Тёмный

BABA YANGU KIPOFU Full episode /1/ 

BabaJoan
Подписаться 554 тыс.
Просмотров 534 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 415   
@ramadhanihassani5542
@ramadhanihassani5542 2 месяца назад
Hongera sana babake karoo umecheza vizuri sana naifuatilia hii move nikiwa Uganda hapa naomba like zenu wote tuonyeshe ushirikiano hapa
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 4 месяца назад
Hongereni sana baba karobo kazi nzuri sana watching from Kenya 🎉🎉🎉❤
@kondebouy1308
@kondebouy1308 4 месяца назад
Nafikiri ni mimi pekeake niko addicted na movie za baba Joan kama unakubali nifinyie tukisonga pamoja
@AyubuMnyanyi
@AyubuMnyanyi 4 месяца назад
Hongera kiongonzi sema kunanitu hapo imezingua kidogo. Macho HAYO kiongonzi yanatosha na Kamela Man anagandisha SANA usoni kalibuni kuedti kidogo
@MikeKanyerere
@MikeKanyerere 4 месяца назад
Kabisa amezingua
@IshraBoe
@IshraBoe Месяц назад
Upo serious kweli na kazi
@godfreyonderi5338
@godfreyonderi5338 3 месяца назад
Nafuatilia kutoka Kenya nipeeni Likes❤❤
@nyambokifelly
@nyambokifelly 7 дней назад
Wakenya tuko wengi, movie zao nzuri kwali❤
@BridgitYonny
@BridgitYonny Месяц назад
Naomba like hapa hata mbili
@FrankManyanda
@FrankManyanda Месяц назад
Baba karobo unaweza kweli naifatilia nikiwa dar nipe like zenu ❤❤👍👍
@PoliteKind-df8kw
@PoliteKind-df8kw 4 месяца назад
Baba Joan. Nakukubal broo maana ukimaliza movie hii unakuja na hii Wala huchelewesh. Mungu azid kukucmamia kiongoz
@EdwardKilangi
@EdwardKilangi 4 месяца назад
Hujawahi kukosea baba joahn una ubunifu wa peke yako mungu akutangulie
@flaviuspaurin
@flaviuspaurin 3 месяца назад
pole bab joani unapitia magumu uyu mwanamke hatohiona pepo
@everyne.illankunda8292
@everyne.illankunda8292 4 месяца назад
Naomba like hapa hata 10❤❤
@philohmutua2968
@philohmutua2968 4 месяца назад
Nimeianza atakama nimechelewa lakini lazima nipitie❤❤❤ macho yanatisha😂😂
@AminaAli-w3s
@AminaAli-w3s 4 месяца назад
Kwel Daaah had naogopa
@IslamPeto-fd6wr
@IslamPeto-fd6wr 3 месяца назад
Umeona eeh hata mi yamenitishia
@ilhan982
@ilhan982 Месяц назад
Uhakika
@SamwelNyangaresi
@SamwelNyangaresi 3 месяца назад
Hongera sana baba karobo..kazi nzuri..macho daa yanazingua...kama kamela❤❤.. watching from Nairobi Kenya...I like you guys..npeen likes
@AliiRaphael
@AliiRaphael 2 месяца назад
Me nimtanzania napenda kilicho changu nafatilia san hii move mnajitahid san ila msipend kukalil manen nawaombea kwa Alah awape ubunifu mwingi bongo move izid kufika mbal nawapend
@starwabuza
@starwabuza 4 месяца назад
Unyama
@jamesmaro7665
@jamesmaro7665 4 месяца назад
Imenigusa sana kiukwel
@dallovision
@dallovision 4 месяца назад
I LIKE THE WAY U FIGHT
@Amina-i4r
@Amina-i4r 4 месяца назад
