Тёмный

SIDONDOKI MPAKA MUNGU ASEME, NINA MAWE NA MZIKI NAUJUA| NI DILI MMAREKEKANI KUFANYA KAZI NA MWAFRIKA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 365 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 396   
@sportsnewstv5002
@sportsnewstv5002 5 месяцев назад
mbona huyu dada maswali yake ni anajua mno au mm ndo nimeskia peke yangu. she is good 👏👏
@damianmcba9525
@damianmcba9525 5 месяцев назад
Yupo vizuri ccta ahulizi kimwamko au kishabiki yupo straight
@leonardadd
@leonardadd 5 месяцев назад
Kabisaa she's qualified🎉
@ProtasMussa-ei8oz
@ProtasMussa-ei8oz 5 месяцев назад
Saraphina Jerry huyo wa rickmedia
@nancyg8664
@nancyg8664 5 месяцев назад
Ata sauti yake ni nzuri sana
@sportsnewstv5002
@sportsnewstv5002 5 месяцев назад
@@damianmcba9525 👏
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 5 месяцев назад
Diamond unapambana SANA ila katika hii Dunia hata utende wema namna gani hakuna atakaekubali. Ila wewe ni kiongozi bora NDANI ya Musiki na MUNGU atakulipa ... wewe ni msanii wa kwanza kuwa na Media hapa nchini ,, Hongera SANA MWAMBA 💪💪💪
@frankemmanuel5239
@frankemmanuel5239 5 месяцев назад
Huyu jamaa kiukweli kabsa hapaswi kuchukiwa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
hee hata Alotuumba na kutupa pumzi buree na kila kitu na hajawahi kupwendwa na kila mtu anatukanwa
@Bitika-wo7cg
@Bitika-wo7cg 5 месяцев назад
Diamond anajua kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako hapo chini
@RASHIDMOHAMMEDI
@RASHIDMOHAMMEDI 5 месяцев назад
Huyu dem akipata media nzuri atafika mbali sanaa ana maswali yalioenda shule yani anajua jinsi gani ya kuuliza maswali smart sana
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 5 месяцев назад
Mond atamchukua
@ProtasMussa-ei8oz
@ProtasMussa-ei8oz 5 месяцев назад
Mtoto wa rickmedia huyo
@alfredpilly5878
@alfredpilly5878 5 месяцев назад
Kaka nashukuru Kwa kuliona Hilo kanikosha sana
@kijanayaaput8940
@kijanayaaput8940 5 месяцев назад
Kabisa. Ako sawa❤
@nururaymond5
@nururaymond5 5 месяцев назад
Mtangazaji mzuri mnooo
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 5 месяцев назад
Hyu jamaa huwa sio muongeaji sana ila akiongea huwa ana sifa muhaya arud nyuma😂😂😂😂😂😂😂khaaaaaaaaa
@georgewilson3022
@georgewilson3022 5 месяцев назад
Anajikubari sana alafu Amna kitu
@rosemarymsafiri3255
@rosemarymsafiri3255 5 месяцев назад
Yeah ana sifaa kwasabb anazo😂😂
@sirvesterndahani5638
@sirvesterndahani5638 4 месяца назад
​@@georgewilson3022wewe unanini
@innoboxerboxer3830
@innoboxerboxer3830 Месяц назад
Tofautisha kujikubal na kujisifia af we inakuuma nin?
@YohaneTitus
@YohaneTitus 5 месяцев назад
Jamaa anajua sana huyu had kuongea anajua yani mziiki anujua na biashara anaijua sana tena
@estherboniphace2430
@estherboniphace2430 5 месяцев назад
Uyu dada anaeuliza maswali ni very smart
@adnanel-islam3291
@adnanel-islam3291 5 месяцев назад
Yeah she is very smart
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 5 месяцев назад
Chibu uko vizuri sana umewabeba mpaka wale waliokataliwa
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 5 месяцев назад
Bro diamond fungua chuo cha biashara tuje kaka utuoneshe njia ya kufankiwa zaid❤
@mwarabuofficial5241
@mwarabuofficial5241 5 месяцев назад
Kulala uchi unaweza?
