Тёмный
No video :(

BAADA YA KUNUNULIWA GARI NILIPATA UGONJWA WA KUTOKWA DAMU KILA SIKU| SHEMEJI MZUNGU ALIKUA ANANITAKA 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 80 тыс.
50% 1

Rahma ameeleza Safari yake ya maisha kutoka kwenye ndoa na Mbongo mwenzie mpaka kuingia kwenye mahusiano na Mzungu na kuweza kufunga ndoa.
Changamoto za shemeji katika ku control mahusiano yake ambapo siku ya ndoa mume wake alikua amevunjika mguu mpaka kufikia yeye mwenyewe kua anapata siku zake za hedhi mwezi mzima kipindi akiwa na mume wake.
Changamoto za manyanyaso kutoka kwa mume wake mara baada tu ya kufika Switzerland na namna alivyozivuka na kurudi Tanzanja kujipanga upya.
Thank Rahma for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 306   
@salomefaith2410
@salomefaith2410 6 месяцев назад
Rahma ana jitambua sana. Namshauri aendelee kumtumaini sana Mungu.
@ruthnkurlu7602
@ruthnkurlu7602 6 месяцев назад
Nilipo sikia tu mwanzo nilijua huyu binti ametoka familia nzuri ye ye malezi. Mazuri. Yuko honest na ndiyo maana milango yake imefunguliwa. Bless you and Yr marriege. Good girl.
@GloryMsopa
@GloryMsopa 4 месяца назад
Huyu dada nimempenda jmni aki Yuko jasiri htar
@fatmahussein1238
@fatmahussein1238 4 месяца назад
Mbona nimempenda huyu Binti sana, mwanamke mjasiri mkweli na anajieleze vizuri na maisha yake yanakua yanaelea kwa alivyojieka.. Hongera sana Rahma
@evelynlyimo1557
@evelynlyimo1557 6 месяцев назад
Rahma,,nimekusikiliza.nimekuombea furaha..na maisha mazurii..ni kweli kama hujiamini kisha mtu ajidai kwamba hutoenda popote bila yeye,basi umehitimu kuface life challenges, ,pia wazungu ni sawasawa na blacks,watu weusi,,uzuri wao ni kwamba inchi yao wako na privilege kuubwa iweje serikali inakusitiri kisha ikuhangaishee kama huku Africa 😂😂😂😂 ...Rahma mateso maishani hutupa afadhali ya kujikubali unarudi bongo bila kuona ni hasara,,hugs
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
😍
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 6 месяцев назад
Nimempenda Rahma ametoa elimu nzuri
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
SAMAHANI SANA KWA KINGILIA MAZUNGUMXO YENU. HUYO BINTI WA KILUGULU AJITAHIDI SANA WAFUNGE NDOWA NYINGINE YA SERIKALI HAPO ULAYA. NI MUHIMU SANA. MAANA HATA KAMA ALIFUNGA NYUMBANI LAKINI AJITAHIDI NA HAPO AFUNGE. NDOWA YA SERIKALI.
@sashaluciani221
@sashaluciani221 4 месяца назад
Muhimu aisajili ndoa yake huko Germany.
@TheresiaKiritta-fi4rr
@TheresiaKiritta-fi4rr 6 месяцев назад
Kwa kweli nimempenda SN SN SN Rahman hongera sn . Uko strong huna tamaaa. Una Roho nzr. Na Mungu atakubariki SN ktk maisha yako.
