Тёмный

BAADA YA MZEE WA MIAKA 65 KUPONA KTK UBORA WAKE NGUVU ZA KIUME OTHMAN MAIKO AAMUA KUIELEKEZA LIVE. 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 231 тыс.
Просмотров 127 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@ZulfaMohamed-n3t
@ZulfaMohamed-n3t 15 дней назад
Asalamu alaykum nashida ya kuongea na huy shekh namptaj nisaidien plees
@ngamiazukhty3126
@ngamiazukhty3126 Год назад
Mashaa ALLAH shukran kwa somo
@jumamwindadi
@jumamwindadi 5 месяцев назад
Assalaam Alaykum. Mimi pia nasumbuliwa na tatizo hili la nguvu za kiume. Leo nimebahatika kisikilza mchanganyo wa dawa 13.Lakini ni kweli dawa moja inkosekana kama walvyo gundua wasikilizaji wengine nabado mimi binafsi sijapata jibu ya hiyo dawa inyokosekana. Pia mimi naomba Aya/Sura rukya za kusoma na kama ipo dawa kamili iliyokwisha andaliwa ya mchanganuo huu na bei yake tafadhali Skh. tutajie. Wabillah Tawfiq.
@YusufChiko-d4w
@YusufChiko-d4w Год назад
Asalam aleikm warahimathullahi wabarakatuhu sasa sisi wenye tuko Kenya Mombasa tutazipata vp hizo dawa innsha Allah
@ghaniyyatkinyogoli8214
@ghaniyyatkinyogoli8214 Год назад
Nend duka la daw za asil
@Albertmusita
@Albertmusita 10 месяцев назад
Marikiti
@ridhiwanisaidi-gs5tf
@ridhiwanisaidi-gs5tf Год назад
Maashaallah, Allah akulipe kheri shekh wetu kwa faida hizi adhwiim, ilaa dawa ya 9, hatujaisikia.
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 Год назад
ni kweli namba 9 imerukwa
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 11 месяцев назад
Dawa ni 13 na zote zimetajwa
@EmanuelMoshi-ss4ec
@EmanuelMoshi-ss4ec 3 месяца назад
Hajataja
@mwalimumlaula6167
@mwalimumlaula6167 Год назад
Tatizo Sheikh wetu tunakuomba kwa niaba ya Allah ututajie mchanganyo wa 13,umetutajia michanganyo 12 pekee,pia tunaomba uwe ukitujibu tunapokuuliza maana umejitolea kwa ajili ya Allah kuelemisha Ummah
@SaidHaruna-k4b
@SaidHaruna-k4b Год назад
Assalam alkum mm tatizo langu Nina mshipa watumbo umenizuya damu ya hedhi naumwa Sana he nifanyeje
@JamalDaud-d2o
@JamalDaud-d2o Год назад
MaShaAllah Allah azidi kukupa umri mrefu tuzid pata faida toka kwako
@ibrahimcollow1789
@ibrahimcollow1789 11 месяцев назад
Shukran shekh Othman
@ukhtiamina776
@ukhtiamina776 5 месяцев назад
Shekhe jazakallahu khaira
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 Месяц назад
Kila mtu anaweza kuwa na aina ya tatiz tofauti ya tatizo kma pressure , uzee au kaswende nk ni vizuri kwanza kufanyiwa uchunguz wa vipimo
@BadruChallyg
@BadruChallyg 2 месяца назад
Shekhe hiyoda kama nikihitaji unaweza kuniuzia
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n Месяц назад
Shukurani Dr
@kit-thsabanyene9752
@kit-thsabanyene9752 7 месяцев назад
Sasa cheikh Michael nina swali kwako nikikufuata na nikiwa hapa Congo/ Lubumbashi. Naomba uniruhusu niyaeleze matatizo yangu ya afya. ( Canser,tezi dume,kukosa nguvu za kiume... 24:16 dume,
@AbdiKadirKanu
@AbdiKadirKanu Год назад
asalamwaleikum sheik shukran kwa darsa nakufatilia vizuri mungu akulipe inshaala
@ismagatarama1285
@ismagatarama1285 Год назад
Aslm alkum walahamatullah wabarakatuh sheikh nauliza dawa hiyo bai gani na nitayipata aje
@AbdillahAli-k6y
@AbdillahAli-k6y Месяц назад
Jamani munauliza namba zak mutaptaj wakat kwenye hiy vedeo namba sizipo?
