Тёмный

BABA YANGU KIPOFU Full episode/5/  

BabaJoan
Подписаться 554 тыс.
Просмотров 607 тыс.
50% 1

BABAJOAN #love

Приколы

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 812   
@BabaJoani
@BabaJoani 3 месяца назад
TUNAWAPENDA WOTE MNAOTUFATILIA ,TUSAMEHE KWA MAPUNGUFU YETU MADOGOMADOGO, SUBSCRIBE CHANNEL HII❤❤
@ngohewalwa1506
@ngohewalwa1506 3 месяца назад
Mm nimependa umenikumbusha Shuleni ugar na chumvi
@Mra_brandvevo
@Mra_brandvevo 3 месяца назад
AMAGAMBO YALAGENDA GATOGATO😂😂🎉
@ngohewalwa1506
@ngohewalwa1506 3 месяца назад
Kweli nimejifunza vitu vingi kwenye hii filamu
@MeshackVenasi
@MeshackVenasi 3 месяца назад
Kaka uko poa San iyo movie
@MeshackVenasi
@MeshackVenasi 3 месяца назад
@ZEPHANIAH.1588
@ZEPHANIAH.1588 3 месяца назад
,🇰🇪🇰🇪🇰🇪nawakilisha wakenya uku piga like tukisonga
@CicieBlantina
@CicieBlantina 3 месяца назад
Twi hahwe ta ndina😂😂😂😂😂yaani navyopenda baba Joan 😊ningekuwa hapo basi hiyo risasi ingeniendea mimi😅😅nife aishi mpo😊❤❤❤❤❤❤
@bridgetakuku6955
@bridgetakuku6955 3 месяца назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
@johnmasesa3340
@johnmasesa3340 3 месяца назад
Yoboy,master😮
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi 3 месяца назад
Mm ndio wa kwanza au kuna mwenye amewahi? Sijui nianze hii tabia ya kuomba like😂😂😂nikiwa kenya nyali
@REHEMANCHALIKA
@REHEMANCHALIKA 2 месяца назад
𝐔𝐬𝐡𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚
@KenedyMasha
@KenedyMasha 3 месяца назад
Inkumbu wanteye amarira lugha ya Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@SandrineIngabire-j7c
@SandrineIngabire-j7c 3 месяца назад
Thx baba joan kwa kanyimbo .kakirundi😂wanteye inkumbu wanteye amarira❤😢😢😢😢😢
@chantalmariesony2996
@chantalmariesony2996 3 месяца назад
Mama kalobo jamani miyeeeee 😭😭🥺😭 pole sana baba kalobo number one Leo
@irankunda5364
@irankunda5364 3 месяца назад
Haki nimetokwa namachozi. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮
@rosinelorline4701
@rosinelorline4701 3 месяца назад
Hata nimesikia ame omba kiburundi😂😂😂
@NdayishemezeBlaise-yv5nq
@NdayishemezeBlaise-yv5nq 3 месяца назад
Nimefurahia kukusikia ukiimba kirundi hapa Burundi. Tunakupenda sana baba karobo
@NeemaKombe
@NeemaKombe 3 месяца назад
Baba karobo mwanao mtiifu mungu amlinde jamani nimeifatilia Tamthilia iko sawa hongera❤❤...watching from kenya 3:40
@agnesshaurimoyo9532
@agnesshaurimoyo9532 3 месяца назад
Karobo mwanangu umeniliza sana nimekumbuka mbali sana jamani.
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 3 месяца назад
Wakwanza Leo from kenya wapi likes zangu nimekuwa sipati❤❤❤
@JoshuaGodifreyJoshua
@JoshuaGodifreyJoshua 3 месяца назад
🥰
@JohnMwaura-oi7ji
@JohnMwaura-oi7ji 3 месяца назад
Nko Kenya pia.
