Тёмный

BURKINA FASO WANATAKA TRAORE ASIONDOKE MASARAKANI AENDELEE KUWAONGOZA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

20 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@kaderbakshamin2345
@kaderbakshamin2345 Месяц назад
Allah amlinde na ahudumie nchi yake na wawe na amani amiin amiin endelea mwamba mungu yuko nyuma yako
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Месяц назад
Yes matrekta kama yote. Safi sana kamanda wa Burkina Faso.
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Месяц назад
Eeee Mungu naomba unijaalie ktk uzao wangu nipate Mtoto Mzalendo na Jasiri kama Ibrahim Traore.
@phelixoluoch1854
@phelixoluoch1854 14 дней назад
Ibrahim is a true leader,,aendelee na uongozi
@rehemanhende9237
@rehemanhende9237 23 дня назад
Huyo kijana wa Bukinabe kaonyesha uzalendo kwa nchi yake nampenda sana, tunakuombea kwa Mungu azidi kukulinda na kukupa ujasiri wa kuendelea kupambania nchi yako.
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 Месяц назад
Allaah amdumishe selekarini akiwa kama raisi yaani wewe nikama magufuli wetu alivyo pendwa adi nchi jirani❤ nguvu moja💪
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Месяц назад
RIP
@StanfordPaul-kw3cg
@StanfordPaul-kw3cg Месяц назад
Kipindi Tanzania ikiongozwa na raisi kipenzi hayati John Pombe Magufuli, wananchi wengi nchi jirani zetu walimtamani saaana, na walitamani kuhamia Tanzania 🇹🇿, kwa sasa Bukinafaso kumenoga, Nakupenda sana Ibrahimu Traole, piga kazi mwamba.
@Silay1034
@Silay1034 20 дней назад
Syo utoe mfano wa Dicteta Magufuli chizi nn
@JackKanyigo
@JackKanyigo 18 дней назад
Alikuwa kipenzi kwako ww tu zuzu ..umesikia watu wanapotea huko au watu wasiojulikana
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 12 дней назад
Magu du
@anizethjoseph2914
@anizethjoseph2914 Месяц назад
Umechambua vizur Sana... Ahsante
@user-zk2cg9yx4v
@user-zk2cg9yx4v Месяц назад
Nampenda sana Traoré Viongozi wainchizingine wangeiga mfano kwa huyo president Traoré respect Traoré
@Silay1034
@Silay1034 20 дней назад
Mbn alipokea huyo magu na kukopa juu
@Silay1034
@Silay1034 20 дней назад
Nan alisema Magu aongezewe
@PeterMshali
@PeterMshali 12 дней назад
Masarakani ndio kitu gani aisee
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Facts tupu mtumishi wa mungu, viongozi wa Tanzania wananunua midoli
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
TUNATAKA MAJEMBE KAMA HAYA, SHOBO NA WAZUNGU HATUTAKI MANA WALITUTESA SANA HAWA WAPUUZI
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 Месяц назад
Uko vizuri sanaa mwalimu
@babawakanairokenyan7569
@babawakanairokenyan7569 Месяц назад
Kazi Safi kaka 🎉🎉
@salimramadhani740
@salimramadhani740 Месяц назад
Asante ❤️ ❤️ Viva africa from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town ❤️
@user-nh7ie5kz7l
@user-nh7ie5kz7l Месяц назад
Apumzike kwa amani Maguli Mungu amtunze.
@ChembaBoy-fw4tz
@ChembaBoy-fw4tz Месяц назад
Ongera sana brother umeongea poit
@SaidyMwajeka-tr7oj
@SaidyMwajeka-tr7oj Месяц назад
Nice wakuu
@salimramadhani740
@salimramadhani740 Месяц назад
Viva africa 💪 Good News ❤❤very Good ❤️
@user-nh7ie5kz7l
@user-nh7ie5kz7l Месяц назад
tunamwomba Mungu Magufuli mwingine apatikane mapema sanasana'
@nassibhassanali5082
@nassibhassanali5082 2 дня назад
Nawakubali sana natamani siku moja ninywe soda na nyie
@josephatogoijohn9627
@josephatogoijohn9627 20 дней назад
I like 👍 him God bless him we need this ride in Africa 🌍 God bless Ibrahim turaore
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l Месяц назад
Jembe la bukinafaso ilo,rip jpm alitufaa sana na wengi tulifarahia kuwa watanzania saiz tuuwakiwa tunabaki kuwatamani waliotutamani.
