Тёмный

BIBI ALIYEMLEA KIBIBI AMWAGA MACHOZI, ASIMULIA MAISHA YAO YALIVYOKUWA “WALISEMA NIMFUKUZE ATANIFIA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 261 тыс.
50% 1

Baada ya Mwigizaji Getrude Mwita maarufu kama Kibibi kufunguka safari ya Maisha yake na kueleza jinsi baadhi ya watu walivyomlea, AyoTVENT imefika mpaka nyumbani Kwa Bibi Nyahuba aliyemlea kipindi akiwa mdogo.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 259   
@fikiriseleman8835
@fikiriseleman8835 2 года назад
Dada anatabasamu ndani yatabasamu kuna maumivu makubwa yenye ushindi.
@roselinehongerasanabrooali7156
@roselinehongerasanabrooali7156 2 года назад
Hongera Sana dadangu mungu akuzidishie na huyo bibi mungu amupe Maisha marefu😍
@josephinejoseph7679
@josephinejoseph7679 2 года назад
Hongera sana kwa kumbuka ulikotoka dada na kwa kujitambua pia ni wachache kama wewe sara. Mungu akubariki. Huyu bibi ameonyesha mfano wa kipekee,
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 2 года назад
Jamani huyu Bibi, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
@nasraiddy3252
@nasraiddy3252 2 года назад
Mashallah bibi Allah zaidi kukupa umri mrefuu bibi hongera umekuza mjukuu mrembo sasa kilichobaki ni ahadi ya mjukuu kumlea bibi ako sasa
@rehematawalani733
@rehematawalani733 9 месяцев назад
Hongera sana Bibi Kwa wema wako mungu akupe umri mrefu
@ellenmbota1241
@ellenmbota1241 2 года назад
Hongera sana kibibi Mungu amlinde huyo bibi kwa ukarimu aliye onyesha kwa kibibi
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Mtengenezee vizuri mungu atakulipa mwanangu kibibi anaekufaa kwa dhiki ndio wako Rafiki.
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw 2 года назад
Mashaallah bibi kwa kumlea ki bibi Allah akulipe kila la kher malipo yapo kwa Allah hongera ki bbi kwa kumsamini bibi
@mariamdafi7978
@mariamdafi7978 2 года назад
Getruda umenitoa machozi, umenikumbusha mengi sana, aisee umepambana, maisha haya mmh mwenyezi mungu azidi kukutunza na kukuinua. Nakupenda sana. Mimi ni shabiki wako. Unani inspire vitu vingi mno. Kuna siku ulipost unadeki kanisani, I salute you girl. Mungu akubariki na akujaalie upate mume atakaye kupenda kutoka moyoni.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
😭😭😭😭
@hopepeter2291
@hopepeter2291 2 года назад
Yani nmejikuta ata mim nmelia jmn😭😭
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 2 года назад
Wallah Dunia hii..sie hatuna chetu ila mungu ndie yake, hakika ona huyu sister mungu alimuandikia Nini mbele.. alhamdulilah kwa yote kwenye hii Dunia
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
😔😔 yaaniiii Munguu ndo mwamuzi wa kila kitu apaa Dunianii aisee kwa cc walimwengu
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 года назад
Hongereni sana ayo TV kwa muendelezo wa habari pia hongera getu kwa moyo wako wa upendo hongera kwa bibi nyauba kwa kumlea getu wetu
@salmakaratta1420
@salmakaratta1420 2 года назад
Allah akujaze upendo zaidi kwa kuwakumbuka wote waliojali maisha yako.Hongera zake bi nyauba na mama aliye kupa elimu, Mungu atawalipa inshaallah.