@MissKaliz
@MissKaliz 6 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣 rich husband , labda wana manifest. Rahma! Kila siku katika maisha tuna jifunza , so you did great kuchukua hatua pale ulipo ona sio poa na uka insist Amani yako ina kuja kwanza na sio mambo ya kuvumilia mwisho kuhatarisha maisha yako “ only few wanao tambua thamani yao can take a bold step kufanya maamuzi ya kishujaa. Mwisho…Hongera kwa uthubutu wa kuamua kuanza ukurasa mpya wa maisha ughaibuni. Mungu akawe kiongozi wako na aka kupe kibali Katika Ardhi hiyo 🙏🏾. Hongera Shena kwa kuleta vitu 🔥.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
Maneno mazuri Thanks dear 🥰
@MissKaliz
@MissKaliz 6 месяцев назад
@@OfficialDatingAssistance ❤️❤️❤️
@user-mm4um5le3p
@user-mm4um5le3p 4 месяца назад
MashaAllah Dada Rahma, umeelezea vizuri, kirefu na kwa umakini sana, zidi kujitambua dada, barikiwa sana
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 5 месяцев назад
Aki nimempenda Rahma...Black is beautifull
@user-wt7mm9lx8i
@user-wt7mm9lx8i 6 месяцев назад
Rahma hakika umetuheshimisha walugulu hongera nmekupenda bule Rahma❤
@juliesemeni8803
@juliesemeni8803 6 месяцев назад
Mbona mororgoro oyee😅
@masoudaass
@masoudaass 6 месяцев назад
Hoyeeee jamani
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 месяцев назад
Kaupiga mwingi Sana aise mrugulu huyu
@paustephano
@paustephano 5 месяцев назад
Yaan ametuheshimisha waluguru nawapenda waluguru wenzangu Kama inaezekana tujoin tuhamie majuu😂😂😂😂
@user-uu1nx8lj7f
@user-uu1nx8lj7f 3 месяца назад
Asante Sana mydear Rahma kwa story nzuri, ubarikiwe SANA,nmejifunza soma kubwa sana
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 6 месяцев назад
Kuna usemi kwamba... "When God opens the door, shut your mounth"! Ni kweli mdomo unaponza! Good Job Shena.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
🙏🙏
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 6 месяцев назад
Dada namimi nandoto yakua na mzungu
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 6 месяцев назад
All the best but kuishi nao wee ujipange kiafya kiakili​@@OmanOman-ns3iw
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 месяцев назад
​@@OmanOman-ns3iwnimekwambia mdogo wangu OSHA vyoo WArabu mbona mshahara mzuli tu uko jamn aya njoo nikupe wangu huyu mzungu
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 6 месяцев назад
@@ukhutfatumah1154 Kwann nimchukue wako sasa
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 6 месяцев назад
Hongera Sana dada rahma kwa kusimamia msimamo wako💐
@diana23gzo
@diana23gzo 6 месяцев назад
Kipo cha kujifunza, Hongera sana Rahma.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 6 месяцев назад
Hongera sana Rahma Mungu akusimamie kwa kila jambo
@Upendo6405
@Upendo6405 4 месяца назад
Nimekupenda sana nimjasili na unajiamini ila omba sana mungu omba toba na lehema uwemakini na waswahili mana ni awapendi mtu afanikiwe uswahili nimwingi my sana❤❤
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 6 месяцев назад
Story nzuri sana hongera kwa ujasiri
@dollymogosi6899
@dollymogosi6899 3 месяца назад
Wow what an intelligent young girl! Kweli mdg wangu you have to be extra careful around our sisters! Very dangerous when it comes to breaking others relationship! I admire you!
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 5 месяцев назад
Nimempenda huyu binti ana hekima .karibu biel tuko nchi moja
@MourineJohn
@MourineJohn 4 месяца назад
Hii
@husnakaka8949
@husnakaka8949 6 месяцев назад
Story nzuri but be careful na yeye..all the best 😊
@SuzanneMyles
@SuzanneMyles 6 месяцев назад
Rahma your so sweet and smart❤❤❤❤❤
@user-ju2vf4wr7e
@user-ju2vf4wr7e 5 месяцев назад
Rafiki.kaa mbali sana na marafikki na ndugu siyo wote waziri Mimi nimeolewa Australia ukifanya hivyo utaishi kwa amani nakutakia Kila la heri
@sungwaroserose4154
@sungwaroserose4154 2 месяца назад
Hongera sana rahma ni bint mjasili sana❤❤
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 6 месяцев назад
msiwapende sana wazungu,ulaya hakuna maisha mazuri kama tz,utamaduni wetu ni bora sana,hao wanachukia watu weusi ki msingi wapo wachache ndio wanapenda waafrika,tuboreshe maisha yetu hapa,wanawake weusi wanapenda wazungu sana,kama wanawake wazungu wanapenda waafrika pi sana,nimekaa kwa nawajua,ila tuwe makini sana
@kiri5807
@kiri5807 6 месяцев назад
kwa utamaduninaona walioko nyumbani ndio wanapoteza maana wanayoyafanya tulio ulaya hatujafikiriapo kuyafanya .