Huyo mtoto wa maajabu mashallah 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rithanaftal8616
@rithanaftal8616 4 месяца назад
Baba Joan upo vzr sana
@JulesIshimwe-dz6ps
@JulesIshimwe-dz6ps Месяц назад
Vizuri sana Baba karobo.naifuatiliya nikiwa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 4 месяца назад
Hayo macho yanatisha sana kwani vipofu wanakuanga na macho hayo
@haruniblackson1318
@haruniblackson1318 4 месяца назад
😂😂😂
@sharifahemed6328
@sharifahemed6328 4 месяца назад
😂😂😂
@PeterAssey-s2r
@PeterAssey-s2r 2 месяца назад
Mwenzang mpk movie yenyw naiyogp jmn
@MoneyKey247-fk4oy
@MoneyKey247-fk4oy 2 месяца назад
😂😂😂😂😂​@@PeterAssey-s2r
@nancyg8664
@nancyg8664 4 месяца назад
😂😂miwani za wachomelea mageti asee kwahyo vipofu ndo wanavaaga za hvo😂
@Fredrickgitonga-tc1ec
@Fredrickgitonga-tc1ec 2 месяца назад
😢😂😂😂😢whhh
@kibethillary53
@kibethillary53 4 месяца назад
Nzuri.. watching from Kenya
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf 4 месяца назад
sijachelewa sana wap likes zangu kutoka kenya
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 4 месяца назад
Ee umekuwa kivingne mwaya ingawa hayo macho yanatisha
@VioletteManirakiza-jf2rk
@VioletteManirakiza-jf2rk 4 месяца назад
Nimewahi naomba like zenu lakini baba Joana unacheza vizuli😢😢
@mcmangethia5360
@mcmangethia5360 4 месяца назад
Kutoka Kenya ❤❤❤
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 4 месяца назад
Sasa mbona nalia na ata ni episode 1😢😢😢😢😢😢
@lucasbatwelly2623
@lucasbatwelly2623 4 месяца назад
Wa 2 msinisahau
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 4 месяца назад
Macho gan hayo jaman uwii baba joan uje nawe uangalie hii movie uone hayo macho kwanza vipof mbon hawapo hivo
@Nashoora8
@Nashoora8 3 месяца назад
😳😳🤣🤣🤣
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DorinCherop
@DorinCherop 4 месяца назад
Kazi zuri baba joan i personal i like it
@zarejapheth7247
@zarejapheth7247 4 месяца назад
Huyu Zujat naweza mpata aje angaa tuongee anivutia sana huyu mdada unayemjuwa naomba uniconnect naye
@rosejohn8494
@rosejohn8494 4 месяца назад
ni mwanafunz wa ajabu au
@EllyOdhiambo-t6x
@EllyOdhiambo-t6x 3 месяца назад
Wueeeh
@SeiphMkwizu-iz8ed
@SeiphMkwizu-iz8ed 4 месяца назад
Tumeanza pamoja na tunamaliza pamoja mungu akipenda
@NajmaAmir-w6v
@NajmaAmir-w6v 4 месяца назад
Ishallah 🤲🤲
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 4 месяца назад
Ila kibamia ako vizuri jamanii mashallah anajua sana ku act❤❤❤mama karobo nae mashallah ❤❤❤
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 месяца назад
Huyu mtoto sio jamila akiwa mdogo sio kwakufanana hukoo
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 месяца назад
Nimewahi kwa bb yangu kipofu 🎉🎉🎉🎉🎉
@Gift-kijiti
@Gift-kijiti 4 месяца назад
