😂😂😂😂😂😂👍 Jamaa ananifurahisha sana anapomzungumzia Msechu, napenda mzaha wake na alivyo consistency kwny maongezi yake. Very funny and straight!!! Big up brother kwa kuvumiliana kwny matani na kutupatia burudani adhimu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 MIMI NAKUPENDA JU UKO KAMA COMEDY KABISA ZAIDI YA MZIKI HUKUCHUKIA UNAVYO MUINGILIA HARMONIZE NA HAMTOSHANI KWA UMRI NA LOLOTE ILA LOVE YOU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇨🇿
Inakuaje baba levo unamchukia mselaa asee tambua sote ni waja wa allah aipendezi kabis ukiangalia baba levo yuko kwenye mfongo wa ramadhan aiswii kabis hata mbele za mungu uko ni kumkosoa mungu juu ya peter sio poa asee? Shukuru mungu kam wewe umejaliwa mkamilifu mungu akusamehe kwa hlo