Тёмный

AZIZA ALIPWA MIL 100 NA STEVE MWEUSI BAADA YA KUIGIZA KAMA KICHAA, MAMA YANGU KICHAA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 170 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 316   
@alfredkasololo5242
@alfredkasololo5242 11 месяцев назад
Nafwata manzungumuzo yak hapa kutoka hapa Montréal, Québec. Dada Aziza ! Unacheza kipindi ya "Mama Kichaa" vizuri sana. Na kijana huyo Sele. Hongera sana kwako !🙏Unajuwa kazi yako ya comédie, dada murangi. 👍🇨🇩
@KautharMohamed-kj5zc
@KautharMohamed-kj5zc 11 месяцев назад
Kajua jaman mashaallah niliipenda sana hongera Aziza❤
@franciskioko6043
@franciskioko6043 11 месяцев назад
Mimi ni mkenya bt kusema kweli uyu dem nimemwamini na ako na true talent ,aziza keep up ,na nakupenda sna❤❤❤❤
@aminapili2978
@aminapili2978 10 месяцев назад
Aziza wallah nakupenda kwa maneno yko wanawake wakuongeza viungo wallah watajib lip kesho mbele ya allah
@GloriasimaoJonas-ih1mq
@GloriasimaoJonas-ih1mq 11 месяцев назад
Wakwanza mimi leo nipeni likes zangu kama unankubali team Steve
@kladahmad3333
@kladahmad3333 11 месяцев назад
Iyo nikweli kbs dada aziza wetu❤❤❤
@mercyjohn5490
@mercyjohn5490 11 месяцев назад
You are Soo talented Mama kichaa keep it up 👍
@AnnahBushuru
@AnnahBushuru 11 месяцев назад
Aziza tosha hapo kwa kichaa
@TwahaNgelekele-tk9pi
@TwahaNgelekele-tk9pi 10 месяцев назад
Sikupingi mwangu San Steve mweusi 😅😅😅😅😅😅😅😅
@DaudiRichard-s8n
@DaudiRichard-s8n 10 месяцев назад
Nimekufatiria sana nakukubari sana kaka Steve mweusi hogera hapo nipe nafasi tufanye kazi mie na w w nimezariwa 2002
@AntunesTome-t3t
@AntunesTome-t3t 10 месяцев назад
Aziza nakupeda sana uwe wangu wamaisha nataka nikwamishe nikulete sumbinji ❤❤❤
@محمدالعطوي-ش5ه
@محمدالعطوي-ش5ه 11 месяцев назад
Glory to god mamaa and big up❤❤love you from kenya🇰🇪
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 11 месяцев назад
Aisee❤,nimekupenda bite mama kichaa""
@bilid4128
@bilid4128 11 месяцев назад
Good Aziza 🎉 ....Una Akili kubwa sana ❤❤❤
@bukiwatzarakey5084
@bukiwatzarakey5084 11 месяцев назад
Wanao kucheka nikama machizi tu awajuwi unacho kipata Kwenye comedy zako jikaze dada yangu ❤❤
@GabrielSadiki-t8f
@GabrielSadiki-t8f 13 дней назад
Je vous encourage mes frères et sœurs j'espère qu'un jour je serais là
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 11 месяцев назад
Lazm Apew Haki Yake Coz Kafany Kaz Ya Mahan Congratulation Kwake Aziza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aminaomary5567
@aminaomary5567 9 месяцев назад
Ongera sana Aziza,umefanya kazi nzxuri sana❤❤❤👍👍
@jacklinenoballa8946
@jacklinenoballa8946 11 месяцев назад
Wakwanza from kenya mnipe like zangu na mm
@favourfuraha
@favourfuraha 10 месяцев назад
I lovee the way she acted that story... Such a great actress.... Alikua mrembo hata akiwa "kichaa"....
