Тёмный

BABA YANGU KIPOFU Full episode /12/  

BabaJoan
Подписаться 383 тыс.
Просмотров 237 тыс.
50% 1

#love

Приколы

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 920   
@BabaJoani
@BabaJoani 2 дня назад
JAMANI COMMENTS ZENU ZOTE NINAZISOMA KWAIO USIACHE KUKOMENT KWA KUHOFU KWAMBA SITOIONA COMMENT YAKO, ENDELE KUTOA COMMENT ILI NIZIFANYIE KAZI ASANTENI, NAWAPENDA MNO WATU WANGU MUNGU AWABARIKI
@user-he3nz6gt3d
@user-he3nz6gt3d 2 дня назад
🇰🇪 Usijali tpo pamoja Hku kenya tunakukubali sana broo🇰🇪 We jembe brother.
@lucyodhiambo5554
@lucyodhiambo5554 2 дня назад
Tunakupenda 😂😂hata kuliko mabwana zetu endelea kuleta zingine utuchangamke hapa RU-vid 😂😂😂😂bwana yangu asisome hii comment sita lala nyumbani leo jamani 😂😂😂
@MERCYmercy-rl3lu
@MERCYmercy-rl3lu 2 дня назад
Tunakupenda sana baba karobo ❤
@amarikakozi8452
@amarikakozi8452 2 дня назад
Nataka number yako brother
@ZiadaNiyinkuru
@ZiadaNiyinkuru 2 дня назад
❤❤❤❤ nakupend san munachez vizir
@alexandrodieumerci8955
@alexandrodieumerci8955 2 дня назад
From Burundi 🇧🇮 mjue kuwa mnanibagua sana maana sijapewa hata like 10 , jameni
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 2 дня назад
Hapana jaman❤❤ karibu sana
@jonnyndixh9414
@jonnyndixh9414 2 дня назад
​@@SadaKigwangalahyo like unataka haijafika
@user-jy4nk5ge8z
@user-jy4nk5ge8z 2 дня назад
❤❤
@mpajibinaisa7238
@mpajibinaisa7238 2 дня назад
Oyaa ntakibhazo ilike ngizo ngaho tola
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 2 дня назад
Sisi kama wa tanzania atunaga ubaguz ndugu kama like utapata tuuu😂
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f 2 дня назад
Leo20 kutoka 🇧🇮🇧🇮 naomba like zangu🎉❤🎉
@herenherman8077
@herenherman8077 2 дня назад
Mambo zako❤
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f 2 дня назад
@@herenherman8077 poa
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f 20 часов назад
​@@herenherman8077Poa
@user-mv6vi1gv6f
@user-mv6vi1gv6f 15 часов назад
​@@herenherman8077fiti
@MashMashile
@MashMashile 2 дня назад
Baba Joan love your movie mw w maisha unanifundisha sana ...unafundisha maisha
@user-nu2jz8wx2k
@user-nu2jz8wx2k 2 дня назад
Jamani Baba kalobo pole uyo mwanamke hakufai kabisa ila tunakuombea uweze kuludi kweny Hali yako ya kaswida ❤❤❤❤
@zarejapheth7247
@zarejapheth7247 2 дня назад
Aki msisimko wa mamake Karobo linaniingia hadi kwenye nyonga, huyo hatari sana, nasahau eti ni kuigiza tu namuona kama Shetani huyu, Karobo ana akili huyo mtoto anipagawisha, Mungu awajalie makubwa mema
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 2 дня назад
Kazi safi Sana hongereni Baba karobo unatufunza Sana mambo mengi mungu ashidi kukuongezea kupita hapo ulipofika🎉🎉❤
@sandejacob623
@sandejacob623 2 дня назад
naomba fashion atengeneze nyimbo ya baba yangu kipofu , itakuwa vizuri sana
@SmilingCaterpillar-yy3jc
@SmilingCaterpillar-yy3jc 2 дня назад
Baba joan naomba nami nipatie scene Moja nawew from MWANZA. NAPENDA sana kazi zako
@perissigano
@perissigano 2 дня назад
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 likes zikuje❤❤❤
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx 2 дня назад
Jamn waooooh❤🎉 mpewe mauwa yenu
@DamarisDammie
@DamarisDammie 2 дня назад
Dakika ya kumi huyu mama karobo angemwagiwa tu kwa mdomo ili afunge hiyo mdomo ako n kiherere xx watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@amosbarasa3516