@saidhamisibora1057
@saidhamisibora1057 Месяц назад
Wanatokeaga mmoja mmoja sana kwa maeneo tofauti
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Месяц назад
Nampenda sana kijana mdogo wa buki Mungu aendelee kuongoza kwa kweli. Mbeba maono. Kijana mdogo mwenye kipawa.
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Hibrahimu ata Mimi nampenda ,anajari wananchi ,kama makonda
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Месяц назад
Hapa Tz Tunae makonda tu
@estambuya3901
@estambuya3901 Месяц назад
Siamini huyo anapenda sana vyombo vya habari (Mr misifa).
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Месяц назад
Makonda,Ally Happy, Jerry Silaa
@user-or8cq1ks5g
@user-or8cq1ks5g Месяц назад
Hakika na mm naunga mkono raisi huyo aiondoke maana anafanya kazi vizuri sanaaa, ata Kwa kipindi kifupi alichokaa anajua sanaa uongozi , aendeleee kupiga kazi sanaa ata mm nimekubali Sana uongozi wake Kwa kipindi hiki kifupi
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Месяц назад
Kweli hao mabepari wanajiona Mungu mtu
@THEWAYOFSUCCES2024
@THEWAYOFSUCCES2024 Месяц назад
Waouh good 🔥 love from Burundi ❤
@GabrielMelkiard
@GabrielMelkiard Месяц назад
Kiongozi mzuri sana ibrahim
@profs.a5412
@profs.a5412 Месяц назад
Aachee ujingaaa, abakieee madarakani , na ikiwezekana aiunganishe Africa iwe nchi mojaaaa.....
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
TUNATAKA MAJEMBE KAMA HAYA
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Месяц назад
Mwamba tunamuombea sana..na sisi huku Tanzania atokee kama IBRAHIM TRAORE
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 Месяц назад
Afrika inatakiwa wananchi waungane watafute maendeleo kwa kupindua viongozi wanaojilimbikizia na kukubali kuwa vibaraka wa wazungu huku wananchi wao wakifa njaa na maisha magumu
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
Nawakubali sana kaka 🎉🎉
@AbdulMayunga
@AbdulMayunga 21 день назад
Kweli wewe ni mwalim mim nakuombea uijuwe haki kwamaana yakuwa mwislam
@AllyMtondo
@AllyMtondo Месяц назад
We jamaa uko vizr
@noelonesmo9946
@noelonesmo9946 11 дней назад
Sana
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Kungana ndo kipengere labda wakina, twaole, na wengine wawashawishi,waliolala,ila,mzungu ,wamagaribiatachukia naomba mungu litokee nikiwa hai
@toymadebho7048
@toymadebho7048 Месяц назад
MWALIMU VP BHN SERIKAL HAIKUON UNAKI2 KIKUBW NDANIYAKO KWEL😢😢😢😢😢
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 Месяц назад
HUYU BENSON HAWEZI KUONEKANA KWENYE SERIKALI ZETU ZA KIAFRIKA SABABU VIONGOZI WA NCHI KAMA TZ WANAUCHIKIA UKWELI WAKE
@petercostakisoka
@petercostakisoka Месяц назад
Uyo kamanda anafaa kbs
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
TUNATAKA MAJEMBE KAMA HAYA
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Месяц назад
mwalimu unavyomtaja JPM naumia sana maana alikuwa mzalendo sana na nchi
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад
Mimi pia naumia sn hata kusikiliza vipindi za magufuli yaan nateseka sn.nilimpenda sn
@user-zv4sx9iv8z
@user-zv4sx9iv8z 26 дней назад
Mach'Allah tume nafwata tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO
@allanlarge7794
@allanlarge7794 25 дней назад
Wewe jamaa uko vizuri
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 Месяц назад
Amekuwa tofauti sana na viongozi wengi wa Afrika
@ismaildavid6970
@ismaildavid6970 Месяц назад
mimi natamani hata niamie burkina fasso ibrahim traore ndo kiongozi wa wananchi.