@MwinyiMwinyihija
@MwinyiMwinyihija Год назад
Shukran sheikh
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Год назад
Asslam Alaikum Waramatullah Wabarakatu Tulikuwa Maakini Sana Kwa Izo Dawa Ila Mumokosea Dawa Moja Kuitaja Kma Amtokali Mnaweza Kurudira Iyo Dawa Ili Ikalimike 13 Yyi Mumechanganya 12 😢😢😢
@jafaryibrahim4368
@jafaryibrahim4368 11 месяцев назад
kWELI
@kassimkamtande735
@kassimkamtande735 11 месяцев назад
​ 10:42 10:45
@RamadhaniOmary-g8z
@RamadhaniOmary-g8z 8 месяцев назад
Shukran shekhe letu
@SaidiBatungwanayo
@SaidiBatungwanayo 8 месяцев назад
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheh tunashukuru sana kwa dawa izo mimi nipo cape town south Africa tapata iyo dawa vipi?
@MwanamkuuTaib-j9u
@MwanamkuuTaib-j9u Месяц назад
Yaitwaje ustadh hiyo daws
@ShafeeAthuman
@ShafeeAthuman Год назад
Asalam alykum sheikh mm nahitj hy dawa naipataje kutoka kwako orginal
@alimanzele9557
@alimanzele9557 Год назад
Asalam alaykum mm nko kenya mombasa je naeza pata hii dawa na n kwagarama gana
@ibrahimmaulid2704
@ibrahimmaulid2704 Год назад
Sheikh namba ya simu yako vp Kuna mambo ya kujadili juu ya tiba yako sheikh thks
@AlexGLyimo
@AlexGLyimo Год назад
Hiyo dawa inaitwaje maana jina hujalisema ili tuweze kuinunua na kuitumia. Wapi watu wengine tumehamasika nayo.
@jerrymcbride2230
@jerrymcbride2230 Год назад
I wish u can say those names in English too
@Rapidscity
@Rapidscity 8 месяцев назад
Kindly explain in english
@MwanamkuuTaib-j9u
@MwanamkuuTaib-j9u Месяц назад
Kama hukupata maziwa ya ngamia ustadh itakuwaje
@KhadijaNassor-x4u
@KhadijaNassor-x4u Месяц назад
Salamalykum shekh tuandikie kwamajina huo mchanganyiko ilitulokua mbali tuweze kutengeza wenyewe
@wassisindani7993
@wassisindani7993 Месяц назад
Mimi Niko congo DRC Niipatee djee
@Assani123
@Assani123 Год назад
Swml imamu tutapatadje iyi Dawa Congo ? Upande wa mokambo njiya ya kwenda lubumbashi.
@DaudishabaniHakizimana
@DaudishabaniHakizimana Год назад
Assala alaikum warahmatullah wabarakatuh vipi halizenu? Kwa watu Burundi dawa iyo waipata vipi?
@MariamSalim-f3t
@MariamSalim-f3t Год назад
Shukran sheik wangu naomba namba yako
@conniekimaru705
@conniekimaru705 Год назад
Kindly uwe pia unaeleza na kiingereza please to those who don’t understand Kiswahili properly
@daddirihamadi4985
@daddirihamadi4985 Год назад
Sio bahati yako kama hujui kiswahili
@salzkhansalz6347
@salzkhansalz6347 Год назад
Aslm alkm sheikh maboga ninini hukukenya twachanganyikiwa hatujui maboga ninini
@sultanasalim5177
@sultanasalim5177 Год назад
Pumpkins seeds
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Sasa kinamama hicho ndio chakula cha wanaume , mahsusi kwa maumbile ya uzazi ya kwao, nguvu za mwanaume huletwa na vyakula hivi, ugali, maharage,kuku, wali, na vyakula vya kila siku ni vya kuupa mwili nguvu tu, lkn kwa kitandani hii ndio dawa mujarab
@SalamaMakame-b5s
@SalamaMakame-b5s 8 месяцев назад
Asalamu alaykum shek mm nipo zanzibar ntaipataje
@shuweyaabdulkarim3261
@shuweyaabdulkarim3261 10 месяцев назад
Mashaallah
@philipsaleh
@philipsaleh 9 месяцев назад
Tumeiskia dawa yako shehk ila tutakupataje ili tupate maelekezo zaidi?
@mkmwayama4534
@mkmwayama4534 Год назад
Asslam alaikum...ina expire baada ya muda gani
@brunonguma3152
@brunonguma3152 Год назад
Nimefurahia somo lkni je dawa no. 9 mbone hujaitaja. Dawa hizi ziapatikana wapi.
