Тёмный

Askofu Mokiwa afafanua mgogoro unaoendelea kwenye kanisa la Anglikana 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Baada ya Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana, Jacob Chimeledya kumtaka Askofu mkuu Dayosisi ya DSM, Valentino Mokiwa ajiuzulu kwa kile kilichodaiwa kuwa anatumia madaraka yake vibaya na ubadhirifu wa fedha. Leo January 10 2017 Askofu Mokiwa ametoa ufafanuzi

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 2 года назад
Kwanini mambo ya kanisani yaongelewe kwenye vyombo vya habari?? Haya ni mambo ya kiroho, yanamalizwa kiroho
@mashakadeya5347
@mashakadeya5347 7 лет назад
inauma sana Mungu awe nawe
@KADALAtv255
@KADALAtv255 6 лет назад
Siuoni utukufu wala upako katika uso wa askofu mkuu yaani unaona kabisa kwamba hakuna Mungu katika yeye. Inatia aibu mno. Mimi ni Mkatoliki sijawzhi ona vituko kama hivyo. Inaniuma kwa sababu ni kumuaibisha KRISTO YESU. aisee Mungu yupo. Pumzika Mokiwa remee that WHAT GOES AROUND COMES AROUND.
@marcodominico9503
@marcodominico9503 7 лет назад
Kukosa " infallibility " ndo kunawaletea matatizo haya yote.
@macharosandra9467
@macharosandra9467 2 года назад
Viongoz wetu wa Dini mnatuaibisha, mnamuaibisha kristo Yesu, kwa kutamani madaraka kuliko Utume /wito, ww kama Askofu ungekuwa na busara isingekuwa vyema kutaja Kutaja watu kama Ndio chanzo, malizeni migogoro yenu kwa vikao vya ndani ,kuliko kuja kujianika mbele ya waandishi, waumini tunakosa Imani kwenu.
@stevenhinjo9664
@stevenhinjo9664 6 лет назад
duuh hadi maaskari kwani we jambazi hakika inatia aibu sana pole sana askofu
@KADALAtv255
@KADALAtv255 6 лет назад
Aibu mno
@mbokaandbahatitv8509
@mbokaandbahatitv8509 7 лет назад
Ahsante sana Ayo TV nakwakubali
@swagabeat2449
@swagabeat2449 7 лет назад
ningependa kuona mkiacha tofauti zenu
@yusuphjkitiku5232
@yusuphjkitiku5232 2 года назад
Swali kwamba huduma za kiimani inatoka Kwa Mungu au mwanadamu au chuo tunatakiwa kujifunza apo tuelewe ili mgogoro uishe
@amosmchiwa3762
@amosmchiwa3762 7 лет назад
Mungu anakuona ukweli unao mwenyewe
@yusuphjkitiku5232
@yusuphjkitiku5232 2 года назад
Tujifunze habari za Yona tutaona kwamba usifanye kitu ambacho Mungu hajakuagiza ndio maana tunateseka ktk huduma ,tumeagizwa ktk maarfa na hekima na sio kusoma tu
@ERICKPM2000
@ERICKPM2000 7 лет назад
Inasikitisha sana mambo haya kutokea kanisani. of all places!? God help us
@madingemadingemadinge5304
@madingemadingemadinge5304 2 года назад
Soma biblia nayo itakuonesha mahali salama ambapo ni sabato ya bwana mungu wako
@Pihansmo
@Pihansmo 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mdindaoscar948
@mdindaoscar948 7 лет назад
Mungu uko pamoja nanyi...
@zakayomtweve684
@zakayomtweve684 5 лет назад
Du
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 6 лет назад
Katika makanisa yetu bado tuna kazi kubwa na Mimi nashangaa nyie maaskofu mnapata muda wapi wa kuhangaika na vibanzi vya Serikali Wakati maboriti yenu mnayapa migongo. Mungu hapendi unafiki.
@cmsa1r
@cmsa1r 7 лет назад
Hizi imani jamani. Mnazika makanisani? Mnasoma kweli neno la Mungu?