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk 3 месяца назад
@@JohnMwaura-oi7ji ooh
@fistonkatambayi
@fistonkatambayi 3 месяца назад
À😊​@@JohnMwaura-oi7ji
@LeonardMbalamwezi
@LeonardMbalamwezi 3 месяца назад
Mambo vp
@Milcah-hb5uw
@Milcah-hb5uw 3 месяца назад
Ugali na chuvi ndo ilikuwa maisha yangu nikiwa mundongo😢😢😢😢😢😢😢
@rahmamohammedi5713
@rahmamohammedi5713 3 месяца назад
😢😢😢😢
@MartaAbdalaKigelulye
@MartaAbdalaKigelulye 3 месяца назад
Pole ndo maisha
@SandeSaimoni
@SandeSaimoni 2 месяца назад
Hatamimi nimekula san ugal na chumv
@ShukuruKakulemadirisha
@ShukuruKakulemadirisha 6 дней назад
Namipiya
@roda254totolapwani-ur3ur
@roda254totolapwani-ur3ur 3 месяца назад
Karobo she's so brilliant ❤❤❤much love to you bby girl 💋💖
@terimberejaliajalia8284
@terimberejaliajalia8284 3 месяца назад
Wanteye inkumbu,wanteye amarira😭.wenye wanaskia huyu mwimbo mbipe ❤
@JacksondekuloEmmanuel
@JacksondekuloEmmanuel 3 месяца назад
Mimi wa kwanza kufurahiya kazi naomba like zenyu❤
@kondebouy1308
@kondebouy1308 3 месяца назад
Kumbe ushapandisha kazi baba Joan nakuaminia aisee
@ibrahimumwezingo1674
@ibrahimumwezingo1674 3 месяца назад
Picha kali sana Kaka nakubali
@Samsamson-g9h
@Samsamson-g9h 3 месяца назад
Ii move inaliza see mungu nilindie niweze kulea mwanangu jamani kwenye dunia yenye mapambano
@Lizy-jp1ic
@Lizy-jp1ic 3 месяца назад
Kabisaaa yani wewe ndo mtu nimeona coment yako yamaana ehh Mwenyezi Mungu tupe maisha marefu kwaajili ya watoto wetu
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi 3 месяца назад
Wooooow kumbe patronize yuko aki nimefurahi❤❤❤❤❤❤
@JaneDaimon
@JaneDaimon 3 месяца назад
Baba Joan umenikumbusha maisha yangu japo Mimi sio kipogu kama igizo ulimelitendea haki maua Yako kakaangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@MYachi-dj6ld
@MYachi-dj6ld 3 месяца назад
Jamani.nimelia.kama.mtoto.inaumiza.sana.kwakweli.kazi.nzuli.sana.baba.joani.natimu.yako.nzima.mungu.azidi.kuwa.baliki.kilasiku.❤❤❤❤❤ form zambia Lusaka
@ClaudCarlos
@ClaudCarlos 3 месяца назад
Sema BABA KAROBO kumbe ni YANGAA
@FutureBoy-n3t
@FutureBoy-n3t 3 месяца назад
Bro big up sana wanteyinkumbu wanteye amarira from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jollymunezero4629
@jollymunezero4629 3 месяца назад
Haaaa na kirundi eti wanteye inkumbu wanteye amarira haaaaa like kwangu please from Burundi
@ZawadiButoyi
@ZawadiButoyi 2 месяца назад
Maskini u make me cry😭😭papa kalobo wantey amarira
@eliminacosmas
@eliminacosmas 2 месяца назад
kwakwer wanajua kuigiza sema punguzen jaman mi nalia sanaa
@LugomeRisasi
@LugomeRisasi 3 месяца назад
