Тёмный

TAZAMA MPENZI WA AZIZ KI AFUNGUKA AZIZ KUMKATAA MTOTO WAKE WALIEZAA NAE/HAUJAENDA KUMSALIMIA, MOBETO 

Scope Media
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@Alfredvunja999
@Alfredvunja999 Месяц назад
Bro anaferi Sana daah
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 2 месяца назад
Jamani hayo si yenu mbona wakati mlipojuwa wote hamkutangaza, kwani makubaliano yenu yalikuwaje,mmalizane wenyewe
@ShalomtzTzshal
@ShalomtzTzshal 2 месяца назад
Achauongo wemwandishi mbona Azizi ki anaonekana hapo kamubeba mtoto wake acheni kumupakazia mabaya kijana wawatu
@MariaMchomvu-ko8qw
@MariaMchomvu-ko8qw 2 месяца назад
Hahaha kumbe waongo
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 2 месяца назад
Ni maua old video
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
Amemkataa wapi ila bongo ama wakipigiana cm warecord 😂😂😂tumuombee uzima mtoto na mama ake kama kweli ni wa ki atasaidiana na fei kupiga mashuti kwa timu yetu taifa ⭐
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 месяца назад
Hv azz hyu c a2mie akili achane na mapenz aforce na kilichomleta tz mana nachoona hapa atabebexhwa mizgo xana hapo bado mobeto!
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 месяца назад
😂😂😂
@kenMoktharIrakoze
@kenMoktharIrakoze 2 месяца назад
Mnakosea sana kwenye caption mnazoandika sio fresh
@DottoWache
@DottoWache 2 месяца назад
Wamefanana na Aziz ki mtoto wake big up😂😂
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 14 дней назад
Atapewa limbwata na mrangi mpaka asahau kwao
@AidanNsasu
@AidanNsasu 29 дней назад
Msimpakazie hayoyotejamani aukwakua anapesaa ndomnamangushia hilobomu muachehizo edt zenujamani aumnampigiadebe hiyo? Dada mwenyemtoto ukweli ubayaubwela😂😂
@KateJones-u7q
@KateJones-u7q 2 месяца назад
Hamisa just Beautiful but Unlucky ...
@FunnyBirdwingButterfly-rp5rb
@FunnyBirdwingButterfly-rp5rb 2 месяца назад
we ndo kima kabisa, 😢
@ShaltyOs
@ShaltyOs 2 месяца назад
Wangap walizalishwa na wakaachwa 😂😂😂 akuje kwenye grp ya single mum tuko hku😅😅😅wachashobo wew mtoi cheupe baba oili chafu😂😂😂
@MichaelMalilo
@MichaelMalilo 2 месяца назад
Mbona shemeji zake walikuwepo kama pacome na yao wandishi acheni Kuma nyiwasenge Nini
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 месяца назад
Azizi Ki atazaaje mtoto mweupe hivyo kama sio kubebeshana mizigo? 😂😂😂
@elyasthabit7614
@elyasthabit7614 2 месяца назад
Mtu mwenyewe anajipe ndekeza Kwa ki azizi 😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@Munyama675
@Munyama675 2 месяца назад
Huyo mtoto sio mweupe
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 месяца назад
😂😂😂kumbe ujui atamtoto
@beatricechiwa2496
@beatricechiwa2496 2 месяца назад
Mjinga kweli😂😂😂
@dennisfrancis8010
@dennisfrancis8010 2 месяца назад
Kwani akutumia condom na yy😅😅
@Dinobsm
@Dinobsm 2 месяца назад
Mtoto mweupee atakua wapakome huyo mbwa nyie acheni kuchafua watu hizo ni personal
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 2 месяца назад
Kwani munasema hawezi kuza zeruzilo aziziki yeye siyo zeruziro japo anacheza mupila anapata vichenji ila huyo mwamba nae hajitabui huyo ariye nae atamuacha hazarani nakukubuka huko aripo acha
@DiaMichael-l2m
@DiaMichael-l2m 2 месяца назад
Wewe nae ujui kuandika rudi shule
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 2 месяца назад
@@DiaMichael-l2m kuma lamama lako
@TomaTee-hu7do
@TomaTee-hu7do 2 месяца назад
kazi kutegesheaana Watoto mtuwenyewee kazi ngumu anayoifanya akeshaaa sio kazi ya pamenti
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 месяца назад
Huyo wa kusingiziwa aziz hawezi zaa zeruzeru 😂😂😂😂
@JamesSichimata-w1u
@JamesSichimata-w1u 2 месяца назад
Huyo mtoto hata mimi naweza kumkataa amekua mweupe mno
@dismanManota
@dismanManota 2 месяца назад
Kuna watu wengine wanaboa sana angalia hawa watu kweli wako sawa
@IrakozeAssia
@IrakozeAssia 2 месяца назад
Ila nyie mbon mtot mweupe kam mzungu nimelia😢😢ila baba mweus mama mweusi😢😢😢 siku za raha hatuwaon ila siku z matatiz wanajitokez😢😢😢😂😂😂
@DorisShuma
@DorisShuma 2 месяца назад
Mbona mtoto mweupe jaman
@Dinobsm
@Dinobsm 2 месяца назад
Acheni unafiki wabongo mbona waandishi wa mataifa mengine sio waongo na wambea
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 2 месяца назад
Huyo jamaa atajikuta ameenda bucha usiku anakutana na mgogo mwenye bucha anatoka, mwisho wake, atajikuta anapewa ngwala za ng'ombe na makohozi kohozi ya kwenye shingo ya ng'ombe. Shauri yake.
