Тёмный
No video :(

Sababu za msingi za KUNYIMWA au KUKOSA VIZA za Ulaya, USA, Canada nk 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 106   
@freewallace7155
@freewallace7155 2 года назад
Braza unatoa knowledge lakin in a negative way yani unafanya issue inakua ngumu sana kuingia marekan wakati ni jambo la kawaida bro toa vielelezo mtu awe na kiti gani na kitu gani aweze kupata visa
@adriangerson8433
@adriangerson8433 2 года назад
kwa jina Adrian NTIBONEKA asante sana umekuwa ukitupa mchango wa mawazo mazuri na kuwwza kufahamu vitu vinavyo hitajika je kwa mimi ambaye nahitaji mawasiliono yako kuweza kuzungumza kiundani zaidi juu ya kufahamu kiundani hasa na kujianda katika safari naweza kupata namba yako
@johngibson3089
@johngibson3089 2 года назад
Asante sana Ernest. Nimechelewa kukugundua.
@user-pw2cm8ep1z
@user-pw2cm8ep1z 5 месяцев назад
Asantee Sanaa kaka
@melinaatanas5801
@melinaatanas5801 2 года назад
Chuo Cha SUA inacoordinate internship kwa wanafunzi wake kwenda marekana km further studies kwa mwaka mmja lkn kwenye visa tnalimwa Sana Yan Kaka tusaidie
@isackmajura4435
@isackmajura4435 2 года назад
Nashukuru Sana kwa elimu yako nzuri uliyoitoa mungu akubaliki sana
@graceramadan5396
@graceramadan5396 3 года назад
Ahsante sana nakufatilia mwanzo mwisho
@user-qc7zq5mm8k
@user-qc7zq5mm8k 10 месяцев назад
Mimi sijui lungha ya kizungu Inakuajee kufanikisha yote hayoo
@jamalkishangu
@jamalkishangu 6 месяцев назад
Kiswahili ni lugha kubwa sana onyesha kuwa wewe unamfahamu kiswahili.
@user-zx8kk4sw1u
@user-zx8kk4sw1u 7 месяцев назад
🎉
@tonnymusic9396
@tonnymusic9396 3 года назад
Kabisa umeongea point kubwa sana Kaka
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 года назад
1-ushawishi 2-fedha ya kukusapoti 3-sehemu ya kuishi au nani anakusponsa kwa muda wako wote wa maombi au masomo. Ushahidi wa hati na viwango vyake pamoja na maelezo ya benki-statements
@Muslim-in5cy
@Muslim-in5cy Год назад
Mwenyezimungu akulipe ndugu
@gideonisanja9976
@gideonisanja9976 2 года назад
Ooh thanks for your explanation sir Your Missouri like my sister I wish to come one day if God wish
@eliezerthomas785
@eliezerthomas785 Год назад
bro asante sana nimekuelewa vzr
@harunsarafu508
@harunsarafu508 2 года назад
Ubarikiwe sana yaani.kwa elimu hii
@maribasimon6993
@maribasimon6993 2 года назад
ahsante kwa ushauri
@angelinamayombo5511
@angelinamayombo5511 2 года назад
Asante Sana Mimi Ni ndugu yako Angelina William,hebu nielekeze document za mstaafu Kama nataka kuja huko
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Год назад
Kumbe mkuu ulikua na uwalaza
@oblangatamakhakas9593
@oblangatamakhakas9593 Год назад
I get you point
@user-jt2ts4ey3m
@user-jt2ts4ey3m 5 месяцев назад
Mbona wakija kwetu awaulizwi vitu hiyvo wankuja kama watalii sio maigrent
@Nyalwanda
@Nyalwanda 2 года назад
Duh!... Ahsante sana kwa ushauri wako.....vipi kuhusu Au pair program?