@damianmcba9525
@damianmcba9525 5 месяцев назад
AKIFUNGUA chu cha bihashara yy atakuwa mmiliki tu Mateacher ni watu wenye elimu zao,, km anavyomiliki media lkn yy sio mwandishi wa habari
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 5 месяцев назад
​@@mwarabuofficial5241😂😂😂
@lumo9999
@lumo9999 5 месяцев назад
Huyu dada anajua kuuliza maswali vizur sana ❤❤❤❤
@BarakaMatali-mv1sv
@BarakaMatali-mv1sv 5 месяцев назад
😂😂 huyu jamaa anawatisha sana wenzake. . Awapumzishe kidogo watajinyonga
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 5 месяцев назад
Diamond Platinumz fungua chuo Cha biashara ww uwe lecture utufundishe njia za kibiashara 😂🙏🙌
@HagaiRodrich
@HagaiRodrich 2 месяца назад
Yan kwa mimi diamondi ni kijana wa kuigwa kwa wasanihi wote wa bongo harimonazi kama unasikia inatakiwa ujifunzi sana kwa diamondi
@KusiMushi
@KusiMushi 5 месяцев назад
Alafu dada huyo huyo ametulia sana, Hababaiki, katuliaa, maswali magumu, yasiyohitaji majibu mepesi.
@HassanJalala-x2l
@HassanJalala-x2l 5 месяцев назад
Huy Binti Asee Anauliza Maswali Ad Lahaa
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 5 месяцев назад
Simba lamasimba Dangote Noma saanA 🎙️📺🎬🎙️
@bukaone7507
@bukaone7507 5 месяцев назад
Uko vizuri Simba
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 3 месяца назад
Kijiji unacho Mond,una utu na raho ya kusaidia.nakubali tokea Kenya kwa kazi safi
@nelsonmsela7192
@nelsonmsela7192 5 месяцев назад
Huyo dada anaye muoji simba anajua sana alafu chibu ni moto 🔥🔥🔥
@ngangamtheboss9242
@ngangamtheboss9242 5 месяцев назад
Kama salama jabir saut
@amoogaza6825
@amoogaza6825 5 месяцев назад
Even me nimeona hilo😊
@kizdady2544
@kizdady2544 5 месяцев назад
Kweli
@davidcheyo2794
@davidcheyo2794 3 месяца назад
Mpuuz thu
@BoscoDunia12
@BoscoDunia12 2 месяца назад
5:15
@mrsinia3064
@mrsinia3064 5 месяцев назад
Sarafina Jerry you're so smart babe chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉
@EdmundChota
@EdmundChota 5 месяцев назад
Any way Kwa mtizamo wangu Mimi Diamond ni kijana mpambanaji saaana,na ana mtizamo wa mbali saana,pia ni kijana asiyekuwa na majungu ya kusengenya wasanii wengine.Big up Mond
@magomakabanja480
@magomakabanja480 5 месяцев назад
Kiupande Wangu Nakuamini Unacho Sema Kwenye Music 🎵 Utashuka Mpaka Mungu Aseme yaani Akushushe Sio Binadam Aseme
@faridakahunda5811
@faridakahunda5811 5 месяцев назад
Huyu dada anasauti nzuri kama ya salama Jabir
@EdmundChota
@EdmundChota 5 месяцев назад
Diamond ana kipaji Cha ubunifu,na wengine wanamfuata,hivyo lazima Diamond atakuwa juu tuu!!Piga kazi kijana.
@SalumSeif-p5r
@SalumSeif-p5r 5 месяцев назад
Yaan uyu dada anajua sana kumuhoji mtu yaani she is very good ni verbal questions
@Joscoman
@Joscoman Месяц назад
Diamond, wewe una moyo wa utu ila watu hawanagi shukrani, napenda mziki wako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@williambenedict6074
@williambenedict6074 5 месяцев назад
Im Kenyan and i love this. We love y'all Tz music🇰🇪🇹🇿♥️
@GlassdubaiAluminiumprofile
@GlassdubaiAluminiumprofile 5 месяцев назад
Huyu dada ana sauti inafanana na ya Salama Jabir
@digitalworld5577
@digitalworld5577 5 месяцев назад
Diamond anajua sana kuongea kwa u-smart. Anajua interviews sana na anajua kuongea kwa kubalance. He’s the best.