@LeonidaGasper-t6w
@LeonidaGasper-t6w 2 месяца назад
Mumezid umbea sana yanaeahusu nin sasa walivokuwa wanamtafuta huyo mtt mliwashikia miguu au
@AdelaSamson-ug4vh
@AdelaSamson-ug4vh 2 месяца назад
Aache ujinga damu yake ndo kila amulize amisa kama watoto wamewahi kulala njaaa
@JoyceHillary-lv8kp
@JoyceHillary-lv8kp 2 месяца назад
Azizik Hana akili mbeto nisawa namamake atapigwatukio atajuta mara saba
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 месяца назад
ACHENI UONGO WENU AZIZI KI USMKATAE MTOTO HUWEZI JUA ATAKUWA NANI?MPIRA UNA MWISHO. WEWE DADA LEA HUYO MTOTO MUNGU AMEMWEKEA KIPAJI CHAKE
@ReginaUshaky
@ReginaUshaky 2 месяца назад
Hapa bongo wakiona mtu maarufu ni kujisogeza mpaka mtoto mkiachwa mnalia
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Hajaenda kumuona wapi? Mbona Aziz Ki anaonekana hapo na kambeba mtoto au mlitaka aingie kwenye tundu alilotokea mtoto wapuuzi nyie
@MuhsinJuma-wo2bg
@MuhsinJuma-wo2bg 2 месяца назад
Nyinyi watanzania mko na shobo sana nawaangalia tuu mm nimekaa paleeee
@johnkashanga2359
@johnkashanga2359 2 месяца назад
Wabongo bhana asa mapenzi ya watu yanawahusu nini hamjui walianza kutana wap na kipi kiliwafanya wakutane chaajabu wahusika wenyewe wamenyamaza wapambe ndo wanaongea kama walikutwa vile yan.
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 2 месяца назад
Mtto mweupe nywere za kiarabu azizi mweusi hachen kubebesha watu mizigo wapme dien,,hachen makasiriko mnamchukia misa mbwa nyie
@rehemambelwa634
@rehemambelwa634 2 месяца назад
Ila waandishi wengine niwaongo wangefungiwa tu wanapotosha
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 2 месяца назад
Nanyie mjiulize kila mwanaume lazima uzae nae wengine mue mnapita2
@DulaJavala
@DulaJavala 2 месяца назад
Jibunikwamba kama nikweli azizi sense lakinikama aspoenda makubwa yatamkuta
@SaudaNodrini
@SaudaNodrini 2 месяца назад
Huyo mtot kachukuwa rangi ya mama yake tu ila wa azz
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 2 месяца назад
Azizi atafeli kwenye soko, hizi akendo zakijinga sannah ameziingia
@yanganasimbasasaivprince2183
@yanganasimbasasaivprince2183 2 месяца назад
Nyie waandish wachara kam hamuez kazi kalimen hko
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 2 месяца назад
Na Huyu Hamisa ni kama ile part ambayo Anna wa Jua Kali anaicheza, huyu si alichumbiwa na mtu wa nje ya Tz na wakaenda Muhimbili kutoa msaada sasa inakuaje? Hamisa kimaumbile ni mzuri kwanini hatulii akaolewa? Story ya maisha yake kama ni kweli basi ABADILIKE.
@karebopatrick9758
@karebopatrick9758 2 месяца назад
Nyoooo!
