Тёмный

LULU AMPA VIDONGE VYAKE HAMISA/WATOTO WANAKUTANA KWA MAJIZO/LAMATA KUMBADILISHA MIMI MARS JUA KALI 

Carrymastory
Подписаться 465 тыс.
Просмотров 141 тыс.
50% 1

ULU ELIZABETH AMPO VIDONGE HAMISA /WATOTO WANAKUTANA KWA MAJIZO/LAMATA KUMBADILISHA MIMI MARS JUA #LULUELIZEBET lulu elizabeth #mimas #LULUNAMIMIMASA #MAJIZO #WATOTOWAHAMISA #carrymastorytv

Развлечения

Опубликовано:

 

25 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 155   
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England Месяц назад
Km unamkubwali lulu tangu akiwa kilulu bas huwez kumuona hafai anafanya vizur tangu akiwa kischana.na msichokijua lulu hakuforce kuigiza alikuwa na kipaji tangu mdogo na kazi zake mkiziona ana experience kwa hii kazi .❤
@khadijatirionaire2510
@khadijatirionaire2510 Месяц назад
Nakupenda mdg wangu wa mwisho siku zote unajibugi poa mnooo...love u mpenzi
@user-oy9wr2zc6x
@user-oy9wr2zc6x Месяц назад
I love you Lulu huwa unajibu kwa vituo kwa kufikiria Sana, na kwa akili kubwa Sana big up kwako.
@alicenice1711
@alicenice1711 Месяц назад
Nampenda lulu jamani❤
@moketuponake5270
@moketuponake5270 Месяц назад
Mdogowangu nakupendaga tu majibu yako 🇿🇼🇿🇼👏👏
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Месяц назад
Katika wadada wanaokuja kujibu vizuri hadi ukalizika kwa swali lolote Bila kukwama kwamba Abbi chams na Elizabeth tuwapeni ya mawaridi yao
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Месяц назад
Ni kuridhika sio "kulizika". Chunga sana lugha yetu. Kama huwezi kuwa sahihi kaa kimya
@Shuu.A
@Shuu.A Месяц назад
Penye r wanaweka l na penye l wanaweka r😂😂😂​@@Brunn-mh2bq
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Месяц назад
​@@Shuu.Ana kwenye a wanaweka h na kwenye h wanawaka a
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Месяц назад
​@@Shuu.Amnahangaika kwani nyie huwa hamkosei mbwa nyie kazi kukosoa ongeeni nyie basi
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Месяц назад
​@@Shuu.A ongea wewe ambaye haujawahi kukosea cha msingi ujumbe ufike swala la matamshi kukosea ni kawaida, acheni usenge
@SmartOman-lp9uj
@SmartOman-lp9uj Месяц назад
Lulu unaweza mpaka unaweza tena mm nawapenda wote
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 Месяц назад
I love lulu sasa her comfidence na vile anachukulia vitu na vile hajali. She z my fav
@SharifaCheedy
@SharifaCheedy Месяц назад
Nimependa lulu jmn alivyo ongea ❤❤❤
@lolamhanuzi410
@lolamhanuzi410 Месяц назад
Lulu anamajibu mazuri..umekua mkubwa❤
@CeciliaNgombe-th8iu
@CeciliaNgombe-th8iu Месяц назад
Kwel amekua aisee amejibu vzr bila chuki
@JescaChusi
@JescaChusi Месяц назад
Binafs nakupenda lulu,unajiamin sana pambana❤
@AnnaYacobo
@AnnaYacobo Месяц назад
Nakupenda sstr lulu uko vzr mwenyezimungu akupe maisha marefu
@user-mj7rr6xh2t
@user-mj7rr6xh2t Месяц назад
Hapana tena anaweza
@saylahamir
@saylahamir Месяц назад
Lulu ata ungekua wakili ungekua mzuriii piaa any way ilove you❤❤
@upendokwaya8043
@upendokwaya8043 Месяц назад
Very strong point ili 'nifanikiwe ni lazima nikataliwe kwanzaa'
@fifo262
@fifo262 Месяц назад
Lulu unajua kuongea napenda mpaka ufasaha wa kiswahili chako Big up sis , mungu akubariki sana
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 Месяц назад
Unamajibu mazuri dadaangu lulu
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 Месяц назад
huna bayaaa mrs majizoo👏👏❤❤
@bahatirashid6687
@bahatirashid6687 Месяц назад
Katoto kazuri sana haka ❤❤❤❤
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 Месяц назад
😅😅wanakutana kwa baba yao au sio kwa Hamisa wakafanye nn waandishi wambeaaaaa😂😂😂😂😂
@josephlorri431
@josephlorri431 Месяц назад
Elizabeth mzuri tangu akiendesha vipindi vya watoto itv
@NusraLuhende
@NusraLuhende Месяц назад
😮jmn tuelewe hawa maria Wa mwanzo na maria Wa Sasa ni watu wawili tofauti jmn kiukwel mm nainjoy tuuu..na jua Kali