@abdulhakimhussein6039
@abdulhakimhussein6039 Год назад
Samahani naomba numbers za Cheikh za WhatsApp ! Nisaidiyeni Ndugu zangu
@SalumHaji-ys4nj
@SalumHaji-ys4nj Год назад
Maashaallah
@jumannemaganga-yu7ky
@jumannemaganga-yu7ky Год назад
munapatikana wapi hapa zanzibr nataka yaguvu zakiume ilokamilika muchaganyo ote
@mamdiakite698
@mamdiakite698 10 месяцев назад
Naam❤
@SogoyaSogoya
@SogoyaSogoya 2 месяца назад
Nitumie namba tafadhali
@MarwaMsela-zx5wr
@MarwaMsela-zx5wr Год назад
Doctor unapatikana wap maana nam nahitaji dawa maana ninatatizo la nguvu za kiume
@issaiddy1295
@issaiddy1295 Год назад
Asalamualikumu warahmatullah wabarakatu shekh mimi niko swiss sijuwi nitaipataje iyodawa
@delvinaemanel2519
@delvinaemanel2519 Год назад
Waslmu walekum Niko Kenya nikitaka nitaipataje
@OBEDIMikoba-no9rb
@OBEDIMikoba-no9rb Год назад
Na Mimi naitaji dawa hii ninaishi Zambia je ninawezaje kuipata nina umri wa miaka 65
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Ssa utamkuta m’me wa siku hzi shida tupu cha kukila mtihani anakwenda kutafuta dawa za kuongeza nguvu anakula halafu anakwenda kutafuta wtto wa watu 2,3 au 4 anaoa anaanza kuwatesa kwa kufanya kazi yy akiguswa hana pesa.
@zawadidagamra4106
@zawadidagamra4106 Год назад
Assalmalkm, huku Kenya tutazipata wapi? Count ya Kilifi. Mashallah Allah akupe kheri utupe mafunzo.
@Cute-jh4jw
@Cute-jh4jw 10 месяцев назад
Sheikh nimekufuatia sana ila mmeruka kitu cha 10
@NancyKwamboka-b3z
@NancyKwamboka-b3z Год назад
Hayo Maziwa yanachemshwa au?
@ElaviusCharles
@ElaviusCharles 9 месяцев назад
Urijani sijakuelewa ni mmea gani au unajina lingne hapa tanzania
@jumachengo2677
@jumachengo2677 Год назад
Hulinjani kiingereza ni nini?
@nishkip791
@nishkip791 11 месяцев назад
Wamama pia wanaweza tumia??
@JumaHamis-q2c
@JumaHamis-q2c 8 месяцев назад
Nimepata elim nashukulu
@Aminamwinyi-t6n
@Aminamwinyi-t6n Год назад
Asalam alikum ,samahani lakini shekhe huwa uko upande ngani, mara kwa ruqia mara ndoto mara mawaidha ili uwe mzuri kwajamb o fulani lazima uwe na istikama,🇰🇪 samahani kama nimekosa
@ukhtiamina776
@ukhtiamina776 5 месяцев назад
Je shekh as wakina mama tutumie ip
@ismailissa3996
@ismailissa3996 8 месяцев назад
Aliepata majibu ya namba 9 atuambie jamani
@sesilialaga5403
@sesilialaga5403 5 месяцев назад
Namwanamke anatumia?
@kasumunigwasa
@kasumunigwasa Год назад
Apo kwenye dawa ya kissunah ni uongo dawa ni jambo la jitihada kwaio hukmu ya dawa ni ibaha hakuna dawa ya kisunnah
@RamaBinda
@RamaBinda Год назад
Akili zako zinakutosha kula na kulala tu. Hayo mengine yapo nnje ya uwezo wa akili yako.
@kasumunigwasa
@kasumunigwasa 11 месяцев назад
​@@RamaBindakasome kwanza jaahil wewe
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 месяцев назад
Dawa za kisunna kwamaana ni dawa alizokua akitumia Mtume Muhammad s.a.w au alizozifundisha.
@MwajumaMkapali
@MwajumaMkapali 8 месяцев назад
Sheikh kunawatu wanakukosoa hao usiwasikilize hawana akili mzuli kama wao wanajua mbona hawafundishi watu kaziyao kukosoa tu hawana lolote usiwaxikilize mapungu hao
@MwajumaMkapali
@MwajumaMkapali 8 месяцев назад
Sheikh usiache kufundisha kwa ajili ya hao wanaekosoa hawana lolote kz kuwakosowa wenzao km wao wamekamilika doctor libanda chingungwe kuchele
@cecilngigi8538
@cecilngigi8538 Год назад
No 9 hakuna please,
@DésiréChirimwami
@DésiréChirimwami 11 месяцев назад
Aksanti Mzee lakini utusaidiye kufasiriya hiki kiungo Cha pili habasauda
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 Год назад
je huu mchanganyiko, mwenye tatizo ya Homa ya Ini itamsaidiaje?