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 6 месяцев назад
Hongera sana kipenzi changu 😍
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 5 месяцев назад
Endelea kujidanganya
@bitherobert9468
@bitherobert9468 4 месяца назад
Maneno ya mkosaji😂😂
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 4 месяца назад
@@bitherobert9468 hahah kweli umekariri kawasome tena huwajui
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 6 месяцев назад
Na inavyoonekana mumeo anamoyo mzur ila kipind hicho hakupata mtu wa kumcontrol ila Mungu kampa ww ili uweze kumuongoza vzr na Mungu aendelee kuwabarik
@BERLINHENRY-tc8em
@BERLINHENRY-tc8em 3 месяца назад
Rahma Mungu akusimamie kwenye ndoa yako Mimi nipokea wageni kumbe wananisema kipolish badae mume wangu aliniambia ila wale mbwa tutakutana tu
@user-iy1np9et3q
@user-iy1np9et3q 3 месяца назад
Ubarikiwe dd
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 6 месяцев назад
Rahama umenifurahisha mcheshi sana.nimekupenda bure
@vom84
@vom84 6 месяцев назад
Switzerland ni nchi nzuri sana
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 5 месяцев назад
Hakuna nchi nzuri kuliko kwenuuu ??? Acheni ujinga na mawazo yaliyochakaaa, nooooo kabisa no kudadeki.
@vom84
@vom84 5 месяцев назад
@@ezekieljacob5795 Baki na mawazo yako na mm nibaki na yangu, ww na mm ni watu tofauti na hatujuani, kwetu Tz sio pazuri usitake kunijaza ujinga.
@user-rq9yg7sp3z
@user-rq9yg7sp3z 6 месяцев назад
I’m a black Dominican man looking for a gorgeous queen. I live in the USA Houston tx
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
+4367764790884
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 6 месяцев назад
​@@OfficialDatingAssistanceniungd naye huyu mamy
@evakabete2944
@evakabete2944 5 месяцев назад
Hello how are you
@jeanotemah
@jeanotemah 5 месяцев назад
Am here my Prince
@user-rq9yg7sp3z
@user-rq9yg7sp3z 5 месяцев назад
@@jeanotemah how can I get a hold of you and get to know you better
@YoutubeYoutube-np9wn
@YoutubeYoutube-np9wn 6 месяцев назад
good story teller💪🙏
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 6 месяцев назад
Mungu azidi kumfungilia amjue mungu zaidi
@zahirallyzorro3940
@zahirallyzorro3940 5 месяцев назад
Allah Atakubaariq. Ishi salama!
@ramlaleila374
@ramlaleila374 4 месяца назад
Ila Rahma mamangu ma shaa Allah kuongea kwao sauti yako ucheshi wako umefanana sana na Hawa wa ntarejea
@monadinadi5295
@monadinadi5295 6 месяцев назад
Safi Sana rahma ❤❤🎉
@annmumbiz62
@annmumbiz62 6 месяцев назад
Big up gal. Penda ww sana. From Nairobi Kenya
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn 6 месяцев назад
Hongera sana waukae miangu walugulu juuu
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 5 месяцев назад
Wajerumani ni wagumu...Mungu akusaidie mwaya
@clecy2416
@clecy2416 3 месяца назад
Depends, mbona wangu sio mgumu?mwanzo alikuwa but amebadirika sana
@blessedaggie9159
@blessedaggie9159 3 месяца назад
@@clecy2416 hongera kwa mabadiliko...
