Mm ni yangaa yanga yetuuu piga kelele Kwa RAIS 💯💚💚💚💛💛💛tukovizurii mtani ujipange mwenyenzi munguu akutie nguvu kwakira jambo yanga ooooyeeeeee💚💛💛💛💛💚🙏🙏💪💪💪💪💪
Hii ndiyo faida ya taasisi yoyote ile kuwa na rundo la wafanyakazi vijana ambao damu inachemka, ubongo uko active wakati wote,utani kidogo ( kwasababu wote rika lao liko sawa). Hii inaathiri hata utendaji kazi wao katika namna chanya. Ndio maana katika kila kitengo, this team performs well. Ila katika kitengo mmekitendea haki kwa kuajiri vijana,basi ni sekta ya habari na mawasiliano. For sure, wako vizuri sana. Anyway, Glory Young Africans ✊✊
Ninataka KUJISAJILI mimi nipeni njia niko mkoa wa arusha wilaya ya karatu pia yanga mbele nyuma mwiko hongereni sana Mwenyenzi🙏 mungu awatangulieni INSHAALLA
Jamani kwanza Assalam alaykum pili nawapongeza woote tatu napenda nimuombee dua enginer Heris Said Mungu amzidishie Imani zaidi ya hiyo aliyonayo na amjaalie iwenichanzo cha kuingia peponi yeye na wazazi wake na sisi tukiwa nyuma yake 🤲🤲👌😂
Hahaaaa,ety kiswahili Cha rombo💚💚💚 Yanga inanipa Raha Hadi nasahau baadhi ya changamoto za kimaisha Rais tunaomba pia muangalie namna ya kuboresha kikosi tupate 3points kama kawaida yetu lakini magoli bado maana huku mtaani tunashambuliwa balaa na madund..