@snooshzeen
@snooshzeen 4 месяца назад
Diamond kabisa wewe una ongea vizuri nakupenda kwakuongeya yako nipeni ft na harmonize please twache kuwachonganisha sana nawo
@Jiranifachionbusiness
@Jiranifachionbusiness 5 месяцев назад
Safi sana Diamond una roho nzuri sana napia nime djifunza kitu kutoka kwako yaani nipo drc naona ngoma zako zina sumbua sana huku est ya drc congratulations
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 5 месяцев назад
Huyu Dada Amenifurahisha Sana. Very Smart, hii interview itampa Mchongo mkubwa. 💥💥💥💥
@mwarabuofficial5241
@mwarabuofficial5241 5 месяцев назад
Wasafi brand kubwa but... Title haijakaa poa next time kuwa makini kwenye kichwa cha habari kutype vizuri.
@IzaTway
@IzaTway 5 месяцев назад
Wamarekani saiv wanatamani kufanya kazi na africa yani wafrica saivi tumekuwa dili 😂😂😂😂😂
@Loftyattorneys
@Loftyattorneys 5 месяцев назад
Well said brother akili kubwa
@MudyNyau
@MudyNyau 5 месяцев назад
SIMBA LA MASIMBA DANGOTE❤❤❤❤
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 5 месяцев назад
Mimi mwenyewe naamini kuwa ivyo tu kuwa mungu ndio muamuzi wa kukusha wewe tu lakini siyo chuki za watu maana unaakili sana ya mziki na pia uwa aukulupuki kwenye kufanya maamuzi ndio maana vitu vingi vinaenda zaidi 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥💯💯✔️
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 5 месяцев назад
Simba la Masimba Dangote,ninakukubali sana Brother,kwani hii game unaifahamu kinoma noma.
@NassorMbwana-wm9de
@NassorMbwana-wm9de 5 месяцев назад
mond anajuwa mwamba kapambana sana mpeni maua yake🌹🌹🌹🌹
@CostantinSimba
@CostantinSimba 5 месяцев назад
Hyo dada ni Noma sana ukipata media utaimudu vilivyo dada uko vzri sana,pia mdgo wangu Simba uko sawa Kwa maswali,
@chizashungu8364
@chizashungu8364 5 месяцев назад
Diamond platnumz you are the Best.
@ChimpGuardian
@ChimpGuardian 5 месяцев назад
The one and only Chibu D, Chibu Denga, Simba Baba Lao, Dangote Baba Lao, We Zombie...! You're the best we have ever had in our Music 🎶 You're the true king 🤴 and the living legend @diamondplutnumz
@eddechriss2664
@eddechriss2664 5 месяцев назад
Huyu DADA anayeuliza maswali ni Mtanzania ama, 🎉🎉🎉🎉 napendekeza pia kwenye football ndio huyuhuyu awe anawahoji wakina Gamond
@sportsnewstv5002
@sportsnewstv5002 5 месяцев назад
amekaa smart sana atafaa sana huenda yale maswal ya ulionaje mchezo yakaisha😅😅
@khadjamustafa
@khadjamustafa 5 месяцев назад
Kwa hapa Tz hakuna anae mzd mond me naona huyu jamaa kwasasa apambane tu nnje ya nnchi ili taifa letu lzd kujulikana khs kuna konde wao wapambane tu kivyaovyao😊😊
@shadihussein1510
@shadihussein1510 5 месяцев назад
Baada ya kumaliza mziki jamaa Apewe uwaziri wa sanaaa na michezo
@sir-jkgzmusicrecordings9131
@sir-jkgzmusicrecordings9131 5 месяцев назад
Umeongea vema Sana brother Ila just to update you kwasasa Sheria inaruhusu mtu mmoja kufungua Kampuni.