@RuhuneKabose
@RuhuneKabose 5 месяцев назад
Steve Unajuwacheza Akunakamaweye Mwanaumemweanajuwa Chenzakamaweye Unajuwa Steve❤❤❤❤kuchenzasana
@therealhajrah0398
@therealhajrah0398 11 месяцев назад
She is so beautiful always ❤❤ aziza nakupenda ❤❤❤
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 11 месяцев назад
Felicitation Aziza tu as bien jouée ma chère. Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 11 месяцев назад
Sasa kWa kifrench atakuelewaje
@yustina4621
@yustina4621 11 месяцев назад
Daaah yaani Dada aziza umeongea Pwent timiza malengo kwanza jenga kwenu kwanza kuolewa baadae❤❤
@edgercyprian964
@edgercyprian964 11 месяцев назад
Wala wasikuvunje moyo Aziza umejitahidi sana naimani utafika mbali best hongera
@habibasungur9375
@habibasungur9375 11 месяцев назад
😢😢😮😢aisee ndugu yangu hata mimi nikiangaliaga hua nalia sana navaa kiatu chako nikiangalia wanangu daaah wee acha tuu
@moseratemo7181
@moseratemo7181 10 месяцев назад
I like your comedy, William moses from Kenya 🇰🇪
@Amena-z5r
@Amena-z5r 11 месяцев назад
Azizi love tupe mama yangu kichaa tume miss sna 😢😢😢❤❤❤
@vestinedusabe4285
@vestinedusabe4285 11 месяцев назад
Ishaisha et fatilia uone kashapona
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 11 месяцев назад
Ongera sana bint umeuvaa uhalisia vilivo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@CharlesMs25Daghaly
@CharlesMs25Daghaly 3 месяца назад
St mweus na jopo lak wanaweza wote ❤❤❤❤
@euniceumazi5143
@euniceumazi5143 11 месяцев назад
Hongera kichaa wetu❤❤❤❤ from kenya
@raidantheafricano7118
@raidantheafricano7118 10 месяцев назад
Tafta mtu anaekupenda ww siyo umpende wew! Nmeipenda hiyo ( like kama na ww umeipenda)
@clairelusare830
@clairelusare830 9 месяцев назад
Aziza mm nakutia nguvu endelea hivyo juu unajunjangamusha🎉
@LovenessSarakikya
@LovenessSarakikya 4 месяца назад
Hongera San jmn dada nimefrah San umeigiza vzur san jmn 🙏👏 👏👏👏
@DaudiRioba
@DaudiRioba 10 месяцев назад
dada nakupenda sana ningekua naukaribu naww ningetoka naww kimapenzi
@KwizeraEnock-ny1by
@KwizeraEnock-ny1by 11 месяцев назад
Aziza nakupenda sana yaani sauti yako sura yako nahisi na tabia
@RuhuneKabose
@RuhuneKabose 5 месяцев назад
Steve Miminimukogomani Napendagisiunachezaka Sanakomedizako Rafikiyangu Steve
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 11 месяцев назад
Msichana huyu Aziza anafanana sana na mpenzi wangu Jessica, ni mrembo kama Jessica wangu.🇨🇩
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 11 месяцев назад
Masha a Allah hongera sana
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 11 месяцев назад
Ndo yeye😂😂
@_Wayiva_mukuta_jean
@_Wayiva_mukuta_jean 11 месяцев назад
@@PhyinaElias-mu4wf apana wana fanana tu.
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 11 месяцев назад
@@_Wayiva_mukuta_jean Niyeye 😂😂😂
@rajabushedafa6397
@rajabushedafa6397 10 месяцев назад
Kumekucha 😂😂😂
@NaithamAhmad
@NaithamAhmad 10 месяцев назад
Aziza hongera Sanaa unaweza but unakosea unapowatolea mfano house girl coz hawapendi wawe hivyo ni maisha 2 ipo ck nao watapata kama ww usiwatolee mifano mibaya wadada wa kazi wanamengi Sanaa wanayokutana nayo but hongera kwa kazi nzuri!!
@RizikiZiki
@RizikiZiki 11 месяцев назад
Masha Allah Aziza ukovizuri wangu ❤
@KhamsoCtunyesh
@KhamsoCtunyesh 6 месяцев назад
Ak ckujua Kaa ni wewe aziza hongera sana nakupenda hatari ❤
@janengui3905
@janengui3905 11 месяцев назад
wawawawawa! huyu ni yule wazimu ... siamini.... mrembo kweli unajua kuact... your the best
@EnessSimkanga
@EnessSimkanga 10 месяцев назад
Very nice Aziza nimeEnjoy sana yaan
@AzizaHassan-c8i
@AzizaHassan-c8i 11 месяцев назад
Aziza my name sake aki all the way from Kenya nimekua nikiwafwatilia sana tu hadi mwisho,but nimsalimie steve na niwapongeze sana hongereni kabisaa,alafu aziza una talanta kweli nimeipnda kwakwli,na mimi ningeipata hyo chance pia ningeitumia ivo ivo nathani, Steve naomba chanz nije Tanzania uninafasi kama yawezekana, but mungu azidi kuwalinda..
