Hizi ni plan za Diamond kuiharibia Crown Media. Tatizo huyo waliemtumia hana ushawishi so watu hawaitilii maanani sana. Diamond acha chuki na unafiki, kila mtu kapewa fungu lake be fair. Kwa muda mrefu sana umejaribu kumuharibia alikiba, ni Mungu tu na juhudi ndio zamfanya asurvive