Тёмный

Barabara zajengwa kuunganisha miji Kivu Kaskazini, DRC 

VOA Swahili
Подписаться 268 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Serikali ya jimbo la Kivu Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inayo ongozwa na wanajeshi imeanzisha miradi ya maendeleo hasa ujenzi wa barabara muhimu katika Miji ya Goma, Beni na Butembo, lengo kuu kupunguza athari za usafiri kwa wakaazi wa maeneo hayo.
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika RU-vid: / @voaswahili

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@panacool978
@panacool978 6 месяцев назад
Gen Peter Chirimwami, un Patriote à plusieurs dimensions : prêt pour la défense de la patrie et prêt pour le développement intégral. MERCI Gen Gouv, nous t'aimons...longue vie et plein succès.
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 6 месяцев назад
Felix achie madaraka ameshindwa umoja wamataifa ndoaduiwacongo
Далее
Kundi la M23 latishia mji wa Goma
3:54
Просмотров 143 тыс.
КЛИП ЛИСА УЖЕ ВЫШЕЛ!
00:16
Просмотров 422 тыс.
Duniani Leo
22:01
Просмотров 1,3 тыс.
Context in Conservation
1:43
Просмотров 34 тыс.