Тёмный
No video :(

WANAUME WALIKUA HAWANITAKI KWASABABU YA UFUPI WANGU 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Tuppy ametueleza safari ya maisha yake ya kimahusiano na kutumia online dating
Changamoto alizopitia ambazo kwasasa anazisimulia huku anacheka.
Thank you Tuppy, you are Amazing 🥰
www.oda.international

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 198   
@jn19882
@jn19882 8 месяцев назад
Huyu Tuppy msichana mrembo roho safi... Nmempenda sana. Vichekesho kibao. Nakutakia maisha mazuri wewe na familia yako mrembo.... Mob love from Kenya 🇰🇪
@xhdhdhhdnxhx913
@xhdhdhhdnxhx913 8 месяцев назад
Tappy uko na talent unaezakuwa comedian maarufu duniani love u mommy from kenya
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 месяцев назад
SHENA UWE UNATULETEA WADADA KAMA HAWA ,MAANA UNAENJOY NA ANAFURAHISHA NA NIMZURI MIE NIMEMPENDA SHE So NATURAL , and REALLY NA SHEMU WETU ALOMPATA AMEPATA MKE MWEMA , HONGERA DADA TUPPY , SEMA WAINGEREZA WANAONEKANA KICHOMIII
@francismtunda4030
@francismtunda4030 4 месяца назад
Hahaha hatarii
@liannsambu7264
@liannsambu7264 8 месяцев назад
Relly dada TUPPY NIMEPENDA STORY YAKO DADA ,YOU ARE SO UNIQUE, BARIKIWA DADA , WALA SI DHAMBI KUOLEWA NA UNAYEMTAKA UZALENDO NI MOYONI NA SI DHAMBI KUKAA NA TAIFA LOLOTE UKIONA MTU ANAKUPINGA KWENDA NJE YA NCHI YAKO KUTAFUTA MWENZA ,MASIHA , BIASHARA NK JUA HUYO HAPENDI HUFANIKIWE ,ANAKUHOFIA , NA HAPENDI UFANIKIWE
@neemanyove9130
@neemanyove9130 7 месяцев назад
Dada amejua kunivunja mbavu jmn,,, she's so funny 😂😂😂 tunazidi kujifunza asante da Shena
@TheSalma1999
@TheSalma1999 7 месяцев назад
Nimekupenda bure your so real
@Nguvuzauniverse.
@Nguvuzauniverse. 2 месяца назад
Mbona tuppy n mrembo Sana jamani❤
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 8 месяцев назад
Mapito yakizidi, ushangai likija jingine yaani (hakuna jipya) Mungu ni mwema
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Месяц назад
Kipindi kizuri Goodjob,jaman tuppy mzuri sna ananatural Beauty Nzuri sna
@teresiamathias8636
@teresiamathias8636 8 месяцев назад
Kwakweli kanipa moyo kumbe na mm nitapata tuu asante mdogowangu Tupi
@TheSalma1999
@TheSalma1999 7 месяцев назад
Jamani sijawahi kucheka hivi maisha yangu yote huyu dada is so real amejua kunichekesha leo
@estersaul8180
@estersaul8180 4 месяца назад
Love you Tuppy
@dayana5513story
@dayana5513story 8 месяцев назад
Watu wenye mapito tuko wegi nyinyi acheni , but bado sijakata tamaa stii believe God l hope siku atanikumbuka,shena nije nikupe, love this girl she so really ❤
@sarahgustaph2710
@sarahgustaph2710 8 месяцев назад
Mtu kama kakuchoka atakutaftia sababu hakuna Cha ufupi..Yote maisha riziki n popote...❤❤Mungu mwema...Leo wako paleee Wana watch...hii..interview..aibu kwao😅😅😅WAUKWELI WAPO....inauma sana jamani...Mapito Yana mwisho amabo ni furaha tuu❤❤🙏🇹🇿Nakupenda Tupphy.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 7 месяцев назад
Mbona ana sura nzuri Huyo kaka alikuwa mshenzi
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 8 месяцев назад
Uyu dada Mungu ambariki ukimsikiliza unajifunza mambo mengi na yuko muwaz sana dahh ila haya maisha watu tunapitia mengi kikubwa hakuna kukata tamaa
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 8 месяцев назад
Wow wow Da Tupi amerudi Tena mashaallah hope ntaenyoj hii interview ngoja niangalie🥰
