mda mrefu Dj mafuvu hukuwa kwenye media there is a lot of things a changed so unaitaji kusikiriza radio Na TV kuangalia ilikujua watoto kwa sasa wanafanya nini coz hiki sasa sikizazi chako sina maana kimekupita hapana unaitaji kucop nacho ili uone wanataka nini alafu kizazi hiki hakiujui kabisa nyimbo zakizazi chako mzee nitafute 0713363634 nikupe ushauri zaidi naili ucop unaitajikujishusha kusikiliza opinions Za watu I hope in feature u ll be nice Dj to us