@user-mo2sb2nh8u
@user-mo2sb2nh8u Месяц назад
Upo vizuri kwenye uchambuzi
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Месяц назад
Harafu njaa inazalisha machawa watu wakiwa wanashiba kwenye nchi wanakuwa na akili timamu
@IsihakaAlly-fj4qo
@IsihakaAlly-fj4qo Месяц назад
Hapo kwenye mizee nimepapenda 🎉
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Месяц назад
Africa lazima tuungane manyang'au sio watu ni mashetani
@Mobmob2013
@Mobmob2013 Месяц назад
Manyang'au tunayo hapa hapa ndani yameshiba rushwa yananuka ukatili CAG acha kisukari, presha na kiharusi kiwale.
@karimdaud3993
@karimdaud3993 14 часов назад
Nafkiru viongozi wa kiislam ndio bora
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 Месяц назад
Kaka respect sana ...nakubali sana ibm channel n mda skuwapo on line niliyakosa haya .
@user-ux4wp6xe8x
@user-ux4wp6xe8x 20 часов назад
Anastahili kuongezewa muda wa Utumishi madarakani kwasababu tunataka viongozi wenye maono kama yeye
@juchaonline4084
@juchaonline4084 28 дней назад
Mungu awajalie muende Crown fm😅😅
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Big up mwalimu
@abednegomhamba1471
@abednegomhamba1471 Месяц назад
Utashangaa watamuuwa chap!
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 10 дней назад
Kweli wewe ni mwalimu nakuelewaga sanaaa
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Месяц назад
Asante sana wamkuu ❤❤❤
@YustoYindi
@YustoYindi Месяц назад
Leo mwl ISAYA umeongea vyema! ila hapo ni MUNGU akiwa upande wa Ibrahim akuna alie juu yake uyo mwingni Ako na mwisho pia
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq Месяц назад
Nice mwalim
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg Месяц назад
Long live comrade prayers for you amen.
@salummilanzi7936
@salummilanzi7936 Месяц назад
NAMUONA MAKONDA HAPO ,,,,,,
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka Месяц назад
Tuna bandali na lango la sadeki na madini maisha Sasa aaaa Tz
@valentinenyagisera7784
@valentinenyagisera7784 Месяц назад
If we Africans we are not going to think deeper, we gonna suffer and suffer
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 Месяц назад
Hii imekaa pw sana
@user-zv5kg5kv9y
@user-zv5kg5kv9y 22 дня назад
Mungu amlinde
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Месяц назад
sasa hvi maumivu kwenye nchi yetu
@aziza9093
@aziza9093 Месяц назад
Mwlimu hujatuleteya yakogo tunakusubili wa habali
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 Месяц назад
Nimekuelewa saaana...
@valentinenyagisera7784
@valentinenyagisera7784 Месяц назад
Let God bless him and fight for him forever
@FrankMagambo-fs1oh
@FrankMagambo-fs1oh Месяц назад
Nimemkubali mwalim
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 27 дней назад
baba unanikosha roooo baba,,ukiwa chini ya Putin nani alie juu Yako?,,,mzee nakubali sana
@LucianAlfred
@LucianAlfred Месяц назад
Andelee nikiozi bora
@user-eb2gw5ic2q
@user-eb2gw5ic2q Месяц назад
Anton Nade kutoka Tanzania komado aiedelee
@bakarijuma7258
@bakarijuma7258 Месяц назад
Anaitwa MOBUTU SESESEKO KUKUNGWEND{ WAZABANGA
@user-wk6tf1yg8g
@user-wk6tf1yg8g Месяц назад
😂😮😊umenifanya nichekee blood umeshindikana Mobutu seseko wazabanga
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
African boy,umepotea kijana
@captshaky
@captshaky 23 дня назад
Tunataka uongozi kama huu WA bokinafaso mtetezi WA raiya wake Africa yote
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Месяц назад
Mzalendo waukweli
@hakimabdul7494
