Тёмный

Best Naso FT Gigy Money - UTABAMBA 

Mr Nay
Подписаться 627 тыс.
Просмотров 2,2 млн
50% 1

FREE NATION RECORDS proudly presents UTABAMBA BY Best Nasso & Gigy Money
Audio Produced by - OSAM
Video shot in Tanzania by Talented director - DEO ABEL
ENJOY....

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@stevemaleke8861
@stevemaleke8861 5 месяцев назад
Giggy kaua sana,,kama umemuelewa Giggy gonga like!!
@MuhinaWaziri
@MuhinaWaziri Месяц назад
Kauwa sna namkubali sana❤😂
@MuhinaWaziri
@MuhinaWaziri Месяц назад
❤❤❤❤❤naupenada Sana mkoaa wangu
@LovelyFallingLeaves-zi5pz
@LovelyFallingLeaves-zi5pz 25 дней назад
❤❤😊❤😊a​@@MuhinaWaziri
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 4 года назад
napenda mdundo wa ngoma za best nossa tena gigy money umeiwezea like kwa mrembo gigy
@metrinesamantha9116
@metrinesamantha9116 6 лет назад
Ukijua unampenda Gigy bure gonga like,,,From 🇰🇪
@anithafaustini2212
@anithafaustini2212 6 лет назад
Wale walio rudia kusikiliza hili goma zaidi ya mara moja nipeni likes kama zoteee
@partsonlupenza9666
@partsonlupenza9666 Год назад
Za nn
@rehemapeter2734
@rehemapeter2734 6 лет назад
Namkubali sana huyu jamaa tangu enzi za Tuma ringa,na alikuwa hana support tu lakini huyu jamaa nyimbo zake zina mashiko na nzuri kusikiliza.Big up best naso na @Mr Nay
@aticiaabsalum2382
@aticiaabsalum2382 5 лет назад
af ngoma zake nying zinaujumbe
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 5 лет назад
Kaka nasso nakuaminia sana yan duuh
@jacksonsayiank7244
@jacksonsayiank7244 4 года назад
Namkubali sana best
@jacksonsayiank7244
@jacksonsayiank7244 4 года назад
@@aticiaabsalum2382 kabisa
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 года назад
Huyu kaka a ajua kimba na nyimbo zake zafundisha sema han bahati maan akitoa ikivuma kidg tu inazima ghafla ila akipat menega mzur anakuw mwanamziki mkubwan mno
@aishwaxy1622
@aishwaxy1622 6 лет назад
Mutatumiaje alhamdulillah na yesu at da sme tym..laana hizo za Allah zitawafikia wenye kudharau uzani wa jina lake
@wasajo
@wasajo 6 лет назад
Nawakubali wote, lkn hongera Mr ney kwa kumbeba Nasso Mungu akuinue zaidi
@khamiskamtoi2609
@khamiskamtoi2609 6 лет назад
Wasajo Mimi Ameen maana pia kuna voice yake kwa mbaali
@iddyshaban9541
@iddyshaban9541 6 лет назад
Nakuku bali sana naso
@emanuelmabula680
@emanuelmabula680 6 лет назад
Acha zako kabebwa kabebwaje .... Nasso nyimbo zake zote hajawah kosea
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Hatari
@wasajo
@wasajo 6 лет назад
@@emanuelmabula680 hajawahi kosea lkn jina lake ni Dogo kuliko la ney
@allenkwaya8594
@allenkwaya8594 6 лет назад
umekosea "halihamdulih,yesu kristo!!!usimwingize mungu kwenye ukafiri
@shamsaabdalah7038
@shamsaabdalah7038 6 лет назад
Gonga like kama umemuelewa Gigi alihamndulillah yesu Kristo🔥🔥🔥🔥🔥
@mrsevaadamson6299
@mrsevaadamson6299 3 года назад
Iko powa
@ernestmachera743
@ernestmachera743 6 лет назад
Huyu jamaa ni Mzee Wa maladha kam Mr Flavour Kazi zake ni nzuri sema alichelewa tu best naso kaza upge collabo na Mr Flavour Utauwaa mbaya .GOD BLESS MR NEY
@Dany-rh4ld
@Dany-rh4ld 6 лет назад
Mr Nay Hongera sanaaa kwa kumsapoti Best Nasso....Best Nasso ni 🔥🔥🔥
@frankrowland2884
@frankrowland2884 6 лет назад
Yani ngoma nimeangalia siichoki mxee,sema umezingua Kutaja jina la Yesu Kristo,kwenye music ya kidunia.
