Nilichelewa Sana jamani nilikuwa wapi kuskiliza mziki mtamu wenye filings Kali hivi😢😢😥 anyway nipeni hata like kumi TU me ntaridhika.. ngoma Bado inaishi.. tunaendana me nayeye
Dah mwamba huwa naku kubali Sana nyimbo yako hii ninayo kwenye play list yangu miaka miwili Sasa Roho ilikua Ina niuma Sana kuona hautambuliki Kama msanii mkubwa na Maarufu Ila nimefarijika Sana kukuona Kwenye kipindi kwa Bro Sky Mungu akutangulie man nakuona mbali Sana Usikate tamaa💪
big up sana bro, hii ngoma huwa nairudia mara zote, siwez kulala bila kuskia hii ngoma, kiasi kwamba sauti yako naelekea kuikariri, nakukubali sana mnyama @B2K
@@B2KMnyama kaka nyimbo Hiii inanigusaa kabisa yani kama inaniusuu mungu akubariki I kwa kaziii yakoo kaka yangu yani ikifutika KWENY sim yangu nakosa amanii❤️🙏m
Nimefarijika sana kupata ngoma kali kama hii kutoka nyanda za juu kusini yani home kabisa# B2K kaza ndg yangu.....nitagonga cheers siku moja ukiwa on top z tZ nq Africa.