@hakimabdul7494 Месяц назад
Love this
@user-bz2yc2td3c
@user-bz2yc2td3c Месяц назад
Kweli manyang,auw
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Месяц назад
Studio engineer Mwakilembe
@user-ku6sc2zx2o
@user-ku6sc2zx2o 22 дня назад
Muda wa mwafrika tayari
@fredrickwiliam6176
@fredrickwiliam6176 Месяц назад
Tanzania nasi tutamkubali traore kama walivyomkubali magufuli
@godsonkyense4742
@godsonkyense4742 11 дней назад
Mwl Isaya Mwakilembe uko bias ndiomaana makala zako Huwa sipendi kuzifuatilia though unajua mambo mengi ukiwa neutral utakuwa mchambuzi mzuri
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Месяц назад
Hapa kwetu wizara ya kilimo maV8 mkulima analima na mikono kupeana maposho bungeni serikali Haina shamba hata la kusaidia kupunguza mfumko wa bei ya chakula ,, tu nategemea misaada ya chakula UNICEF,
@PeterJacob-ji7fo
@PeterJacob-ji7fo Месяц назад
Mwandishi umeandikaje hapo
@AyoubMsonga-ch5xg
@AyoubMsonga-ch5xg Месяц назад
Mimi nahamia bukinafaso ccm imenichosha jamani hatuna miamba Kama hiyo dogo
@hancekasililika9532
@hancekasililika9532 Месяц назад
Watu kama hapa Africa ni wachache moja ni Ibrahim taule Tomas Sankara Muhamad gadafi ni hawa kwa africa
@daudinyello4033
@daudinyello4033 Месяц назад
TUNATAKA MAJEMBE KAMA HAYA
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад
Tunae makonda sasa
@ismaildavid6970
@ismaildavid6970 Месяц назад
huyu naye mwizi hana sifa .
@feliciarfrancis2388
@feliciarfrancis2388 Месяц назад
Nani anaweza kumrudisha Horn Joseph Magufuri of TZ?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад
Dah
@sakaraboy8951
@sakaraboy8951 18 дней назад
Americans Country we need , this
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Месяц назад
Tunaomba nawewe utuogoze
@user-rl5tf5lg2c
@user-rl5tf5lg2c 29 дней назад
Kamwe kamwe nchi za Afrika,kushinda vita yahawa wazungu,, Neva Neva ,,hawa wazungu hizi nchi 54 za Afrika ni mashamba ya wazungu mtake msitake ,hata huyu dogo mda wake si mrefu dunia ataiacha tu,,,
@user-nz2jr4ov3q
@user-nz2jr4ov3q 27 дней назад
Saluut
@latestfunnyvideo2187
@latestfunnyvideo2187 Месяц назад
Mama samia asije akajaribu kujiuzuru 😂
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Месяц назад
Tutakula sana pilau😂😂😂
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 Месяц назад
kifo Cha mjomba magu bado nifumbo kwa wa Tz tunaomba uchambuzi
@shiracque8524
@shiracque8524 Месяц назад
Amen 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 Месяц назад
Tutayarishie makala mahusiano yetu Tanzanizia na iran yapoje Naomba
@samsonwilson3762
@samsonwilson3762 Месяц назад
Kaka yangu isaya nakukubali wewe makonda mkijipanga hawa manyang"au na ushoga wao putin bonge la mwanaume
@chrisshonga
@chrisshonga 19 дней назад
Video yenu ni nzuri ila mjitahidi sana kwa kuwa hii video inasambaa na kusikilizwa ulimwengu mzima basi muwe makini sana kabla hamjairusha mtandaoni basi hakikisheni details zote ziko kamili zaidi katika kichwa cha habari manaake hapo mlipoandika MASARAKANI ni ujumbe ambao unaharibu massage nzima zaidi kwa watu wasiojua Kiswahi na wangetaka kupata tafsiri kwa kiingereza
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv Месяц назад
Mwalimu una nichekesha
@stephenshiyo7902
@stephenshiyo7902 Месяц назад
Wamempa jina na cheo cha uraisi tayari wananchi wameamua bana dah
@andrewmoi2186
@andrewmoi2186 Месяц назад
Tafuta nafasi serikalini bro hii akili yako uwapelekee mbungeni
Далее
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 11 тыс.