@scolajackson9702
@scolajackson9702 5 лет назад
Tumsamehe tuu ni vionjo kimziki ila ngoma noumaaaa
@user-km2uf5uf8i
@user-km2uf5uf8i 4 месяца назад
Why not 😂😂😂😂
@dottosamweli2364
@dottosamweli2364 6 лет назад
Wimbo mzuri Sana best nasso, hakika ww ndio mkombozi wa mkoa wetu wa mara.
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 6 лет назад
Msanii mzuri best naso mlitaka kumpoteza watanzania
@mawazosumaili4041
@mawazosumaili4041 6 лет назад
Nyiye waimba music msichezee na jina la yesu jina la yesu linapaswa kuimbwa kwenye nyimbo za kikristo sio music mjikerebeshe mungu sio mtani wenu wala yesu sio mtani wenu kwaiyo mueshimu jina la yesu
@bahatevagre933
@bahatevagre933 6 лет назад
imebamba kama Masai naitwa ndito,haki ya mungu na yesu kristo.Under free nation hamkosei
@swaibushemdoe1000
@swaibushemdoe1000 6 лет назад
Bahat Evagre daa best nasso uko p
@fatmaissa6681
@fatmaissa6681 5 лет назад
Ligi imechiliki fujo we unifunge chachaliko kama mmasai naitwa ndiko , Alhamndulilah yesu kirsto ,,,nzuri lakn hyo kristo imetoka wapi tena 😁😁
@alikiba960
@alikiba960 6 лет назад
Mfalme wa MARA nakukubali sana gonga like kama unamkubar Bes naso
@laucrizant4981
@laucrizant4981 6 лет назад
Fikiria Joseph #nahree "navykenzo"ndo mfalme wa huko MARA
@gideonmwanzia9249
@gideonmwanzia9249 6 лет назад
Kweli jamaa nampenda Sana #254kenya
@mgulwaboy4590
@mgulwaboy4590 6 лет назад
USISAHAU KU SUBSCRIBE kwawapenzi wa seazon ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ek1oe6TBWNo.html
@frankjully5457
@frankjully5457 6 лет назад
nahreel ni MTU Mara ? sema kweli
@laucrizant4981
@laucrizant4981 6 лет назад
frank jully tafuta interview yake na sporah show anaulizwa kwao ni mkoa gani anajibu ni MTU wa huko #Mara
@bestegame340
@bestegame340 6 лет назад
Gig money umependeza
@officialadon1056
@officialadon1056 6 лет назад
ngoma ya mwaka iii tisha sana best nass ft gigy kma nawe umeikubali ngoma kali gonga *like* twende sawa
@neemaeliaslucas6100
@neemaeliaslucas6100 6 лет назад
Kaliii sana
@ugaboy4736
@ugaboy4736 6 лет назад
una fanans na wz arus mabele feat..ney
@officialadon1056
@officialadon1056 6 лет назад
Uga Boy atarii sana ii ngoma
@suleimaniomari1176
@suleimaniomari1176 5 лет назад
official Adon p
@mauayusufumauayusufu7862
@mauayusufumauayusufu7862 5 лет назад
Nice song
@marickzeno2655
@marickzeno2655 6 лет назад
Mungu awasamee sana kwa kulitaja jina la yesu kwenye mziki huuu wengine mkiwa mmeacha maumbile wazi.
