*Beka flavour* unapata taabu sana yule Dem ulimpenda kupitiliza na ulijiamini huwezi kuachwa *Moyo wenyewe mmoja huu yanini kuupa ma presha* Ngoma tamu sana
Tatizo watu wengi tukipenda/kupendwa tunajisahau kwamba hatuweziachwa Kuna mambo tunaacha kuya care ni ngumu Sana Kila mtu kumtajia mwenzake kwa nn kampenda ila ukweli Kuna Kila sababu ya kujua mapenz yanahitaji ubunifu Kila siku tofauti na hapo mtachokana tu
Talent✔️ Voice✔️ All Beka need is promotions on his work and a good management.He is an underated musician but very promising.Where are my likes wadau?🇰🇪
Tanzania songs has nice melody. It's very difficult to have favorite music and artists from another country and not your country. I love Tanzania music. 🥰
Nakubali man kaza kaza kwa ushauri wa game ukiitaji nakushauri muone alikiba mambo yatakuwa poa uyo jamaa anabaraka Fulani ivi kwenye game LA bongo fleva