Тёмный

Barua ya Mwaliko Kupata Viza ya Kutembelea nchi za Ulaya, USA, Canada, Australia na New Zealand 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

Moja ya vitu vinavyohitajika unapoenda kuomba viza ya kumtembelea mtu katika nchi za kimagharibi, ni barua ya mwaliko.
Jifunze ujue ni vitu gani vinahitajika kwenye barua ya mwaliko

Опубликовано:

 

16 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@habibarnabas
@habibarnabas Год назад
Shikamo kaka habar za kazi pole na majukumu samahani Nina kaka yang Yuko nje anataka kunialika ila jina la baba ni tofauti ila mama ni mmoja je kunaweza kuwa na shida yoyote Kwa sababu ya kuzaliwa baba tofauti ila vitu vingine vyote ulivosema ninavyo
@sallamck
@sallamck 3 года назад
Nakufatilia sana kaka unafanya kazi nzuri kutuelimisha sisi mabaharia good job
@mohammedmutei3241
@mohammedmutei3241 2 года назад
Hard work
@reginachaz9898
@reginachaz9898 2 года назад
Broo nakupata
@abduljuma4377
@abduljuma4377 2 года назад
Nakupata vizuli sana kaka
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Год назад
Me nakwelewa
@rchrismbarikiwa
@rchrismbarikiwa Год назад
Asante Sana Mtu wetu wa nguvu kwa ushauri unao tupea kila siku. Mimi nimfuasi wako wa kila siku.leo nimeona niulize hili swali sababu ninampango wa kwenda Canada. Inamana kama hauna kipato cha kutosha huezi kupewa visa? Na what if unaimba na umepelekwa kama muimbaji wa bend
@neemamroso6864
@neemamroso6864 2 года назад
Kaka nakufuatilia sana.Naomba unielekeze jinsi ya kuweka appointment ubalozini
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 Год назад
Mbona mialiko imelenga tu kwenye masuala ya shule misiba maafari Lakini sioni mkiongelea mialiko ya shughuri za kidini Kama vile semina za Neno la Mungu makongamano Nk ?????
@amosiisack2351
@amosiisack2351 3 года назад
Brow mimi nataka niend marekan kwenye conference ya wakulima December sasa niko na ofu sana kupata visaa
@amosiisack2351
@amosiisack2351 3 года назад
Na sina sababu kubwa ya kuwashawishi sina kazi sina kiwanjaa ni sabab gani za kuwashawishi
@angelgaly1696
@angelgaly1696 2 года назад
I live in Boise Idaho Twin Falls how can I get your contacts
@georgegachu6526
@georgegachu6526 2 года назад
Mimi ni mtanzania umri miaka 45 ni mwana muziki wa Injili nimpiga guitar mzuri elimu yangu ni form four je guess yangu ikoje
@georgegachu6526
@georgegachu6526 2 года назад
Nina maana ya fursa
@jumamecha
@jumamecha 2 года назад
Enderea kutupa mafundisho tupo nawe sikuu zote
@dreamzfetty5233
@dreamzfetty5233 3 года назад
Ndugu makulilo..saizi upatikanaji wa passport umekuwa mgumu mno...! Tofauti na miaka ya nyuma...saizi mpaka uwe na safari yani.. hvyo mm n mmja wapo ambae ndoto zangu ni kuja kumiliki passport.. lakni siwezi kusikilizwa uhamiaj mpk niwe na barua ya invitation letter.. unanisaidiaje...! Lengo langu ni kufanikiwa tu kwenye swala la passport kwanza..🙏🙏
@romaningowi1564
@romaningowi1564 3 года назад
Mbona mimi nimepata bila masharti yoyote
@dreamzfetty5233
@dreamzfetty5233 3 года назад
@@romaningowi1564 ww n wa kiume...mm n wa kike..
@dreamzfetty5233
@dreamzfetty5233 3 года назад
Kwa wanawake au waschana..imekuwa ngumu kupata..
@romaningowi1564
@romaningowi1564 3 года назад
@@dreamzfetty5233 maybe hukujieleza
@fayzfadhil5921
@fayzfadhil5921 2 года назад
@@romaningowi1564 naomba no yako tafadhali kuna maswali nataka nikuulize kuhusu visa hii
@ismailkhamissaid803
@ismailkhamissaid803 2 года назад
Mm nataka unipe ww mualiko
Далее
Maeneo ya Missouri, Usiku Saa Mbili bado kuna jua
8:23
KUPATA VIZA YA MAREKANI: MASWALI NA MAJIBU
1:59:53
Просмотров 4,4 тыс.