@Chasakafu
@Chasakafu 11 месяцев назад
No comment kikubwa dua 🙏
@mujawimanacrararisse4050
@mujawimanacrararisse4050 11 месяцев назад
You’re beautiful Aziza mama kichaa
@agnesbeda1488
@agnesbeda1488 11 месяцев назад
Mmh.asee iyo mam yang Ni kichaaa inafundisha San nimeangalia nimelia kuhs sele naona Kama nikwl kunawazazi wengne ndo uhalisia wa maish😢mmeitendea haki kwa kwel❤❤
@faudhahamisi7588
@faudhahamisi7588 11 месяцев назад
Hongera san da Aziza au mama sele
@jacquesmulalirya1704
@jacquesmulalirya1704 11 месяцев назад
Jamani dada yetu mtangazaji nime mu miss sana
@MilanAnzuruni-gf6pz
@MilanAnzuruni-gf6pz 11 месяцев назад
Aziza Mpole sana huyo binti kwa kweli
@ishararosette2306
@ishararosette2306 11 месяцев назад
Ila anaongeya ongeya mambo mengi, ni muongeyaji sana siyo powa
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 11 месяцев назад
Aziza wewe unaongea ukweli kabsa. Napenda kazi zako.
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 10 месяцев назад
Mil 100 unaijua? Stive mwenyew hio Ml 100 hana
@elongabazibuhe
@elongabazibuhe 11 месяцев назад
Toka Congo drc nakubali Aziza sana ❤
@SelemanKaisi-y2w
@SelemanKaisi-y2w 10 месяцев назад
Dada umetisha Sana Yani umeweza mungu akulinde sanaaaaaaaaaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AggyMkumbo
@AggyMkumbo 11 месяцев назад
Daah Aziza me nakupenda sana dada angu kaz nzur❤❤❤
@joycekileo3077
@joycekileo3077 10 месяцев назад
Aziza ww ni mrembo piga kazi Stivu ni jembe ❤❤❤
@ChiruzaBienvenue
@ChiruzaBienvenue 11 месяцев назад
Aziza kazi njemaa wewe mzuri kabisa Niko Congo hapa
@HakizimanaHardi
@HakizimanaHardi 8 месяцев назад
namupenda Aziza
@BenjaminKey-z3c
@BenjaminKey-z3c 11 месяцев назад
Azizza merci beaucoup ma soeure j'espere que TU Seras belle superster come wema sepetu
@nyaweracaro
@nyaweracaro 11 месяцев назад
Aziza thanks so much tunangojea part 12
@PitaNzeyimana-wz2sr
@PitaNzeyimana-wz2sr 10 месяцев назад
Aziza❤❤❤❤
@IsharakananeDavid-qu9uv
@IsharakananeDavid-qu9uv 7 месяцев назад
Aziza nakupenda sana niko Congo 🇨🇩 kuja nikuowe
@MaulidMakwinya
@MaulidMakwinya 10 месяцев назад
Nimependa sna❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@robertmweve7215
@robertmweve7215 10 месяцев назад
Kiukweli yule dada anaingiza vizuri mimi namukubali sana kwakweli namupenda
@alphoncekidyala6932
@alphoncekidyala6932 11 месяцев назад
Kumbe Mr right ni dangulo eeeh? Huyu dada alikuwa Mr right show. Dunia imeisha😢
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 11 месяцев назад
Ndy kaka , mtt mzuri kama uyu anaenda kutafta bwana kwel , cyo poa kaka
@AbdallahSalimu-fs2en
@AbdallahSalimu-fs2en 5 месяцев назад
mashallah Aziza uko mzuri
@Kamoste
@Kamoste 10 месяцев назад
Sasa twataka kuskia exclusive interview na director gozi❤
@samuelmunyoki7795
@samuelmunyoki7795 11 месяцев назад
Uko sawa mrebo from kenya 🇰🇪
@maenduthuleo4503
@maenduthuleo4503 11 месяцев назад
jaman hudada nimempenda niombee nambayake mm ni jennefar
@jacklinenoballa8946
@jacklinenoballa8946 11 месяцев назад
Kama mm nafatilia sana movies zako tunakupenda sana
@floramacheva5855
@floramacheva5855 11 месяцев назад
Good and great advice to all young ladies......Aziza you are a good actor 🎉🎉🎉
@IssaJuma-yd5xl
@IssaJuma-yd5xl 11 месяцев назад
Ameolewa.aziza
@PatrickkabembaWalumbukawita-nd
@PatrickkabembaWalumbukawita-nd 11 месяцев назад
U.na hekima nifurahisha kwa hali yako yote kwa jumela
@RichardKaponda
@RichardKaponda 2 месяца назад
We acha upumbavu mwehu milion 100 unazijua. Msenge wew
@KatayaVincent
@KatayaVincent 2 месяца назад
Nakupenda sana Aziza
@AlfredWill-ka-qy5sk
@AlfredWill-ka-qy5sk 11 месяцев назад
Watatu❤ from DRC
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 11 месяцев назад
