Тёмный

BARAKA MPENJA ASIMULIA NAMNA ALIVYOTANGAZA MAGOLI YA SIMBA LEO/DEBORA NI HATARI NA NUSU 

Mpenja TV
Подписаться 560 тыс.
Просмотров 175 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 122   
@OmariSaidi-n4i
@OmariSaidi-n4i 2 месяца назад
Kiukweli nimeinjoi mnoooooooo,, naipenda sana simba,, UNYAMA NI MWING,,, waache wapige mayoe UTO sisi hatuogop,,, kwasababu UBAYA UBWELA,,,,
@buja_fleva
@buja_fleva 2 месяца назад
pole sana kijana utakufa kwa presha tarehe 8 goli 8
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 2 месяца назад
Yanga tarehe 8 mtafungwa na simba ​@@buja_fleva
@juliusmsegu3347
@juliusmsegu3347 2 месяца назад
​@@buja_flevakwa Simba hii gongo wazi tar 8waje tuuuu. Aliyewapiga 3 kapigwa 2. Wakae kwa kutulia tar 8 sio mbali. Ubaya ubwela. This is SIMBA
@TeddyElisha
@TeddyElisha 2 месяца назад
Wew buja subir trh 8 acha tatalila Zako mbna muhalo bado mapema
@allyamalalaa873
@allyamalalaa873 2 месяца назад
Nimeinjoy san kaka unajuwa kutangaza wachezaji vzr pia allah akupe wepes na uzima wote utangaze dabi kak daah safii aan
@homebasestudiokp
@homebasestudiokp 2 месяца назад
Ewaaaaa Mpenja hUyooooo...Niko Bukoba hapa nakukubali sana kazi nzuri sana type majina
@onesmongulo3770
@onesmongulo3770 2 месяца назад
Baraka mpenja mtu hatari kuwahi kutokea ktka tasnia ya habari na utangazaji ❤❤❤❤❤
@OmariSaidi-n4i
@OmariSaidi-n4i 2 месяца назад
Nimeinjoi mnoooo,,, simba naipenda mnooooo,,, UNYAMA NI MWING,,, waache UTO wapige kelele SISI HATUOGOP maana UBAYA UBWELAAaaaaaaaa,,,,
@tuyisengegakemba
@tuyisengegakemba 2 месяца назад
Baraka mpenja tunakupenda sana tukoka Rwanda. Asante Kwa kazi nzuri unayo Fanya.
@AgatonyMayala
@AgatonyMayala 2 месяца назад
Safii san mpenja kwa kazi nzuri🔥🔥
@NyirongoJunior-cg2zv
@NyirongoJunior-cg2zv 2 месяца назад
Mpenja wew ni mtu na nusu big up to you my brother❤
@HamimMdollo
@HamimMdollo 2 месяца назад
Nakubari sana kaka daaaaaaaaaaah! Ubaya ubwela
@ImranSalum
@ImranSalum 2 месяца назад
Mpenja unatisha kwa utangazaji wa mpira.Huna mpizani tanzaniania wewe nimwamba km ukuta wa yeliko❤❤❤❤❤
@SimonMasome-v6o
@SimonMasome-v6o 2 месяца назад
Joshua mtale alindwe Alipo, nihatali huyo mtoto
@DennisFandi
@DennisFandi 2 месяца назад
Yule nouma ni noma kweli shabalala ndugu yetu kazi unayo😅😅
@adamsamy2335
@adamsamy2335 2 месяца назад
Tumeona pamoja ndugu yangu, shabalala ufalme wake kwisha...
@godfreymuroba7973
@godfreymuroba7973 2 месяца назад
Inspecta karabouea
@elibarakalaurenti7663
@elibarakalaurenti7663 2 месяца назад
Asee baraka mpenja mwamba wa malila asee nakukubali sanaa
@Mlambya993
@Mlambya993 2 месяца назад
Nakbarii sana kazi yakoo mpenjaa❤❤❤❤
@ashelosea
@ashelosea 2 месяца назад
Simba naipenda sana
@AfredDionezio
@AfredDionezio 2 месяца назад
Thank you baraka mpenja
@gadimwakabana
@gadimwakabana 2 месяца назад
❤❤❤simba
@ahmadmasoud1350
@ahmadmasoud1350 2 месяца назад
WW n mwenzetu xnaaaaaaaaa Big up
@ImanLanda
@ImanLanda 2 месяца назад
Kazi nzuri sana nimefrah
@Ninaah-e3i
@Ninaah-e3i 2 месяца назад
Mtalam umetisha saab
@OmaryMussa-n6y
@OmaryMussa-n6y 2 месяца назад
nakukubali sana balaka mpenja
@badcommand8216
@badcommand8216 2 месяца назад
Kk naweza kusema hakuna kama ww katika utangazaji wa mpira tz mungu awe nawe🎉
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 2 месяца назад
Mpenja smart sana
@Ombenimamasita
@Ombenimamasita 2 месяца назад
fantastic sanah
@godifreychalesi5394
@godifreychalesi5394 2 месяца назад
Mpeje huna mpizani ktk utagazaji oyaaa ww ni nomaaaa
@allysalimu-w8w
@allysalimu-w8w 2 месяца назад
Baraka saluti sana umetisha wana Simba tumeshehereka sana
@BinyaTz
@BinyaTz 2 месяца назад
Mpenja unaweza sana broo
@AminaMbilinyi-yr3ne
@AminaMbilinyi-yr3ne 2 месяца назад
Jaman simba unanipa laaaaaaaaaaaaaaaaa mie❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MillardyLeonardy-e2r
@MillardyLeonardy-e2r 2 месяца назад
Nime enjoy sanaa mko vzriii Azam med😂😂😂😂😂
@ZainabuIddy-r1o
@ZainabuIddy-r1o 2 месяца назад
Safi SANA Mpenja
@musakhassim3922
@musakhassim3922 2 месяца назад
Jina Hilo tumelipokea kama mashabiki ,litakuwa ndo lake disconnecter
@MwitaMohoro
@MwitaMohoro 2 месяца назад
Ubaya ubwela,simba waooooo
@PeterAssenga-p2z
@PeterAssenga-p2z 2 месяца назад
Furaha nilio nayo siwez simulia
@fransiscomlolere9658
@fransiscomlolere9658 2 месяца назад
We Jamaaa Unaua sana,wajfunze kwako.