Wakwa nipeni like zangu
@YamilCarloo-g3i
@YamilCarloo-g3i 2 месяца назад
Wallah hiki kipande kimeniliz sana sema big up san umefany kit mashallah mungu akujaalie kipaji zaid
@riziki8406
@riziki8406 3 месяца назад
Masikini baba kalobo na kalobo wake wanapitia kweli ila mungu yupo😢😢😢😢
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf 3 месяца назад
tamu sana nimefurahia kumwona patronize❤
@mamakemariam3910
@mamakemariam3910 3 месяца назад
Kabsa nimefurai pia kumuona patronize
@rahmamohammedi5713
@rahmamohammedi5713 3 месяца назад
Karobo kaniliza anavyolia 😢😢😢
@benoitnizigiyimana4415
@benoitnizigiyimana4415 3 месяца назад
Wanteye inkumbu wanteye amarira🤣🤣 Kumbe baba Kalobo unajua kirundi 🤣🤣🤣 Pole kwa lisasu
@monsurejr8533
@monsurejr8533 3 месяца назад
Na tukumbuke kushare jaman kuwa wa kwanza kutazama eps haitamsaidia baba kalobo kupata nguvu ya kuendeleza muendelezo unaofuata
@Kamoste
@Kamoste 3 месяца назад
Wa kilifi tujuane kikambala vipingo mtwapa mnarani kibaoni mferejini na popote pale bora kilifi ...Tunaipenda sana hii movie ❤❤
@suleimankipyego5143
@suleimankipyego5143 3 месяца назад
Nko mombasa 😂😂❤
@NancyBuyachi
@NancyBuyachi 3 месяца назад
Ngoloko
@angelsalome2207
@angelsalome2207 3 месяца назад
Malindi
@thesmoothtouch5775
@thesmoothtouch5775 3 месяца назад
Matsangoni kwa mpigo
@GideonLemahOg
@GideonLemahOg 3 месяца назад
Malindi
@husnatjh5969
@husnatjh5969 3 месяца назад
@BabaJoani ni nn kuniliza jaman🥺🥺🥺kila nikiangalia kipande chako chaupofu najikuta nalia😥 hongera sana kwa kazi mzuri🥰🥰🥰
@SalmaFarhiyya
@SalmaFarhiyya 3 месяца назад
🤗🤗🤗🤗
@ShaphiiAlly
@ShaphiiAlly 29 дней назад
niombee na mm namba ya uyo dada mbna kampa yule tu
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 2 месяца назад
😢kipofu na karobo mengu iko pamoya nanyiye 🇧🇮
@EdwinNikolas
@EdwinNikolas 3 месяца назад
Jaman wa penzi wa baba Joan naombeni ata like ❤❤❤❤
@AsendeBushiri
@AsendeBushiri 3 месяца назад
Kashindi
@AsendeBushiri
@AsendeBushiri 3 месяца назад
16:33 16:33
@jeanclaudensengiyumva8185
@jeanclaudensengiyumva8185 3 месяца назад
Wa kwanza Leo kwel kwel🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@WdW-d9i
@WdW-d9i 3 месяца назад
Naskia kanyimbo kakirundi,wanteyinkumb wanteyamarira😂😂😂
@DedanOchieng-m9v
@DedanOchieng-m9v 3 месяца назад
Wanaitwa ladies,🔥ogopa sana hao viumbe japo kua twaishi nao humu ndani.
@IshmaelOkongo
@IshmaelOkongo 3 месяца назад
we love your channel 😍😍😍 from Kenya 🇰🇪💪
@JuliusAloyce-o6l
@JuliusAloyce-o6l 3 месяца назад
Mimi Julius Aloyce wa mwanza; Duuh Ni halisi ya maisha ya watu wengine ktk nchi yetu na hata mataifa ya wengine pia.
