna anachoongea maliza muda basi uchukue chako hakuna hoja hapo
@silamwamlima2758
@silamwamlima2758 Год назад
Yani mpaka anamaliza sijaelewa anaongelea nini
@tittoskeysproject1967
@tittoskeysproject1967 Год назад
Akili yako ndogo sana
@manasekijangayamba2023
@manasekijangayamba2023 Год назад
Maono ya miaka hamsini ili muendelee kuiba hapo bungeni kupitisha wizi wakati wananchi wanaendelea kuumia na kufa na umaskini
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Год назад
Du hicho kimombo cha mtu anayejiita daktari! Huwezi kuwambia watu zaidi mmoja kuwa you are one of them. Nadhani ni you are ones of them. Pia, hakuna kitu hongela kwenye Kiswahili. Si muongeeni Kiswahili kulko kujitia aibu jamani.
@manfredmgimba223
@manfredmgimba223 Год назад
Yuko sahihi, ndo inavotakiwa kusemwa
Далее
The Rise of India's Private Space Firms | Momentum
24:02