@nuruosward8161
@nuruosward8161 Месяц назад
Mambo ya Mars na marioo ramatata na paula na kajala tulio soma cuba tumemuelewa mm mars ata ungekuwa ww ww kuwezaaaaa subutuuuuu
@irenesimba5736
@irenesimba5736 Месяц назад
Ndio mana ukaolewa bonge la mwanamke mwenye akili nyingi. Majibu yako yanaonesha how matured you are.❤
@DevothaSalim
@DevothaSalim День назад
Nakupendaga Bure tu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Месяц назад
Lulu anajielewa sana' Mashaallah
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Месяц назад
Perfect Lulu❤
@user-yz9jy3ro4y
@user-yz9jy3ro4y День назад
Nakupenda wangu unajua kuongea
@DayanaSospeter-sy8wl
@DayanaSospeter-sy8wl Месяц назад
Lulu Nakupenda ❤❤❤
@jamilamadoda6681
@jamilamadoda6681 Месяц назад
Elizabeth kweli umeupgrade kimaisha mwili na akili unaongea point nzuri hongera na ubarikiwe sana
@OmarSamganga
@OmarSamganga Месяц назад
Nice mdada uko vzr kujibu Maswali💯
@ScolaMussa-il4fs
@ScolaMussa-il4fs Месяц назад
Nakupenda sana lulu
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Месяц назад
Watanzania tuna roho mbaya sana kadada kawatu kazuri ila mnamuandama bila sababu yoyote
@scolasticahpeterh8649
@scolasticahpeterh8649 Месяц назад
We wa tz hatuna roho mbaya kulinganisha na wanageria (fans
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 Месяц назад
Wale wanakutana kwa baba yaooooo bint special sana huyu😚😚
@shibalubela6500
@shibalubela6500 Месяц назад
Kichwa cha habari na kilichozungumziwa ni vitu 2 tofauti Waandishi wa habari mh!
@davinaheven4794
@davinaheven4794 Месяц назад
Pamoja na yote, I miss Kanumva alikuwa jabali lenu
@aminaismail9736
@aminaismail9736 Месяц назад
Huyu dadaa katuliaa saana anaongeaga point tu... Hana ujinga wa kujibu hovyo.. So wivu wao tu😏
@user-gd8cx2ig9p
@user-gd8cx2ig9p Месяц назад
😂😂😂😂, makutano ni kwa baba yao.
@RahelJoseph-fd8vd
@RahelJoseph-fd8vd Месяц назад
Wasikusumbue mdogo maana umetulia pia unajitambua sana mdogo kaza buti mama ufike mbali maneno ya walimwengu hayaishi mama nakupenda mdogo angu
@msindimalugendo8252
@msindimalugendo8252 Месяц назад
Hizi media jamani, kwani hamkoana kuwa walikuwa anataniana khaa umbea huu
@felicity3159
@felicity3159 6 дней назад
There goes gal pia Mimi sishindani I do me.well said Lulu
@user-zn5io1vk3x
@user-zn5io1vk3x Месяц назад
Yani mi nakupenda sana lulu Unajua kuongea..
@sakinasalman5014
@sakinasalman5014 Месяц назад
Safi sana Kwa majibu Yako lulu
@PyramidSupply-mx1oe
@PyramidSupply-mx1oe Месяц назад
Uyu dada mzur😊
@LEVINALYIMO
@LEVINALYIMO Месяц назад
Lulu anajielewa saaana,majibu mazur
@NuratySialy
@NuratySialy Месяц назад
Nakupenda sana unajiamini sana,mzuri,unajiheshim mungu akubariki sana❤
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 Месяц назад
Kwa kweli hajamfikia mim Mars hata robo
@saadiyesuleiman8232
@saadiyesuleiman8232 Месяц назад
Kabisaaa vitu viwili tofauti😢
@bella_cute14
@bella_cute14 Месяц назад
kweli kabisaaa
@LightyHamza-br8mm
@LightyHamza-br8mm Месяц назад
Hahahah
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Месяц назад
Tutamzoea tuu😊
@mariammohamed3358
@mariammohamed3358 Месяц назад
Kabisa jamani yaani amechangamka haswaaa
@ElizabethAbedinego
@ElizabethAbedinego Месяц назад
❤❤❤❤❤lizy anaekima sana
@DBrownstain
@DBrownstain Месяц назад
JUST WOW!
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g Месяц назад
Lulu unajua kujibu kwa viwango
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Месяц назад
Halafu lulu unajua tena unajua sana
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Huyu binti very nice
@ummyabubakary685
@ummyabubakary685 Месяц назад
Huyu dada,maria mpya anaweza halafu anaweza tena
@RehemaMwalimu-cr2pq
@RehemaMwalimu-cr2pq 15 дней назад
Lulu uko vzr bwana acheni majungu
@dianajanes7661
