Тёмный

Bhudagala -shuguli mp4 

Bhudagala Mwanamalonja
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 123   
@user-gr6hk6zr1g
@user-gr6hk6zr1g 6 месяцев назад
Wasukuma tunajivunia msanii wetu budagala hongela xana gongeni like zen
@MayengDulu
@MayengDulu 6 месяцев назад
Naona mwaka huu moto unaachia Kali Kali uko saf sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tunashukulu kazi zako zuli
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 6 месяцев назад
Kaka mwenye mziki wake nakukubali sana, umeitoa mbali sana hii asili lakn hata hauringi sijui ulipewa moyo gani tu mwamba, wengi watafukuzia kazi zako na kuleta ushindani kwako ila hakika wataishia njiani sababu hawana moyo wa utu kama wako
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 6 месяцев назад
kwel kbc mkuu
@HadrianIdolius-iz3xt
@HadrianIdolius-iz3xt 6 месяцев назад
Jaman unastaili like wasukuma lazma tulinge bhudala hongera sana piga kazi washabiki wako tunazidi kukupongeza
@khamzalockymaster6008
@khamzalockymaster6008 6 месяцев назад
Mimi sielewi kiskuma ila napenda hizi nyimbo hasa za mwanamalonja ❤❤ hongela saaana bhudagala
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 6 месяцев назад
Asubuhi kunakucha nakuta ngoma mpya tena...Hii inasambaa hapa Salamiti Mtimbira leo kwa DJ JUMA MANAMBA No kuisha watu .Saluti kwako mkubwa wa hiz kaz Mr Bhudagala 🎉🎉🎉🎉
@bhudagalamwanamalonja9582
@bhudagalamwanamalonja9582 6 месяцев назад
Tuko pamoja
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 6 месяцев назад
Yes yes Pamoja sana
@hinikasteve176
@hinikasteve176 6 месяцев назад
Bhudagala ni mwalimu wa Ngoma za asili za kisukuma namkubali sana huyu jamaa nde mna mwanzoya bariadi
@efatauroki867
@efatauroki867 6 месяцев назад
Umemsahau lugw'echa mwanaituli?
@ngasasospeter6899
@ngasasospeter6899 6 месяцев назад
Kumbee ngoma hii hapa Sasa, hujawahi kunifelisha, mwaka nafanya utafiti wa ngoma za kisukuma kama sehemu ya fasihi simulizi, nitaaza wewe Nataka nikiandikie sana kisukuma na asili, tamaduni na sanaa za kisukuma, nimeanza na kamusi ya kisukuma
@massanja221
@massanja221 6 месяцев назад
Unamawazo kama yangu japo me ni secta tofauti pamoja sana
@kingbryno916
@kingbryno916 6 месяцев назад
Mwamba napenda a Sana ngoma zako minipo arusha nataman siku moja tufanye Kaz moja Bana eb nipe mawasiliano yako bwana
@RevocatuskafefaKafefa-malulu
@RevocatuskafefaKafefa-malulu 6 месяцев назад
Bhudagala mwanamalonja huna mpinzani na nyimbo zako zinafundisha huna baya brother pokea mauwa yangu ❤❤❤❤❤❤❤ na camera man Big up sana gama iko poa sana
@Ngwanasamaka
@Ngwanasamaka 6 месяцев назад
Kiukweli kazi ninzuli inafundisha jamii❤❤❤
@ngasasospeter6899
@ngasasospeter6899 6 месяцев назад
Naghubhalimila naghuma, kama umeisikia hii gonga like twendee pamoja
@NtembaMaduhu
@NtembaMaduhu 5 месяцев назад
Budagala
@YohanaKulwa-om3ws