@christaoman8890
@christaoman8890 2 года назад
Kwakweli undug sio waku,zaliw tu na usimdharau mtu jins alivyo huwezi jua.kesho atakuw ni nan ktk hii dunia hongera sana bibi kwamalezi yko mema
@julianamoirana9409
@julianamoirana9409 2 года назад
That is My Getrude Mwita😘😘 Umenipa nguvu ya Kupambanaa
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
💕💕💕mtu.baki anawez kukujali kuliko ndugu atakusaidia na maneno huku akivizia ukose atangaze mashallah huyo bibi
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 года назад
Pole Kibibi! Hongera Bibi Nyauba👏👏👏
@priscillaa.m1805
@priscillaa.m1805 2 года назад
God bless you Getrude Tears 😢
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 2 года назад
Da haya maisha jamani ! Hongera bibi Mungu akuongezee maisha .
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
Mashaallah duu hadi nimelia 😭watu wana pitia magumu sana
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
😚😚😚 yaaniiii acha tuu ma dear
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 года назад
Hongera Bibi Hongera Sara maisha umepitia wewe na Bibi Ni magum tengeneza firamu ya maisha yenu na Bibi na Mimi mniite nishiriki
@mariamdafi7978
@mariamdafi7978 2 года назад
Bibi mwenyezi mungu akubariki, akupe afya njema,,umepata mtoto wa kudumu
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 2 года назад
Duuh nimejikuta nalia jamn asante bibi kwa moyo mzuri
@mariyaal5366
@mariyaal5366 2 года назад
Historia ya maisha ya kibibi imenitoa machozi jamani😭😭 Mungu akutunze bibi
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 года назад
Manshallah Allah akulipe kilala Kheri bibi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@raziahamisi8460
@raziahamisi8460 2 года назад
Mashallah
@yusrasalum
@yusrasalum 2 года назад
Raha kupata mtu mwenye mapenzi kama haya bibi ni mtu wa shukruni sana mungu akuweke na afya njema! Sarah huyu bibi niwako sio lazima uwe na kitu damu moja
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Bibi Mungu akuweke
@na-shownakshi7453
@na-shownakshi7453 2 года назад
Mtoto wa mwenzio mwone kama mtoto wako (Mwaitega kaimba)
@irenefrank2644
@irenefrank2644 2 года назад
Kitu kimoja ninacho jua mungu anapokuleta duniani hukuinulia watu watakao kuwa pamoja nao hakuna aliye zaliwa aliachwa mungu ni mwema
@habbibty3274
@habbibty3274 2 года назад
Kwa kweli Allah akiamua kunyanyua mja wake hakuna mzuizi Allah akulinde na hassad maradhi chuki fitnah na balaa la waja
@albertdoherty9394
@albertdoherty9394 2 года назад
Maa shaa Allah tabarakallah malipo yawema wema tu cku zote
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 2 года назад
kabisa
@sophiamfikwa7340
@sophiamfikwa7340 2 года назад
Waooh nimeipenda hii pole dada kwa magumu uliyopitia .Asante bibi kwa wema wako Mungu akupe maisha malefu.
@subirajohn728
@subirajohn728 2 года назад
Hongera Sana Getu kwa kukumbuka fadhila Mungu akuhifadhi!
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 2 года назад
Mashaa Allah
@edwinedward5352
@edwinedward5352 2 года назад
Kibibi utu Ubinadam ndo uo mungu akutangulie kila atua unayo piga ya maisha yako🙏🙏🙏
@fikiriseleman8835
@fikiriseleman8835 2 года назад
Dada huyu anahekima, yawezekana labda kwa mapito aliyopitia. Wasichana wengi huwa nachangamoto yakutojitambua wakiwa warembo.
