Тёмный

TAARAB. Abdul Misambano - Mtoto kitu na Box mp3 

Marjan Sempa
Подписаться 85 тыс.
Просмотров 855 тыс.
50% 1

all rights reserved by: Marjan Sempa

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 425   
@jamesdizanzibar2075
@jamesdizanzibar2075 Год назад
Mashaaallh naipenda sana hii nyimbo nani tunaesikiliza pamoja nyimbo hii 2023❤️❤️❤️❤️
@ashakhama2550
@ashakhama2550 Год назад
Tupoooo
@Allyahmed40
@Allyahmed40 Год назад
Tuko Pamojaaaaaaa
@ghedasaid170
@ghedasaid170 Год назад
Miye tuko pamoja kuisikiliza
@bintsaid7696
@bintsaid7696 Год назад
@mariamtezo8092
@mariamtezo8092 Год назад
Mm pia naependa sana tusikize pamoya
@raysamiya3760
@raysamiya3760 3 года назад
Nakumkosa n haramu heri niende kaburini. Sathaaa hahahaaaa. Wimbo haujaisha utamu mwenye anaskiliza kila mara agonge tujuane
@TatuSeleman-zm1hn
@TatuSeleman-zm1hn 9 месяцев назад
Masha Allah mpk Leo bado yagonga nyoyo 2024
@asiamohamed9380
@asiamohamed9380 Год назад
Huu wimbo unaniingia mpaka kwenye roho❤
@mariamndomba989
@mariamndomba989 6 месяцев назад
Huyu ni namba 1 mambo yake walai ni fire nakupenda mume wangu halali yangu❤❤
@mnyamanishabani6115
@mnyamanishabani6115 Год назад
My wedding song 2023 Inshaallah 🙏🙏
@jumamohammed428
@jumamohammed428 Год назад
in'sha'Allah
@PopoMajid-dh3ur
@PopoMajid-dh3ur 5 месяцев назад
Hii nyimbo haishi ladha ndani ya masikio ukisikiliza mpk vinyweleo husisimka kama na ww ni mmoja wapo tunaesikiliza 2024 ❤❤
@SaudaMnodwa
@SaudaMnodwa 5 месяцев назад
Kwakweli Mimi piya nasikiliza sana tu naroho yangu ikarizika tu ❤❤
@FatmaFyeku
@FatmaFyeku 25 дней назад
Naipenda mno yanikumbusha mbali❤
@mariamnshimirimana7082
@mariamnshimirimana7082 4 года назад
2020 tujuane 👌 yani wimbo hauchuji
@fettymishel5599
@fettymishel5599 2 года назад
Kwakweli👌👌👌👌
@neemamohamedimohammedramad394
@neemamohamedimohammedramad394 4 года назад
2020 DRC Congo kama kawaida anaeisikiliza hii hapa gonga like
@swahibaramadhani9032
@swahibaramadhani9032 3 года назад
Tunaosikiliza 2021 tupo
@halimasaid3746
@halimasaid3746 3 года назад
Hii nyimbo ndio ntaingilia harusi yangu in sha Allah
@khanifayusuf8948
@khanifayusuf8948 3 года назад
InshaAllah
@mwajuwahassan2724
@mwajuwahassan2724 3 года назад
Nzuri saana
@fatmaathman8214
@fatmaathman8214 3 года назад
Hta mm in shaa Allah
@salmanh9778
@salmanh9778 2 года назад
Ameen in shaa Allah
@saumumaganga3590
@saumumaganga3590 2 года назад
Inshallah maan ata mimi naipend pia
@khadijakhamis1931
@khadijakhamis1931 3 года назад
😘😘 bado iko moto hii nyimbo namiss home jamani tuende nalo
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Uko nchi gani?