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 лет назад
Mama ake Myra nakupenda sana we Dada jmn 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✔✔✔
@esterkarine5780
@esterkarine5780 6 лет назад
Majina mengine muwe naogopa kuya taja ivi nyimbo yenu inausiana na Yesu kweli !!!?
@payasstudios92
@payasstudios92 6 лет назад
Iseh Mr Nay hamtaki mchezo. Napenda sana ulivomuangazia huyu jamaa Besty, kidogo alikuwa amepotea kwenye game, naona ujio wake kwa sasa si mchezo. Pongezi kwenu nyote! Free Nation for life!!!
@joshuazabroni4607
@joshuazabroni4607 4 года назад
Nakukubali.sana mwamba Mara moja wote tuungane kumsapoti best naso Kijana mwezetu
@inosentigabriel656
@inosentigabriel656 6 лет назад
Mfalme wa Mara fundi jaman gonga like kama umelielewa dude.
@omarikaoneka9297
@omarikaoneka9297 6 лет назад
Og
@timothysalehe402
@timothysalehe402 6 лет назад
Kama Mmasai Naitwa Ndiiiito, Alhamdulillah Yesu Kristo Dah!!! Makafiri Watachomwa Sana Jamani
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 6 лет назад
daaaah hongera mzee babaaa BEST NASSO,ukiwa na chizi wa kikeee,Bonge la songiiiiiiii
@dicksonmwenje7313
@dicksonmwenje7313 6 лет назад
Best Naso kazi nzuri sana hongera tokea Kenya huyo dada pia sio mchache..blam!
@abibumlotwa2722
@abibumlotwa2722 6 лет назад
Wanaoangaria uku wanasoma viccoment twende sawa ,???
@bahatylucas3622
@bahatylucas3622 6 лет назад
Ggmani nakukubari
@salymkapala6973
@salymkapala6973 6 лет назад
Pa1 sana
@nancyortony6133
@nancyortony6133 6 лет назад
haha
@kusatually9308
@kusatually9308 5 лет назад
Twende sawa
@majorflevorjaphari8173
@majorflevorjaphari8173 5 лет назад
hatar iyoooo
@wangeuye6015
@wangeuye6015 6 лет назад
Nakukubali sana Best naso kaka mkubwa Kaza kaza game limekurudia upya sasaiv
@thepulsetv-healthcorner504
@thepulsetv-healthcorner504 4 года назад
This dude is underated in TZ...highly talented please support him...he is 🔥🔥🔥
@user-fx2gx6fo1e
@user-fx2gx6fo1e 2 месяца назад
Om boi umetisha saana fanya uje mara upige show,kama we ni mtu kutoka nchini mara like
@shabanimdugi6813
@shabanimdugi6813 6 лет назад
HUYO NDIO BEST NASSO NILIYEKUWA NAMTAKA😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@deborahjm8890
@deborahjm8890 6 лет назад
Jamani acheni kutacha jina la yesu kwenye vitu abina mahana From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lamzootv4961
@lamzootv4961 6 лет назад
hili goma noma sana kama naww unawakubali nasso ft gigy gonga like twende sawa
@ombakaonlinetv3665
@ombakaonlinetv3665 6 лет назад
Nasso tunakukubali sana napenda msanii anaebadilika komaa jamaa yngu utatoboa zaidi ufike level za mond ila naomba usilewe sifa km wasanii wanavyokua wakishapata mwanga kdg we piga kz ukumbuke ulikotoka By Joseph Ombaka From Musoma
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 6 лет назад
Siku hizi umebadilika Sana hongera bhana uko Sawa Ngoma kali
@aishaomari1881
@aishaomari1881 5 лет назад
