Тёмный

ASKOFU MTOKAMBALI ALIVYOSHUHUDIA UJENZI KANISA LA TAG, MIL 840 KUTUMIKA ACHANGIA MIL10, DC ATIA NENO 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 2,4 тыс.
50% 1

ASKOFU MTOKAMBALI ALIVYOSHUHUDIA UJENZI KANISA LA TAG, MIL 840 KUTUMIKA ACHANGIA MIL10, DC ATIA NENO
Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Erasto Sima amewataka wananchi wilayani humo kuacha wivu wa kimapenzi na vitendo vya ushirika badala yake wamurudie Mungu ili kupunguza vitendo vya mahuaji wilaya humo na mkoa kwa ujumla.
Sima amesema hayo wakt akiongea na waumini wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Migera lililopo manispaa ya Bukoba katika Ibada maalumu ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kanisa hilo iliyongozwa na Askofu mkuu wa TAG Tanzania Dkt, Barnabas Mtokambali.
Naye Askofu Dkt. Barnabas wakati akitoa tasimini ya ujenzi wa kanisa hilo kwa wahumini amesema kuwa kanisa hilo litaghalimu kiasi cha shilingi zaid ya milioni 835 ambapo amechangia milioni 10 wakati wa uchangia wa ujenzi wa kanisa hilo ili liweze kukamilika
Aidha, amewataka waumini wa kanisa hilo kuendelea kujitoa kwa michango mbalimbali ili kanisa hilo liweze kukamilika kwa mda uliopagwa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
Далее
# BADILISHENI IBADA ZENU MAKANISANI-ASKOFU
46:35
Просмотров 17 тыс.
#MOROGORO# KANISA LA ASKOFU MKUU DR.REV.B.MTOKAMBALI
23:27
TAZAMA WACHUNGAJI WALIO ZALIWA NA HUDUMA YA TITUS MKAMA
23:35