@YohanaKulwa-om3ws 4 месяца назад
vigab sana budagala
@YohanaKulwa-om3ws
@YohanaKulwa-om3ws 4 месяца назад
vigab xan
@bahatimtesigwa7174
@bahatimtesigwa7174 4 месяца назад
So nice bro ,wimbo mzuri sana piga kazi wabaya wako wote wasio penda maendeleo yako wataumia sana, karibu sengerema one day if yes naomba ufike
@FunnyBoombox-yr8nd
@FunnyBoombox-yr8nd 5 месяцев назад
Nakubali sana kaka
@NdagiMalida
@NdagiMalida 3 месяца назад
Nashukuru kwa nyimbo naomba zifasiliwe kwa kiswahili zienee kwa kila taifa
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 6 месяцев назад
Umekamia sana mwaka huu kaka🔥🔥🔥
@RafaelGaspar-ph8fc
@RafaelGaspar-ph8fc 4 месяца назад
Safi sana Mzee wa shuguli
@SIDEBOYTV1990
@SIDEBOYTV1990 6 месяцев назад
Aisee bhudagala huu mwaka wa moto sana big up sana kaka mkubwa kazi nzur na tiyari nishadownlod nipo mwakitolyo no2
@AlliPo-21
@AlliPo-21 6 месяцев назад
sa saba usiku nimewah kuona kaz mpya
@massanja221
@massanja221 6 месяцев назад
Me ndo nimesikia kwako 😢😢mana haya mavazi yapo kitambo toka nakua mfano mzuri tu angalia mmapolu ilitoka sijui 2011 ling'oma,bhanabhane ng'wanampelwa
@JosephShagembe-dj6qv
@JosephShagembe-dj6qv 6 месяцев назад
Mwaka huu mpka wasemew🎉🎉😅😅 NYANDA MAKOLO😂
@abelpool9019
@abelpool9019 6 месяцев назад
Lyembo lyawiza umetisha bhudagala
@user-ol1nw8ox2e
@user-ol1nw8ox2e 6 месяцев назад
b
@user-ol1nw8ox2e
@user-ol1nw8ox2e 6 месяцев назад
hhbh bhbb b
@lucasezekiel9919
@lucasezekiel9919 4 месяца назад
Bro hunampinzani kaka unatuwakilisha vzur wasukuma kwenye tasinia hii ya mziki wa asili barikiwa sana
@strktv4120
@strktv4120 6 месяцев назад
Am your oldest fan ever Budhagala, kindly upload these two songs ;Kinyonga;Mama wa kambo,.
@HojaMayala
@HojaMayala 6 месяцев назад
Viongozi kanda ya ziwa mmeshindwa kufanya namna huu mziki wetu wa asili ya kisukuma msapoti iwe ajira kwa wengi zaidi
@imanwellazalo-h4w
@imanwellazalo-h4w 6 дней назад
Nakubali Sana kaka
@SevelaMtwana
@SevelaMtwana 6 месяцев назад
Bhudagala🎉 we huna mpinzani Toka nazaliwa nakusikia mpaka saiv unaimba we noma Yuko wap shitunguli kaka yako❤
@HidayaShabani-y5i
@HidayaShabani-y5i 14 дней назад
Hongera sana
@raphaelsimba3402
@raphaelsimba3402 6 месяцев назад
Uko mbali sana tena sasa ivi naona umeamua mbwai na iwe kazi nzuri na beat ni unyama mwingi ❤ wabheja sana
@user-bn4hh1eb8r
@user-bn4hh1eb8r 5 месяцев назад
Hongera sana mwanangu Mungu akusimamie katika kazi yako
@mahonakijah5339
@mahonakijah5339 6 месяцев назад
Weee ni nimnoma mwamba huyo
@NdaturuMaduhu-do5yp
@NdaturuMaduhu-do5yp 6 месяцев назад
safi sana kaka mwaka huu tunakutaka uje sakwe.
@hinikasteve176
@hinikasteve176 6 месяцев назад
Upo sakwe mzee
@NdaturuMaduhu-do5yp
@NdaturuMaduhu-do5yp 6 месяцев назад
ndio npo sakwe kwan ww upo wap?
@joshuahassan1605
@joshuahassan1605 6 месяцев назад
Hiii umeua. Hongera sana sana bhudagala.