@dianajanes7661 Месяц назад
Jaman awez kwel nimuigizaj mzur ila sekta hyo hapana bado ajamfikia maria wa mwanzo
@MonicaSimon-cl9cw
@MonicaSimon-cl9cw Месяц назад
Kaigize wew nafas yake km hajaweza
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje Месяц назад
Tatzo umemzoea sana mimi Mars kweny ile character lakin hata huyu utamzoea yuko p0a
@Merry-ek5mj
@Merry-ek5mj Месяц назад
Pole sisi tushamzoe
@ollenshamba
@ollenshamba Месяц назад
Kweri yan duh
@troperjohn8894
@troperjohn8894 Месяц назад
Lulu Uko mdogo lakini unajibu vizuri
@sommohd7903
@sommohd7903 Месяц назад
Nazingatia mitindo w nywele 💪🏼
@shijacharles
@shijacharles 8 дней назад
Waambie 🎉
@Doris-td7pf
@Doris-td7pf Месяц назад
Huyu dogo Ana akili sanaaaa❤
@neemazacharia2670
@neemazacharia2670 Месяц назад
Mi niliipenda ile mliovyokuwa mnataniana na mme wako majizo adi raha
@sayunimrocky8445
@sayunimrocky8445 12 дней назад
Wale wanakutana kwa baba yao, akili kubwa, love u lulu
@RuqayyaBbyruu
@RuqayyaBbyruu 19 дней назад
I love you lulu❤❤❤
@user-td3ss6nk2d
@user-td3ss6nk2d Месяц назад
Ana 29 huyu??😂😂😂😂 sura haidanganyi..31 mama ..afu anajuaga kupanic.
@norahfred6450
@norahfred6450 Месяц назад
31 hana bana alikuwa mdogo kwangu kidogo mm now nina 32 labda hayo ma makeup yao yanawazeesha
@user-td3ss6nk2d
@user-td3ss6nk2d Месяц назад
@@norahfred6450 acha zako wewe alipunguza umri kutokana na kesi ya kanumba huyo kazaliwa 1993.....!!
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 Месяц назад
​@@user-td3ss6nk2dulikua labour akizaliwa
@user-vk2qz9zo5r
@user-vk2qz9zo5r Месяц назад
Lulu nakupenda sn unawza kuigiza mama kaza buti
@dianahelisha2785
@dianahelisha2785 Месяц назад
da lulu...❤❤❤
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Месяц назад
So you are saying Hamisa anafanya show. Wacha uhasidi k8la mtu afanye yake
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Месяц назад
❤❤❤
@AikahMasssawe
@AikahMasssawe 11 часов назад
That is truee
@BishiraMunga-ey6jx
@BishiraMunga-ey6jx Месяц назад
Kalulu ketu mwah
@mariamandambike5013
@mariamandambike5013 Месяц назад
❤❤❤❤
@millenerasto7595
@millenerasto7595 28 дней назад
Kweli unajua kujibu Lulu
@user-sc3wo3ol1k
@user-sc3wo3ol1k Месяц назад
Uko sahihi
@anithazakaria1303
@anithazakaria1303 5 дней назад
Mtoto kajaliwa jamaniiii
@jasminngoya110
@jasminngoya110 Месяц назад
@sayunimrocky8445
@sayunimrocky8445 12 дней назад
Mkuu wa wilaya ajaye
@norahfred6450
@norahfred6450 Месяц назад
Sema anaongeaga huku anapanic na hamez mate haloooo sijui akiwa anagombana inakuaje
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt Месяц назад
Am fine maria asimfikie ndo kashakuwa maria acha waongee piga kazi mdogoo wang
@mwanaidkhamis
@mwanaidkhamis Месяц назад
🤣🤣🤣🤣lulu
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 Месяц назад
Wamekuchukia kwa akili ya zamani
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Месяц назад
Alikua na rangi nzuri huyu saa ivi kujichubua kazeeka
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Acha hizo bana lulu kanenepa sana uzazi na ndoa vimemkubali sana
@aminamjili7303
@aminamjili7303 16 дней назад
Matuared enough majibu yote ni kimantic na sio ya kimuhemuko
@FurahaNgatena
@FurahaNgatena Месяц назад
Huyu dada Anajitambua
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Месяц назад
Lulu kama kapaka mawese vile
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@annamoshy9559
@annamoshy9559 Месяц назад
Jibu nzuri wanakutana kwa baba yao...akili iliyotulia
@DomitilaJeremiah
@DomitilaJeremiah Месяц назад
Anaakili na hekima ya majibu yake
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy Месяц назад
Lulu anazeeka Mashavu yanamshuks
@infiniteabundance2024
@infiniteabundance2024 Месяц назад
hongera wewe ambao hutozeeka kamwe.... shenzi kabisa