Gigi una nyota ya kupendwa Ila best nasso una nyimbo nzuri mashallah Ila hapo yesu kristo umekosea muumba wa viumbe vyote sip yesu ni mungu pekee
@rogaciandeodatus6529
@rogaciandeodatus6529 6 лет назад
FANYA kuruka na likes kama umeelewa hii ngoma
@agnethamadalaka1025
@agnethamadalaka1025 6 лет назад
nzuri
@aminaamin9885
@aminaamin9885 6 лет назад
Ukienda.kwetu.ugali.jatu.noma.san.kak
@eliuspaulo7540
@eliuspaulo7540 6 лет назад
🔥🔥🔥🔥
@jumajuma5699
@jumajuma5699 6 лет назад
Rogacian Deodatus
@hassansaidi4619
@hassansaidi4619 5 лет назад
Rogacian Deodatus
@nancymwamtobe3090
@nancymwamtobe3090 6 лет назад
ur da best gigy mumieee,like here kama unamkula ggy mapesaa
@worldlyricssongs6141
@worldlyricssongs6141 6 лет назад
Woyoooo wimbo Kama wotee,, congratulations Gigi n best naso 😘😍😍
@justinmwaipas1090
@justinmwaipas1090 5 лет назад
np
@jonathanmnale1202
@jonathanmnale1202 6 лет назад
hongera Mr..nay Kwa kumpa support best naso
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 6 лет назад
Nay umeamua kumsapoti Best nassor nakupa big up Sana kaka huna kinyongo na mtu
@enockngumba8254
@enockngumba8254 6 лет назад
duuuuu mzeeee wa makavu live mungu akubark umefanya la maaana xanaaa wachaw waambien kuwa hilo n onyoooo
@rahisijohn1110
@rahisijohn1110 5 лет назад
poa sana
@hemedramadhani6286
@hemedramadhani6286 5 лет назад
Naomba parekebishwe hapo al'hamdulilah yesu kristo angalieni jamani tusimshirikishe Allah katika machafu maana yeye nimwenye kutakasika mwenye hekma naowaombeni sana tuache kumshirikisha Allah.
@alexplatnum4762
@alexplatnum4762 6 лет назад
#UTABAMBA hii ngoma kal na nimekuwa wa #11 kuichek hii #kaz nzur #likeeee bs jaman
@mussamuna900
@mussamuna900 6 лет назад
Gigy ni habar ya mjini, safi sana hongera sana dada angu
@romesbabz6138
@romesbabz6138 Год назад
I love this song❤❤
@lydiaemily7814
@lydiaemily7814 6 лет назад
Wow bestnaso big up.....I guess with gigy imekuwa poa sanaaaaaaaaa....hujawahi kuchemsha though ni vile tu hutaki kiki
@leemassawe8968
@leemassawe8968 6 лет назад
Dah nilikumis sana best ulikuwaga wapi.kamanda oyoooo kama umekubali hii vidio gonga like
@edwardmbinigaba8760
@edwardmbinigaba8760 4 года назад
best noma tatiZo siyo freemason
@graceobara7672
@graceobara7672 4 года назад
mmbo vp?
@nurunayi7084
@nurunayi7084 3 года назад
Leemassa
@imanimlayda5308
@imanimlayda5308 5 лет назад
jomon jomon mpaka raaaaaaaaaaahha 😍😍😍😍😍😍 usipite bila kulike hpa jaman patam Sana
@mohammedcutstv700
@mohammedcutstv700 6 лет назад
Gonga like na comment Kama Giggy money kafanya poa kwenye hii ngoma.
@imamumiraji8577
@imamumiraji8577 5 лет назад
Naso mtaalam
@samwelycomedy6460
@samwelycomedy6460 3 года назад
Yaha
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 6 лет назад
Huyu jamaa hanaga mbaya ila cjui kwa nn alikua kimya respect broo gigy amekupamba mbayaaaa yani ngoma ni nomaaaaa
@kitulatvonline3854
@kitulatvonline3854 6 лет назад
Naso Tisha Sana Mwamba Nimekuwa Shabiki Wako Wa Damu Tangu Ile Ngoma ya Bora Nirudi Kijijini Mwamba Nay Nawakubali Sana Bro!