@maliganyakanuda
@maliganyakanuda 6 месяцев назад
Shusha vitu mwamba hakuna aliye juu yako labda mungu pekeyake
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 6 месяцев назад
Ani Moto wako ata wasaniii wa bongo fleva hapa Tanzania wanauelewa ata Cameroon tunakupata. vyema zaid🇮🇲 📣🎶🎵🎵🔇📻📻📻📻🔇🎸🎸🎸🎵📢🔈🎶🎵🎵🎤📻🎙️🎙️🔕🎙️🎙️🎚️🎚️🔌🔌💻💻🖱️💽🖲️🖥️🖥️💻📞📞📲📠
@user-kq8fx6jz2b
@user-kq8fx6jz2b 6 месяцев назад
Kazi yokoni nzuri kweri kweri 💯💯
@YonaBangili
@YonaBangili Месяц назад
Nakukubali brooo
@peterzina3767
@peterzina3767 3 месяца назад
Pamoja sana❤❤❤
@GeorgeChananja-z1m
@GeorgeChananja-z1m 5 месяцев назад
Hapo sawa
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg 6 месяцев назад
Umetisha mwana malonja nakubali saruti kwako
@JosephRobert-oz4cz
@JosephRobert-oz4cz 4 месяца назад
Nakubal kaka❤❤❤❤
@jumazuber
@jumazuber 6 месяцев назад
kabhagi na ketambi akabhudagala😆😆😆😆😂
@dogomojatz3492
@dogomojatz3492 6 месяцев назад
Wela wa shughuli
@issamatelephone8066
@issamatelephone8066 6 месяцев назад
Safi sana mwanangu kazi nzuri
@gumadambiti4071
@gumadambiti4071 6 месяцев назад
Uko sawa kaka angu pamoja saaana mwanamalonja
@MatirdaSimon
@MatirdaSimon 6 месяцев назад
Hii nyimbo inafundisha san uko vizur san
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 6 месяцев назад
Mfalme wisee🎉🎉🎉
@ZefaniaCharles
@ZefaniaCharles 6 месяцев назад
Tunakuomba ututembelele na kwetu kitunda mgodini wilaya ya sikonge tabora ww ni charucha maliga
@JosephBalele-cd7fg
@JosephBalele-cd7fg 6 месяцев назад
KAKA Yangu naiona shuguli 🔥🔥🔥🔥
@MweliMazozo-nf5mu
@MweliMazozo-nf5mu 5 месяцев назад
Umepigaje hapo
@joshuabundala8436
@joshuabundala8436 6 месяцев назад
Hongera sana bms natamn kukutana na ww
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 6 месяцев назад
Milemo midogaa sana wakomwamakoloo
@madulustudio6794
@madulustudio6794 6 месяцев назад
nyimbo yangu ya mwaka huu nimeipebda
@user-fs2jd9rd3r
@user-fs2jd9rd3r 6 месяцев назад
Mpaka kwa mnyama dubu imefika daaa begup malonja
@geitaasiliyetuvideosproduc8520
@geitaasiliyetuvideosproduc8520 6 месяцев назад
Dah au basi tu unajuwa mpka unaboa mjomba
@MhojaJussa
@MhojaJussa 5 месяцев назад
Kwel budagala mwaka huu upo moto Moto
@lameckfabiano6676
@lameckfabiano6676 6 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@hinikasteve176
@hinikasteve176 6 месяцев назад
Nose u bhudagala ogena wadaka kweta shitambe
@Mwelimazozo-ol3lp2lw4e
@Mwelimazozo-ol3lp2lw4e 6 месяцев назад
💯💯
@bahatimtesigwa7174
@bahatimtesigwa7174 4 месяца назад
Kama unaweza tung's nyimbo inayo Sofia kazi mama Samia Kwa mazuri anayo fanya Nina Imani unaweza sana plz Kwa Hilo tubebe Kanda ya ziwa Kwa kutoa japo wimbo 1 itapendeza sana
@user-rk9ne7og1x
@user-rk9ne7og1x 6 месяцев назад
❤❤❤
@user-eu9go4sh4r
@user-eu9go4sh4r 6 месяцев назад
@vedastusmedia9227
@vedastusmedia9227 6 месяцев назад
❤❤❤
@SurprisedBirchForest-tm5yg
@SurprisedBirchForest-tm5yg 6 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@Machozi2024
@Machozi2024 6 месяцев назад
Huo ni Moto Sana💪💪🔥🔥🔥🔥
@IDDYSTUDIO
@IDDYSTUDIO 6 месяцев назад
Kazi kazi Noma sana kaka
@user-oc5te6df4k
@user-oc5te6df4k 6 месяцев назад
Unyama
@LaurentSabaya-xc3uu
@LaurentSabaya-xc3uu 6 месяцев назад
sawa babaaa
@MusaJohn-gw8db
@MusaJohn-gw8db 5 месяцев назад
Kazi nzuri
@FrenkKija-hg8jg
@FrenkKija-hg8jg 6 месяцев назад
Huna mpinzan kaka
@yusuphkaji3061
@yusuphkaji3061 6 месяцев назад
ulentemi bhabha!😅😅😅
@Mahahastudio
@Mahahastudio 6 месяцев назад
Safi sana wimbo inaujumbe
@user-oh7zr3fi2g
@user-oh7zr3fi2g 6 месяцев назад
Mwamba kabsa ni wakwanza naombeni koment jamani
@bhudagalamwanamalonja9582
@bhudagalamwanamalonja9582 6 месяцев назад
Mkuu huwa hulali?
