Тёмный

BAHARIA ALIYEZAMIA MELI "DAR":NILIKOSA PUMZI/NAKATA ROHO/NILIINGIA MELI YA WAUAJI/WAGIRIKI..03 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@dar24media
@dar24media 5 месяцев назад
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
@maneibaztv5943
@maneibaztv5943 5 месяцев назад
Watching from Mombasa kenya🇰🇪 mwembe tayari
@andrewmziray2233
@andrewmziray2233 5 месяцев назад
Mungu n mkubwaaa
@manmanixh
@manmanixh 5 месяцев назад
Kaz kaz bro
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 месяцев назад
Baharia Bombay mgepanda Hong company ya Canada Alafu Ulikutana na mrenya na mkalakala mwaka 92.bombey ????⚓🚢🇹🇿🇬🇷
@wazirisalum8227
@wazirisalum8227 5 месяцев назад
Hapo Kwenye kuichimbia nimemuelewa...hapo mzee kwa vile yeye ni mtu mzima kaongea kitafsida sana ili kustiri lugha."Kuchimbia"anamaanisha unachukua hela unaikunja Kama sigara kisha unaiingiza Kwenye tundu la haja kubwa wao Wanaita "Mtondooni" ili kuihifadhi then baadae unaitoa/unainya
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 5 месяцев назад
HUWA NASEMAGA SANA UKITAKA KUJUA UNYAMA AU UAJASIRI WA BINAADAMU MFUNGIE MAHALI PAMOJA 😢😢
@Ahmedsaid-cu3kh
@Ahmedsaid-cu3kh 5 месяцев назад
Safari huwa ngumu sana za uzamiaji
@nobamsigala2951
@nobamsigala2951 5 месяцев назад
Tuna taka hatuwakwa atua😮
@mwaka43
@mwaka43 5 месяцев назад
Nimeelewa hilo Neno: KUICHIMBIA....
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 месяцев назад
Kuichimbia au kuipigilia lugha za mtaa izo
@wazirisalum8227
@wazirisalum8227 5 месяцев назад
"Kuichimba" wenyewe wanaita "kuipigilia mtondooni" Yan Kwenye tundu la haja kubwa
@georgeedson7649
@georgeedson7649 5 месяцев назад
Ninoma dupa
@shaloboy3861
@shaloboy3861 5 месяцев назад
Wabongo muache ushamba munashobokea sauzi na akuna mausha kule vurugo heri c tuioko na gulf unafanya kazi unaona mafanikio
Далее