Kaka mkubwa wa 2007 kwenye gemu ukiwa form three. Nyimbo hii umeipiga vizuri sana. Kwa kweli endelea kuimba ili jamii ijifunze kupitia wewe. Mimi ni mwalimu wa Literature in English and English language kutoka Nzega Tabora Huwa nafatilia nyimbo zako na pia hufundishia. Kama mwalimu wa Fasihi
Kazi nzuri Mwanamalonja Kichwa cha mashairi icho nakukubali sana tangu enzi za 2006. Nikiwa darasa la 7 Bariadi. Wako Music Producer Selee Tz Africa. Nikiwa Biharamulo.