@ZuhuraSalim-x3v
@ZuhuraSalim-x3v 3 месяца назад
Baba joan hongera sana kwa kazi kubwa unayoifanya hii movie yafunza sana ❤❤❤
@RizikiMgeni
@RizikiMgeni 3 месяца назад
TEN ya funza na kusikitisha haswa
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 3 месяца назад
❤❤❤❤Yan ni zaid ya xn hii movie mmmmmh mie macho yaloa mda wote kila nkianglia hii movie ❤❤❤❤❤❤
@PatrickNdayongeje
@PatrickNdayongeje 3 месяца назад
Murakina neza kabisa naj ndabakunda kweri🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@amranijuma100
@amranijuma100 3 месяца назад
Habari bro episode unaweka mtandaoni kila baada ya siku ngapi kupita
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 3 месяца назад
Mko vizuri sana ata sioni makosa dakika pia ziko sawa❤
@mwimbi22
@mwimbi22 2 месяца назад
tuko pamoja xana mzee
@Johanesseradius
@Johanesseradius 3 месяца назад
Mmh huyu mama karobo anakaza kwelikweli anaenda kuwa mama kanusu 😅😅😅
@PiliMundu
@PiliMundu 3 месяца назад
😅😅😅😅nmecheka kwa saut
@Yuniz-bb6tn
@Yuniz-bb6tn 3 месяца назад
i think this episode is so emotional especially when they was eating ugali😢😢😭😭
@MahoroClaudette-gm1wc
@MahoroClaudette-gm1wc 3 месяца назад
Kazi yeni inatufurahisha Mungu aendelee kuwangoza awafikishe mbali Pazuri zaidi Karibu Rwanda 🇷🇼
@sandejacob623
@sandejacob623 3 месяца назад
Daaah, Tunajua kuna wanadamu mna roho mbaya sana , muache hizo roho mbaya muje kwa Yesu mwenye mafundisho ya kukufanya uache roho mbaya.
@davidnguta-cz4ey
@davidnguta-cz4ey 3 месяца назад
mkenya kutoka mombasa likoni ferry naipenda movie ebu tujuane wana mombasa 🎉
@meckikilonzo
@meckikilonzo 3 месяца назад
Napente movie ii Sana NI Mombasa likoni
@AminaAli-w3s
@AminaAli-w3s 3 месяца назад
Hii movie inaniliza saaaaan Daaah inauma saaaaan
@niyorHamiss-yv4rm
@niyorHamiss-yv4rm 3 месяца назад
Inahuzunisha bana❤❤❤❤❤
@ElogeAnointed
@ElogeAnointed 3 месяца назад
Umeimba kirundi kikafulahi Bujumbura tunawapenda sana tunawafuatilia pia
@husseinkarisa9392
@husseinkarisa9392 3 месяца назад
Kwakweli movie zote umetoa ila hii inahuzunisha sana, haswa kwahuyu mwanamke mama kalobo amenisinya hata ningekua kalibu nayy ningemuua huyu, mbona afanye mambo mabaya hvi
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Umecomment na hisia😅
@husseinkarisa9392
@husseinkarisa9392 3 месяца назад
@@aishaomar2287 banaee, amenichosha huyu mama kalobo
@NdizeyeCharles-c3i
@NdizeyeCharles-c3i 3 месяца назад
Ati nini waneye inkumbu waneye amarira big up sana kwahiyo nyimbo ya kirundi.
@BarkaBarka-fe6yj
@BarkaBarka-fe6yj 3 месяца назад
Mhhhhh!!!!! Hii move inahuzunisha sana dahh!!!!😂😂😂
@moulynnyaboke-sh9vj
@moulynnyaboke-sh9vj 3 месяца назад
Wa mwisho jamani wenzangu naomba likes 🎉🎉❤❤❤
@elisanteKombe
@elisanteKombe 3 месяца назад
Tuko pamoja🎉🎉🎉🎉🎉❤
@jumamshenga3309
@jumamshenga3309 3 месяца назад
Baba Joan nampa pongezi kwa kwel ..
@jamesmbanga1831
@jamesmbanga1831 3 месяца назад
Wanteye nkumbu, wanteye malila. Nimeipenda sana mwamba, wewe bilashaka ni wa kgm, umenikumbusha mbali❤❤😅😅.
