Тёмный

WEWE KIJANA UMEMDANGANYA RC MAKONDA TAFUTA KAZI YA KUFANYA MWENZAKO NISHA MUACHISHA KAZI 

Adil TV
Подписаться 164 тыс.
Просмотров 138 тыс.
50% 1

#AdilTV

Опубликовано:

 

9 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 220   
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p 13 дней назад
Mimi ni mkenya lakini napenda Tanzania vile Viongozi wanafanyia Raiya❤❤
@japhetfisha6299
@japhetfisha6299 20 дней назад
Makonda ni kichwa. Critical Thinker, questioning skills, composure, thoroughness 100%. Mungu akulinde Mh. Paul Christian Makonda
@baloz8974
@baloz8974 17 дней назад
That's call leadership
@user-jm6dr3hd1y
@user-jm6dr3hd1y 19 дней назад
Niseme ukweri Mimi sikuwahi kumuanga mkono makonda lakini kuazis Sasa Mimi nimekuelewa mungu akuongezee maisha marefu kaka etu Asante makonda
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo 17 дней назад
Chapa kazi mheshimiwa makonda mungu akulinde
@user-it1bo7rs9v
@user-it1bo7rs9v 15 дней назад
Magufuli amekuja kwa muundo wa makonda glory be to God ❤
@babarungurallyteam2754
@babarungurallyteam2754 19 дней назад
Kakayangu MAKONDA MWENYEZI MUNGU AKUPE UMRI MKUBWA 🙏🇹🇿
@songeza
@songeza 19 дней назад
Yaani kweli kabsa anatakiwa kuwa Rais wa Nchi hii Mungu amlinde ampe maisha marefu
@songeza
@songeza 19 дней назад
Makonda we akili ulipata wapi ya majibu ya papo Kwa papo hongera mwanangu dah Mungu akuzidishie
@TatuRajabu-cz6jz
@TatuRajabu-cz6jz 10 дней назад
Kama magufuli jamanii
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s День назад
Aluomba hekima
@ramadhanihot1945
@ramadhanihot1945 18 дней назад
Hivi uyu makonda kwanini asiwehee RAISI TU mbona anatufahaa kabisa kuwa raisi wetu magufuli kila kitu uyuu jamaa
@jeraldjensen6504
@jeraldjensen6504 11 дней назад
Umeona
@greenermichael2057
@greenermichael2057 19 дней назад
Ooooh magufuli wenu kakufa ,kwan hamumuoni si huyu hapa ❤❤❤❤
@wycliffeombogo8953
@wycliffeombogo8953 7 дней назад
Wewe makonda anafaa kua rahizi wa mungano wa TZ umalishe kazi ya pombe magafuli
@rosesilio9008
@rosesilio9008 20 дней назад
Huyu makonda agombee uraisi tumchagueni jamani mbona anatutetea sana watu wa hali ya chini 🙏
@TatuRajabu-cz6jz
@TatuRajabu-cz6jz 10 дней назад
Anafanya Kaz,lakni tatzo huwa kunakiwaga na shida,chema huwa kinalindwa Kwa njia nyingi,mtihani
@ramamtangi7776
@ramamtangi7776 19 дней назад
Mungu amtangulie Makonda mtetezi wa wanyonge
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 20 дней назад
Kuna siku makonda atakua raisi wa nchi hii allah amuweke ampe maisha marefu inshaallah
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 19 дней назад
Bora kuliko Punguani Tundu Lisu alishaolewa Belgium ila bado Talaka yake hakuweka Sahihi
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 19 дней назад
​@@machintangachibwena5922Yani umenichekesha atar kwel uyu lisu sinawah kumpenda namchukia atari
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 18 дней назад
Na iwe kama ulivyosema
@greenermichael2057
@greenermichael2057 19 дней назад
Asante Mungu umeturudishia Magufuli wetu
@JimmyCosmas-cl2kh
@JimmyCosmas-cl2kh 19 дней назад
Mungu akulinde bro kipenz chaaa watanzania
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 19 дней назад
Tz Tz roho ya Magu.imemuingia.makonda.tumuombeeee.
