Steve moja ya story nzuri sana ambayo umetengeneza mwaka uhu ni namba moja Umekosea sana hiyi ilitakiwa kuwa series nzuri sana tena sana Sema njo hivo umeifanya ki mizaa ila hiyi ingeuza sana
Steve Nimtu Sana Tanzania Hii hakuna mwenye moyo kama yeye Anawainua wasanii Bila kujali kama yeye nimkubwa Ubarikiwe Enderea kusaidia Vijana Wetu wa Tz 🇹🇿
🤣🤣🤣🤣, Steve ni kichaa grade A, tena A+,ety UMENIPA KAZI NAIPENDA KINOOMAA, MI SIPENDI KUONA WATU WANAPENDANA, NIMEKAACHA HUKO KANALIA😂😂, Steve hiyo ni roho ya kichawiii, tena mchawi pro