@amosbarasa3516 2 дня назад
😂😂😂😂😂 She's amazing I say, I like how she acts
@DamarisDammie
@DamarisDammie 2 дня назад
@@amosbarasa3516 huyu n moto jameni 😂😂😂
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 дня назад
😂😂😂yaan kwel aki anakera kinyama wallah😂😂😂😂
@amosbarasa3516
@amosbarasa3516 2 дня назад
@@ashamwanganzi6400 but sio Kwa ubaya
@MiriamKiroko
@MiriamKiroko День назад
Also in Kenya 🇰🇪
@etsareliza6687
@etsareliza6687 2 дня назад
Yaani kila m2 niwakwaza anaomba like haya na wamwisho tutaomba nini. Baba kalobo hongera sana na ma.kalobo kacheza vzr 🎉🎉
@J74251
@J74251 2 дня назад
Kutoka Kenya Hapa Niko nakufatilia mwanzo mwisho Kaka kazi nzuri Sana ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉❤
@constantinndayishimiyenshu4948
Thank you baba Kalobo from Rwanda
@suleimankipyego5143
@suleimankipyego5143 2 дня назад
Nipeni like jamani mimi mkenya nko Canada 🇨🇦
@user-sk7un6ls2t
@user-sk7un6ls2t 2 дня назад
Sijawahi pata like me nawapa nyie tu na mm naomba 😢😢❤😂
@tresorkinyeshe6965
@tresorkinyeshe6965 2 дня назад
Kweli baba lobo nimusanii kaabisa anaombwa ku like vidéo zakwake na musahada ila number 13 siiyone sijuwe kama hipo de njo mwisho
@Phoebenafula
@Phoebenafula 2 дня назад
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪Naomba likes
@stevedavid1198
@stevedavid1198 2 дня назад
From Nairobi Kenya 🇰🇪 hizo likes jamani
@user-fr4wf5sl2r
@user-fr4wf5sl2r 2 дня назад
Jamani leo nim wahi hata ddakika haijaisha naomba like zangu from burundi
@user-nc3rr1vv5r
@user-nc3rr1vv5r 2 дня назад
Wakwanza Leo nipeni likes zangu kutoka kenya
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 2 дня назад
😂😂😂😂
@jemeswambua3174
@jemeswambua3174 2 дня назад
Dio wakwaza Leo kutoka 🇰🇪
@Mwinyh-lp1mo
@Mwinyh-lp1mo 2 дня назад
1:38 tembere limengia mkojo 😁😁 tutakula 😂😂😂😂
@stivemgonja4657
@stivemgonja4657 2 дня назад
Mnahangaika na like lakin kulike za wengine aaah
@niyogushimadorine6086
@niyogushimadorine6086 2 дня назад
Nimechelewa nawapenda sana team kalobo tujuane. Fromm Burundi 🇧🇮 ♥️ ❤️ 💖
@user-pq1ot2or9u
@user-pq1ot2or9u 2 дня назад
Part 13 I don't want to miss any part am sending love from Uganda 🇺🇬
@sikujuakigwada3146
@sikujuakigwada3146 2 дня назад
Wakwanza leo, likes zangu nataka
@chantalmariesony2996
@chantalmariesony2996 2 дня назад
😂😂😂😂 baba kalobo ongera sana mukojo munakojowa Kwa ndoo😂😂😂 zujath muongo kwenye Glass 🍷
@HendriBunuas
@HendriBunuas 2 дня назад
Baba karobo anaweza 👍mimi kutoka MZ nigongeh like 20 tu
@Sakina-jl6fn
@Sakina-jl6fn 2 дня назад
Nipitieni uku twendelee na safari
@RoseOdilo
@RoseOdilo 2 дня назад
Movie nzuri ila kuna hawa mke na mume wakujikojolea hawana maana yyte wala hakuna funzo tunalolipata kwao jmn ni kutuchukulia muda
@KelvinKalinga-rf4jt
@KelvinKalinga-rf4jt 2 дня назад
😂😂😂😂 Hilo kojo amelinywa leo dadeki
@JacklineAlivitsa-cj5ir
@JacklineAlivitsa-cj5ir 2 дня назад
nimefurahi leo.kutoka kenya nafatilia mno.like hata mbili mtaridhika
@ksaskaka
@ksaskaka 2 дня назад
Kazi nzuri sana baba karobo ❤❤❤
@PriskusMarunda
@PriskusMarunda 2 дня назад
Nimekuwa wakwanza naombeni like zangu
@user-martins
@user-martins 2 дня назад
Siwezi kukosa kuwa pamoja nanyi kwa ali nnanikosha. Kutoka Moçambique. Naomba like zangu
@user-rk1uq3ht4z
@user-rk1uq3ht4z 2 дня назад