@lucasmoshi9136
@lucasmoshi9136 Год назад
Nashukuru sana brother kupita video zako nimepata visa
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 Год назад
Mkuu nisaidie nami wee umefanyaje
@barwaqoboru8609
@barwaqoboru8609 2 года назад
Asante kwa video hii mzuri
@audaxbenedictor2567
@audaxbenedictor2567 2 года назад
that means iyo 220$ lazma uwe nayo before uplying
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 2 года назад
kaka mungu akupe umri mrefu tupate kufaidika Ammyn🤲🤲
@user-xv1fl5cl2r
@user-xv1fl5cl2r Год назад
Sasa bem kunawengin hatuma elim inamaa hatufiki ulaya?
@nickmsemwa3732
@nickmsemwa3732 Год назад
Swali rangu brother uyo anaekuuliza maswali anakuuliza kwakiswahili au kwa kingereza pls nakuomba unijibu
@malhiramadhani2515
@malhiramadhani2515 2 года назад
Habari. Nisaidie kuusu viza ya uturuki
@OmarVuru
@OmarVuru 8 месяцев назад
Naitaji namba Yako bloo naipataje
@giftkelvin7
@giftkelvin7 2 года назад
Nimekuelewa Sana mkuu
@johnsonyokoyana5127
@johnsonyokoyana5127 Год назад
Brother hivi waganda wanafanyaje. naona kuna watu wengi wanakuja huko kwa mialiko ya ndugu na wanabaki huko, wanawezaje kuingia kwenye mifumo ya huko
@naftalidani2962
@naftalidani2962 3 года назад
Asante kwa maelezo na ushauri huo,lakini nimesikia umeongelea Sana kwa Taifa la Marekani,je kwa Canada ni vipi?
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 3 года назад
Visa ya USA, Canada, Ulaya masharti ni hayo hayo...kuonesha kuwa hutozamia...kuonesha vipato, assets nk
@WWE12361
@WWE12361 Год назад
Kwa jina naitwa Ansgar Chunda naomba unisaidie ili niweze kupata F1 visa ya kwenda kusoma marekani
@malisawakachunga8874
@malisawakachunga8874 2 года назад
Habari za uzima Kaka Mimi naitwa malisawa nipo daresalama ombi langu kwako naomba uniandikiee baruaa ya mwaliko please nisaidiee kw.
@KareemHussein-en3hr
@KareemHussein-en3hr 2 месяца назад
Bro iliniweze kwenda canada niwe na shingap
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 года назад
Ok
@kewatii
@kewatii 2 года назад
Busara sana
@user-xy6ou8xo1s
@user-xy6ou8xo1s 11 месяцев назад
Kaka ahsante mimi nikiombeawa ya mgonjwa naenda kumuuguza niandae nini?
@twikaleomary5801
@twikaleomary5801 Год назад
Fact
@japhethmasika4701
@japhethmasika4701 2 года назад
Africa mama yangu....hapa nimekita mizizi sibanduki 😅😁😁
@samsonmusyimi1782
@samsonmusyimi1782 Год назад
Bba naomba uwogelelee wale awajamalixa form 4 na wanataka kwenda marekani na wakona uzoefu wa kazi fulani
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 9 месяцев назад
Tunaomba namba yko tukuulize zaidi
@user-rj4pm2pr1l
@user-rj4pm2pr1l 6 месяцев назад
Siku pingi kaka
@zakariabwanakheri5904
@zakariabwanakheri5904 2 года назад
sasa broo nimekuelewa unasema moja wapo mwanjia rahisi niya scholarship. sasa kwa sisi ambao atukufika ata secondary inakuaje Vp twaeza kupata Visa
@Selemanian
@Selemanian 2 года назад
Kwahiyo hata wao pia wanaonesha hati za viwanja au nyumba kabla hawajaja kutembea Tz.?
@credonolasco4981
@credonolasco4981 Год назад
Mawasiliano yako mkuu
@hmattangosha3950
@hmattangosha3950 Год назад
Naomba mawasiliano makulilo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Год назад
Kwann wao wanakuja kwetu kirahisi?