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 8 месяцев назад
Umependeza Sana da tuppy
@user-qz4gd4zl7i
@user-qz4gd4zl7i Месяц назад
l love da tupy ❤❤❤
@MadinaMalk-yd6kp
@MadinaMalk-yd6kp 8 месяцев назад
Nawapenda ❤️😘😘
@mariambakari8065
@mariambakari8065 5 месяцев назад
Dada mchangamfu sana pongezi kwako
@hawababy120
@hawababy120 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂tuppy nacheka san duuh uko mcheshi aiii😂😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 8 месяцев назад
Yani Tuppy anachekesha jamn eti ukitafuta mzungu unakua kama tour guide kula kitu wewe😂😂😂 nimecheka sanaaa huboi mamii kukuskiliza
@annwangai5814
@annwangai5814 8 месяцев назад
Nimejua mengi hapa nashukuru sana
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 8 месяцев назад
Haya tunakusubiria dada mpk mwakani inshaaAllaah tutajiunga darasa
@adrianochieno6131
@adrianochieno6131 3 месяца назад
Dada this is the best lady you have ever enteviewed😂😂😂!!! She is so honest to the core and quite cynical😂!! Please give me her contact🇰🇪
@ajabburundi6043
@ajabburundi6043 Месяц назад
Tuppy Sorry zako nzuri
@nahaisha7631
@nahaisha7631 8 месяцев назад
Ni kweli kbsa wazungu hawanaga shukran
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 5 месяцев назад
Yan huyu dada me nampenda sana ni mcheshi sana😂😂😂😂😂😂
@user-xw9kh3vm8i
@user-xw9kh3vm8i 8 месяцев назад
Mimi tangu 2017,bado natafuta sijakata tamaa
@twaibasalim-lq2kk
@twaibasalim-lq2kk 4 месяца назад
tuelekezeni t unafanyajee kuingia huko
@angelinamwenda4133
@angelinamwenda4133 9 дней назад
Mimi mwenyewe natafuta sijapata
@singalongwithirene6134
@singalongwithirene6134 8 месяцев назад
My dear Prisca great to see you again here ...❤
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 8 месяцев назад
Prisca yupi tena
@singalongwithirene6134
@singalongwithirene6134 7 месяцев назад
@@peaceisrael8158 huyo Tuppy jina lake halisi ni Prisca
@marthakimia4075
@marthakimia4075 8 месяцев назад
Umenifurahisha sana
@ishramajuto105
@ishramajuto105 3 месяца назад
one among the best interview❤❤❤
@WinfridaJuma-vm2wp
@WinfridaJuma-vm2wp 8 месяцев назад
Da shena ana tabasam zur jamani🥰 mie kila akicheka tu macho kwaKe😊
@Thyme938
@Thyme938 8 месяцев назад
Lkn tuppy mbona we ni mzur na ni mrembo, Kwa Nini walikua wanakuambia ivyo! Lkn wanadamu
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 8 месяцев назад
Nampendaga huyu dada ni fun sana rafiki yangu tiktok huwa nachekaga mno 😂😂😂😂
@marthamlove1342
@marthamlove1342 8 месяцев назад
Hata mimi nampenda hivi anatumia jina gani tiktok?
@helentelemla5623
@helentelemla5623 8 месяцев назад
Leo mimecheka mbavu zangu😂❤ nimejikuta nampenda sana tuppy
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 7 месяцев назад
Ukiona interview yake ya kwanza ndo utacheka sn
@gra8098
@gra8098 Месяц назад
"Tumechelewa... wake za wazingu"...
@zainabufeka87
@zainabufeka87 4 месяца назад
Jamani leo zamu ya tup nilikuwa na wish😅😅kukuona ukihojiwa😊
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 8 месяцев назад
Usikate tamaa
@rayfissoo6477
@rayfissoo6477 8 месяцев назад
Huyu Mungu ambariki
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 8 месяцев назад
Da shena sio pete ina legea ni ngozi ina sinyaa kidogo ili usipitishe joto nje na lipaki ndani ya mwili ili kuweka joto ndani ya mwili .na kipindi cha joto ngozi ina tanuka ili usipate joto la kupitiliza ndio una kuta pete ina bana sana.
