Nikinywa maji nakuona kwenye glass 😁🤩weye ni sisimizi miye ni beberu tunagegeduana😃😃 aya maneno nimetoa kwenye bongo fleva na taarab na kwenye bendi na kwa bibi😅🤗
@@user-hr7wm1vt5l kila mtu wa miaka ya nyuma hadi waliokua wakikua miaka ya 90, waliadnika barua labda tu kipofu, alafu kulikua nakua na zile darasani barua hizo, ikidondokea mikononi mwa mayuda basi siri yote inakua nje nje vile
Ya Leo nimeikubali imelenga mwenyewe wale wenyewe waliabdika barau na mpk Leo wanaishi na huyu ualiwaye mwandikia barua kama Mimi wa like hapa m bado nipo nae sana tu?
Yaaan 😂😂😂😂 aiseee umenikumbusha mbali 2007 jamaa aliambiwa asome barua kama hii assembly wee nakumbuka mpaka leo vile vina`😂et nazimwaga salamu zangu kama mchanga wa baharini 😂😂
😂😂😂 niliwahi dodosha barua wakati namwagilia mbegu za nyanya 😂😂 mama kaiokota wacha kabisa usiku tumemaliza kula si ikaletwa barua Vitalis tusomee hii barua 🙌🙌🙌Moyo ukapiga paaaaah aiseeee nkashika kwenye mfuko hola ndo yenyewe jamani acheni tu haya mambo ni balaaa
Ila kweli hata mm nishawahi kumtongoza mwali...tatizo walim walikuw wanatuvali nguo zimebana nikashindwa na uvumili. Kilicho nikuta ni story ndefu. Tukutane ze comedy show!