@jonele8592
@jonele8592 Год назад
Ukiwa mfanya biashara je ? Waweza kusanya documents ipi
@pembastore252
@pembastore252 Год назад
Madini haya
@eliezerthomas785
@eliezerthomas785 Год назад
hadi raha,, kk ww ni hatari
@khalfanallbusaid2035
@khalfanallbusaid2035 2 года назад
Visa ya kazi inakuaje Kaka unaweza kuipata Kwa vigezo vipi?
@ShabahMob-rx5zc
@ShabahMob-rx5zc Год назад
Kaka hamburg mimi national hawa 12:28
@brownmwaibole8414
@brownmwaibole8414 Год назад
Nimekuelewa sasa
@saidurassa5041
@saidurassa5041 Год назад
🤝🤝🤝🤝
@maabadburhan9385
@maabadburhan9385 Год назад
Jinsi gani unaweza kupata scholarship?
@eliezerthomas785
@eliezerthomas785 Год назад
nimecheka kwa sauti,,,
@AthumaniNgeleza
@AthumaniNgeleza Год назад
Yan kaka kila unacho zungumza nakuelewa mapaka natamani kulia kwa furaha kaka
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Год назад
Nimejaribu mengi
@toylazaro7630
@toylazaro7630 Год назад
Gharama ziko vip
@arafathussein7910
@arafathussein7910 Год назад
aseeee nimecheka sana umuu 😂😂😂😂
@annasamba8478
@annasamba8478 Год назад
Je naomba unionyese jinsi ya kucheza green card
@kennedyraymond8977
@kennedyraymond8977 2 года назад
Tueleze kiundani zaidi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@kubwayoinnocent1710
@kubwayoinnocent1710 3 года назад
Burundi tunakufata boss
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 Год назад
Nonmigration visa America una weza ipata aje?
@saidmsur8278
@saidmsur8278 2 года назад
duuh! nitafika marekani nimechoka xna
@bainolatino3412
@bainolatino3412 Год назад
Nenda znz ukapata mzungu njia rahisi ya kwenda
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
Basi bwana nitakaa zangu gongolamboto
@zachariamachimu1068
@zachariamachimu1068 Год назад
Hbr bwana Henry, mie nina jamaa au rafiki hàpo maeneo ya califonia nataka kumtembelea so nikitaka kuja lazima niwe na viza?
@Bin_Slyim
@Bin_Slyim Год назад
Viza lazma hata kama baba yako awe rais wa marekan naww uko nje ya marekan ndo unatak kwend lazma viza kwhy huwez kuiepuka
@salomezakaria
@salomezakaria Год назад
Kaka
@salomezakaria
@salomezakaria Год назад
Kaka Mimi niko Oman,NATAKA KWENDA Ufaransa, naweza pata mwongozo,Naenda kikazi
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 2 года назад
Wajina wangu mim bani nielekeze nawexaje ku aplay visa kutok apa south Africa nielekeze bn kka
@ireniren8750
@ireniren8750 2 года назад
Kaka mimi kwa sasa niko omania lakin January nitakuwa Tanzania na niliomba visa ya kuja huku kwa hali kama hiyo ya kuja kutembelea omani lakin nikaja kufanya kazi za ndani sasa hakina shida kwenye passport yang kuwa iko nilikuja omani kama housegirl?
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 2 года назад
@@ireniren8750 dah ngoj tumsikilxie brw atasema je
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Visa ni documents tu ndugu yangu la upate mtu wakuoa au kuolewa huko unakotaka kwenda au kama wewe ni artist unaweza ku apply art residency au international exhibition bila hivyo mziki wake mkubwa kupata visa ni ngumu sana , Ukiwa artist safari ni lahisi sana na zipo nyingi
@goldenfoot1102
@goldenfoot1102 Год назад
Huyu jamaa akikaa katika viza department hakuna mtanzania atakayeenda USA kanichekesha sana hahahahahaha eti university of daresalaam
@videozaaj1069
@videozaaj1069 2 года назад
Wanajionaje hao jamaa dah
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx Год назад
Kaka nina shida na ww naomba tuwasiliane whatsaap
@amanijumanne5543
@amanijumanne5543 Год назад
Je? Kama ni kijan ambaye hana chochote ila Ana pesa kumfikisha us anaweza kufanyeje kwa msada zaidi. Maana naona plosesi zote unazo toa ni zawatu natajili Sasa kwa watu wa hali za chini wafanyajee??
