Mbona unakuwa na hasira Familia ntailea mimi... Wewe na familia nitawalea... Hizo nguo utavulia ndani... Nipige mimi... Njoo unipige baby... 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Haaha jamani nimecheka sanaa kutok Germany hapa please joti coming back soon to Tanzania for Holliday's nakuletea my Jessy (nacheza volleyball) but nakuzawadia hiyo Jezi yangu but tafadhali uzije waza Kama kwenye hii video hahaha you are a legendary kabisaa for sure tell me your size and am ✈️ this month 23 to dar kwakweli zawadi yako Niko nayo broo
Joti unakataa Bahati hiyo, huyo jamaa yuko tayari kuilea mpaka familia yako hahaha, eti njoo nipige mimi baby ,baada ya marehemu mzee majuto you are the best comedian.