Ww Muislam gani unakataa sheria za Uislam
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 11 месяцев назад
Nice aziz
@timothnamunaba1233
@timothnamunaba1233 11 месяцев назад
Ayiii ati mitako😂😂😂😂 mimi ningekua mmeo singejali hata hata unyoe upara
@liberatusmahinja1705
@liberatusmahinja1705 7 месяцев назад
Aziza mwanaume yeyote atakae kuoa lazima aanze kujenga kwenu😊
@salomembovi6803
@salomembovi6803 7 месяцев назад
Kazi nzuri dadangu
@menyekivuyo7540
@menyekivuyo7540 11 месяцев назад
Anaongea ukweli huyo dada🎉🎉🎉
@philohmutua2968
@philohmutua2968 11 месяцев назад
Ambia stive mimi namupenda. Nikiwa kenya❤❤ hahaha
@RizikiZiki
@RizikiZiki 11 месяцев назад
😂😂😂😂imeenda iyo
@EstherOnyoro
@EstherOnyoro 11 месяцев назад
❤❤❤much love from Saudi 🇸🇦
@bahatilaizer8706
@bahatilaizer8706 11 месяцев назад
Nicely Job Dada Aziza
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 11 месяцев назад
Nimekubali Sana Sister
@MathayoUmburi-bt2wg
@MathayoUmburi-bt2wg 7 месяцев назад
Mama yangu ni kichaa nimeikubali sana hiii move dada ang azizaa
@josephbahatikamwela9563
@josephbahatikamwela9563 11 месяцев назад
Well done madam president keep it up and don't give up and we probably proud of you all the time
@AbuCyber-dz8me
@AbuCyber-dz8me 11 месяцев назад
Aki munguazidi kukupa hicjo kibali aki aziza umeweza sana
@PlacidBonge
@PlacidBonge 9 месяцев назад
Mimi nimekupenda sana aa
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 11 месяцев назад
Nakubali kazi zake kwa kweli
@allyhamadi5064
@allyhamadi5064 11 месяцев назад
Dada kichaa ukimpa ndizi anamenya vizuri tu wala wasikukosoe
@JacobMollel-c6x
@JacobMollel-c6x 11 месяцев назад
Anastahili coz kacheza vizuri sana hongeraa mama
@abdulijuma7202
@abdulijuma7202 11 месяцев назад
Inaendelea Tena lini Mama yangu ni kichaa
@laylame8121
@laylame8121 11 месяцев назад
Yes uko sawa kupenzi mafanikuo kwanza ❤
@AmosMazwile-x3v
@AmosMazwile-x3v 10 месяцев назад
Me nampenda uyu dada ana zalau Wala ajanidai
@nuruhabibasally
@nuruhabibasally 11 месяцев назад
Aziza part yako ulicheza vzr saana
@Hamadikijicho
@Hamadikijicho 11 месяцев назад
Watangazaji ni waongo sana mtu kaongea tofaut na yy anaongea🎉 tofaut
@isayamgallah9294
@isayamgallah9294 11 месяцев назад
Umeongea point Sanaa wajina wa mwanangu AZIZA
@Jescah-i2q
@Jescah-i2q 11 месяцев назад
Umeongea ukweli dada maisha ya sai jenga kwenu kwanza na tena ukiwa na chako utaheshimika
@RobertMkisi-x4s
@RobertMkisi-x4s 6 дней назад
Dada aziza anajua kujieleza yuko poa kwa upande uo
@OfficialA83640
@OfficialA83640 11 месяцев назад
M 100 unaijua au mnaiandika tu hiyo. Huyo Steve hajaingiza pesa hiyo sasa yy anapewa na nani hebu acheni kutufanya yatima wa kuongopewa
@FatumaYusufu-r4m
@FatumaYusufu-r4m 11 месяцев назад
Waooooo mzri san❤❤❤❤❤
@MarthaFocus-q8u
@MarthaFocus-q8u 11 месяцев назад
❤❤❤🎉🎉aziza
@MadlineMaghangaa
@MadlineMaghangaa 11 месяцев назад
love u aziza ulicheza aisee pokea maua 🌹🌹
@AngelinaArchard
@AngelinaArchard 11 месяцев назад
nimekukubali aziza, wanaosema steve awez kujulipa iyo pesa wao ndo wapo kwenye mifuko ya steve
@johnyurra-eb8yo
@johnyurra-eb8yo 11 месяцев назад
Aziza naomba mimi nkuoe 2025
@magariabdallah8066
@magariabdallah8066 11 месяцев назад
😂😂😂😂mimi MWANAUME nimecheka kwa maana AZIZA utakuja kubandika bango la ndoa😅😅😅😅
Далее
MAMA YANGU CHIZI
23:37
Просмотров 621 тыс.
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 139 тыс.
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 3,1 млн
NDARO NA STEVE WALIVOMPIGA MGANGA UTACHEKA
15:45
Просмотров 565 тыс.
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
6:40
Просмотров 1,6 млн
LEO STEVE KAYAKANYAGA KWA KERVIN  AMEYATIMBA
14:18
Просмотров 842 тыс.
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 139 тыс.