@rosedavid2061
@rosedavid2061 2 года назад
Na una MTU hatakae kaa naye us kutakua vp
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Kila mtu atakakwenda Usa kumtazama Rhianna 🤣 nashukuru mimi sijawahi kunyimwa viza ya nchi yeyote , Kama hauna mipango ya maana ningumu kuingia nchi za ulaya America na Asia
@laurentboniphace7108
@laurentboniphace7108 Год назад
Unapataje Io visa permanent??
@kassimsaid1820
@kassimsaid1820 2 года назад
Kama ulicomment vibaya ukifuta je wanaiona bado wakitrace.?
@amosiisack2351
@amosiisack2351 3 года назад
Brow nilikuw na swali vp sasa katika iyo interview ya afisa mtoaji visa wana kuoji kwa kiswahil au english??
@ramadhanishabani2743
@ramadhanishabani2743 2 года назад
Kingereza
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 Год назад
Kama unaenda kusoma razima uongee kingereza kama unaenda kutembea ukikutana na mzungu unamwambia nahitaji kuongea kiswahili unaletewa mswahili
@hannanommy302
@hannanommy302 2 года назад
Naomba namba yako kaka
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 года назад
😄😄😄😄 eti unacomment mabeberu alafu unaenda kuomba visa
@umiy1971
@umiy1971 Год назад
Mwanamissouri mwenzetu wewe kumbe ?
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 2 года назад
Nakufatilia San Kak mim nataman San nije
@khalfanallbusaid2035
@khalfanallbusaid2035 2 года назад
Kaka jinsi ya kupata visa ya kazi kama mm saivi nipo abudhabi na nafanya kazi hapa saivi kama miaka 7 sasa
@hajijuma7760
@hajijuma7760 Год назад
Mzee baba samahani kuna vitu nahitaji unielekeza kuhusu abudhabi naombaawasiliano yako kama hutojali
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Год назад
Hi dear mtu arapataje scholarship
@habibarnabas
@habibarnabas Год назад
Angalia link ya wizara ya elimu Huwa wanatoa
@kennedyraymond8977
@kennedyraymond8977 2 года назад
Kwan wewe ulikua unamiliki nini
@kennedyraymond8977
@kennedyraymond8977 2 года назад
Em twambie kwanza na wewe uliendaje
@ibraibra4887
@ibraibra4887 2 года назад
Asante kwa alimu yako busala zako
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 года назад
Mi naonga tu ikiwezekana nadandia ndege nikifika uko nipewe kabisa uraia wa marekani 🇺🇸 sitaki Tena kuishi Tanzania maisha Ni magumu 😭😭
@vamitv873
@vamitv873 3 года назад
Hahahaha na enjoy unavyo ongea kwa msisitizo, ukija kibongo bongo mie ni jirani yako nipo hapa geita. Nimeona baadhi ya taarifa hususani za taifa la Canada hua wanahitaji wakaazi katika majimbo tofauti ili tu uoneshe kua utakua ni chachu ya kukuza uchumi wa Canada, pia kama unataka ukaazi wa kudumu kuna vigezo vya kufuata. Hi bwana mkubwa imekaaje kwa watu wanao taka kujichanganya huko.?
@user-pw2cm8ep1z
@user-pw2cm8ep1z 5 месяцев назад
Asantee Sanaa kaka
Далее
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
Просмотров 20 тыс.
#NORWAY Soma Norway: Hakuna Ada, Elimu ni BURE 100%.
12:21
ROLLING DOWN
00:20
Просмотров 6 млн
ВОДЯНОЙ ПИСТОЛЕТ ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
19:09
Barua ya Mwaliko Kupata Viza (visa) Ubalozini
14:18
Просмотров 6 тыс.
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Просмотров 58 тыс.
ROLLING DOWN
00:20
Просмотров 6 млн