Тёмный
No video :(

BARUAN MUHUZA AFUNGUA BONGE LA CHUO/AITAJA MASHUJAA FC/"MALENGO YETU SIO KUSHUKA/TUNATAKA TIMU 2" 

Mpenja TV
Подписаться 530 тыс.
Просмотров 3 тыс.
50% 1

Mtangazaji Mwandamizi na kutoka Tanzania anaye hudumu na kusimamia kituo Cha UFM Redio chini ya Azam Media Limited na muanzilishi wa Chuo cha Ujiji Broadcasting Academy Baruan Muhuza kilichopo kigoma mjini
Ametembelea Ofisi za Mpenja tv tarehe 8 July 2023 zilizopo Tabata Magengeni Jijini Dar es salaam
Baruani ametoa ufafanuzi kuhusu chuo kipya kinacho toa kozi ya Uandishi na Utangazaji Ujiji Broadcasting Academy (UBA) kilichopo Kigoma Mjini ambacho yeye mwenyewe ndio mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo hicho....
Baruani ameeleza faida ambazo mwanafunzi atazipata endapo ata chagua kujiunga na Chuo cha UBA kutokana na ubora wa mfumo wa ufundishaji wa Chuo hicho
Aidha Baruani ameeleza utaratibu wa jinsi ya kujiunga na Chuo hicho na namna Chuo hicho kitavyo kuwa na utofauti na Vyuo vingine nchini
Mwisho kabisa Baruani Muhuza ameeleza pia sababu zilizo mpelekea kuanzisha Chuo hicho cha Utangazaji na Uandishi wa Habari Mjini Kigoma

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Год назад
Dogo anasauti nzuri kabisa ya utangazaji pia hongera saana muhuza kwa jitahada hiyo ya ufunguzi wa chuo mkoa wa kigoma❤❤❤❤❤❤❤
@christopherdonald2045
@christopherdonald2045 Год назад
Kaongea kila kitu cha msingi sana katika kuhabarisha
@SirajiBaraka
@SirajiBaraka Год назад
Hakika kigoma inapendeza
Далее
skibidi toilet zombie universe 40 ( New Virus)
03:06
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
skibidi toilet zombie universe 40 ( New Virus)
03:06