Plz leteni episode ya 13 haraka plz kazi nzuri sana🎉🎉🎉
@zephbaraka
@zephbaraka 2 дня назад
Mnipee like leo... Kazi safi nmekuwa nkiifuatilia Sana Kwa muda.......Kenya tunaipenda hii sana
@FlayLizzy
@FlayLizzy 2 дня назад
Baba kalobo anajuwa kuingiza kama kipofu natamani niwe kama yeye❤❤❤
@user-pu7fm5ik9c
@user-pu7fm5ik9c 2 дня назад
Naombeni jamani muwe mnawahi kuzitoa ni nzuri sana tunazimisi sana mkichelewesha
@amosbarasa3516
@amosbarasa3516 2 дня назад
Us Kenyans 🇰🇪 we are proud following daily Bro, Kazi nzuri sana pongezi sana
@AliIbrahim-gg2sx
@AliIbrahim-gg2sx 2 дня назад
leo kdogo nimewahi likes zangu plz.
@AksantibiganikiroJoel
@AksantibiganikiroJoel 2 дня назад
Napenda sana asante Joël form congo ❤❤❤
@VanessaSide
@VanessaSide 2 дня назад
❤❤❤❤❤
@mvinyo99
@mvinyo99 2 дня назад
Hongera Kwa KAZI nzuriii baba Joan Waomb likes toen maonii KIPI kiongezeke au maoni mengne sio kuomba likes tu😊
@RehemaNyevu-kk1ms
@RehemaNyevu-kk1ms 2 дня назад
From Kenya naombeni likes
@KambaleMbangale
@KambaleMbangale 2 дня назад
Leo Wakwanza mimi
@Jamespandei
@Jamespandei 2 дня назад
kazi nziri form kenya
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 дня назад
Nyuki yaan ww utafka mbingun umechoka sana, lkn hongera
@abedsaidy7263
@abedsaidy7263 2 дня назад
😂😂
@nyukitvonline
@nyukitvonline 2 дня назад
😂😂😂 Asante
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 2 дня назад
@@JullianaEmmanuel-tm5xg alitakiwa awe mchungaji wa ukweli
@user-dz4pz3oz8f
@user-dz4pz3oz8f 18 часов назад
​@@nyukitvonlinemwendelezo wa ndoa ya kahaba
@RosaVicenteMulota
@RosaVicenteMulota 2 дня назад
Mama karobo utakoma tu huo mwanzo tu😂
@user-qn3ul4ju4x
@user-qn3ul4ju4x 2 дня назад
From Burundi Sas nao omba like munazipeleka wp jaman😂 bol mutoe maon ety like zangu daah! Ongelen Jaman next ep naigojea
@MCMussa-tl8kn
@MCMussa-tl8kn 2 дня назад
Wakwanz jaman naomb like hata 10 maan nimejitahid kusubir sana♥️♥️
@JoffiAlenga
@JoffiAlenga 2 дня назад
😢😅😂😂😊 Jr has been in a rush with my family's and cool house in the morning 😁 I think I want you guys to sell the car and the car is my favorite color I think I want to sell it for you and I want you to be a good friend of mine too lol and
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 дня назад
Ila ukiomba kwa Iman unapona, na sio kuamin mtu
@fredrickowino3
@fredrickowino3 2 дня назад
Nawafuatilia sana kutoka huku kenye kazi nzuri sana ila munachelewa sana
@ishararamazani1
@ishararamazani1 2 дня назад
Nitafurahi kwa mwisho baba karobo aone alaf aifanye siri ili aone mambo ya mama karobo nawaza ndjo itakuwa utamu wa hii kitu
@JAPONAISMBUTOBINSIKU
@JAPONAISMBUTOBINSIKU 2 дня назад
mama karobo kiboko nabado atatafuta waganga wakihenyeji ili amutafute kumuhuwa baba karobo. niko congo❤
@AsmaRamadhani-ok6iv
@AsmaRamadhani-ok6iv 2 дня назад
Nyuki hahhahahahahahahahhaah umenifurahisha san pia umetusabraiz wana baba joani
@user-dz4pz3oz8f
@user-dz4pz3oz8f 18 часов назад
Tena so kitoto kaua balaa
@InnocentSeth-k1f
@InnocentSeth-k1f 2 дня назад
Vizuri kwa jinsi munavyo endelea kufanya kazi Ila huwa munachelewa
@lucykellymlenga-nm1br
@lucykellymlenga-nm1br 2 дня назад
Jamana nawaomba like hata moj TU jamn
@scompanyswahili3024
@scompanyswahili3024 2 дня назад
Huyu mama karobo huyu mimi simpendi ila hii character kapatia hongera mama karobo