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Ila wakipata ujisahau na kuwanyanyasa wengine pia
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 2 года назад
Hongera sana Getruda Usiwasahau waliokusaidia, mtangulize Mungu mbele.😗
@sanuraissa3834
@sanuraissa3834 2 года назад
Mwenyezi mungu amtunze bibi amfungulie milango ya baraka zaidi sara
@omarysquare2218
@omarysquare2218 2 года назад
Duh dada Sarah Safar ngum yenye ushindi Mungu ashukuriwe na huyo Bibi MUngu amyongezee maisha maref
@maryamalhabsi4364
@maryamalhabsi4364 2 года назад
Maa shaa Allah 🤲🤲🥰🥰🥰🥰
@vailethmagwisha4071
@vailethmagwisha4071 2 года назад
Mkubwa MUNGU,,ishi na watu vizuur maana hujui kesho yako😍😍😍😍😍😍
@ladymuna4945
@ladymuna4945 2 года назад
MashaAllah, kibibi hongera sana. Allah akufanyie wepesi kwenye maisha yako In sha Allah
@christinajackson6014
@christinajackson6014 2 года назад
Nilikuwa sijui storry yake kama yangu ila namushukuru Mungu sasa nimeolewa na nina amani
@mamy8220
@mamy8220 2 года назад
Pole baby 🙏🙏🙏🙏👏❤️
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
Ma sha Allah bibi
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 2 года назад
Jamaniiii!!!! Kiukweli nimefurai sana😘😘😘😘😘
@mebakarimwishima9399
@mebakarimwishima9399 Год назад
pole sana kibibi Ni maisha tu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Maisha haya jamani, mpaka najikuta nataka kulia 😭
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 2 года назад
Nami nilipitia maisha yanayotakiwa kufanana na haya
@sarajonathan9612
@sarajonathan9612 2 года назад
Nashukuru sana Mungu kwa ajili ya majina ya Sara kibibi wa jina Mungu akujalie siku zote na Uyu bibi Mungu ambariki
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 года назад
Mashallha kibibi ulikaa vizuri kwa bibi aulikuwa mtt mwema na ndomana alikuwa anasema atakaa na ww ungekuwa siyo mtt mzuri kwake msinge fika hapa hongera kwa bibi kwa moyo wake mzuri allha azidi kumpa maisha marefu aje ale matunda yako pia na ww hongera kibibi ujasahau wema mashallha
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 2 года назад
MashaAllah
@sofiaahmad1926
@sofiaahmad1926 2 года назад
Kafanana na Hamisa mashallah.
@angelmkini1508
@angelmkini1508 2 года назад
Mm nikiwa kama shabiki wako nakupenda sana Kibibi Mungu alikupitisha hapo ili wengine tujifunze kuhusu mapito yako na pia tumaini yakwamba Mungu yupo Mungu aendelee kukuzingira kwa wigo jana alivyomzingira Ayubu. Hakika Mungu ni mwema kila wakati hajawahi kushindwa. Ila jamani dunia hii.
@shawarmakhan5310
@shawarmakhan5310 2 года назад
I miss you G. 😘 hongera kwa speech nzuri yenye mafunzo mengi sana . Bibi Allah akuhifadhi kwa ajili ya kibibi wetu.
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Daa hongera mama
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 2 года назад
Mashaallah 🥰🥰🥰😘😘🤩😍
@dodoted5033
@dodoted5033 2 года назад
God bless you Sarah, always remember every step of your ladder from the first to the last. Love you. ❤ Blessings to the old lady,she got a golden heart.