@fatmaathman8214
@fatmaathman8214 3 года назад
Wale wa 2021 mupooo❤️❤️in shaa Allah hii nyimbo ndo ntaingia nao harus yangu
@marjansempa
@marjansempa 3 года назад
MashAllah
@mamajohayna3061
@mamajohayna3061 3 года назад
Utanialika na Mimi naipenda sana
@fatmaathman8214
@fatmaathman8214 3 года назад
@@mamajohayna3061 in shaa Alllah karibu mpenz
@mamajohayna3061
@mamajohayna3061 3 года назад
@@fatmaathman8214 Asante sana
@shakemasha6625
@shakemasha6625 2 года назад
Yetu
@armstrongwiyema2348
@armstrongwiyema2348 3 года назад
Mziki huu unangoja harusi yangu, inshallah
@petal8776
@petal8776 3 года назад
inshallah
@samirakiango957
@samirakiango957 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣sindo mpka uoeee
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
@@samirakiango957 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Mimi pia
@hildanjeri2248
@hildanjeri2248 2 года назад
😋😋😋hapo chachaaaa wimbo wa arusi yngu ndo huu sasa🥳🥳🥳🥳
@heyumi2340
@heyumi2340 Год назад
😄🤣😂😆😄na siku ukiachwa mziki wake ni upi
@heyumi2340
@heyumi2340 Год назад
au ndoo utakuwa kwa hilo hujanikomoa 😄🤣😂😆😄🤣😂😆
@snasike
@snasike 2 года назад
October 2022 ...... Beautiful song 🎵 Please every like will remind to listen to it again ..... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ramadhanimussa2625
@ramadhanimussa2625 Год назад
Hii song naleo 2023 km ya jana vile
@shirahkayeba6112
@shirahkayeba6112 3 года назад
2021 tujuane ngoma bado iko🔥🔥🔥
@fatmaathman8214
@fatmaathman8214 3 года назад
Tupoo
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Mie huku natoa miuno hatariiiii💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾🤸‍♀️🤸‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣👏🤣
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 3 года назад
Naikubali saana hii taarabu😘😘😘😘😘😘
@esthermutali7270
@esthermutali7270 2 года назад
My wedding song 2022 🔥 🔥
@fatmaunji1275
@fatmaunji1275 5 лет назад
Mambo yake bambam yaliyokwenda shuleniiii,haaaaaa yeye mtaalam haswa kwa mambo furaniii siri yangu kifuaniiii hahahaaaa
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 3 года назад
Napata mirindimo ya pwani nikiwa oman 💃💃💃💥
@mwantumseleman9566
@mwantumseleman9566 11 месяцев назад
Wadau ntaingilia kw kharous yng inshaallah ❤❤
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 3 года назад
Mtoto kitu na box......ni🔥🔥🔥🔥🔥mashallah ameimba hapa abdul hodari sana
@nmnm215
@nmnm215 2 года назад
Nakupenda xana we baba nyimbo yanibembeleza hii jamani
@TatuSeleman-zm1hn
@TatuSeleman-zm1hn 3 месяца назад
Mpk Sasa 2024 mash Allah bado inakonga nyoyo
@HalimaNgumbao
@HalimaNgumbao 2 месяца назад
Nzuri sana
@shh5844
@shh5844 3 года назад
Hata mm innshaallah! Namualika nyote
@FatmaFyeku
@FatmaFyeku 25 дней назад
Bado nakipenda sana na nitazidi kuiskiza🎉@2024
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 3 года назад
endelea kutupa vi2 adimu ivyo maxhabiki tuko makini ☝️ 😘😘😘 umetixha xn 💃💃
@aishasalum3372
@aishasalum3372 11 месяцев назад
❤😊napenda nyimbo san
@jennifermwakibete864
@jennifermwakibete864 5 лет назад
Dah uyu kaka anaimba jamani uwiii yaan unasikiliza kitu roho inapenda👌👌wapi Tabora enzi izo 2006 2007 🤣🤣🤣😗😗 wapenzi tujuane hapa
@zuwenasaidimulumbe292
@zuwenasaidimulumbe292 5 лет назад
Jamn hii tamu sn, kitu na box
@fatumaamiri5737
@fatumaamiri5737 5 лет назад
Jmn nipo tabora pia
@mwanaidifami3148
@mwanaidifami3148 5 лет назад
Noooma Tabora hiyooo duh wastara na shujaaa kagilee
@mymunajabiri5796
@mymunajabiri5796 4 года назад
Wamboka🤣🤣🤣
@ramadhanishebani5179
@ramadhanishebani5179 Год назад
Yaani nikiwa n stress naskiza nyimbo hii n stress zinapotea yaani nyimbo naifeel hadi kwa roho.musipite bila like n coment kama unaikubali kama mimi
@halmaabdala7221
@halmaabdala7221 5 лет назад
mziki mzuri kamwe autoisha radha km unakubali hii ni kariiii bx uxipit bila kupiga like yako 2019
@ahmedkassim5222
@ahmedkassim5222 5 лет назад
Maneno kuntu jaman huyu kaka anabalaa
@roseruga2755
@roseruga2755 5 лет назад
Najiisi nakuwa kijana
@Saumujuma-b9e
@Saumujuma-b9e 3 месяца назад
Hunisisimua mwili mie jamani
@HasnaSheby
@HasnaSheby Месяц назад
Tunao skiliza hi nyimbo hadi sasa 2024
@PeterMchome-k6r
@PeterMchome-k6r 3 месяца назад
Super rocksi,Adbuli misambano🔥🔥🔥🔥
@alexooko1602
@alexooko1602 4 года назад
Kiandaruani uswazi. Jomvu kuu, Miritini, Bokotere, Mwagosi, Mikindani na Sposimani enzi za 90's. Hujaalikwa na Bw/Bi harusi sio lazima kuwajua. Wacha nizeeke polepole!