@verachikulupi8063
@verachikulupi8063 2 месяца назад
Nimependa sana huyu dada❤❤❤
@ramsrafiki1212
@ramsrafiki1212 9 дней назад
You are so funny girl I like your funny
@joelirunde2823
@joelirunde2823 5 месяцев назад
Umenikumbusha kunguni Nililala hotel moja Zanzibar nilikesha!! Kunguni hadi kwenye net.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 8 месяцев назад
Hata sijaanza kusikiliza nishaumia jamani..,ati mfupi atazaa na upatesheni nayo kosa? Unampenda mtu kumbe anakuita sura mbaya? Namshukuru Mungu sikudeti na hao watu, tena sisi wa kike wenye sura za baba zetu, ningepitia.
@florencegamaya9277
@florencegamaya9277 4 месяца назад
Tuppy napenda tuwe na mawasiliano na mimi niko Germany pia
@BerthaKihanga-qd5hy
@BerthaKihanga-qd5hy 8 месяцев назад
Mungu awabariki sana,Good work.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 7 месяцев назад
Ila tuppy😂😂😂 ana vituko Asante kwa kukutia moyo
@AbigaelAroni
@AbigaelAroni 27 дней назад
Naomb connection ya kaz wapendw
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 8 месяцев назад
Kidali kishachukuliwa na kunguru kitambo sanaaaaa😂😂😂 eti Tuppy anatafuta kidali cha mzungu kiko wapi😂😂😂😂
@sheillamwinyi7349
@sheillamwinyi7349 5 месяцев назад
Kidali ndio jamani?
@debralawa7842
@debralawa7842 8 месяцев назад
😅😅😅 aluta continua umenipa ujasiri naendelea kutafuta siachi asante da tupy
@leonardmary83
@leonardmary83 8 месяцев назад
Mmependeza ,tupi kabadilika
@TheSalma1999
@TheSalma1999 7 месяцев назад
She is so real
@christinarussambi2161
@christinarussambi2161 2 месяца назад
Online zote huwa lazima ulipie? Kama zipo ambazo hazilipiwi naomba unisaidie unitajie
@Ashreystar8465
@Ashreystar8465 8 месяцев назад
mm napata taab sana nahangaika kutafta bali nashindwa hapa pakulipia,
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Месяц назад
Yaani tuppy jinsi anavyoongea kama namuona dada Zao wa kijiwe nongwa. 😅
@JazilaSiraja-st8cu
@JazilaSiraja-st8cu Месяц назад
Mm mbona mfup lakn nmezaa kawaida tu
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 8 месяцев назад
Mbona naona wewe siyo mfupi na sura yako siyo mbaya.
@AsiaMwaipopo-h7b
@AsiaMwaipopo-h7b Месяц назад
Tuppy
@Adam.k202
@Adam.k202 8 месяцев назад
Nimempenda dada huyu.
@modelroseoscarphilip6482
@modelroseoscarphilip6482 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤ i love her 😀😀
@gewatv
@gewatv 6 месяцев назад
😂😂Huyu dada nampenda bureee, I mean the interviewee. Yani ukiwa naye huchoki kumsikiliza, maana kama mchekeshaji vile, 😂yani ukikaa naye utacheka kutwa kucha
@Thyme938
@Thyme938 8 месяцев назад
Isee, kweli maisha yanatafutwa
@Serenawilson11
@Serenawilson11 8 месяцев назад
Hata mzungu wangu hatak nivae mawigi
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 7 месяцев назад
Tupiy nimekupenda Bure
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 3 месяца назад
Ana vichekesho. Sana
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 8 месяцев назад
Nimegundua uwe unakubaliana na ukwer usifos sana mambo na using'ang'anie vitu wakati mwengine ujifunze kuwa muelewa
@user-zy2tr7nz1c
@user-zy2tr7nz1c 3 месяца назад
Hongera dada umenifanikiwa lkni😂😂😂😂tumejifunza
@ElionaraBandola
@ElionaraBandola 4 месяца назад
Umenifurahisha sana Tumpilike😅😅😅
@floraemeeelias7840
@floraemeeelias7840 8 месяцев назад
Dada kujiunga na darasa lako Ni shingapi? Na unalipia Kwa njia gani?
@rahyanadam8328
@rahyanadam8328 Месяц назад
Nice interview 😂😂
@mourineben3026
@mourineben3026 8 месяцев назад
😆😆Jamn mie hoi enewey good story
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 8 месяцев назад
Shena mimi nataka umfundishe mwanangu private, nikiasi gani? Mimi niko USA.