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 5 месяцев назад
She is cute tumeshamfollow
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 4 месяца назад
Hongera sana mdg wangu she is very beautiful
@richardmwasalukwa7278
@richardmwasalukwa7278 2 месяца назад
Hongera sana Rahma
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 6 месяцев назад
Moja ya vitu najifunza hapa kwa watu wengi wanaodate wazungu wanawake na wanaume ni issue ya usaliti kukosekana kwa ukweli na uwaz kwenye mausiano yetu sisi waswahili ili ni janga la kitaifa maana wanaume nao wanawalalamikia wanawake wa kiswahili wako na shida sana na wanawake nao ivyo ivyo muhimu sana kukubali ukweli kuwa mapenz ya sisi kwa sisi mengi yamekuwa kama gereza la matatizo na mateso tujifunze tubadilike tu
@DoreenMwanga-ne1dt
@DoreenMwanga-ne1dt 6 месяцев назад
Ukweli kabisa
@rosechitimbo4306
@rosechitimbo4306 4 месяца назад
Nami nampa hongera.mimi rafiki yangu mjerumani aliniambia nisiolewe na mzungu.mpaka leo najiuliza sana
@mwajutailor820
@mwajutailor820 2 месяца назад
Mungu aendelee kukusimamia kipenzii umepitia magumu sana
@Mazoea
@Mazoea 6 месяцев назад
Adui wa Mwanamke alwats ni Mwanamke mwenzie
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 месяцев назад
Mrugulu mwenzangu umeupiga mwingi sana Morogoro mbaka majuu safi sana
@jaquelineligundaklay8817
@jaquelineligundaklay8817 6 месяцев назад
Halloo kweli unawajuwa vizuri sana
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 5 месяцев назад
Namkubali sana Shena
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 6 месяцев назад
Asante Sana
@lilywei2967
@lilywei2967 5 месяцев назад
Mimi Nawaogopa Marafiki jamani sitaki marafiki sio kama naringa sitaki jamani yamenikuta😢
@Ahmada15
@Ahmada15 4 месяца назад
Pole sana Lilly binadamu atuko wema😢
@RhodaFredy
@RhodaFredy 2 месяца назад
Nampenda rahma jamani❤
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 6 месяцев назад
Kazi nzuri,
@estasiashiringa1038
@estasiashiringa1038 6 месяцев назад
I just like her🥰
@hassankhamis344
@hassankhamis344 6 месяцев назад
Sawa sawa
@ferahrioba6846
@ferahrioba6846 6 месяцев назад
thanks for your story 🎉
@mimamangachi413
@mimamangachi413 6 месяцев назад
Rahma nimekupenda bureee Mmoro mwenzangu
@user-vj2mg5ng1v
@user-vj2mg5ng1v 4 месяца назад
Hongera sana Rahma
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 6 месяцев назад
Blessd dada❤
@ChadoraMANYENGA
@ChadoraMANYENGA 6 месяцев назад
Wa Zungu Wanavichaaaa Ndo Mana Wanakuja Depressed
@faridafakir4310
@faridafakir4310 3 месяца назад
Pole sana
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 6 месяцев назад
Jamni m nataka kazi uko tu❤
@MourineJohn
@MourineJohn 4 месяца назад
Polee na hongera
@Upendo6405
@Upendo6405 4 месяца назад
Umepitia magumu my dear
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 6 месяцев назад
Dah nimependa sana hii story ... Data yangu imekwenda very nice
@noelasivertsen3878
@noelasivertsen3878 5 месяцев назад
Safi
@silviaamos-pl5lk
@silviaamos-pl5lk 6 месяцев назад
Yani hapa najifunza mengi Sana kwenu nawapenda sana
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 6 месяцев назад
Mwenyezi mungu akutangulie
@rosemerryfaustin1900
@rosemerryfaustin1900 6 месяцев назад
Mruguru mwenzangu hongera❤
@njuka3515
@njuka3515 6 месяцев назад
Pole sana Rahma
@rosemary9529
@rosemary9529 5 месяцев назад
Jamani nipo Switzerland, mtz mwenzio karibu.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 месяцев назад
Hii story ni ngumu kha. Kuishi na alcoholic ni mateso magumu
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 3 месяца назад
Nimependa story anafurahisha
@hassankhamis344
@hassankhamis344 6 месяцев назад
Duuu kumbe kuna story nying sanaa hangerenii
@eobardthawne7126
@eobardthawne7126 6 месяцев назад
I like this. It helps me with my Swahili..