@KhalidiMsuya-h6o
@KhalidiMsuya-h6o 2 месяца назад
Mpenja nakukubali sana mwanangu unajua
@JacksonMinan
@JacksonMinan 2 месяца назад
Anabalaa hyo mtalee❤❤❤❤❤
@EmanuelSangija
@EmanuelSangija 2 месяца назад
MWAMBA WA MALILA NAKUKUBALII SN
@EmanuelSangija
@EmanuelSangija 2 месяца назад
Mkn
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 2 месяца назад
We somo wangu mwanakusin mwenzangu unaniwakilishaaaaaaa veeeemaaaa
@AllyAllanjy
@AllyAllanjy 2 месяца назад
Hatarii mnoo balaa
@barakaephraim5481
@barakaephraim5481 2 месяца назад
Keep pushing
@ChristinaAloyce-pp6vj
@ChristinaAloyce-pp6vj Месяц назад
❤❤ hatariii
@yusuphyustace7304
@yusuphyustace7304 2 месяца назад
❤❤❤❤
@WilleMbwilo
@WilleMbwilo 2 месяца назад
Simba nguvu moja
@SaidiiBaga-b8u
@SaidiiBaga-b8u 2 месяца назад
Nimekuelewa unajua baraka mpenja
@muvunyialoys5186
@muvunyialoys5186 2 месяца назад
Mubarak mpenja nagupenda Saaana
@MwaipopoTulia
@MwaipopoTulia 2 месяца назад
Mwamba wa nyumbani, sheme shemela, Baraka Mpenja.
@BenardSadani
@BenardSadani 2 месяца назад
God mpenja
@Benjamin-n5u
@Benjamin-n5u 2 месяца назад
This budy is so talented tayar MUTALE kapewa jina SGR
@robertobert5216
@robertobert5216 2 месяца назад
Jina la SGR alipewa na Ahmed Ali
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 2 месяца назад
YANI NI MWENDO WA UBAYA UBWELAAAAAAAAA, NGUVU MOJAAAAAAAAAAAAAA
@allyflavour8005
@allyflavour8005 2 месяца назад
Mnyamaaaaaaaa
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma 2 месяца назад
Mpenja I LOVE YOU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AbdulikhadilMohammed
@AbdulikhadilMohammed 2 месяца назад
Kwajin naitwa dully simb nakukubali san mpej
@goefreymlambia5857
@goefreymlambia5857 2 месяца назад
Was good day for us nguvu moja
@MaisalaMbwella
@MaisalaMbwella 2 месяца назад
Baraka anajua kama debora simba nguvu moja ubaya ubwela
@samsifuni
@samsifuni 2 месяца назад
ULUMBI KILA PAHALA......😂
@msafirimalima3249
@msafirimalima3249 2 месяца назад
Nipo Muleba ,msimu huu furaha imerudi
@monicachacha455
@monicachacha455 2 месяца назад
waoooo❤❤❤❤
@AminaDaniel-r7o
@AminaDaniel-r7o 2 месяца назад
Nguvu moja mnyama
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@loner_wolf
@loner_wolf 2 месяца назад
CARBON 14 NI KIPIMO CHA UMRI . USE CARBON 14 KUPUNGUZA MANENO .