Ila macho baba John yatanifanya niot3😂😂😂😂
@ENOCKTVSHOPSHOP
@ENOCKTVSHOPSHOP 4 месяца назад
Wakumi namoja wapi like za babajoan
@kibanioTz
@kibanioTz 4 месяца назад
Kazi nzur sana
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 4 месяца назад
Like jamani 🫶🎉❤
@najmamohamedi
@najmamohamedi 4 месяца назад
Nice
@Selinah-vk8ni
@Selinah-vk8ni 4 месяца назад
Baba joan hayo macho utanifanya niote😂
@BabaJoani
@BabaJoani 4 месяца назад
Usiote
@enockmichael7472
@enockmichael7472 3 месяца назад
​@@BabaJoanindo myabadurishe sasa maana yanatisha sana mwonekano sio kabisa
@monsurejr8533
@monsurejr8533 3 месяца назад
Muendelezo vp baba Joan au baba karobo
@monsurejr8533
@monsurejr8533 3 месяца назад
​@@BabaJoaniMuendelezo vipi baba Joan au baba karobo
@NeemaMdoe-sr6ci
@NeemaMdoe-sr6ci 3 месяца назад
Sio kuota tu kuweweseka
@zarejapheth7247
@zarejapheth7247 4 месяца назад
Huyu Zujat naweza mpata aje angaa tuongee anivutia sana huyu mdada unayemjuwa naomba uniconnect naye
@naifatally8034
@naifatally8034 Месяц назад
Mama kanusu😂
@Celebritylifestylebio
@Celebritylifestylebio 4 месяца назад
Baba joan God bless you kwa hii watu watalia sana usiache njiani tutaumia sana MUNGU akuongoze vyema
@edwinshepherd7767
@edwinshepherd7767 4 месяца назад
Much love From Kenya ,tunapenda kazi zako kaka
@hasanituli12
@hasanituli12 4 месяца назад
Waomba like kazi mnayo Badala kuangalia ili utoe commenti yako wapi amekosea au kusifia kazi yake Wewe unakimbilia kuomba like Basi nawewe ata unge like kazi yake kama umeshindwa kusifia kazi yake Yani kabra kazi aikawekwa sawa tayari umeshaomba like Wasanii wanaitaji ushauri wako ili ajue alipo kosea alekebishe na alipo fanya vizuri aongeze
@DorinCherop
@DorinCherop 4 месяца назад
Good thoughts
@rukcabby2572
@rukcabby2572 4 месяца назад
Akh
@Maria-dg6ik
@Maria-dg6ik 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤daa 🤱🤱🤱🤱🙏🙏🙏👌👌💕💕
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 4 месяца назад
Pongez kwa wahuska wote jmn❤❤❤
@EmmanuelMunyenyembe-i4v
@EmmanuelMunyenyembe-i4v 2 месяца назад
Kiongozi songa mbele mapigo ya kanumba kanumba kaacha mbegu imezaa matunda
@percysaid5974
@percysaid5974 2 месяца назад
Bonge la talent tafadhali kidumishe kipaji hicho
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 4 месяца назад
Tumemmiss patronize
@DanielMolley
@DanielMolley 4 месяца назад
Vaa bhana miwani wenzio tunaogopa mimacho yako japo kazi yako nzur sanaaaa
@BabaJoani
@BabaJoani 4 месяца назад
Tutarekebisha suala la macho
@AyubuTimotheo
@AyubuTimotheo 3 месяца назад
Kwer kabisa
@MoneyKey247-fk4oy
@MoneyKey247-fk4oy 2 месяца назад
​@BabaJoani apo umecheza
@UkhtyFatmah-he8vg
@UkhtyFatmah-he8vg Месяц назад
Dah 😒 Movie yenye mafunzo makubwa sn 😭.