@eliceshayo3784
@eliceshayo3784 4 года назад
Nakbr
@PatsonIkula
@PatsonIkula 6 лет назад
League fujo... you deserve no1 trending maana goma mtaani kwangu linaBAMBA hatari
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 6 лет назад
Wanamziki naomba sana musifanye jina LA Yesu kama jina LA ukoo wenu muwena heshima na jina LA Yesu.
@mgulwaboy4590
@mgulwaboy4590 6 лет назад
Wamezidii
@beuntflyhusnakasy9320
@beuntflyhusnakasy9320 6 лет назад
😀😀😀😀nichek mie
@asanovawizkidayo5080
@asanovawizkidayo5080 6 лет назад
Replies
@dottojohn4705
@dottojohn4705 6 лет назад
Sulleyson Sulley kabisa
@goodboi9821
@goodboi9821 6 лет назад
kweli m.ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-29IEbBmlaxw.html
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 6 лет назад
Ngoma Kali bt sijawaelewa heti Alhamdulilaah yesu kristo .
@issasalum7284
@issasalum7284 6 лет назад
Duuuh.... Nassor Anaweza Aiseee
@johariissa4395
@johariissa4395 5 лет назад
kweli best naso umebamba naangalia siishi hamu gigy ameutendea haki wimbo
@montana_thedj8588
@montana_thedj8588 6 лет назад
Sema gigy umeua bana kama unamkubar gigy gonga like
@helenpeter6059
@helenpeter6059 5 лет назад
Nouma san
@greysonisack214
@greysonisack214 5 лет назад
Xn
@johnmosses3740
@johnmosses3740 5 лет назад
Saaaaaaanh
@judithndaro5433
@judithndaro5433 5 лет назад
ninouma
@shakilaclemence2745
@shakilaclemence2745 5 лет назад
G noumaaaaaa
@elogebigirimana5972
@elogebigirimana5972 6 лет назад
Kweli jina linaendana na kazi zako bro viti vyako vyotse ni the best tunakunda saana best naso na gygi 💖💖❤💗👍👍👍👍
@chazydeo7576
@chazydeo7576 6 лет назад
ligi mechi ligi fujo uwiiiiii leta mambo vuta vuta shindilia yanini usione aibu usitumie kidole chenye kucha ndefu ebu gonga like kama umenielewa
@lydiakety5752
@lydiakety5752 6 лет назад
Nice one
@stevensimbeya2548
@stevensimbeya2548 6 лет назад
Asante best nasso ngoma iko pw sana mzee ujawai nianguxha hata siku moja
@jamesgichuhi8949
@jamesgichuhi8949 4 года назад
A very beautiful tune! Lots of love kutoka Kenya.
@abdullahbizzo3342
@abdullahbizzo3342 6 лет назад
Ndugu yangu Allah ndie muumba wa hii dunia na kila kitu kilichomo ktk hii dunia akiwemo huyo yesu wenu pia na yy ni kiumbe km viumbe wengine so Allah hafananishwi na kitu chochote kwa iyo ucmtaje Allah ktk wimbo kwa sababu ww umekosea kwa nyimbo pia unazid kumuwas Allah jirekebishen Allah ndie bwana wa ulimwengu mzima na vilivyomo ndan ya ulimwengu pia vilivyo hai na visivyo hai pia akiwemo huyo yesu wenu pia na yy kaumbwa km mm na ww
@magadehazard9475
@magadehazard9475 6 лет назад
Ninapo ona best naso anafanya vitu vya maana kama ivi napenda nimwite MNYAMA MKALI from musoma mara Tanzania oyooooooo vibe zote Mara tunazzzooooo
@enockngumba8254
@enockngumba8254 6 лет назад
waerekeze bro best
@clementinarajabu8354
@clementinarajabu8354 6 лет назад
Nakukubali Sana naso
@clementinarajabu8354
@clementinarajabu8354 6 лет назад
sasita mikololyo pamoko Sana
@jumamussa4670