@KasNgankoy
@KasNgankoy 3 месяца назад
Il faut essayer de le faire aussi en Français malgré je ne comprends pas bien vraiment mais ça m'a touchée vraiment cette histoire 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@Weni-gu6fj
@Weni-gu6fj 3 месяца назад
Alafu apa nakosa kuelewa huyu mama kolobo huyu kalobo ni mtoto wake kweli ama ni vipi apa nakosa kuelewa ebu nielewesheni jamani
@IsayaKhambi
@IsayaKhambi 3 месяца назад
Me nahisi yule so mama yake ila baba yake anamficha asijue na inaonekana kuna kitu kimejificha juu ya mama kalobo mwenyewe
@Weni-gu6fj
@Weni-gu6fj 3 месяца назад
@@IsayaKhambi nikweli ila tutajua Kila kitu mbeleni
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 3 месяца назад
Tusubirien hatm tutajua mbelen
@MitiMitiComedian
@MitiMitiComedian 3 месяца назад
msamehe kipofu wewe mwamke uko mlozi siyo kuigiza ta macho yako yana onyesha wewe ni mlozi
@PostineYesare
@PostineYesare 3 месяца назад
Kwa kweli hili episode imeniliza😢😢😢
@JemsiSaningo
@JemsiSaningo 2 месяца назад
Mmekosea wakati mtoto anaenda kuchukuwa miwani baada ya kuleta miwani wakati ana mpa mmemuonyesha baba joan akiwa anaona na apo mmemdanganga mtazamaji muvi sawa mmepata mafanikio makubwa kwa kutazamwa ila aikukuzi wewe msanii inabidi Edita awe mkini sana ata wafelisha uyo a ujinga gani mmefanya apo sasa Kam episudio ya tano tu mme kosea muvi nzima kuna makosa mangapi
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 месяца назад
Jaman mboga imemwag😢😢
@HidayaKhalid-y1h
@HidayaKhalid-y1h 2 месяца назад
Wallae imeniliza si nyimbo wla tamthilia yenyewe😢
@SkolaVayinga
@SkolaVayinga 3 месяца назад
Kaka umejua kuniliza aiseeee❤❤❤❤❤❤
@mahirmahir2407
@mahirmahir2407 3 месяца назад
Jaman karobo unavyo jua kuekt kwahisia mama upewe tu mauwa yako ❤❤❤❤
@Helenqueenwangu
@Helenqueenwangu 3 месяца назад
Mama kalobo acha roombaya 😭😭😭😭
@rahmalove531
@rahmalove531 3 месяца назад
Ancha roh mbaya we mama karobo😢😢😢😢😢
@pilimakata
@pilimakata Месяц назад
Si jaangalia ila inaonekana nzuri sana pia ningependa kuangaria from tanzania ❤🎉
@Hadijawashuma
@Hadijawashuma 3 месяца назад
Daah movie inasikitisha pole kalobo❤❤❤
@sultanrichardson5487
@sultanrichardson5487 2 месяца назад
Kalobo, this girl is talented
@mwanashabilo3757
@mwanashabilo3757 Месяц назад
Baba karobo abadilishwe nguo sasa
@AyubuKamendu-w4o
@AyubuKamendu-w4o 3 месяца назад
Nani anipe Zujati nimpe zawadi
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga 2 месяца назад
Uyu dem Noma kama wa jamila
@karesh-xr1kb
@karesh-xr1kb 3 месяца назад
Baba Joan mbona unakula vibaya hivyo.