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 2 дня назад
Maombi weeeeeeh 😅😅😅😅😅😅😅 Utapeli mama Kalobo shauri yako Ubaya utakurudia Baba Kalibo tunasubiri ukweli 🎉
@hagayinkundimana
@hagayinkundimana 2 дня назад
Muombaji Mukora sana Link kwangu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@iyumva-jonas
@iyumva-jonas 2 дня назад
Unajua Baba Joan, hutwo tuneno twa kiha twa mchanganyiko, hua najihisi vizuri kwani unajua kinafanana na Kirundi chetu 🇧🇮. Yaani "ndisovyeko, bileke bigende ibindi biloza" na mengineyo. Ukiyapitishia hayo, unatuburudisha sana sisi warundi halafu pia na waha wenzetu. Hongera sana.
@SarahBimuloko
@SarahBimuloko 2 дня назад
Najuliza kwa nini apo mwanzo ya iyi films peko watu wenye shepu néné nene
@philohmutua2968
@philohmutua2968 2 дня назад
Team hamam nini nafwatilia baba karobo nikiwa tabuk. Nawewe❤❤❤
@user-pm8vd9ni9y
@user-pm8vd9ni9y 2 дня назад
Nani kamuona mchngaji nyukii😂😂😂😂😂😂😂
@AnoriteMungusa
@AnoriteMungusa 2 дня назад
🔥🔥👍👌
@RukundoHamdan
@RukundoHamdan 2 дня назад
Kitu kizuri sana wakwanza nipe lik
@Fadhakir21
@Fadhakir21 2 дня назад
Kazi za sisi waha sio za kitoto like moja kwanza ya baba karobo ❤Nisovyeko😂😂😂
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 2 дня назад
Huyu nyuki kawa pastor lini,naye kazi yake nikuuma watu tu 😂😂
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 дня назад
Nikimaliza kuangalia movie ndo nitakoment vzuri
@SilviaDirecto.
@SilviaDirecto. 2 дня назад
like mama karobo n tabia take mbaya
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 дня назад
Tena yakunuka kama hiloo kojoo amemwagiwaa
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 2 дня назад
Aminia bb karobo ila heee mama karobo tapeli apuliza huku akitafuna 😂nakufuatilieni mwanzo mwisho from yemenia❤hizi story zenye kuelimisha
@user-ec6ow2cx7c
@user-ec6ow2cx7c 2 дня назад
Mchungaji kimekuramba after kufanyia neno la mungu mchezo mama'ke karobo unafanyisha mchungaji dhambi aky hadi akaibiwa kila kitu 😂😂😂baba Joan tuko pamba Kwa pamba tunaenjoy pia tunajifundisha🎉🎉🎉
@BonifasNikodem
@BonifasNikodem 2 дня назад
Pole sana baba joan ninapenda sana movies zako kwasababu ninajifunza mambo mengi sana kwenye haya maisha kupitia movies zako
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 2 дня назад
Kuna wahusika hatuwaoni Kwa Sasa walikua WA moto tunaomba warudishwe kazi zijazo nice job
@user-dx6qd3ox2c
@user-dx6qd3ox2c 2 дня назад
Hahahaaa mama karobo
@oswaldminja8241
@oswaldminja8241 2 дня назад
Movie nzuri sana wangempata kipara Cha umbea ingependeza zaidi maana mpaka Sasa hajatokea ata mmbea mmoja kumchunguza mama kalabo
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 дня назад
Umewaza kwl😊
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 дня назад
Baba karobo "ati siskii kitu" 😂😂😂....Mungu Atakuponya kwa imani yako ❤
@NeymanMaganga
@NeymanMaganga 2 дня назад
nic
@LaurentNdyanabo
@LaurentNdyanabo 2 дня назад
Jamani mama karobo
@user-hv8fg7uu2f
@user-hv8fg7uu2f День назад
Nabarikiwa na movie zenu zina maadili hata watu wazima na watoto wanaweza kuangalia❤️❤️ Baba karobo umeuaaaaaa
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 2 дня назад
Kwa maombi haya hata kama ni ya kinafiki mbn mungu atajibu
@danielgichuhi2504
@danielgichuhi2504 2 дня назад
Inamafnzo jameni video zenu.