@anfrashadvertiser4801
@anfrashadvertiser4801 5 месяцев назад
Heyyyy Platnum Mishuuziiiiii😂🤣🤣🤣 nakubali lazima ajambe ukimdiemu mtu
@lukakualadin8551
@lukakualadin8551 5 месяцев назад
Diamond platinum Ana baya
@RichardKakinamuhizo
@RichardKakinamuhizo 15 дней назад
Mimi hata waseme simba namna gani nitabaki kuwa wakwake mupaka mwisho wasafari yake ❤❤❤❤❤
@AlperxardKadutu
@AlperxardKadutu Месяц назад
Cc tunajaribu na huyu ndie kioo chetu nataman kuktana nae anisikilize napenda sana
@BraysoniSimoni
@BraysoniSimoni 5 месяцев назад
Kwamtazamo wangu naisi huyo boss ata kuwa msanii kutoka USA ricross
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 дня назад
nyie mnajidanganya Harmonize kichwa kigumu mjeshiiii aelewiiiiiiiiiii 😅😅
@MartinWilondja-x3t
@MartinWilondja-x3t 5 месяцев назад
Boss nakukubali sana 🧏🏻‍♂️
@NunguL.Magembe
@NunguL.Magembe 5 месяцев назад
Fact sana
@BarnabasBujashi
@BarnabasBujashi 3 месяца назад
Unajuwa sana kumbe so kuimba TU utafika mbali sana
@002RYE
@002RYE 5 месяцев назад
SIMBAA❤
@HUSSEINJONHMERY
@HUSSEINJONHMERY 3 месяца назад
Ukweli kabisa huo msanii mkubwa wa Afrika
@snooshzeen
@snooshzeen 4 месяца назад
Please namimi ninge penda nije Tanzania niwe WCB
@BranhamMugingi
@BranhamMugingi 3 месяца назад
Uje fanya nini Tanzania kalale😂
@BranhamMugingi
@BranhamMugingi 3 месяца назад
Wcb hapaendi wazembe ta futa Bantubow
@muddysharo1803
@muddysharo1803 4 месяца назад
Huyu Dada apewe kitengo maalum kwenye media anakitu kwanza ana sauti nzuri, pili a anajuwa kuhoji, tatu anaswagga fln za kinywamwez kwenye kuuliza maswali, nihayo tu akipewa kipindi fln kwenye media kubwa matunda yake tutayaona
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 5 месяцев назад
kaka naamin yan wewe ukiaribika namimi bongonyo kwanza kuna mademu walikuaga wananidharau wananipuuza , ilikua matukio yangoma zako nawadedicate mfano nyota mpaka nikavidharau nikafocas na maisha fresh now.some how yws
@hassankhamis7380
@hassankhamis7380 5 месяцев назад
Simba ni simba kamwe hawezi kua swala big up man ww ni mfano bro una akili sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sadibatangalwa5890
@sadibatangalwa5890 5 месяцев назад
Iyo ni kweli diamond platnumz
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 5 месяцев назад
Wallah, una roho nzuri,binadam bana hatunaga shukrani. Naomba nisaidie na mimi aiseee angalau 10m. Tuuuuu.
@shaabanmganga
@shaabanmganga 5 месяцев назад
Me ntakpatia laki moja ila shart moja
@ShedyLeeFanclub
@ShedyLeeFanclub 5 месяцев назад
😂
@eliahedward7490
@eliahedward7490 5 месяцев назад
Personal nakpenda ww n mtu smart sana na specifically xn..sem tu binadamu kila mtu na tabia na mtizamo wak
@JosephCavolez
@JosephCavolez 5 месяцев назад
Mondi anajua kuongea na watu
@fatumamfumia4507
@fatumamfumia4507 5 месяцев назад
MATAMANIO YANGU MAKUBWA SIKU MOJA NIJE KUSIKIA COLABO MOJA MATATA YA DIAMOND, ALI KIBA NA HARMONIZE
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 5 месяцев назад
Safi dogo mondi Mimi naona baado utakua juu namimi nakuombea Niko Zambia
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 5 месяцев назад
Tunaskia mnamshindanasha na msanii wenu yo maps 😂
@RizikiSizobakwira
@RizikiSizobakwira Месяц назад
Watu''weusi''nywele''nyeusi''akili''nyeusi'''moyo''nyeusi''hawana''wema'''acakuwa'''munashukulu'''jameni''''baba'''tendawema'''nenda''zako'''aca''awowajinga'''''''wewe''nisimba'''''''awoni'''swala'''tu
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 3 месяца назад
Sauti ya dada ni kaka ya Salama Jabri
@jumamohamedy731
@jumamohamedy731 3 месяца назад
Dada mwandishi yupo vizuri sana
@onekisstv8412
@onekisstv8412 5 месяцев назад
Oya iyo kofia mnaikumbuka au 😂😂😂😂😂
@UstadhiRai
@UstadhiRai Месяц назад
😢tatizo (nikuritadhi) Innadini.indhaAllah Islam.Allahu Akbar.🎉
@onesmoisack
@onesmoisack 4 месяца назад
Safi sana kaka mungu akupe maisha marefu ili tuendelee kukuona pia uendelee kuwainua vijana wenye vipaji cha msingi kaka huwez kumzuia mtu kuongea atakacho amua yeye ataongea hata kama utamfanyia mema asilimia 100 bado atakukejeli tu
@SilasRiah
@SilasRiah 6 дней назад
🎉Nakubali sana Diamond ila mwambie Harmonize aache kuimba Sifo na Majigambo kwake yeye mwenyewe
@rosemarymsafiri3255
@rosemarymsafiri3255 5 месяцев назад
This guy tukubal tu katusaidia kupelek soko letu la mzk kimataifa.soko la mzik analjua vbaya mnoo..🙌🙌🤗
@kevinsakwa6665
@kevinsakwa6665 4 месяца назад
Hawa watanzania Kiswahili hawakijui , doh….waje Kenya tuwafunze Kiswahili …..
