Тёмный
No video :(

Baadhi ya mitaa ambayo Mwalimu Nyerere alipita na kuishi wakati wa kupigania uhuru 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 3,3 тыс.
50% 1

Baadhi ya mitaa aliyoishi na kupita Mwalimu Julius Nyerere wakati akipigania Uhuru wa Tanganyika zaidi ya miaka 70 iliyopita.
Tupite wote pamoja na Mchambuzi Mohammed Said na Mtangazaji Jafari Mponda

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@DoctorKajase
@DoctorKajase 2 месяца назад
Huyo mzee mohamed said namkubali sana na nindie mzee pekeee aliyebakia mwenye uwezo wa kuielezea vizuri historia ya Nyerere Hata nchi yetu kwasasa wengine ni wababaishaji tu. Sijui kama hata Makongoro ataweza kuielezea Historia ya babayake kwa ustadi namna hii. Namkubali sana huyu Mzee saidi. Makala zake Nyingi Nimezifuatilia.
@emmanueligohe7276
@emmanueligohe7276 Год назад
Wanazuoni wanatakiwa wakaae na huyo mzee ili waweze aandika historia nzuri sana ya Mwalimu na mwanzo wa nchi yetu.
@ayoubabdullrahaman6120
@ayoubabdullrahaman6120 Год назад
Vitu hiv uvipati popote zaid kwa Mohamed Said😭...wenye mji wetu...dah huruma sn....
@hamynas
@hamynas Год назад
mohammed said hapa siyo yule nayemjua ktk presentation zake nyingine...hapa anaongea kumsifia sifia nyerere
@mwanakupona
@mwanakupona Год назад
We tamka vizuri we mtu WA makumbusho si Nyerele...😅
@ayoubabdullrahaman6120
@ayoubabdullrahaman6120 Год назад
Msikilize Mohamed Said...alaf msikilize huyu mtoto anaezungumza kwenye makumbusho ya taifa yaan mbingu na ardhi...mtoto uwezo mdogo sn....dah huruma sn....
@SalumKanju-ik1bk
@SalumKanju-ik1bk Месяц назад
Hapa makumbusho mbona kuna gari tu za mwingereza yan kabla ya uhuru uyo nyerere aliruhusika vp kutumia gari hizo? je mbona hakuna gari ile ya Dossa Aziz TZK 570 Mandolin iliyotumika kumchukua nyerere pugu na minak siku za ijumaa mchana kumleta kariakoo kwenye harakati na kurudisha pugu jumapili jioni kabla haajacha kaz ya ualimi......
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 11 месяцев назад
History nyingi imefichwa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
✌👊
Далее
Haile Selassie: King of Kings
25:29
Просмотров 1 млн
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 342 тыс.
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 464 тыс.
Yana bir yangi qo'shiq YORAM BIYO | Yaqin kunlarda
00:57
How to cure yourself of evil eye, sihr, and jinn
7:49
Просмотров 3,4 тыс.