NAWASIKILIZA SANA WATAZAMAJI WANGU LEO DAKIKA 50 TUENDELEE KUFURAHI PAMOJA, MSISAHAU KUTUSAMEHE MAPUNGUFU YETU,PIA SUBSCRIBE CHANNEL HII YA BABA JOAN, MBARIKIWE SANA MSIKOSE BANDO.
From kibondo kigoma nafuatilia movie hii ya baba angu kipofu nimeipenda sanaa mungu akubliki sanaa baba Joan na team yako kwa ujumla mungu awajalie afya njema ili muendelee kutuburudisha ILOVE YOU 💕🇹🇿
Wowow dakika 50 aise nyie ni wa2 Bora sana nafwatilia tamhiliya nyingi San lakini xjawah pata yenye dakika nyingi hivi na ikatoka kwa wakati bila kuchelewesha dah mpo seriously sana mungu awazidishie vipaji ili mzidi kutufurahisha
Parabéns pelo seu trabalho historial,te rendo muito pelo lindo trabalho que tem feito. Estou assistindo a partir de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 asante sana baba joan kwa kazi nzuri aise umetisha sana.hongera
I don't know Swahili but I followed EP1 to this current ep I believe that with the time I will understand Swahili Kipofu: blindness I love this team even their content