@AshaMohamed-ib4le
@AshaMohamed-ib4le 6 месяцев назад
U like Swahili language
@eobardthawne7126
@eobardthawne7126 6 месяцев назад
@@AshaMohamed-ib4le Ndio
@Mazoea
@Mazoea 6 месяцев назад
Wabongo ni Wasgenzi sana na awana Mapenzi ya kweli
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 5 месяцев назад
muombe mungu ili huyo mzee aache sigara na kunywa sana. tutasaidiana kwa maombi
@mariambakari8065
@mariambakari8065 5 месяцев назад
Dada nimekupenda unajiamini sana upo kama mm kabisa ila mume anakunywa pombe nichangamoto sana nimeishi na mkenya mwaka mmja nimekiona cha moto ila ujasiri wangu sitaki kuonewa
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 4 месяца назад
Meanzo meisho nimesiloliza iyi intanvie sijawaie RAHMA ongera sna
@adamabui6121
@adamabui6121 6 месяцев назад
Wasichana wa bongo ushamba njaaa kaliii wanapenda sana kuombaaa pesa 😂
@Mazoea
@Mazoea 6 месяцев назад
Sio wote ny Dear
@brendajulius2995
@brendajulius2995 6 месяцев назад
Tafuta hela Acha makasiriko
@samiragillian5972
@samiragillian5972 5 месяцев назад
Zürich kuko kiiimya... kuna boa just like Norway
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 6 месяцев назад
Aah morogoro hotel, maeneo ya uzunguni huko 49:16 nyumbani huko nilipokulia umenikumbusha mbali sana😢
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 месяцев назад
Wake ya wako vzr sana jmn
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 5 месяцев назад
Swiss wanaongea kijerumani lakini kinaitwa Swisdotch
@kevinmary7129
@kevinmary7129 6 месяцев назад
Wanaosemaga wazungu don't cheat mimi nimefanya nao kaz kwa miaka 10 nawajua they do cheat a lot kama Africa tu labda awe na Yesu
@ashaidei5680
@ashaidei5680 6 месяцев назад
Mhn bado kaka zetu wanshika bendera tena wameiweka mlima. Everest
@Haika28
@Haika28 6 месяцев назад
Aah wee, wazungu wana cheat sana. Niko USA kila siku watu wanavunja ndoa na mahusiano kwa sababu ya cheating. Sio wanawake sio wanaume yaani bora kwetu jamani😅
@trixiecyja2513
@trixiecyja2513 5 месяцев назад
​@@ashaidei5680😂😂😂
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 6 месяцев назад
Hapo huna mume aiseeh! Yaani mwanaume hana msimamo kabisa aiseeh yaani ukae kwa akili nyingine huyo mwanaume sio
@naomipieter4627
@naomipieter4627 6 месяцев назад
Jamn mdada wa makongo juu tatenda
@GoodluckMalenga-wg7cm
@GoodluckMalenga-wg7cm 6 месяцев назад
Ni kweli ni yeye hata mm nimejiuliza sana
@rosemsafiri7568
@rosemsafiri7568 5 месяцев назад
Yani rahma yupo honest sn yupo na mzungu sio kwa ajili ya pesa bali yupo na mapenz nae hongera sn rahma tuna zhakujifunza hapa
@dorothyndokora9230
@dorothyndokora9230 6 месяцев назад
She is a good story teller❣️
@leylascherer3111
@leylascherer3111 6 месяцев назад
Rahma nenda kwa Dr mgaya mbuyuni namanga karibu na sait peter utazaa chap dadaangu alifanikiwa
@neemamollel6057
@neemamollel6057 5 месяцев назад
Nice story .but marafiki sio kabisa.