@getrudamachochoryo9939
@getrudamachochoryo9939 2 года назад
lollipops lollipops 0099papp to do 0000l9l9lll000900l990900
@getrudamachochoryo9939
@getrudamachochoryo9939 2 года назад
Lll0ll0llllllll0000000l000lll
@getrudamachochoryo9939
@getrudamachochoryo9939 2 года назад
Lllllllllll0lllĺlll
@getrudamachochoryo9939
@getrudamachochoryo9939 2 года назад
L99llllllllllll9llllllll
@getrudamachochoryo9939
@getrudamachochoryo9939 2 года назад
Ll9lllĺll99999lll9lĺĺ9llll to 09099ĺllll99999999900ĺl9990llll9lll99lllĺll9l l99999
@imanibarnabas8060
@imanibarnabas8060 2 года назад
Hongera mwaya Getrude/Kibibi nimependa ulivyoongea historia yako kwa uwazi wengine wanaficha hongera Sana Mungu akusaidie
@mariamnkomo4637
@mariamnkomo4637 2 года назад
Nimelia jamaniI😭😭😭ubarikiwe binti mrembo🙏🏻
@denissemfuko3373
@denissemfuko3373 2 года назад
Milard ongeza maiki bwana taasisi yako ni kubwa bwana watu watatu maiki mmoja... Acha ubahili
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 года назад
Allah akuzidishie umri Bibi kibibi njali mamako mlezi nawapenda sana
@FlorenceDDR
@FlorenceDDR 2 года назад
Younmafe me cry 💕💕💕 God is good jamani
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 года назад
Hunijui sikujui ataenizika simjui ndio hii sasa🌹❤️
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 года назад
Nimekupenda umekumbuk fadhila
@abubakarsalim6103
@abubakarsalim6103 2 года назад
A real star girl
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
Mungu akubariki kibibi ila usia wangu wewe ni mwanamke mzur, mtunze devi basi kwenye huba
@omaryramadhani608
@omaryramadhani608 2 года назад
ile ni move tu anacheza inavyotakiwa au hamji maana ya,move
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
@@omaryramadhani608 najua natania tuui
@vailethmbulule8339
@vailethmbulule8339 2 года назад
😂😂😂 kweli amtunze😂😂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
@@vailethmbulule8339 haha anajua kuliburuta devi mpaka ana shika adabu
@saudah4455
@saudah4455 2 года назад
Wawoooo mungu akupe nguv zaid kbibi
@awenamalendo7378
@awenamalendo7378 2 года назад
safi sana
@kharimzittu5237
@kharimzittu5237 2 года назад
I love this lady ❤️
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 года назад
Ata uwezi zuia chozi wtu wanatoka mbali kupitia vtu vyingi cha mcgi kushukuru mungu na ucsahau kila aliye pita katika maisha walokupe ata walokuchukia
@salomembasha7100
@salomembasha7100 2 года назад
I love this!!God over everything 🙏
@heavenlightmakoy1410
@heavenlightmakoy1410 2 года назад
Achen Mungu aitwe Mungu🙏 sara😍
@gloryr9497
@gloryr9497 2 года назад
My Getrude Mwita💗💗💓💓💞💞💕💞
@azminahsdelights1837
@azminahsdelights1837 2 года назад
Mashallh 😍❤️
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 года назад
Nimependa sana
@barakakamuga4474
@barakakamuga4474 2 года назад
Big up my sister
@stanleyhenrish7477
@stanleyhenrish7477 2 года назад
Bibi ako na upendo sana ana roho ya utu mtu Mungu azidi kumuweka
@sumaiyahamis5159
@sumaiyahamis5159 2 года назад
Namshukuru mungu mama angu wa kambo alinilea kama mbwaa ilaaa alinifunza mengi snaaaaa😭😭😭😭🙏
@tinamahega9848
@tinamahega9848 2 года назад
Pole sana ndugu,ni mapito tu katika maisha
@CareenLorry
@CareenLorry Год назад
Pole sana
@aminajuma1156
@aminajuma1156 8 месяцев назад
Pole sana kila mtu kapitia kipindi kigumu Cha mama wa kambo ila hakika mungu ni mwema
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 2 года назад
Wema hauozi... Tutendeane mema
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 2 года назад
Kabsa my
@mwanahamisseif5506
@mwanahamisseif5506 2 года назад
Hakikaa mamy
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
Kabisaa kabisaa dam yanguu 🤝🏾
@vailethsiwandilo5748
@vailethsiwandilo5748 2 года назад
Yaniii 😭😭😭hapa ndio nimeamini kwamba kuishi na watu vizuri kunaleta matunda mazurii😭😭ona huyu Dada jmn kasaidiwa na bibi wa watu ambae hata sio bibiake wala sio nduguuu....Mungu tumuache aitwe Mungu....pia nimeamini Maisha ni kujipambania .na sio kusubili kupambaniwa na ndugu .....najikuta 😭😭😭
@estherpancras441
@estherpancras441 2 года назад
Wow.,,,, yaani nimefurahi hadi chozi limenitoka
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Usimdhau mtu kwani hujui kesho yako.
