Hicho kitu sibure usizue makhuruku shida wee mita ya luku Fanya ndimi za unyama tia ulimi puani kama bado unaxikiliza hili coma 2020 unamxikia sabaha salum kipenz cha watu gonga like hapo chini jamani
Like fishermen of octopus will meet in rocky ocean . Meaning ( u will know u are empty tin that make loudest noise) this song is dip kiswahili and bantu
Sabah Salum. Kiukweli Tangu nione live band. Na mzee muchacho maeneo ya tandika pale. 89 au 90 mwanzoni adi hii leo. Mimi huwa natazama au kusikiliza sana sana nyimbo zako na mzee muchacho pia. Saafiiii sana sana sana