@carolinelucky9199
@carolinelucky9199 Год назад
Hi...nichaganyie hunitumie niko eldoret
@batulimafita8204
@batulimafita8204 Год назад
Hyo dawa bei gani shekh???
@sss3s867
@sss3s867 Год назад
nipe contact no. za kupata hio dawa
@ElaviusCharles
@ElaviusCharles 9 месяцев назад
Abasauda kwa jina lingne ni lipi hapa tanzania
@ridhiwanisaidi-gs5tf
@ridhiwanisaidi-gs5tf Год назад
Allah akulipe kheri, ilaa dawa ya 9, hatujaisikia
@BakariMaulidKhatib
@BakariMaulidKhatib 6 месяцев назад
Shehe iyodawa ntaipataje?
@AmorMasoud
@AmorMasoud 6 месяцев назад
Naomba namba yako yasimu wasap
@carolinelucky9199
@carolinelucky9199 Год назад
How much
@abdulrahmanmwinga3248
@abdulrahmanmwinga3248 Год назад
Yenye Uko Tayari kwa hiyo Mkebe mdogo inaitwaje
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 5 месяцев назад
HABA SODA jina ni hili tu inajulikana kote jina hili.pia ni Kiarabu.
@AristidShayo-h7m
@AristidShayo-h7m Год назад
Dawa bei gani,na nipo kilimanjaro
@ghaniyyatkinyogoli8214
@ghaniyyatkinyogoli8214 Год назад
Ss wa mombasa
@mickmill4342
@mickmill4342 3 месяца назад
Unapatikana wap
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Год назад
*sheikh tupo ktk karafuu nasio hiliki*
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Год назад
Sheikh kijana wko hayuko makini ktk kuhesabu kabisaaa
@ameiramme2548
@ameiramme2548 6 месяцев назад
Jina gani la dawa na inapatikana Duka gani
@MongozKalwa
@MongozKalwa Год назад
Najee kama hujuwi hizo ayah atafanyaje?
@Rapidscity
@Rapidscity 8 месяцев назад
Tuletee hizi data zako nairobi
@Rapidscity
@Rapidscity 8 месяцев назад
Dawa
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Год назад
Cha Tano Iliki Jameni Mtatuchangaya
@alimzee
@alimzee Год назад
Masha Allah 🙏
@dalmondmavoko788
@dalmondmavoko788 Год назад
nimekufata munganga sasa sisi tuko Kivu tuta pata hisomadawa wapi hizo amatupe bamba zako
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Год назад
Jameni Pili Pili Manga Ni Dawa Ya 9 Mbona Muneruka
@YusufChiko-d4w
@YusufChiko-d4w Год назад
Huyo mwenye kumsomea ndio hayuko makini
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Год назад
Ukasema karafuu vijiko vingapi!
@WaziriMvula
@WaziriMvula 9 месяцев назад
Tutajieshee pamoja nadawa
@delvinaemanel2519
@delvinaemanel2519 Год назад
Na ni shilingi ngapi
@SharifaYaru-ev9su
@SharifaYaru-ev9su Год назад
Mimi naitaka hiyo dawa
@ErnestNjuguna-m7f
@ErnestNjuguna-m7f Месяц назад
Nahitaji dawa ni hella ngapi
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
Wapige pesa tuuuuuuu, majin na uchaw shilik tupu
@delvinaemanel2519
@delvinaemanel2519 Год назад
Nimetamani nipate mtoto wa kiume
@oj6595
@oj6595 Год назад
Allah ndo mjuzi wa kIla jambo mu ombe Allah usi ambie Bina damu mwenzangu
@abdullymalambaya
@abdullymalambaya 2 месяца назад
Sheikh iyo dawa ni shingapi
@DavisEthan-t4d
@DavisEthan-t4d Месяц назад
dawaina itwaje nainapatikana wap
@simongitonga8045
@simongitonga8045 Год назад
.nitapata..aje.niko.kenya
@tashone7884
@tashone7884 Год назад
Mpigie number zinapita chini ya video
@MongozKalwa
@MongozKalwa Год назад
Mchefua uchawi inauzwa madukanii ama
@Lutkass
@Lutkass Год назад
Ya madawa asili
@SaddiqRamadhan
@SaddiqRamadhan Год назад
𝘐𝘯𝘴𝘩𝘢𝘢𝘭𝘭𝘢
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Год назад
Kuuliza 2 Karanga Ni Njuguu Au
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 Год назад
Ndio
@Lutkass
@Lutkass Год назад
Ndio
Далее
Tiba na Makosa ya Lishe ya Mgonjwa wa Kisukari
42:28
Просмотров 33 тыс.