@jumamussa4670 5 лет назад
sasita mikololyo yaani we acha 2
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 6 лет назад
Huyu jamaa anaimba vizuri saana afu lugha ya kiswhili fasaha inatawala ktk nyimbo zake.Gigy pia ana sauti nzuri ya kuimbia
@asheriharuni
@asheriharuni 11 месяцев назад
Naombeni like kama wewe ni mtoto wa Mara musoma❤
@asheriharuni
@asheriharuni 11 месяцев назад
🎉
@sarahmtewele1899
@sarahmtewele1899 5 лет назад
wimbo mzuri sana view 1million mmetishaaa
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 6 лет назад
Safi sana Nay mpe Sapoti king
@azzakhamiz3858
@azzakhamiz3858 6 лет назад
Yani naangalia hili dude damu zamwili zina ssimka bg up sanaaaa bonge la ngoma
@princeuzieri4548
@princeuzieri4548 6 лет назад
Ngoma Qaaali saana kama unamkubali best gonga like
@fredyanania4554
@fredyanania4554 5 лет назад
Darh!!! ongera sana best naso kwa vichupa vikali kama iv ila ushauli wangu naomba usije ukatoka kwa baba yaga
@stellahulomi7120
@stellahulomi7120 2 года назад
The voice thou....may god bless you always bro🙏
@sikudhanimohammad4760
@sikudhanimohammad4760 6 лет назад
nimewakubali sana. best naso fundi wa muzik. nakupenda tangu nikiwa mdogo
@allymtamilwa6899
@allymtamilwa6899 5 лет назад
Jamani nitendeeki haki kumpa like gigy hapa ameua wimbo huuchoki kabisa
@maualuzilo8461
@maualuzilo8461 6 лет назад
Jomon best nassoro Nyimbo zako sauti yako unanimalizaga jaman.hujawahi kukosea unanibamba na Hiyo sauti ya gigy.ndo mmeua kabisa salute kwako chacharito
@JeremyCole043
@JeremyCole043 6 лет назад
Karibu Kwa game Bora nirudi kijijini ndo last kuskia gonga like 254 KE ndo home
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 лет назад
Hii nyimbo ni Gospeswida (Gospel + Qaswida) Alhadulilahi Yesu Kristo
@motherland2279
@motherland2279 6 лет назад
yaani ni msiba kuna yesu kuna allaha kufuru tupu
@esterpromy3183
@esterpromy3183 6 лет назад
Ngoma kali nani anachek huku anasoma coment kama mimi?
@EREVUKATV
@EREVUKATV 6 лет назад
Weee mzik unaujua kaka lov sana kwako sante mr nay kwa kumboost kijana wetu
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 6 лет назад
Yaani wimbo mzuri , ila ulipokosea tu ulipo mtaja Yesu Kristo , kwenziki wako usiomsifu , bali unamsifu demu wako ,yaani hapo tu umeniharibia wimbo kabisa
@injili90
@injili90 6 лет назад
Ni kweli unazungumziaje Yesu usiyemjua katika nyimbo za ujinga
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 6 лет назад
mungu ndio kamuwezesha yeye sema yesu
@nanisgitari9765
@nanisgitari9765 6 лет назад
Never judge her,,,you really don't know her relationship with God
@cwttysugar786
@cwttysugar786 6 лет назад
yan uyo yesu cjui mnamuona km nin mungu mmoja tu acheni mambo yenu mkiwa mnadangany tena mnahapa haki ya mungu bila uwoga je amumuogop mungu
@abcdefgger
@abcdefgger 6 лет назад
Sulleyson Sulley mungu awasame jamani
@rehemadndomahelege9834
@rehemadndomahelege9834 5 лет назад
Siku nyingine usitaje jina LA yesu kwenye mziki wako.