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g 3 месяца назад
Dah kazi nzuri ila machozi bubuji duh inahuzunisha sana 😢😢😢😢
@lionelemmanuel4436
@lionelemmanuel4436 2 месяца назад
Nani anipe Judith, nimpe likes
@josephmbua439
@josephmbua439 3 месяца назад
Napenda movie 🎥 zenu zinamfundisho sana,ila sema hiyo pisi uliojichangulia wewe noma,maana naona inaelekea kabisa
@EliasSimãoSimão
@EliasSimãoSimão 6 дней назад
😂❤❤ dadá acuse 🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊
@Amena-z5r
@Amena-z5r 3 месяца назад
Wow atimae nimekuona leo patronize najisikie mwenye furaha sana usituache bana tunakumiss sana tu love you ❤❤😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Phoebenafula
@Phoebenafula 3 месяца назад
Huyu ni mamake wa kumzaa kweli,
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 3 месяца назад
Move nzuri ya mafuzho🎉🎉🎉🎉
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 3 месяца назад
Wangapi wanamkubali zujati💯💯🔥🔥💯
@SykaizzoJames
@SykaizzoJames 2 месяца назад
Kalobo mdogo wangu nakukubali sana sema movie zako zote zinanitoa machoz God bless you.
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n Месяц назад
Naomba like jaman ata mbili
@DezderyProtace
@DezderyProtace 3 месяца назад
,😂😂😂 fanyeni haraka upendwe nayule zuu wa fashon
@DeodaNiyonkuru-wd3vn
@DeodaNiyonkuru-wd3vn 3 месяца назад
Baba joani Niko nakipaji namimi sunisadie
@moonGirl-t1i
@moonGirl-t1i 3 месяца назад
Niko na nyinyi watching live from Kenya kazi nzuri najifunza mengi kutoka kwa mama kalobo na mabayaa yake
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 месяца назад
Kaka kumbe africa lugha ni moja nyimbo aliomba ya kirundi
@NishaMussa-os4np
@NishaMussa-os4np 3 месяца назад
Usirie mdogo wangu karobo kwamaisha yaugali chumvi kunamaisha baada ya hapo
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 3 месяца назад
Alieskia Patronize akisema shkamoo mama gonga like
@mimiwajuu
@mimiwajuu 3 месяца назад
Kasema shikamoo muamu😂sio mama
@Hellen-kf2pg
@Hellen-kf2pg 3 месяца назад
Usijali ba joani
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Mama karobo mimacho😏,chefuuu😮...tunajifunza team baba joan tuko pamoja 🎉🎉🎉
@philohmutua2968
@philohmutua2968 3 месяца назад
Mama karobo😂😂😂 waaw patronis amefika. Mtaaa ❤❤❤❤
@rosemuhazi9542
@rosemuhazi9542 3 месяца назад
Woooiye aki mungu hii naye
@MarthaFocus-q8u
@MarthaFocus-q8u 3 месяца назад
Jamani bab joan ❤❤🎉🎉🎉
@MahoroClaudette-gm1wc
@MahoroClaudette-gm1wc 3 месяца назад
Rwanda Gisenyi karibu na congo tunawapenda sana karibu kwetu
@Safarikilunga
@Safarikilunga 2 дня назад
🎉🎉🎉😢😢😢
@HellenOreti
@HellenOreti 3 месяца назад
Leo nmejarbu nataman Tutoe movie zingine nany much love from this side
@HildahChelagatketter
@HildahChelagatketter 3 месяца назад
Mgeni kutoka kenya likes filimu nzuri sana nawapenda jameni❤❤❤
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode/6/ #love
30:08
Просмотров 394 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
Просмотров 298 тыс.
БАГ ЕЩЕ РАБОТАЕТ?
00:26
Просмотров 96 тыс.
Как открыть багажник?
00:36
Просмотров 16 тыс.
Tobaaaa Nyieee Kumbe KAGOMA kasimamishwa??😳
0:38
Просмотров 2,9 тыс.
BABA YANGU MLEMAVU ( EP4)
16:49
Просмотров 143 тыс.
SECRET AGENDA dance by Purity
3:43
Просмотров 48 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/7/ #love
28:38
Просмотров 459 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /43/
20:02
Просмотров 341 тыс.