@aulamongi2020
@aulamongi2020 2 года назад
Watakao Umia ni Waumini Wengi hawana pa kwenda wamekuja kupata faraja maisha Magumu Nyie huku Juu mnagombania Madaraka
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 2 года назад
Mimi ni angilikana..lkn hii sijaona.. imeharibu hekalu la mungu..tubuni
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 лет назад
viongozi tudumishe upendo
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Год назад
Chimeledya hakuwa na busara hata kama alitumwa na dola alipaswa liunganisha kanisa sio kuligawa,na kumpa ibilisi nafasi
@pendokatonge3926
@pendokatonge3926 Год назад
Kwanza huduma tunapewa na Mungu sasa mtu anawezaje kusema kwamba anakufutia huduma.
@ymusic803
@ymusic803 2 года назад
Sasa askofu una solve ama unapalia makaa kaeni mezani muweke mambo sawa kila mtu akianza kunyoshea mwenzie kidole hamtafika
@francismsemwa7288
@francismsemwa7288 Год назад
Ukiapishwa yapaswa kufuta taratibu.
@Pihansmo
@Pihansmo 2 года назад
Enendeni kwa roho
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 года назад
Angilikhana mna Padre!!? au mimi sijaelewa jamani?
@peterbujimu2749
@peterbujimu2749 2 года назад
angalikana mna nn jamani kila siku matatizo
@evaristtarimo7529
@evaristtarimo7529 7 лет назад
Jangalason
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 7 лет назад
ni mara ya kwanza kuona kanisa lina mgogoro nimezoea kuona magomvi ktk miskiti yetu
@oscarngowi5578
@oscarngowi5578 6 лет назад
sasa unakataa kuitii mamlaka ya bosi wako askofu mkuu amekuondoa kazini wewe utani kiungwana ungeachia madaraka . kukataa kwako unachochea mgogoro
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 года назад
@@oscarngowi5578 Nyakati za kujipenda Nyakati za ukaidi Nyakati za kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu jmn tafakarini Kuna wakristo ikimaanisha wafuasi WA Yesu Yani wanaomtii Yesu .Kuna wafuasi WA msalaba,Kuna wafuasi wakutafuta kumpinga Yesu ,Kuna wataka mikate, Kuna wataka uponyaji
@luciansanga5195
@luciansanga5195 2 года назад
Shetani yupo kazini
@sebastianngimba4850
@sebastianngimba4850 6 лет назад
ok ok ok ok palamagamba
@georgebongi4844
@georgebongi4844 3 года назад
Askof. Yaache yamee pamoja iko siku na siku iko magugu na ngano kila kimoja kitakuwa dhahiri. Naamini Mungu atalivusha kanisa katika kipindi hiki
@bapesampendwa671
@bapesampendwa671 2 года назад
Muda umefikaa turudiii enzi zetu, makinisaa yotee yapotee
@paulomartin5715
@paulomartin5715 2 года назад
dini saizi ni diri ni pesatu wanafi
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 2 года назад
.
@sagayefamily5149
@sagayefamily5149 3 года назад
Hili ni miongoni mwa makanisa kongwe,,,,,, na ni kanisa linaloongoza kwa umasikini, kuanzia wanaoliongoza hadi wanaoongozwa,,,,,, wamekalia ufisadi haramu,,,, buza Yote wamegawana na bado waliogawana ni masikini
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 2 года назад
Wewe kanisa lako lipi Hilo liliotajiri? Huko kwenu ndo mnafundishwa hvyo? jielewe wakristo hatupo hvyo
@khamismohd8616
@khamismohd8616 4 года назад
Nenda uko hunalolote mwanga ww
@noelbernard6390
@noelbernard6390 2 года назад
Wewe utakuwa mchawi
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 года назад
Kwahiyo anayoyaeleza ni uongo? au wewe ni mmoja wa timu askofu mkuu? kaa chini uombe sio kukaa unatoa Lugha chafu kwa mtu.au tueleze ukweli tatizo ni nini? yawezekana wewe ukawa unaujua ukweli wa mgogoro huu..
@upendomdemu4511
@upendomdemu4511 2 года назад
Nyie maasikofu hamsomi nani wapi baba wafamilia anatolewa na kuletwa baba mwiñgine acheni mambo hayo
@Pihansmo
@Pihansmo 2 года назад
Mwanga Tena!!!!!!!🤣🤣🤣🤣
Далее
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Просмотров 8 млн
🧙‍♀️☃️💥 #ice #icequeen #winter
00:14
Просмотров 44 тыс.
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
Historia ya Kanisa la Anglican Mkunazini
8:37
Просмотров 1,7 тыс.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Просмотров 8 млн