Тёмный
No video :(

ASKOFU MWAMALANGA AIVAA NEC NA VYAMA JUU YA POLISI "HAMUWASHIRIKISHI/WANATOROSHA KURA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 307 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

ASKOFU MWAMALANGA AIVAA NEC NA VYAMA JUU YA POLISI "HAMUWASHIRIKISHI/WANATOROSHA KURA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

5 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@salihinashamaghana513
@salihinashamaghana513 2 месяца назад
Baba askofu Mwamalanga Mungu akupe maisha marefu ,
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 месяца назад
⁸Asante na hongera askofu kwa kuongea ukweli.
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 2 месяца назад
Safi sana watumishi wa Mungu,ccm wamezidi kwa wizi wakura watakuja kuharibu amani ya nchi
@ElishaOisso
@ElishaOisso 2 месяца назад
Good advice
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 2 месяца назад
Polisi uwa wanapewa maelekezo na serikali kuhakikisha ccm inashinda, ndio maana wanabeba masanduku ya kura na kukimbia nayo.
@MayalakusekwaNkwabi
@MayalakusekwaNkwabi 2 месяца назад
Viongozi wakubwa wa Dini acheni UNAFIKI semeni Ukweli KATIBA ni mbovu inamfanya Rais kuwa Mungu mtu CCM wanatumia polisi,Jeshi na usalama kuiba masanduku ya kura .
@LemaRapoi-np2gs
@LemaRapoi-np2gs 2 месяца назад
Mungu akupe maaisha marefu mchungaji emungu tuletee watu kamahawa kwenye uongozi wataifaletu
@nelsonmwavipa9761
@nelsonmwavipa9761 2 месяца назад
Mimi nakuelewa vizuri sana mtumishi wa mungu.
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Askofu Mwambalang,uwa na kuelewa sana,viongozi wa dini mnaojitambua lisimamieni ukweli na haki,kila mwenyemamlaka aogope kwenye nafasi yake kuharibu uchaguzi,aogope kuliangamiza taifa,watanzania tunapenda haki.
@jeitangogo-rf8uf
@jeitangogo-rf8uf 2 месяца назад
Amina baba asikofu sena kweli🎉🎉🎉
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 месяца назад
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@Dagerboy97
@Dagerboy97 2 месяца назад
usidanganyike ogopa kuone neno uhuru halikupaswa kuandikwaaa likiandikwa madhara yake ni makubwa sanaaaa uhuru ni wajibu
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 2 месяца назад
Mwenda zake kumbe alitoa maelekeza ya kuhalibu kwenye taifa hili maana%kubwa wanalalamika Sana watawala jifunzeni mnatengeneza sumu kwa Wana nchi simameni kwanyenafasi zenu askari mnaingiliwa msibebe raana isiyo yakwenu
@stevensteve7519
@stevensteve7519 2 месяца назад
Kila siku tunawaombea viongozi watuongoze kwa haki na kweli. Viongozi wanaojipatia nafasi za uongozi kwa njia zisizohalali Mungu atawapiga hatawaacha kamwe.
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 месяца назад
Hawa wanaoharibu uchaguzi ni sawa mtu anaendesha mutumbwi anaporundika mzigo upande Moja ukizima watu waliomo huzama kwahiyo hatamunaoiba hamutakuwa salama sote tutaitwa wakimbizi
@IssakaKamala
@IssakaKamala 2 месяца назад
Viongozi wa dini wasimamie uchaguz bilashaka matatizo yataisha .
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 месяца назад
ASKARI ANAKUWA ANASABABISHIWA UADUUI WA WANANCHI😢😢
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 месяца назад
Safari hii uchaguzi ni mgumu sana. Haki itendeke.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 месяца назад
KATIBA MPYA MBONA HUJAGUSIA MWESHIMIWA ASKOFU4
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q 2 месяца назад
Binadamu asiye mwaminifu hutafuta maneno matamu kama TBC ukweli na uhakika ( Tuma huru ya uchaguzi kuna maneno haha ya kitaperi ukweli ) na Huru pia
@williammwamalanga1065
@williammwamalanga1065 2 месяца назад
Fuatilia inafuata nawashukuru kwa kufuatilia
@user-rt3nt1lj7n
@user-rt3nt1lj7n 2 месяца назад
Safisana.ubalikiwe
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 2 месяца назад
Vurugu ni za CCM.bado Wana CCM anasema upinzani wanavuruga. Chama tawala muogopeni mungu. Na ndio maana Leo viongozi wa Chama tawala mungu anawapa adhabu. Mnaanza kulawiti. Mara kumuingiza kijana chupa kinyume na maadali. Mungu hapendi watu wake wateseke
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 месяца назад
polisi mkoa wa Dar es salaam walikuwa busy usiku wakisambaza masanduku yakiwa na kura na hata wale waliokamatwa na vitita vya kura kwy mabegi hakuna aliyechukuliwa hatua hata mmoja
@petroalfred5108
@petroalfred5108 2 месяца назад
Hawa ndio viongozi wa dini sasa sio wale wanaopishana milangoni kwa wanasiasa kujipendekeza
@melch3097
@melch3097 2 месяца назад
Viongozi mlijisahau, sasa mmeamka, tunashukiru kwa hilo,
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 2 месяца назад
Ni kweli police ndio wavuluga Amani. Kwanini police wanawasikiliza Wana CCM peke yake? Wala sio tume huru. Tunadanganywa. Kama time huru kweli. Tamisemi wasisimie uchaguzi. Tasisi ya dini isimamii uchaguzi. Maneno Yao kusema boresheni daftari la wapiga kura. Kila mwanaichi anahaki. Hakuna haki yeyote.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 месяца назад
Baba Askofu tumeona rushwa zikianza kutolewa kila mahali bahasha,bahasha hata katika baadhi ya nyumba za ibada!, pikipiki zenye alama ya SSH mia 700 kila mkoa!, kampeni za kutatua matatizo ya wananchi yaliyosababishwa na wao wenyewe, nk sijui vyama wataanzia wapi kuialika polisi kuwaambia wanataka uchaguzi huru wakati kuna maelekezo watapewa kutoka juu na mdau wa uchaguzi ambaye ndiye mteule wa IGP?!
@allymusira2153
@allymusira2153 2 месяца назад
Mbona hamkuongea wakati magufuli yupo hai? Huo ni unafiki
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 месяца назад
Baba mchungaji, kumbuka kuwa polisi wanaagizwa tu kufanya hayo wanayoyafanya, sio kwamba huwa wanajiamulia wenyewe kuharibu uchaguzi.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 месяца назад
Kweli, polisi wanapokea, kutii na kutekeleza maagizo yanayosababisha chuki na lawama za wananchi kwa askari polisi wetu.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 месяца назад
UCHAGUZI WA 2019 NA 2020 CHAGUZI ZILE ZILIKUWA NI ZA KIJAMBAZI KABISA UJAMBAZI WA AIBU DUNIANI!!!
@reginas1832
@reginas1832 2 месяца назад
Wanatakiwa watumie akili waliyopewa na Mungu.​@@FrankMwakatundu-cu6bd
@anosiata8242
@anosiata8242 2 месяца назад
Party too please
@eliaskitundu7377
@eliaskitundu7377 2 месяца назад
Tunaomba
Далее