@Kheriramadhan398
@Kheriramadhan398 4 месяца назад
Macho umeharibu
@JacklineAgnas
@JacklineAgnas Месяц назад
M naomba nione mwanzo man hata sielew naomba kipnde cha kwanz
@ChanhYunhe
@ChanhYunhe Месяц назад
nipeni like kidogo kila siku nawapa nyie like Leo zam yangu
@mwajumaaloyce-zb5dk
@mwajumaaloyce-zb5dk 7 дней назад
Tujifunz kuwaheshm watyu bila kujal kilema chao
@MadongaKarimu
@MadongaKarimu 4 месяца назад
Jaman mbona macho yanaogopesha iv
@yasinmohamedahmed5651
@yasinmohamedahmed5651 Месяц назад
Hogera baba karobo nafutilia nikiwa somalia
@EmmanuelYaled
@EmmanuelYaled 3 месяца назад
Macho ya kipofu hayajakaa sawa na kipofu katoka ndan kakta ndala(viatu)pea 2 half achgue vya kufanana
@Celebritylifestylebio
@Celebritylifestylebio 3 месяца назад
Mungu akikupa ukilema anakupa hisia kali kwaio hapo hajakosea
@yeftamsaka5511
@yeftamsaka5511 3 месяца назад
Hayo majina tu ndio yamenichekesha,etyi KAROBO,KIBANIO🤣 Ila hayo macho yanatisha asee
@mwanasitizuma
@mwanasitizuma 4 месяца назад
kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤
@ALEXJACKSON-o4e
@ALEXJACKSON-o4e 3 месяца назад
Hong-Kong me please like
@dizwavoko_tz
@dizwavoko_tz 4 месяца назад
Jaman hapo kwenye kubaini rangi ya ndala nikipengele #sio kwa ubaya lakin
@sharifahemed6328
@sharifahemed6328 4 месяца назад
😂😂
@AminaHamad-g8r
@AminaHamad-g8r 7 дней назад
Nzr cn baba kalombo
@NASRAZOMBE
@NASRAZOMBE 3 месяца назад
Ayo macho yameniogopesha jamni yapunguze kidogo eti mana duuuh
@NeemaDaud-zb3dd
@NeemaDaud-zb3dd 4 месяца назад
Baba joani mm nishabiki yako sana ila macho umeweka nini hadi naogopa
@Mimimnyamaaaa
@Mimimnyamaaaa 4 месяца назад
Hi guyz ASANTENI kwa support yenu kwa kweli nguvu yenu ni kubwa na tumeiona asante sana na mungu awabariki🙏🏾 #fashiontz
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 4 месяца назад
saf sana mungu akuongoze baba joan
@AksantiCherubin
@AksantiCherubin 3 месяца назад
Jambo
@tabihaauko9146
@tabihaauko9146 4 месяца назад
Sweet video hongera baba joan❤❤
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 2 месяца назад
😂😂😂huyu mke wa kibofu jamani
@KakuleMavoko
@KakuleMavoko 2 месяца назад
Whoo ndo nimekija Wa kongo mupooooo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naombeni tujuwane kwa lik Wa kongoooooo nawapenda sana bb joan umejeza vizuri
@StevenPaulo-n9c
@StevenPaulo-n9c 3 месяца назад
Hao wanawake wenye makalio na mishepu mnawatoa wapi?