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 года назад
Ndivyo nilivyo ahsante mungu
@farajafaraja2812
@farajafaraja2812 8 месяцев назад
Aiseee pole kwa mapito aiseee dada hongela kwa ulipo fika jamani
@ewadijuma447
@ewadijuma447 2 года назад
God bless you Sara for helping this grand mother
@angelfuraha445
@angelfuraha445 2 года назад
🥰🥰🥰
@wemamgala4869
@wemamgala4869 2 года назад
Mungu ni mwema hakika bibi
@bintisaidbigupbrotherjuma8417
@bintisaidbigupbrotherjuma8417 2 года назад
Mungu amekueka upate kula matunda ya ukarimu wako
@tatumatata2428
@tatumatata2428 2 года назад
Jamani huyu mtoto kupitia mnatatizo Mungu wa mbinguni Azid kumsimamia asipate mtihan tena maishani mwake inatosha
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 2 года назад
Asante bibi Kwakumlea Sara Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏🙏
@husnamadai9892
@husnamadai9892 2 года назад
Mashaallah unakumbuka fadhila, jamani tusidharauliane hujui atakaekufaa kesho yetu
@jasmineshemweta4547
@jasmineshemweta4547 2 года назад
Eee mama mwenyezi Mungu akuzidishie umri mrefu.
@farajafaraja2812
@farajafaraja2812 8 месяцев назад
Mungu akutunze
@janethmonge5594
@janethmonge5594 2 года назад
Jamani binadamu tunapitia magumu hongera dada Mungu kakuvusha.
@jasmineshemweta4547
@jasmineshemweta4547 2 года назад
Masha Allah Sala ❤️
@pendomariki6562
@pendomariki6562 2 года назад
Kwel ya Mungu mengi mtu usiemjua ana upendo kuliko hata ndugu huyu bib ana moyo mzuri
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Tengeneza filam ya maisha yako kama alivyotengeneza mboso.
@vailethmbulule8339
@vailethmbulule8339 2 года назад
mboso ana movie?
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
@@vailethmbulule8339 Anayo.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
@@vailethmbulule8339 Andika mboso of Life.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
@Saumu Chimuu Umeiyona eee ila inakuwa kama filam ni historiya nzuri Hahahahaaa
@zaytonuiibrahim791
@zaytonuiibrahim791 2 года назад
Mungu azidishiye upendo na umri mrefu innshallh
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 Месяц назад
Miss. Sara your so beautiful mummy
@fatumanditi512
@fatumanditi512 2 года назад
Nimelia sana nakumbuka nilimlea mtoto wa kiume ambae ni yatima hana baba wala mama Mungu muecheni aitwe Mungu yule mtt sasa HV ananitunza walimwengu tusiwabague watu
@tinamahega9848
@tinamahega9848 2 года назад
Hongera sana
@witnessmonyo113
@witnessmonyo113 2 года назад
Bibi Mungu akutunze jaman 😘😘
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 2 года назад
Huyu mama jamani Mungu akuzidishiye miaka
@asuniabdalah8303
@asuniabdalah8303 2 года назад
Sijui hata niandike nn maisha haya mmhh mwenyez mungu tufanyie wepes
@jescamassawe2519
@jescamassawe2519 2 года назад
Amina dada
@aminagia2938
@aminagia2938 2 года назад
Uyu dada nampenda sana yupo pic
@rachealmusonda5270
@rachealmusonda5270 Год назад
Toka nlivoanza kuskiliz interview yako imenipa nguvu yakupamban katika maisha yang 😢😢
Далее
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 6 млн
REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING (KIBIBI)
19:04
VITIMBI VYA WANAWAKE KANISANI
1:11:09
Просмотров 3,4 тыс.