@petroshija1562
@petroshija1562 6 месяцев назад
Kazi zako hazina wa kuzipinga ulintemi pyeshikho
@user-oh7zr3fi2g
@user-oh7zr3fi2g 6 месяцев назад
​@@bhudagalamwanamalonja9582mzee mm nalala saa 7 sinikakutana na chuma baba
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it
@GWIJIGWIJISELLA-tt2it 6 месяцев назад
Nakubar brother 🔥
@makambamussa5209
@makambamussa5209 6 месяцев назад
Isebhu sana
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 6 месяцев назад
Asante sana
@patrickkapisha628
@patrickkapisha628 6 месяцев назад
Sawaaa
@user-yl4se2xb7f
@user-yl4se2xb7f 6 месяцев назад
Nimeipata hii Iko poa
@thentuzumusic
@thentuzumusic 6 месяцев назад
Sawa kaka
@ngasasospeter6899
@ngasasospeter6899 6 месяцев назад
Mghushikalabha ishikomee 😂😂😂😂😂
@masungasayi3298
@masungasayi3298 6 месяцев назад
Good brother
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 6 месяцев назад
toa video ule wimbo Nani nansunge
@jersonlukinda9410
@jersonlukinda9410 6 месяцев назад
Bhudagala umelitendea haki bando langu.
@officiallmaduhuwilliamtzof7056
@officiallmaduhuwilliamtzof7056 6 месяцев назад
Tunaomba video ya PENDO, GEREJI, REHEMA
@user-dq9my1yk5p
@user-dq9my1yk5p 6 месяцев назад
Ong'wamalonja
@massanja221
@massanja221 6 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉
@DanielDaniel-gx2ou
@DanielDaniel-gx2ou 6 месяцев назад
Kaz kaz
@Lugalilatv
@Lugalilatv 6 месяцев назад
Pamoja sana
@johnseja
@johnseja 6 месяцев назад
Mbn nimeshindwa kudownload kawaida kuwa audio kwenye vid mat
@user-kq8fx6jz2b
@user-kq8fx6jz2b 6 месяцев назад
Download huwa hameti nimeshidwa
@ManyanyaTz
@ManyanyaTz 6 месяцев назад
Sawa Sawa Big
@ndulusonmyakundula5630
@ndulusonmyakundula5630 6 месяцев назад
Fundi wanyimbo za asir nakukubar xana
@MussaNtunga
@MussaNtunga 6 месяцев назад
Kaka moto unauwasha ❤❤😅😅😅
@SalumuNgussa
@SalumuNgussa 5 месяцев назад
Aaa
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 6 месяцев назад
kabhundi fukuza
@DJSNIPERINTRO
@DJSNIPERINTRO 6 месяцев назад
Et watu wanasema munamuiga kisima kwa nyimbo za asili kama hizi
@japhetsahani7121
@japhetsahani7121 6 месяцев назад
akuna kit🎙️kamaicho
@manambavideoproduction8394
@manambavideoproduction8394 6 месяцев назад
watoto wa juz watasema hvyo..nyimbo ya ng'wana mpelwa shogagi kaya..Ling'oma Mmapolu...enz hzo kisima alikuwa ametoa nyimbo gan ya asili kama hzo....Sisi tunataka burudani kila mtu aimbe atakavyo sis tuenjoy music
@williamjames5267
@williamjames5267 6 месяцев назад
istoshe kusema kwamba kisima mwenyewe ni mwana funzi wa huyu jamaa ndio maana haja wahi kuimba nyimbo sita katika hizo asi mtaje mwalimu wake wanyimbo za kisukuma huyo kisima
@DJSNIPERINTRO
@DJSNIPERINTRO 6 месяцев назад
@@williamjames5267 mtaani wansmasema sema sana hivo
@DJSNIPERINTRO
@DJSNIPERINTRO 6 месяцев назад
@@manambavideoproduction8394 Ndo ushangae sasa hapo
@mahonakijah5339
@mahonakijah5339 6 месяцев назад
Weee ni nimnoma mwamba huyo
@YonaBangili
@YonaBangili Месяц назад
Nakukubali brooo
@domajosep3797
@domajosep3797 6 месяцев назад
❤❤
Далее
Bhudagala mwanamalonja _innaga mp4
11:57
Просмотров 61 тыс.
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,5 млн
BHUDAGALA _Mtoto wa dada mp4 official
12:44
Просмотров 55 тыс.
LUNG'WECHA NGUMANGUMA
15:20
Просмотров 10 тыс.
Mama Ushauli son Harus ya Amos dir Gabriel
16:52
Rogeti - Masamva |official video 2024
14:07
Просмотров 35 тыс.
Bhudagala __ Ng'wanampela
6:33
Просмотров 972 тыс.
Bhudagala _Mama Leti mp4
10:10
Просмотров 20 тыс.
Ntemi - Tolagwa 0753853523
10:06
Просмотров 410 тыс.
Mayikusai harusi kwa Lyeni (Official Video)
17:30
Просмотров 19 тыс.
Bhudagala Mwanamalonja-Majungu mp4 official.
11:35
Просмотров 41 тыс.