Тёмный

BARAKA DA PRINCE AWAUMBUA VIBAYA DIAMOND NA ALIKIBA/ NYIMBO ZAO SIO ZA KIMATAIFA/CHRIS BROWN HAMJUI 

PMTV TANZANIA
Подписаться 93 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@FrancisMboya-qp7ed
@FrancisMboya-qp7ed 3 месяца назад
Sema uyujamaa nilikua namkubali sanaa sema nimekuja kugundua ana makasiriko na wivu wahali ya juuu mnoo ndomana wanamfanyia ubaya maana wanajua unarohoo mbayaaaa sanaaa brother unawivu wakishamba sijawai kuona yani upo kama mdadaa brother umekosa dera tuuuu mshamba weweeee
@alevanytz3472
@alevanytz3472 3 месяца назад
Tafta ela fara wewe😁🤣 unafikiri ukimnunia na hauna hela inakusaidia nini AMKA ULIPILALA ... nyambafu 💯
@shikuhata
@shikuhata 3 месяца назад
Baraka ameshapotea bora mumbrand kidogo arudi maana ana dharau kiburi jeuri ujuaji bila kukumbuka kama ashapotea kwenye game. Na ukiona mtu anazungumzia mabaya tu ya wenzake jua anaona wamemzid
@godymastermind9534
@godymastermind9534 3 месяца назад
Msanii International kutoka Tz ni Diamond. Baraka na wenzio bado hamjagika level za International
@DM_15
@DM_15 3 месяца назад
Kumbe ana ngoma mpya
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 3 месяца назад
Kulikua na haja gani ya kuepo neno ALIKIBA kwenye taarifa,
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 месяца назад
KUHUSU CHRIS BROWN KUCHEZA NYIMBO YA DIAMOND NI PROMO NDUGU MUIMBAJI MKUBWA KAMA YULE AKUCHEZEE NYIMBO YAKO NI KWAMBA ANAKUFUATILIA.
@DoorclassStarmoney-je2cl
@DoorclassStarmoney-je2cl 3 месяца назад
Asa kama Wizzy akija unaimba nyimbo yake Wizzy ni msanii wawapi acha ushamba manigar angu
@kamole3
@kamole3 3 месяца назад
3:06 3:15 whaaat! Ama kweli elimu ni ufungua wa maisha.
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm 3 месяца назад
Ukweli mtupu Kaka
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 месяца назад
Barack mi nakukubari sana mwanang toka enzi zile unatoa magoma makali makali kama Nisamehe ukiwa na mfalume king kiba, pamoja na Siwezi kusema kwer ulitisha sana mwanang fanya urudi tena aisee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AlliyBaraka
@AlliyBaraka 3 месяца назад
Barakah we niwajina wangu lakini kwa sasa hauna lolote Una bebwa tuh we hata watu wamkoani hawakujui umeishiwa bro hauna lolote mondi na kiba ndio dunia ya kila msanii
@DanielPodence-n1x
@DanielPodence-n1x 3 месяца назад
Uyu alisha😂😂 but nampenda sana
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 3 месяца назад
Safi sana Baraka kwa kuongea ukweli.
@ContentRocketShip-vj4dg
@ContentRocketShip-vj4dg 2 месяца назад
Hujamaa mjinga anawivu tena mshamba hajijui ndio maana hajafika popote
@joesplatnumz
@joesplatnumz 3 месяца назад
Ukweli mtupuu prince
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 3 месяца назад
Nakubal
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 месяца назад
Huyu jamaa wivu utamuua vibaya
@amedeusfredrick1614
@amedeusfredrick1614 3 месяца назад
Huyu jamaa akili mingi sema kumuelewa unahitaji akili mingi pia
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 3 месяца назад
Hkn lolote choko tuu hilo kumuelewa labda na ww uwe choko
@SelestineDanielKisabo-bk6hi
@SelestineDanielKisabo-bk6hi 3 месяца назад
Uongo diamond yupo ukishindwa pekee yako usiseme hawapo comasava Hadi warabu wanacheza mambere kabisa pambana nawewe uwaimbishe wanigeria kiswahili
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 3 месяца назад
Uyu msanii atakuwa anatoa mbwa bandani
@HalimaAmani-j7v
@HalimaAmani-j7v Месяц назад
Mtangazaji ujitambui
@edwinoduor2421
@edwinoduor2421 3 месяца назад
Jama alishapotea aibu kwako
@AlliyBaraka
@AlliyBaraka 3 месяца назад
Hata kkusikiza ww ni ufala tuh kanyoe kipara akili irudi boya ww
@wasafihabaritv2571
@wasafihabaritv2571 2 месяца назад
Nilisikia huyu jamaa anafanya ushoga mwanza
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 3 месяца назад
Wabongo wanachukia mkweli 😂😂😂
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 месяца назад
Muwandishi kuwa makini na masuali yako atakususia intaview huyo shauri yako
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
Wataaram mjani hautafunwi kweli hapa😁😁😁
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga 3 месяца назад
Punguza chuki
@JovinPeter
@JovinPeter 3 месяца назад
Hapa niwapi?
@KingSailor-ic8iz
@KingSailor-ic8iz 3 месяца назад
Kaishiwa huyo anatafuta kiki muka mbichi
@mbanjenyambega2525
@mbanjenyambega2525 3 месяца назад
Kumbe uyu jamaa anatatizo la akili
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 2 месяца назад
Kama unauujua mziki huyu jamaaa anaongea ukweli
@raxensa4083
@raxensa4083 2 месяца назад
Iyo ndo fashion😂
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 3 месяца назад
Afu nanyie wanahabali mnakuaga wajinga sana sasa uyo baraka anajielewa kweli
@mohammedhassan4588
@mohammedhassan4588 3 месяца назад
Sasa tutakuona vp ww mweusi na waenda vaa nyeusi
@yusuphathuman8377
@yusuphathuman8377 3 месяца назад
Unaswaga bobu
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 3 месяца назад
Huwo ndio ukweli kwamba TANZANIA hakuna msanii ambae ka take over wanijidanganya tu wangese hao
@DM_15
@DM_15 3 месяца назад
Kumbe ana ngoma mpya
Далее
А вы знали что металл тонет?
00:32