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 4 месяца назад
nime comment kwa sababu ya huyu mtangazaji ana energy ya kutosha kabisa 💪
@DaudiDaudi-j4d
@DaudiDaudi-j4d 5 месяцев назад
Simba baba Lao ❤❤❤❤
@PaulBulengela
@PaulBulengela 5 месяцев назад
Kuna hcho kijamaa hapo pembeni ya huyo dada anayeuliza maswali kinajiona kama chenyewe ndo mondi halafu mondi ndo chenyewe yaani na miwani yake kama tax za buza😂
@GivenMtambo
@GivenMtambo 3 месяца назад
Mond hata zombi umemtoa wewe maaana ulipoanza kusema we zombi watu ndo wakaanza kufuatilia haujui
@BakariMmahiya
@BakariMmahiya 5 месяцев назад
umuimu wako utajulikana ukiama TZ ila lawama zichukulie kama changamoto zisikutoe machozi
@KelvinMakongo01
@KelvinMakongo01 5 месяцев назад
UNAAMBIWA KAZI NA DAWA KAMUENDEA NA MKONGO NA KATOA .... ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Y974J5YZEP0.html
@StephenGerald-wi6xj
@StephenGerald-wi6xj 5 месяцев назад
Wasafi mchukueni uyo dada anajua
@Omary-ee7my
@Omary-ee7my 4 месяца назад
Brother ukifa uta ondoka na wengi co kwahiza Ngoma my brother
@joshuamwakitalu-b5x
@joshuamwakitalu-b5x 28 дней назад
Tunakujua vizur wasanii wengi wamejulikana kupitia ww Huna bays mondi
@RAJABungulukizi
@RAJABungulukizi 2 месяца назад
Diamond nakutakia utendaji mwema wa kazi yako mungu akupe siku nyingi
@JuliusKale-b9m
@JuliusKale-b9m 2 месяца назад
Akiendelea hivihivi atadumu Kama koff kwnye game ya music
@FurahaKulwa
@FurahaKulwa 2 месяца назад
Mwamba huna baya umesema vyema sana hongera Kwa maono mazur
@WinifridaMganga
@WinifridaMganga 3 месяца назад
Niceeeeee
@VedastoAbdallah
@VedastoAbdallah 2 месяца назад
Nimekukubar sana mond kwa maelekezo ya upambananaji
@RichardKakinamuhizo
@RichardKakinamuhizo 15 дней назад
Mimi hata waseme simba namna gani nitabaki kuwa wakwake mupaka mwisho wasafari yake ❤❤❤❤❤
@BawiliemediEzdori
@BawiliemediEzdori 13 дней назад
Dada Mungu akutangulie kwenye maisha yako nimependa swali za msingi
@SelemaniMnauje
@SelemaniMnauje 5 месяцев назад
huyu mwamb lazma atobowe kwa sababu ana mamb 3 muhimu kweny mzk, nayo ni kuimb, kuvaaa na kuchez
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 5 месяцев назад
Rickey Media wametumwa na mmakonde 😂😂
@BawiliemediEzdori
@BawiliemediEzdori 13 дней назад
Mimi nampenda juma jux hila namkubali simba ninafurahia wanafanya colabo
@anyeresa928
@anyeresa928 3 месяца назад
We dada umepewa script ya mwaswali unayouliza ...!!
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 5 месяцев назад
Brother chibu uko vzr mungu akupe umr mrefu, na mafanikio tele, akuepushe na maradhi yenye tiba na yacyo na tiba, unajua sanaaaaa kaka
@SalumSeif-p5r
@SalumSeif-p5r 5 месяцев назад
Yes, she is good woman who tries to maintain peace and harmony among the people
@HusseinAdam-re1li
@HusseinAdam-re1li 4 месяца назад
Asiombaya ilakwasasnyimbozakonyingizakihuni lakihaponyumakidogozilikuwanyimbosafi
Далее