@BruzakisadikiDadi
@BruzakisadikiDadi 2 месяца назад
daah saf simba day lakin pia asant San kaka yangu mpenja kwakutupa fulaaa
@bfstationery3941
@bfstationery3941 2 месяца назад
Namkubali Sana huyu mwamba
@michaelngalo1808
@michaelngalo1808 2 месяца назад
Mpenja nina zawad yako! U are the best
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 2 месяца назад
Mpenja ❤
@Msanii1237
@Msanii1237 2 месяца назад
*333# 🔥🔥🔥💪
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 2 месяца назад
Kaka baraka tuletee dada Jane tushammiss
@FELISTERPETRO-jk6sh
@FELISTERPETRO-jk6sh 2 месяца назад
baraka hilo jina la disconnector limepita
@JulianaJaphethmwakililo
@JulianaJaphethmwakililo 2 месяца назад
Ubaya ubwela
@GastoneMagedenge
@GastoneMagedenge Месяц назад
@NicodemusAloyce-of1oh
@NicodemusAloyce-of1oh 2 месяца назад
Duuu kweli simbaa nj nomaa wamecheza mpira wa kufundishwaa nipasi mjo tu niliyoiina ipepote simba jamani mtaniuaa simbaa
@YasinYasin-c8m
@YasinYasin-c8m 2 месяца назад
Mpenja hunampinzani waaaaaa
@DanfordAndrew
@DanfordAndrew 2 месяца назад
Wanasemaaa nyie hamuogopii,,,,,,,😂😂😂😂😂 unaogopa nn sasaa ubaya ubwelaa
@lugagemdogo
@lugagemdogo 2 месяца назад
mpeja mung akupe Maixha malefu sn maan ukiwa unatakaza unatamn mpila usimalizike unavo tia ladh hatali ww ni mtu waman san
@HerieliJafeti
@HerieliJafeti 2 месяца назад
Nguvu moja
@IsackJimson
@IsackJimson 2 месяца назад
Kaka kwakweli saluti kwako kaka unaajuwa
@badmanvibees
@badmanvibees 2 месяца назад
Namuona pasi dabwadabwa
@husseinseif7860
@husseinseif7860 2 месяца назад
Huyu mpiga kelele tu commentator ni mmoja tu Kilwa Finest Ghalib Mzinga
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 месяца назад
Nyooo wivu2 😂weka watu wapige kura uone Nan ataibuka kidedea,,gharib na2 anashika,,mpenja namba1
@SomoeKilindo
@SomoeKilindo 2 месяца назад
Maneno yamkosaji
@romwaldalbert
@romwaldalbert 2 месяца назад
Wewe huna lolote
@sudisilako5468
@sudisilako5468 2 месяца назад
jaman mavambo tumelamba dume
@enockmakule5862
@enockmakule5862 2 месяца назад
Hii ndiyo Simba kipimo cha umri
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 месяца назад
Bora umetangaza wewe leo kesho aje mzingaa
@KisarwaKisarwa
@KisarwaKisarwa 2 месяца назад
Joshua kama ana ka umiquisson vileeee
@LifeAndre
@LifeAndre 2 месяца назад
Hakuna kitu
@jofreymwampamba1236
@jofreymwampamba1236 2 месяца назад
Wow
@BadBoy-e7s
@BadBoy-e7s 2 месяца назад
kwli ubaya ubwela tuonane tarehe nane inshallah
@MarcoStephano-f8w
@MarcoStephano-f8w 2 месяца назад
Bwana mpenja uko byee
@AbdullrazackHussein
@AbdullrazackHussein 2 месяца назад
Jina hilo linamfaaa
@jaliamdoe2187
@jaliamdoe2187 2 месяца назад
Mpenja tuanzie hapo kwenye udadavuzi 😂😂 unapaonaje
@SalumMwasada
@SalumMwasada 2 месяца назад
Mpenja ni halali utopolo walalamike kuwa we ni simba maana inaipamba Simba adi unaboa
@Ricosingle
@Ricosingle 2 месяца назад
Nisome kama rico single kutoka jambian Leo kweli ubaya ubwela
@KadustaBoy
@KadustaBoy 2 месяца назад
nakubar ubaya ubwela
@mathayoolekosiando1515
@mathayoolekosiando1515 2 месяца назад
Uhakika huyu mwamba ni mtoto wa nyumbani
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 месяца назад
Mpenja wewe ni newcomer KTK tasnia hii ila wewe mbunifu sana wa ktk utangazaji WAKO ukweli unajua uzito wa tukio na Lugha yako.big up AZAM TV MSIBANIE MPENI SCHOLASHIP AENDE UEFA AKAJIFUNZE MENGI
@TysonMathiko
@TysonMathiko 2 месяца назад
Mpenja unaujua bhana tukutane dabi utupe raha
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 2 месяца назад
Uyu jamaa anajuwa kutengeza majina ya wachezaji
@BarakaEmanuel-m7i
@BarakaEmanuel-m7i 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 achintufulahie wanasimba
@richlymo
@richlymo 2 месяца назад
Disconnect mavamboooooo😂😂😂😂
@godchildmasai9505
@godchildmasai9505 2 месяца назад
Nimefurahi kwakweli kwa simba hiiiiiiiiiiiiiiii
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 месяца назад
Umalila hunabaya
@AlexAthanasy
@AlexAthanasy 2 месяца назад
Mwamba wa malila😅
Далее
AHMED ALLY: HATUCHEZI na YANGA TENA WANABEBWAGA
10:37
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
Просмотров 1,6 млн
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Просмотров 362 тыс.