@ElitulizaMinja
@ElitulizaMinja 18 дней назад
Mzee makonda anapita mule mule kwa mwendazake matunda yake hakika mungu akulinde kwa mema unayoyatenda
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 20 дней назад
Nijambo zuri sana ukiwa kiongozi wa wananchi ukawa mtenda haki maama huo niuzalendo katika Nchi yako, na MUNGU atakubariki sana Hapo Makonda umewajibika vizuri sana'👏👏👏
@frankaron783
@frankaron783 20 дней назад
Hujaamua tu kugombea uraisi lkn ukigombea mpaka chadema watakupigia kura maana katikati ya hao unaowasaidia nawao wamo mkuu. Mungu akubariki mnooooooooo
@user-ve1rr3gz5d
@user-ve1rr3gz5d 19 дней назад
Jaman mungu amusimie huyu kiongoz wasimuue
@elishakimariyo4983
@elishakimariyo4983 20 дней назад
Baba wa taifa nakupenda sana makonda
@RoseTimilai
@RoseTimilai 18 дней назад
Ubarikiwe
@user-nn3xt4rj3x
@user-nn3xt4rj3x 18 дней назад
Allah akuongoze
@AishayoutubeMoosa-zn1co
@AishayoutubeMoosa-zn1co 20 дней назад
Jaman Makonda hongera sanaa sanaa sanaa
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 20 дней назад
Kwa mujibu wa maelezo yake kabla ya makonda hakua na haki huyu mama ila kwasasa baada ya makonda anahaki. Huu ni udhaifu mkubwa wa baadhi ya watumishi Katika wizara ya ardhi.
@strongwomanwithnoregret8234
@strongwomanwithnoregret8234 18 дней назад
Nampenda makonda ako kama makufuli
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 20 дней назад
Piga spana makonda wewe ndio una viatu vya magufuli..mkubwa mungu akulinde
@sifueliduwe5982
@sifueliduwe5982 18 дней назад
Kaka Makonda Mungu akubariki akupe hekima kama Sulemani asante
@shahidalialibhai794
@shahidalialibhai794 17 дней назад
Mungu akujalie mh makonda
@mathewlive1372
@mathewlive1372 19 дней назад
Makonda upo vizuri. Mim nakukubal mwanzo mwisho.
@BensonMazinga
@BensonMazinga 19 дней назад
Mm nipo Malawi ila namkubal sana uyu jama
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 20 дней назад
Mungu akusaidie makonda❤
@MalikioryBajuta-pb9ym
@MalikioryBajuta-pb9ym 18 дней назад
Uk vzr piga kaz
@user-zf2hh4zq2j
@user-zf2hh4zq2j 19 дней назад
Rais wetu nakupenda sana makonda
@stanslauslugendo31
@stanslauslugendo31 20 дней назад
Paulo bhana!🌹🌹🌹 Mungu aendelee kukutunza!
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 17 дней назад
Mm nampenda sana saaaaaana makonda mama umewapendelea sana kuwapa mkuu wa mkoa sahihi vip hawa wengine
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 20 дней назад
Nime penda sanaa tupate wengine watatu wahivi 😍😍😍
@myk6519
@myk6519 18 дней назад
Very sober and critical questions from RC
@user-bf1jd9nl3v
@user-bf1jd9nl3v 19 дней назад
Makonda nakubali sana kumbe hata pale Dar ulikuwa hubahatishi,ndio nimeamin Leo uongoz upo ndani ya damu.
@mohamedmngoya-lk3np
@mohamedmngoya-lk3np 17 дней назад
Hongera mkuu wa mkoa Paulo makonda.piga KAZI.
@user-vp2ux1ji4m
@user-vp2ux1ji4m 19 дней назад
Ee hii sasa ni 2024 makonda mungu we nawe siku zote
@TUKUSUMAKASAMBO
@TUKUSUMAKASAMBO 17 дней назад
Mungu akusaidie sijawah kukoment Ila wew baba unafaa na unahofu na unyenyekevu wa mungu
@lebahatilembris2390
@lebahatilembris2390 4 дня назад
Nampenda sana Mkuu wetu wa mkoa Po Makonda MUNGU akulinde sikuzote,,..
@antonbkatembo5029
@antonbkatembo5029 19 дней назад
Awe kiongozi wa Wakuu wote wa mikoa Nchi itaheshamika mnoo
@mussaharun7257
@mussaharun7257 13 дней назад
Waziri Tamisemi
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 19 дней назад
Mmoja kati ya waliokuwa wanababatiza kuamini utendaji wako,lakini kwa hapo Ar,wewe ni chuma.Go on bro.