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Месяц назад
​@@infiniteabundance2024😂😂😂😂
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 Месяц назад
Hapatii, yule wa kwanza Mariam?
@MchagaUk
@MchagaUk Месяц назад
Lulu anaanza kuzeeka,jamani sipendi uzee si tubaki tu vijana
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Месяц назад
😂😂😂😂lzm mtoke njiani wadogo waingie😮
@svt3
@svt3 Месяц назад
Dawa ya kukwepa uzee ni kufa asie penda uzee ajinyonge tuu
@KhadijaKiwambu-qx8qh
@KhadijaKiwambu-qx8qh Месяц назад
Kama utaki uzee kufa mapema rakini Kama mungu amekupangia kuishi miaka mingi razima uzeeke
@MchagaUk
@MchagaUk Месяц назад
@@KhadijaKiwambu-qx8qh kufa mapema sitaki nitamuachia nani RU-vid channel yangu..ndio kwanza maisha yameanza
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 Месяц назад
Mume mjibu vzr mbwa huyu duu
@judyngowi391
@judyngowi391 Месяц назад
Yaani mtu akipata doa kidogo tu kazeeka, sasa mkiniona mimi ndio mtasema ajuza kikongwe kabisa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Месяц назад
😢😢😢pole sna dada jipende wewe kwanza kula ovacodo kwa wingi au jitengenezee juece changanya na karanga wacha kuficha pesa ili umumue kijoro tunza mwili mwisho wa cku ata ukivaa gunia unapendeza 😂😂😂😂 ona lulu mume kamchukua yeye hamisa kazi kuonjwa kama mboga
@judyngowi391
@judyngowi391 Месяц назад
@@azizayassin3623 inasaidia kumbe parachichi na karanfa eeh? Matango yamenisaidi sana na manjano, na karoti
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mie nataka kuolewa. Nikifikiria hivyo najikuta nazeeeka
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Месяц назад
​@@judyngowi391natumia manjano na carrots still nazeeeka kwa stress😂😂😂
@judyngowi391
@judyngowi391 Месяц назад
@@Annalisejg2ur stress peleka kwa Yesu ni kila kitu ndugu yangu
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Месяц назад
Kwa lamata hatujamkataa Ila hajui kuigiza kulee 😩😩yaan kama apa itabidi nikatafute movie za zamani za lulu nione kama Ndo ujinga anaoufanya jua Kali kama anaufanya na kule …she’s very smart am not trying to underestimate her lakin lulu umenifanya niache kuangalia jua Kali yaaan haivutii hata kidogo kujibu maswali kweli unabaluza lakin kuigiza jua Kali kwakweli ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na hata kama mnichambe anaigizaaa vibaya
@shamimageta6651
@shamimageta6651 Месяц назад
Mtumie sana kiswaili izo lugha zingine kipengele
@sophiaremmy6326
@sophiaremmy6326 Месяц назад
Ila waandishi mmekua wajinga sana nyie…
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Месяц назад
Aka kadada nikarembo ila ninavoona kakiwa kajakazito katakuwa na sura mbaya.urembo wa mwanamke ujulikana wakati anapo hamka,na akiwa mjamzito.
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Месяц назад
We muongooo weeee
@janeschurmanns6311
@janeschurmanns6311 Месяц назад
Si anawatoto wawili tafuta picha zake za ujauzito utamuona
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity Месяц назад
Kameshazeeka... Mashavu yanacheka tu😅😅😅
@mimihuyo8239
@mimihuyo8239 Месяц назад
​@@AngelmackieCharitykwani kuzeeka ni dhambi dear, lazima wengine wasogee ili wawape nafasi wengine wazaliweee sawaeeeee. Tena kuzeeka ni neema sio wote wanapata nafasi ya kuzeeka sawa mahi wangu.
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity Месяц назад
@@mimihuyo8239 🤣🤣🤣🤣🤣
@user-yv2ge3kc2m
@user-yv2ge3kc2m Месяц назад
Respect sana @elizabethmichael
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Месяц назад
Perfect Lulu❤
@magrethmakauki235
@magrethmakauki235 Месяц назад
Lulu unajitahid sanaaa
@jacklinejuma-bo7zj
@jacklinejuma-bo7zj Месяц назад
❤❤❤❤
Далее
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 47 тыс.
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 2,7 млн
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38