@marjansempa
@marjansempa 4 года назад
🤣🤣🤣
@marjansempa
@marjansempa 4 года назад
Shkamoo @Alex Ooko
@alexooko1602
@alexooko1602 4 года назад
@@marjansempa marahabaaa mjukuu wangu. Upo?
@rahmanassor988
@rahmanassor988 4 года назад
Hahah
@khatijakhatija9518
@khatijakhatija9518 3 года назад
Umeonaeee jomvu kuu hom hahahahahah raha kama zoote
@cute911fashion8
@cute911fashion8 5 лет назад
ambaye yupo hapa 2019/9 kuskikiza vitu vizuri like plz
@rehemaahmad6833
@rehemaahmad6833 4 года назад
Ni 🔥🔥 nakupenda kilasiku hii jaman hainikinai❤️❤️❤️❤️
@aishaabdi5887
@aishaabdi5887 4 года назад
Code +254🇰🇪 nimecamp hapa 2020. Hulazimika kumlinda asitoke mwangu chumbani...
@muminmohamedahmed2453
@muminmohamedahmed2453 5 лет назад
PENZI LAKE HALINISHIHAMU HATA NIPEWE MARA KUMI
@donmachiavelli7501
@donmachiavelli7501 2 года назад
Mashallah...mtoto kitu na box...wallah huwa nahema anibanapo mwilini....tzezea wadigo....
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 2 года назад
Wewe hadirah jaman naipendamimi asikwambiyemtu❤️😍🤗💃💃💃💃💃
@hansnoshadi1021
@hansnoshadi1021 3 месяца назад
Nikisahau kwenye ndoa yangu naomba mumkumbushe DJ kuipiga hii taarab .... KITU NA BOX
@fettymishel5599
@fettymishel5599 2 года назад
Wallah uwa naema anibaaanapo mwilini ata japo jina langu mi mwezenu uwa tahaaban😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@learnhowtomakelighteningcr1010
@learnhowtomakelighteningcr1010 16 дней назад
2024 Nani yuko na mimi❤❤❤
@alhaji6094
@alhaji6094 4 года назад
I like this song maana nilikuwa siipat Kila nikiitafuta🙏🏾
@asmahasanirashid5059
@asmahasanirashid5059 11 месяцев назад
Haiishi hamu jamni ❤
@KENNEDYWAFULA-rd5rj
@KENNEDYWAFULA-rd5rj 4 месяца назад
Masha Allah hapo ni sawa
@aminakahindi5887
@aminakahindi5887 2 года назад
Wooo naenjoy nikiwa saudia 😍😍😍😍
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 3 года назад
Wallah nikipata mchumba kwenye harusi yangu ndo natokea 😅😅😅😅😅😅😅😅
@emmanuelbenson6149
@emmanuelbenson6149 2 года назад
Nipo mie
@lolitahawa7082
@lolitahawa7082 5 лет назад
asante mimi na fan ya taarab sana nayipenda sana
@ceciliasimon7369
@ceciliasimon7369 Год назад
❤️❤️❤️❤️penzi lake alitaniisha hamu hata kidogo
@simbamsonde4822
@simbamsonde4822 2 месяца назад
DRC kibali CONGO 2024 ❤
@SalhaOmary-py8en
@SalhaOmary-py8en 3 месяца назад
Dah na ikubalisana iyo nyimbo yan ina nkosha mpka moyon
@restutazimbeiya3806
@restutazimbeiya3806 4 года назад
Ktk watu muhimu huyu ni namba one💜
@ashanaseeb2065
@ashanaseeb2065 Год назад
Wallah hii song hainiishi hamu kuckiliza
@hanifayunus8502
@hanifayunus8502 5 лет назад
Sijui nikarudie harusi,jamani maneno matamuu hayooo....