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 месяцев назад
Una moyo dada mi siez wallahi
@janifajani8875
@janifajani8875 5 месяцев назад
Angetulia kama dada lusi alikuwa ame tulia kwenye kiti adi raha huyu ana angaika
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 3 месяца назад
Cha msingi Umepata ujumbe she is honest na anaeleweka
@atomphoton5000
@atomphoton5000 6 месяцев назад
Huyu dada ana wiki moja tu Ulaya anaongea hivi aisee baada ya mwaka mmoja uje umuhoji tena atupe experience jinsi anavyopambana kuzoe mazingira huko. Ila sikujua kumbe wazungu Bongo wanagombaniwa hivi, sikuyajua haya.
@brendajulius2995
@brendajulius2995 6 месяцев назад
Sio bongo tu waafrika wengi wanagombea wazungu
@atomphoton5000
@atomphoton5000 6 месяцев назад
@@brendajulius2995 Kama ukijaliwa kuish pamoja a wazungu wakati wa utoto wako hutatamani kuwagombania hivyo. Ni watu wa kawaida sana tu, na wenyewe wanacheat sana tu humo kwenye university za kizungu kumejaa ufusika wa hali ya juu sana
@neemajohn6142
@neemajohn6142 6 месяцев назад
2024 ulikuwa ramada mdogo wangu? Kama ni ww hongera sna unajiamin mnoo na unajipenda san
@nishamwenendi-vh4wk
@nishamwenendi-vh4wk 6 месяцев назад
Somo zuri ila mwanaume mlevi ni changamoto sana
@user-hb8ph8fk5s
@user-hb8ph8fk5s 2 месяца назад
Huyu dada nmempenda bure mn anaakil sana na nataman ata awe japo rafik yang
@CheerfulJackalope-uu9ls
@CheerfulJackalope-uu9ls 4 месяца назад
Nakukubal sister kutuletea stor nzr
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 6 месяцев назад
Nimependa ulivyo muwazi
@nduwimanaeric653
@nduwimanaeric653 6 месяцев назад
Elimu nzuli Lahma , tuko pamoja mimi ni Mlundi niko Uswizi ,Zürich
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 6 месяцев назад
My dear naomba nifanyie conekshen huko na mimi😊
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 месяцев назад
​@@OmanOman-ns3iw EBU tulia uko Oman usugue hamamu na Ramadhan Iyo kama nakuona utakavyopandisha mashetani 😅
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 6 месяцев назад
@@ukhutfatumah1154 😂sipo oman nilishaondoka kitambo
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 месяцев назад
​@@ukhutfatumah1154 Hahahaaaa😂😂😂
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 6 месяцев назад
Huyo mxungu sio mtu mzuri kuwa makini labda ana depression
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 5 месяцев назад
Ni kweli. Wengine wanaoa halafu baadae wanawauwa kupata bima. Nina wasiwasi na hizi damu baada ya kununuliwa gari. Pia hawataki kuoa na kuwapeleka kwao. Nimeolewa/kuzaa na mzungu lakini nawaona kawaida. Tumekutana huku. Wazungu ni kama wabongo. Wapo wa kila kawaida.
@gra8098
@gra8098 2 месяца назад
Na ninahisi akilewa anakuwa violent... Sema tu hajaeleza sana ...
Далее
WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU
1:02:41