Badi umefanya vzr sana kutuekea hii ngoma apa wengine tuko mbalii sana tukiskiazaa tunajiona kama tupp mombasa yaan adi malaika wanisisimkaaa naipenda kwa isharaa jamanii 😍🥰😘
Nakosa cha kuandika ninavyoupenda jmn cjui hat niandike nini jmn nampenda kwa isharaaaaa aheliiiii 💋💋💋💞💞💞 schoki kuuskiliza huu wimbo wallah umenikosha from tz
Sio baaadi ni Badiy mimi nimeandika jinsi tu alivoqnza kuimba alisema.Badi nadi hujasikia au mie hao kina Badiy kwetu yapo mwanangu mtoto wakaka angu hilo ndio jina lake na yeye kalirithi kwa bana abgu mkubwa jina lake ndio hilo Badiy nahivi ndio linavoandikqa sio wewe unakosoa still bado unakosea kajambe uko
Bado bado loh mungu akuzidiye kuendelea kujuwa nae alivunjaa recd toubaaa huyuu Jawd💕😍😘😆😂👍👌🙏true nkwel kilaa ckuu namuona kwa ucngizi na cjamuona jamini
Ahh jaman ngoma yanimaliza kuna kijana nampenda kutoka Mtongwe nikimuona moyo wangu puh😍anaitwa Hussein mwangangi aka TariQ maskani ya mgokaa pale mweza kwa rasta jaman mtu amfikishie naitwa KICHUNA
Nimeingia mahabani kwa mtu asiyejua ..umuona kwa ndotoni penzi amelichukua...mola kanipa subira nisije kufedheeka nampnda kwa ishara naogopa kutamkaa...
Thank you so much ....you can follow my Dj on Instagram or Facebook for updates on my new songs and if you want to can even send them to you ..Instagram Dj_Las1..Facebook Laswan Asuu