@mwastisholezoo1714
@mwastisholezoo1714 3 года назад
Hhhhj
@hanifamwamba6374
@hanifamwamba6374 5 лет назад
Asantaaa yaani hii ngoma unilaza macho
@mimahsaid2326
@mimahsaid2326 5 лет назад
tuko sote mamaa
@abdulshakuru3992
@abdulshakuru3992 5 лет назад
Hatari sana
@salimmalalo2275
@salimmalalo2275 4 года назад
Naku. bali maliza. Mitindo ,yoyote mimi ,ndio, kwako
@susanmunguti105
@susanmunguti105 3 года назад
My wedding entrance song👌👌👌👌👰👰
@twahaanyoni9368
@twahaanyoni9368 5 лет назад
Dar long time kwakwer unacheza km Uchez vire jaman mtoto wakike mwenye Mashauz yake umkute haa mbona kitu n Box jaman noma sana misambano
@aishasalum2963
@aishasalum2963 5 лет назад
Wimbo mzur sana
@halimahamisi9334
@halimahamisi9334 4 года назад
Jamani 254 woow
@asmahomary4932
@asmahomary4932 2 года назад
Nyieee miaka ikawenda jaman kipindi hiki mm nilikuwa bado hata maji sijayajua now bado nausikia hapa na familia yangu
@MuniraAbdul-sc7wf
@MuniraAbdul-sc7wf 10 месяцев назад
Hii nyimbo jamani yanifanya nitafute mti nishike
@fazzerthewanted9163
@fazzerthewanted9163 5 лет назад
2019 upo? Allahamdulillah...gonga like!!
@memisaphusseni7190
@memisaphusseni7190 5 лет назад
Zilipendwa yani tamu mpaka basi ila siku izi vurugu chandaruani🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@asiamjata7889
@asiamjata7889 4 года назад
😅😅hakika
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
@Saum Salim teynaaa
@victoriamzava9816
@victoriamzava9816 5 лет назад
Anaicheza ngoma kwa ufundi wa kipwani, maneno yametaradatiiii
@jureremaganga7776
@jureremaganga7776 5 лет назад
Penzi lake haliniishi hamu hata nipewe mara 10
@jazirahseleman535
@jazirahseleman535 2 года назад
Nipe mpaka niseme basii hatareeeee na nusu
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 3 года назад
Haki sijakaa co kwa radhaaaaa ninayoipata hatariiiiiiiiiiii😍😍😍😍😍
@swabrakaisar3212
@swabrakaisar3212 3 года назад
Woyoooooooo10/12/2020wanqap twaskiliza nyimbo tamu km iii
@JackMushi-k1b
@JackMushi-k1b Год назад
Tuko wengi sana song limetulia wewe
@halimahamisi9334
@halimahamisi9334 4 года назад
Nani kama kitu ndani ya box jamani, hatariiiii hahaha
@mariamndomba989
@mariamndomba989 7 месяцев назад
We nipe mpk niseme basi❤❤
@muddysaidi1914
@muddysaidi1914 9 месяцев назад
Huuu wimbo ni noma sanaaaa
@ashirafabdallah325
@ashirafabdallah325 3 года назад
Dah hataree,wapi mama Africa mrembo mweusi
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 3 года назад
Yupo mpaka yaumul qiama.