@RebeccaMuhimba-be1pj
@RebeccaMuhimba-be1pj 16 дней назад
baba mi nitakupa kura omba urais
@nathanfrancisondieki6586
@nathanfrancisondieki6586 16 дней назад
Good speech Hon makonda
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 19 дней назад
Asiwepo wakusimama mbele.ya makonda awasaidie watanzania
@Yusra728
@Yusra728 18 дней назад
Wawoooh! Jembe letu hilo, makonda wewe ni kama magufuli no. 2 Mwenyezi Mungu awe pamoja na wewe
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 19 дней назад
KAZI njema makonda❤❤❤
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 19 дней назад
Mdudu katambaa na Makonda hadi Karatu😢
@ceankiiza9945
@ceankiiza9945 12 дней назад
Mungu Akuongoze Zaid Kaka ifike Mahala na URAISI tukupatie uinyoshe hii nchi aisee tumechoka kiukwel haki aipatikan kwa mnyonge
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 19 дней назад
Makonda toa majib,,usiulize wananchi majib
@husseineliasa452
@husseineliasa452 16 дней назад
Huyu kiongozi ni mzuri sana wana arusha mmepata mtu sahihi
@EmanuelKabea
@EmanuelKabea 19 дней назад
Naiona nchi ya ahadi hiyooooooooo !!!!! asanteeee mungu zid kutuongezea watu kama huyu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 19 дней назад
Watu w ardhi hua n waungu mtu,hukumu gan ww Mungu akuadhibu
@HenryHabeli-iy5dv
@HenryHabeli-iy5dv 18 дней назад
Mtetezi wa wanyonge piga kazi na mungu atakutangulia
@prospermuhindo
@prospermuhindo 20 дней назад
Ok Faya kazi makode
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 19 дней назад
Hii operation ni FICHUA MAOVU. Na inasaidia sanaaaaaa. IENDELEEEE
@mupinimulila1762
@mupinimulila1762 18 дней назад
Kabisa ndugu .
@user-hb6sg1sh1z
@user-hb6sg1sh1z 11 дней назад
Bom trabalho Mozambique kazi njema
@africanpesa3365
@africanpesa3365 15 дней назад
Mkuu mh makonda kujitoa sadaka nijambo jema je? Wantanzania wezangu makonda Akikabwa tutaungana au tutamukimbia kazi anaitenda kisawsawa natamanisana angalau hawa viongozi wengine angalau wakae wafikili akili anazo zitumia amelisi kwanani mwenyezi mungu akulinde kujitoa sadaka kunahitaji moyo ❤❤❤❤❤❤
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 17 дней назад
Safi sana kaka mm naomba kuonana na makonda
@HurumaAntony
@HurumaAntony 20 дней назад
Raise wetu
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 20 дней назад
Mungu Akupe Jana Makonda kipenzi chetu jamani nakupenda bure kwa kutenda haki Mungu akubarik Sana hutaki mchezo
@RebeccaMuhimba-be1pj
@RebeccaMuhimba-be1pj 16 дней назад
makonda😂😂😂😂 shikamoo nakupenda sana baba angu upo sawa kabisa yaana lazima nikuoe kura ya urais
@greenermichael2057
@greenermichael2057 19 дней назад
Makonda gombea urais hata leo
@StephenMbugua-el9hy
@StephenMbugua-el9hy 10 дней назад
Wow great work ♥️🇹🇿❤🇰🇪
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j 20 дней назад
Naimani ata mimi mjane ipo siku nitapata haki yangu kwa jina la Yesu . Mungu mlinde makonda
@SaNFamily274
@SaNFamily274 19 дней назад
Nakubali makonda❤❤❤❤❤❤❤🎉
@BrayStephano
@BrayStephano 6 дней назад
Makonda noma sana namkubali yuko kwenye haki san bigap my brother
@nathanfrancisondieki6586
@nathanfrancisondieki6586 11 дней назад
Makonda for next president of Tanzania
@jeraldjensen6504
@jeraldjensen6504 11 дней назад
Du!!!!! Sjui huyu kasoma shule gan, MUNGU amtunze kwaajili ya vizazi
@eddykatamba1008
@eddykatamba1008 18 дней назад
safi sana mkuuu ikulu yako jaribu tu kugombee chadema wote watakupigia kura mpaka utashangaaa!!!
