You deserve the best kibibi, Miongini mwa waigizaji naowakubali sanaaaa🥰🥰 upo tofauti na vijana wengine, umemshika mungu na unamtukuza👏👏👏 nakuona kwenye viwango vya Hollywood na utafika Kwa jina la yesu🙏
It's something good hongera sana kwa Dr. Kimaro , nilichogundua kwa kweli kuwahoji watu nayo ni karama kumhoji mtu na kuweka mtiririko mwanzo mwisho. I hope event ijayo mambo yatarekebishwa zaid
Nakupongeza sana Mchungaji Kimaro kwa kuhubiri injili inayobadilisha watu (Hii ni habari njema kwa watu wote ) unaibua na kufumbua macho ya watu wengi.
Mchungaji Kimario ubarikiwe sana hizi sessions zina mengi ya kujifunza. Hasa nyakati hizi kwenye changamoto za ajira vipaji vinahitaji kunolewa na kuheshimika sana. Asante kwa kutukumbusha hata elimu ikikwama kuna njia nyingine tuzijaribu
Ooooh!!! Hallelujah hallelujah, Mungu auzidishe utukufu wake kwako @Getrudamwita Hakika historia yako/ ushuhuda wako umenijenga Sana🙏 umenifanya niseme ''NINAWEZA KATIKA JINA LA YESU KRISTO''
Nakupenda sana wewe dada niliwah kuona kipande tu cha tamthilia moja uliyocheza nilipenda sana lkn kwa sasa cjaona kazi yako nyingine mungu akubariki sana kipenz
🙏🙏 Mchungaji Tunashukuru kwa kumleta kibibi, Mimi huwa nafuatilia movie ya Huba kumbe sikumjua upande wa pili jinsi Mungu alivyomwinua kwa namna ya ajabu, Hakika wakati unapofika wa Mungu hakuna wa kuzuia..