@TaleshBoy
@TaleshBoy 2 месяца назад
Nakumkosa ni haramu kher niende kaburini
@AminaBajuni
@AminaBajuni 2 дня назад
Yaani naipenda sana hii
@cynthiaosinya3163
@cynthiaosinya3163 4 года назад
Mistari imeenda shule... Santaaaaa
@hamisHuwel
@hamisHuwel Год назад
Khatwariiii mnoo mtoto ki2 na box
@majidgashe7561
@majidgashe7561 4 года назад
Ktk watu mhimu huyu ndo namba one
@joycemudeitsi
@joycemudeitsi Год назад
Niko hapa mashalaah
@silaswafula9884
@silaswafula9884 3 года назад
Penzi Lake haniishi hamu hata nipewe mara 50 wacha 10 Abdul.we jinafi kwa rehabilitation zako
@hijabyfinest8524
@hijabyfinest8524 2 года назад
Niliingilia holini hii nyimbo siku ya harusi yangu 5 years later muhamad mauti yakakupata ukaniacha dunia nzima na mtoto mdogo.inaniuma sana sjui kwann naskiza naiona kma jana,kufiwa na mume uchungu wake sjui nkama nn sjui ntapoa lini
@AishaAli-zv8se
@AishaAli-zv8se 2 года назад
Pole maskini Mungu azidi kukupa subra amlaze pema Ameen
@chizimwatsuma3766
@chizimwatsuma3766 2 года назад
Pole dear n mpngo w mungu
@fatumamwambewe5656
@fatumamwambewe5656 Год назад
Pole mpnzi
@mnyamanishabani6115
@mnyamanishabani6115 Год назад
Pole mpenz muimu dua na yote yatapita🙏
@HalimaChuwa-kk5lt
@HalimaChuwa-kk5lt Год назад
😢umeniumiza jmn pole my wng
@hadijakapombe7018
@hadijakapombe7018 5 лет назад
Hta sijui nimwimbie nan maana unaweza muimbia mtu kumbe ye anamuimbia mwingine huko....Kwa akili hii hatufikii katu😩😩😩💤💤
@asiakiyakayaka9390
@asiakiyakayaka9390 5 лет назад
hahahaa..dah kweli siri ya mtu kichaka
@salehameir642
@salehameir642 4 года назад
Burudisha tu nafs yako ndugu.
@abdulhamidmachano404
@abdulhamidmachano404 3 года назад
Niimbie mimi 😎
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Muimbie kwa nafasi yako hata akiimbiwa haina shida
@zawadikarsea6340
@zawadikarsea6340 2 года назад
Jinsi anavojitumaa si mvivu yeye mapenzni
@memyahmed1887
@memyahmed1887 2 года назад
Mtoto kitu na boksi🔥🔥🔥2021
@richardmecha8166
@richardmecha8166 4 года назад
Upo wapi baba ckuhz hakuna radha baba misambano ludi baba ng'ombe hazeeki maini sauti yko hakuna wa kuisogelea
@restutazimbeiya3806
@restutazimbeiya3806 5 лет назад
Ni taarabu ambayo inanipaga raha bigup Misambano
@esthermndungu8162
@esthermndungu8162 2 года назад
I remember 2006 September date 16 on my wedding day 🥰🥰
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 Год назад
Natamani waifanyie remix ya video yake ya sasa itapendeza sana
@aljazeerafastfoodrestauran9100
@aljazeerafastfoodrestauran9100 2 года назад
Hi nyimbo mke wangu anaipenda sana yaani anapagawa kabisa
@rukiachengo8188
@rukiachengo8188 10 месяцев назад
❤❤❤
@shirfadigubike7920
@shirfadigubike7920 Год назад
Yaniii acha tu .mauwa yako
@infotechcyber3259
@infotechcyber3259 3 года назад
Waalahi huwa nahema anibanaapo mwilini, atajapo jina langu...kweli mtoto kitu na boxi chaguo langu ni yeye..
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 лет назад
Nakumbuka zama zangu uuuwi
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 5 лет назад
Wow nakumic Sana misambano tu nasubir ujio wako mpya juzi nimekuona mlimani city nime enjoy Sana
@bahatiNiyonzima
@bahatiNiyonzima Год назад
Janani burudani Kamayote💃💃💃💃
@mariamBalola
@mariamBalola 5 месяцев назад
Tukopamoja nakimvua hiki ni rahatu
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Katika watu muhimu huyu ni number one
@aminhakhamisi5320
@aminhakhamisi5320 Год назад
Ngoma yangu pendwa hii❤❤❤💃💃💃
@FatumaHalidi
@FatumaHalidi 2 месяца назад
Penda shana ❤
@salamuuseyubu3716
@salamuuseyubu3716 2 года назад
Haichuj Iko juuu kushinda pesa 22
Далее
Taarab. Abdul Misambano - Huyu ni Wangu (AUDIO)
15:48
Просмотров 288 тыс.
Niacheni Nijivune
14:34
Просмотров 336 тыс.
Taarab: ABDUL MSAMBANO - SI MIE NI MOYO AUDIO
12:05
Просмотров 363 тыс.
SITAKI USHAMBENGA
15:57
Просмотров 437 тыс.
Mwanamke Khulka_ Mwanahawa Ali
17:07
Просмотров 247 тыс.
Mshayasema Kimeniathiri Nini
17:00
Просмотров 1,2 млн
Ana mambo mtoto
14:17
Просмотров 5 тыс.
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 756 тыс.