@mremajuma
@mremajuma 3 месяца назад
😂
@IRENEIRENE871
@IRENEIRENE871 4 месяца назад
Hongerani sana jamani
@JacklineKihaga
@JacklineKihaga Месяц назад
Dah kweli macho amezingua yanatish😂
@dizzokhalid831
@dizzokhalid831 4 месяца назад
Apo kwenye macho mmeznguwa jmn
@EmmyMo
@EmmyMo 4 месяца назад
Jamanii movie nzuri sana😢😢😢 inasikitisha daah🎉🎉🎉
@daudimshana
@daudimshana 2 месяца назад
Jaribuni kuedit macho kidogo
@alisabyozani9796
@alisabyozani9796 3 месяца назад
Hongereni sana wote muliyo shiriki kwenye hihi movie Congratulations 🎊🍾🎉 ❤❤❤❤
@FatumaChibomwarome
@FatumaChibomwarome 4 месяца назад
Hongera sana baba Joan unaelimixha jamii kw kweli
@NulhatihusseinMaarifa
@NulhatihusseinMaarifa Месяц назад
Roho inaniuma
@gershomchallo
@gershomchallo 3 месяца назад
Hayo macho ondoeni much edition...mngeacha hivyohivyo tuuu ingetosha mbona
@tyhg5566
@tyhg5566 3 месяца назад
Mashaalah Baba karobo hongera Sana kuigiza kipofu sio kazi ndogo
@mbodzechiti
@mbodzechiti 2 месяца назад
Kazi nzuri sana❤❤❤❤❤❤❤
@HawaMohamed-g7c
@HawaMohamed-g7c 3 месяца назад
Baba Joani umetisha utafika mbali❤
@MoshBeibe
@MoshBeibe 2 месяца назад
Good job 👍 mntafufunza mengi Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏
@Joycepaul-h9c
@Joycepaul-h9c Месяц назад
Hongeraa sana baba karobo umefanya vzr
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 4 месяца назад
❤❤❤
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 2 месяца назад
Mimi narudia Tena leo Stephan Azizi KII Alisha SainiYANGA African tangu tarehe 16 ya mwezi Wa sita na AWEZI kukataa kucheza champion ligi kujitangaza ZAIDI alafu akacheze SHIRIKISHO iyo ni kujishusha brand Awakatae Azam matajiri WA Chamazi ambao ni nafasi ya pili alafu aende simba nafasi ya tatu KWELI jamani?
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 месяца назад
Duuuuuuu kama kambo vile mbona rohoo korosho huyuu mama😢😢😢😢huyu mama ndo mchawi sio kwaukali huu
@Lastborn_chard-123
@Lastborn_chard-123 4 месяца назад
Hii. Sasa ntafuatilia hadi mwisho wacha iendeeeeeee
@Blessingneza
@Blessingneza 4 месяца назад
I always like your videos you have a nice talent
@danicruziBLOG
@danicruziBLOG 4 месяца назад
Hongera sana Babajoan hujawahi kukosea mimi naona ndio shabiki ako no 1 Hii ni fire 🔥🔥 naona umeamua kututoa machozi daahh unaweza sana BABAJOAN Mungu akuongoze vyema
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 месяца назад
😢😢😢😢😢😢usilolijua niusiku wagixaa karogo unakula pesa zamumemwezako looooo yani hawa wawili siku yao itafika
@nurumwavyema1777
@nurumwavyema1777 4 месяца назад
Kwan hufo iliisha
@ramadhanhashim1635
@ramadhanhashim1635 4 месяца назад
Zujati umerudi Kwa kishindo....mrembo kweli
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd 4 месяца назад
❤❤❤
@ClaudCarlos
@ClaudCarlos 3 месяца назад
Apo KIBANIO amezingua MIKOPE yake
@kevinogola4632
@kevinogola4632 3 месяца назад
Hello wangwana hili movie ya Baba karobo yanapendeza sana,nauliza kunayo episode 10 na mwisho ni ipi,asanteni kwa kazi njema
@batromayoshila5691
@batromayoshila5691 3 месяца назад
Hapo kwenye ndala kujulikana aina Moja. ( Kuchukuliwa zilizofanana wakati mtu ni kipofu)
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode/5/ #love
25:32
Просмотров 607 тыс.
BABAYANGU KIPOFU Full episode /2/ /#love
25:07
Просмотров 813 тыс.
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 132 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
Просмотров 298 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /43/
20:02
Просмотров 341 тыс.
NILIKUWA NA MAHUSIANO NA RAY/ MTOTO SIO WAKE  - JOHARI
2:34
BABA YANGU KIPOFU EP 32
1:06
Просмотров 31 тыс.
BABA YANGU MLEMAVU ( EP4)
16:49
Просмотров 143 тыс.
MAMAYANGU KICHAA PART 2
18:09
Просмотров 1,6 млн
The Team Sehemu ya Kumi na mbili ( Episode 12 )
32:44
Просмотров 140 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /27/ #love
36:51
Просмотров 991 тыс.