@TomFundi
@TomFundi 2 дня назад
Baba kalombo mkojo kwa matembele, zujat kwa glass 💐 chukua maua yako
@PeterMgani-v7c
@PeterMgani-v7c 2 дня назад
Baba joan unajitahidi ~sana kaza buti yan utafikiri mov za. Kinaijeria safi sana nimeipenda
@PatriciaMshanga
@PatriciaMshanga 8 часов назад
Jamn baba Joan penda wew sana movie tamu sana Big up brother
@AsebaleylaDavid
@AsebaleylaDavid 2 дня назад
🎉🎉🎉
@user-xu6on2nt6l
@user-xu6on2nt6l 2 дня назад
Kuna kinyambizi na kikojozi😅😅😅😢
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 дня назад
Umesahau pastor wa mchongoooo😂😂😂😂
@user-xu6on2nt6l
@user-xu6on2nt6l 2 дня назад
@@rosemarenga832 weeuuhh 😅🤦 hawa watanzania wataniuwa bana
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 дня назад
@@user-xu6on2nt6l hahaha 😂🤣🤣 bado ujathema ad utheme
@user-xu6on2nt6l
@user-xu6on2nt6l 2 дня назад
@@rosemarenga832 toka hapa nmesusus venye ulikuwa unataka🤣🤣🤣🤣🤣
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 дня назад
@@user-xu6on2nt6l Sis ndio watanzania🤗
@SarahBimuloko
@SarahBimuloko 2 дня назад
Muchungaji napona,leo leo ,muje kanisani na wewe uko michungaji wa muchongo kanisa unalitowa Wapi ?
@mgityanyahurya8375
@mgityanyahurya8375 2 дня назад
Baba John uko vizuri lakini uwe unawaisha jamani tuna mis sana
@rasoamaelo8759
@rasoamaelo8759 2 дня назад
First to comment
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi 2 дня назад
Wakwanza ❤ Leo jamani like zangu hapa
@IssaAbdillah
@IssaAbdillah 2 дня назад
From kenya 🎉hapa nomaa sna Kwa mkojo 😂😂😂,,,
@suleimankipyego5143
@suleimankipyego5143 2 дня назад
😢😢😢😢😢jamani mbona hii sinema mnamalixia na utamu I'm waiting next season 13
@ChingaKenboy-fz8yr
@ChingaKenboy-fz8yr 2 дня назад
Twende nalo leo🎉🎉baba yangu kipofu
@Daniel-jb9ql
@Daniel-jb9ql 2 дня назад
Kenya tuko... Tumetulia tu...
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 2 дня назад
Mm natoka kagera muleba bugarama naomba liike nijione kama mwanafamiriya ya baba joan
@Everayubu
@Everayubu 2 дня назад
Mm jaman ujue sielew kile kipengelee cha yule mbaba na mke wake wanajikojolea cjui kinamaanaa ganii kweny hii moveee mmeniachaa
Далее
HOUSE GIRL  EP 33 || love story💞💕
22:41
Просмотров 72 тыс.
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43
skibidi toilet zombie universe 34 ( New Virus)
03:35
Просмотров 1,8 млн
HOW DID SHE WIN??
00:49
Просмотров 16 млн
BABAYANGU KIPOFU Full episode /11/ #love
32:56
Просмотров 276 тыс.
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
Просмотров 416 тыс.
KIBAKA EP( 3)
18:19
Просмотров 264
PLAN B _ Episode 3
35:19
Просмотров 111 тыс.
MOYO WA CHUMA FULL MOVIE.   #directorgozi. #hanifa.  #chado
1:55:27
AIBU YANGU  |4| FINAL | Love story❤️😘
26:40
Просмотров 25 тыс.
Бадабум превратился в Оскара
0:33