@nashalyjoseph1755
@nashalyjoseph1755 5 месяцев назад
Ila Tuppy mnyakyusa mwenzangu😂sishangai wanyakyusa tukogo real hatunaga kupinda pinda halafu tunajikubarigi balaaa
@user-vk2qz9zo5r
@user-vk2qz9zo5r 7 месяцев назад
Nifundishe namna ya kupta mzungu na mimi jmn😊😊
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 8 месяцев назад
Mhh kiasi chake
@user-hu5qi4nl1i
@user-hu5qi4nl1i 3 месяца назад
Huyu dada anavibe yaan😅😅😅😅
@IreneMwanaa-zo2wz
@IreneMwanaa-zo2wz 8 месяцев назад
Daaa! Tupy hatari
@gracekessy9150
@gracekessy9150 8 месяцев назад
Aww ❤tuppy wetu ana story tiktok ndio usiseme
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 8 месяцев назад
Tiktok anatumia jina gani
@olivianiwagila3109
@olivianiwagila3109 8 месяцев назад
Mimi napenda tu Tuppy,jinsi anavyojua kujipoza na kuchukua commission zake...😂
@siasia5469
@siasia5469 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mmejua kunichekesha tuppy na mzungu wake wote kimo sawa 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@upendogreutert199
@upendogreutert199 8 месяцев назад
Hakuna kuchoka mpaka ndoto yako itimie ukisusa wenzako wanakula, yaani hata ukikutana na tukio potezea aluta Continue 😂 mbele kwa mbele
@annatemu4488
@annatemu4488 8 месяцев назад
Nimempenda sana Tuppy❤❤
@MathayoLoboi-uw2uj
@MathayoLoboi-uw2uj 5 месяцев назад
Je mwisho wake?
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅😂 nakuf kwa kucheka jmn
@hatiagk4447
@hatiagk4447 2 месяца назад
Binti hatari vichekesho tupu
@Ashreystar8465
@Ashreystar8465 8 месяцев назад
da shena uki.aliza nisaidie majib yangu nafanyaje ili kuweza kuongea na patners kwa uhuru.
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 8 месяцев назад
Unajua kuna kitu najifunza,if u born for something to be ndani yako akikatulia mpaka kitokee lkn yule ambaye ajazaliwa kwacho ataelewa maana hakitamsumbua maana hajazaliwa kwacho
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 6 месяцев назад
Da Shena unaupiga mwingi unawaleta watu mbali mbali wanafurahisha na kufundisha kwakweli
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 8 месяцев назад
Mbona kidali hakuonekani tenaaa😂😂😂😂🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
@SaraphinaKweka-rp1lg
@SaraphinaKweka-rp1lg Месяц назад
Kwa hiyo ukiwa na umri mkubwa hupati mume wa kizungu shena hata kibabu jameni
@otatchabeartrice5569
@otatchabeartrice5569 8 месяцев назад
Unanichekesha sana wanje 😂😂😂😂😂mpaka nalia sana
@helinahenry2363
@helinahenry2363 8 месяцев назад
😂😂😂Manager masoko, wateja tumetaradadi hapa😂😂
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 7 месяцев назад
Hizi story zinaondoa stress, uwiii😂😅😂
@nishamwenendi-vh4wk
@nishamwenendi-vh4wk 8 месяцев назад
Leo tumeingilia humu😂😂😂😂ila nime enjoy
@victorianambololo5718
@victorianambololo5718 8 месяцев назад
Yaani mm kila siku nachelewa live zako Shena,huwa unakuaga live siku gani? Kingine, dating chat nazokutana nazo ni za kulipia,labda basi nilipie ya mwezi mmoja,je ukiisha wataendelea kunikata hela zaidi?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 месяцев назад
Victoria Karibu darasani Namba za WhatsApp +4367764790884
@LucyNyagabona
@LucyNyagabona 3 месяца назад
Tunaomba utuwekee whatsap no zako plz maana tunalipia ila atuelewi nivena ungeweka no zako kwajili ya kutusaidia sisi tusio elewa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 месяца назад
Kulipia nini ?
@florencegamaya9277
@florencegamaya9277 4 месяца назад
Puppy yuko wapi natamani niwe na mawasiliano nae jamani
@boblatino3899
@boblatino3899 5 месяцев назад
Dada yuko open sana
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 8 месяцев назад
Moja ya vitu nmependa kwa uyu dada ana akili sana yuko vzur sana kichwana nmependa namna alikuwa anajiongeza kupata riziki kwa izo % zake😀😃😄😀
Далее
HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
53:51