@kizitoalmas9248
@kizitoalmas9248 5 лет назад
@Best_basso nimkali ile mbaya na hii ni Ngoma ya Taifa, gonga LIKE kma unamkubali ili twende sawa
@used2beused
@used2beused 6 лет назад
Huyu jamaa n fundi sana sijui n kwann media nyingi kubwa hazmpagi airtime zaid ya TBC
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 лет назад
Kurud kwa bestnaso waooooh
@njokichowder6946
@njokichowder6946 6 лет назад
Narudia huu wimbo Mara mingi lakini sichoki... Wooow nys song gigy
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 6 лет назад
Daah nimeirudia Mara 10 lakini naona siridhiki naendelea kuiangalia mpaka kesho siangalii nyingne
@safatimatwiga3515
@safatimatwiga3515 5 лет назад
Da yani huyu jama nampendaga sana
@mwanamwana3467
@mwanamwana3467 6 лет назад
gigy mama mayraa umefunika🔥🔥🔥
@ShamsKiluwasha-tr4lu
@ShamsKiluwasha-tr4lu 6 месяцев назад
Kamabado unapenda wimbo huu 2024 gonga laik
@amosragero3633
@amosragero3633 4 года назад
Nakukubali kinoma home boy,gonga meza 👊👊
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 6 лет назад
Wale wa MARA kwao best naso nipen like zenu.......
@asiasudi1338
@asiasudi1338 6 лет назад
Ipo vzr
@thomsonmarwa1770
@thomsonmarwa1770 6 лет назад
cipla da pretty tuko pamoja mr
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 5 лет назад
@@maisachacha2170 kvp bro?
@mussabwana2787
@mussabwana2787 5 лет назад
Ongera best naso
@gabrieldaniel5328
@gabrieldaniel5328 5 лет назад
nakuelew xana naso.....!!!? japo kwetu mbeya, toka ngoma ya tuma ringa.....!!! kama kuna uwezekano wa kupata mawasiliano ya karb ntafurah xana......!!!? 0654226684 namba ang hiyo. yeyote mwenye namba ya best naso....!!!
@saidiado3506
@saidiado3506 5 лет назад
Niamini mama tabamba ...husione me msela utabambaa looh ngoma tamuuuu😘😘😍😍
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 6 лет назад
Nimefurah xan best naso kurud kwenye game big up xann bro
@officialmrdeo8116
@officialmrdeo8116 3 года назад
Hii Vers ya #GigyMoney ni 🔥🔥🔥🔥 kama masai naitwa Ditto Alhamndlilah Yesu kristo😂😂😂
@justinejoseph1701
@justinejoseph1701 6 лет назад
CHAMA CHA WASOMA COMMENT YOU TUBE (CHAWACOYU) gonga like twende!!!!
@mgayatz1659
@mgayatz1659 5 лет назад
Hahahaha (chawacom) 😊😀😀😀
@georgekisanjo6539
@georgekisanjo6539 6 лет назад
Best Nasso, a very underrated artist, huyu jamaa sijui kwanini hafakiwi kimuziki pamoja na kuwa anauwezo mkubwa 😬
@jagovin6836
@jagovin6836 6 лет назад
BEST!! Hizi ngoma mbil za sasa,zmekuweka pazuri..ume change sna! kaz nzur
@happyamos8703
@happyamos8703 5 лет назад
Wamsoma mpoooo
@zalukihamimu3665
@zalukihamimu3665 5 лет назад
besi tinaso ngomambiiza
@isaachayes9783
@isaachayes9783 6 лет назад
Hi ni zaidi ya danger, best naso we siku zote ni mkali hukoseagi
@emanuelbelato7335
@emanuelbelato7335 6 лет назад
Mama wa kiki ni gigi Kamiliza kama nilivyotaka gonga like kwa wanaopenda mziki mzuri
@upendofabiani9963
@upendofabiani9963 5 лет назад
nishidaaaaaaaa
Далее
Best Naso - Fahari (Official Video)
4:39
Просмотров 135 тыс.
Apple Event - September 9
1:38:50
Просмотров 25 млн
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Просмотров 72 тыс.
Nay Wa Mitego - Jipongeze (Official Music Video )
2:55
BEST NASSO -=- TUMA RINGA VIDEO
4:58
Просмотров 520 тыс.
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Просмотров 7 млн
Best Naso - Wanawake (Official Music Video)
3:33
Просмотров 1,8 млн
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42