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 19 дней назад
Nimemwona kinyonyo hapo
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 20 дней назад
HAWA VIONGOZI WENGINE AWAZIONI SUPANA WANAZOPIGWA VIONGOZI WENZAO MATAPELI😂KAZA SUPANA MAKUFULI JUNIOR 😂😂
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 17 дней назад
Mwenyez mungu akusimamie popote pale uendapo makonda
@user-ei3rf1qb2z
@user-ei3rf1qb2z 4 дня назад
MUNGU KIPE IKI KICHWA MAMLAKA YA KULIONGOZA ILI TAIFA.
@sebastiangabriely3279
@sebastiangabriely3279 19 дней назад
Bro umeenea...wish uje kuwa kiongozi mkubwa Tanzania hiii
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 17 дней назад
Mm nampenda sana saaaaaana makonda
@DanielMwamengele
@DanielMwamengele 10 дней назад
Makonda mungu aenderee kukutunzaa
@IreneLeonard-rl3jq
@IreneLeonard-rl3jq 19 дней назад
lakin kuwa makin usje ukapewa sumu
@saidimgawe6548
@saidimgawe6548 19 дней назад
Makonda 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Arsenal002
@Arsenal002 17 дней назад
Hii Chanel ya nchi gani taarifa ya mwezi uliopita unapost leo
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 16 дней назад
Mungu azidi kukupa ulinzi na afya njema bwana Makonda syo kwamba kila mtu anapenda maendeleo!!, ndo maana hata kwa Magu walifanya yao mapema.
@JuliasiSatoti
@JuliasiSatoti 18 дней назад
Mungu atakusahidiya m
@user-tc5vt1om5t
@user-tc5vt1om5t 19 дней назад
Nawaona mpaka wadudu hapo
@luganouswege628
@luganouswege628 20 дней назад
Makonda fanya kazi ya mungu
@billmkushi849
@billmkushi849 20 дней назад
Huyu Dissmas Mungu atawamaliza kama hamtatubu!!!
@user-zf2hh4zq2j
@user-zf2hh4zq2j 19 дней назад
Makonda dah❤❤
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 20 дней назад
Makonda ni mtu wa wanyonge jmn ww mama wacha kumsumbua uyu plz
@dondallas6683
@dondallas6683 7 дней назад
Makonda ww mkali snaa
@husseineliasa452
@husseineliasa452 16 дней назад
Hali mashauli hizi zinashida sana tunatamani kupata vikngozi kama hawa wanaojari laia wao
@user-xf4qs5ti5m
@user-xf4qs5ti5m 20 дней назад
Kweli makonda huyu,,wanamawili tu haki ipatikane au watafute pakula😂😂😂😂
@MickyAbuyq
@MickyAbuyq 10 дней назад
Makonda kama magufuli mwakani anatakiwa kuwa raisi anaweza kuongoza nchi vizur sanaaa. Mungu ambarikii
@rosesilio9008
@rosesilio9008 20 дней назад
Ila jamani viongozi tunaowapata na tunaowachagua baadhi yao ni matapeli wadhulumati na wizi juu tuangalieni jamani eneo ni lako halafu unashtakiwa
@SimoniAlex-iy3fs
@SimoniAlex-iy3fs 19 дней назад
Hongera sana kiongoz chapakazi baba
@SimoniAlex-iy3fs
@SimoniAlex-iy3fs 17 дней назад
Mungu akulinde tuna kuku mbuka daresalaam
@anorderick7162
@anorderick7162 9 дней назад
❤❤ Kaka Una uwezo mkuu wa akili sana... akika na Roho wa Mungu anakusaidia kukuongoza maana upeo wako Ni mkuu sana
@user-bf1jd9nl3v
@user-bf1jd9nl3v 19 дней назад
Makoonda Oyeeeeeeeeeeee.......
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 15 дней назад
❤❤❤❤❤RC makonda
@greenermichael2057
@greenermichael2057 19 дней назад
Nyendo za Magufuli tunaziona ndani yako Makonda gombea urais
@stellasheba842
@stellasheba842 19 дней назад
Gombea gombea urais.
@louxonmedia
@louxonmedia 12 дней назад
Ngole kachana nyavu
Далее