@HaniferMwiru-wn9wq
@HaniferMwiru-wn9wq 2 месяца назад
Huyu dada c wa kwenye tamthilia ya jiya au
@MarthaGabriel-s6b
@MarthaGabriel-s6b 2 месяца назад
Ndiyooo
@ElizabethJoel-p7s
@ElizabethJoel-p7s 2 месяца назад
Me nasoma comment
@RamsoPedro
@RamsoPedro 2 месяца назад
Sasa ayo mnausika nini 😅😅😅😅
@HajrahRamadhani-q1w
@HajrahRamadhani-q1w 2 месяца назад
Bongo ni nyoko ,kufutilia mambo ya watu ,
@BensonMpomo
@BensonMpomo 2 месяца назад
kwani azizi k ndo wakwanza kumkataa mtoto
@JoviceEustad-vv1hl
@JoviceEustad-vv1hl 2 месяца назад
Mbona Aziz yupo pale na kambeba we mwandish acha zako wewe
@edinaernest
@edinaernest 2 месяца назад
Aneyejua baba wa mtoto siku zote ni mama,,,, na mtoto kuwa mweupe na baba kuwa mweusi si sababu tosha ya kuwa si mtoto wa aziz ki bali aangalie generation yake yawezekana kuna ndg zake ni weupe
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 2 месяца назад
Kuna kisa cha kweli kilitokea Uingereza, miaka ya 1970 Mjamaica Mweusi na Msenegali mweusi walizaa pacha ambae mmoja katika pacha hao alitoka mzungu na mmoja mweusi ikatrend sana sana na madaktari wakapasuka vichwa ikafanywa DNA watoto wote wakawa 99.99% wa yule baba wa Ki-Jamaica wazungu wakaendelea kufanya utafiti ikaonekana yule M-Jamaica bibi wa baba yake alikuwa Mzungu, huu ni ufalme wa Mungu asili imejuridia pahali palipotia shaka. TUTAFAKARI KWANZA.
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
Kama vile nimemuona paccome na Yao 😂
@halimasawa611
@halimasawa611 2 месяца назад
Tena wanafurha sana❤
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
​@@halimasawa611tungoje yajayo yanafurahisha 😂ajuaye baba mtoto ni mama Yani asa awa mastaa wabongo🙌
@godwinkubimba6575
@godwinkubimba6575 2 месяца назад
We mwandishi msenge tu
@TinnaTinna-b5y
@TinnaTinna-b5y 2 месяца назад
Umbea2 kuoga ahaaa
@ZabibuMwenda
@ZabibuMwenda 2 месяца назад
hahahaha kichwa kitenesi tena
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 2 месяца назад
juma kwa umbea
@JoyceKikome
@JoyceKikome 2 месяца назад
MTOTO NI WA PACOME
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 месяца назад
Aziz na huyo dogo hawaendani kabisa
@dismanManota
@dismanManota 2 месяца назад
Fanyakazi wewe bado kijana achana na kuchafua watu wazima
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 месяца назад
Heee kafanana na Mdomo pia kweli?
@rehemaomary6631
@rehemaomary6631 2 месяца назад
Waongo wako kambin wachezaji wote
@OmanOman-vf3li
@OmanOman-vf3li 2 месяца назад
Weip Kachikiwa Kwa Mama Ake Jamani
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 2 месяца назад
Halituhusu
@MashakaSaid-t3f
@MashakaSaid-t3f 2 месяца назад
uyo azizi kiiiii amefanya makosa makubwa sana kumkataaa mwanae, isitoshe ataenda kumjibu Nini mungu isitoshe anatakiwa afaham kama dam ni nzinto kuriko maji ndio maana nime sema hivyo kwa sababu amefanya mambo ya ovy
@kolosii4351
@kolosii4351 2 месяца назад
He, watanzania mmetisha kwa uwongo na uzushi. Au mtoto wa Yao??😂😂😂😂
@TatuhuseinRuheta-rv4ug
@TatuhuseinRuheta-rv4ug 2 месяца назад
😢g.
@ZahariaKassimu
@ZahariaKassimu 2 месяца назад
Wambea nyie
@OmanOman-vf3li
@OmanOman-vf3li 2 месяца назад
Wapa Pakome Yaoo Koasi Wap Kweli
@chikualiy8705
@chikualiy8705 2 месяца назад
Azizi ki sasahv amepewa kibali nahaji manara cha kutangaza zinaa
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 месяца назад
😂😂😂😂
@georgealphonce100
@georgealphonce100 2 месяца назад
Mapenzi na mpira ni mbingu na ardhi,kama ni kweli haya yanayosemwa kuhusu Azizi Ki ndo mwisho wa ufalme wake kwenye soka. Viongozi wa Yanga kwa nini mmeruhusu mchezaji kuwa huru kiasi hicho ?
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 480 тыс.
UFC 308: Пресс-конференция
35:18
Просмотров 557 тыс.
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 480 тыс.