Тёмный

BINTI AJIFUNGUA MAPACHA WANNE "TUMBO LINAVIMBA MPAKA NASHIKA UKUTA" AELEZA MUME ALIVYOPOTEA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Anaitwa Shadia Mrisho Juma mama Jasiri amejifungua Watoto wanne kwa mpigo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na ametusimulia mapito yake kabla ya kujifungua ambapo sehemu ya simulizi yake ni kuwa baba wa Watoto ametoweka na hatikani na simu zake hazipatikani.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 9 месяцев назад
Nimemfrahia huyu mama wanne jamani, hongera yake sana pamoja na madaktari kwa kazi waliyoifanya❤❤
@edsoniminani
@edsoniminani 9 месяцев назад
Eeee Mwenyezi Mungu Msadie mke wangu naye apate mtoto anatamani saana Najua tu ipo siku naye Atapata maana wewe ni Mungu wa watu wote Amen😢😢😢
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 9 месяцев назад
Amiin insha Allah
@مريمكينيا-ش8ح
@مريمكينيا-ش8ح 9 месяцев назад
Allahuma amiin
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 9 месяцев назад
Ameen, Mungu ni mwaminifu mnooo atampa watoto mpk ashangae, mimi nalitamani sana pia,lkn baada ya miaka 10,Mungu akanipa dabo kijana na binti 🙏
@rosemarymathias4938
@rosemarymathias4938 9 месяцев назад
Mungu ni mwaminifu siku zote atapata watoto 🙏
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 9 месяцев назад
AMEEN
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 9 месяцев назад
Dada wawatu anatabasamu vzr kafrahia wanae🥰🥰 Ee Mungu naomba unijalie nam nipate mapacha🤲🤲
@skjjsj1889
@skjjsj1889 9 месяцев назад
13
@annahulilo6719
@annahulilo6719 9 месяцев назад
Oooh... Mungu utukuzwe kwa matendo haya makuu!!!🙏🙏🙏🙌 Hongera sana Dada mrembo, mwenye furaha na tabasamu zuri la matumaini... Hongera kwa kuwa Mama jasiri!!! Mungu awalinde wanao wenye changamoto ya afya wapone haraka, aendelee kukutunza, akupe maisha marefu uwalee wanao... Amfanyie njia mume wako arudi nyumbani salama, naamini huko aliko anawafkiria na kuwaombea nyie tu! MUNGU AKUPE NJIA KWA KILA CHANGAMOTO, MAMBO YAWE BIEN.....!!! Big congrats Super Woman👏👏👏👏👏👏👏🥰♥️
@MonicaEustas
@MonicaEustas 8 месяцев назад
Barikiwa sana kwamaombi yako mazuri kwake
@GiftAbduly
@GiftAbduly 9 месяцев назад
Mashallah hongera sna ila ww dada n mcheshi unaonekana Allah akulindie watoto wako ❤ Allah anaweza watoto wa 4 sio mchezo
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 месяцев назад
Hongera saana SHADYA, KWA HAKIKA UBARIKIWE. UNAONGEA VIZURI NA SMILE NI NZURI MNOO. WATOTO NI HAZINA YA BAADAYE.
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 9 месяцев назад
TABASAMU LAKE NI MTAJI TOSHA😊😊🎉❤❤
@Alan-g2t
@Alan-g2t 9 месяцев назад
Mungu akujalie Afya njema, na akupe wepesi katika kuwalea.
@agnessjohn960
@agnessjohn960 9 месяцев назад
Anatabasamu zuri sana, anawafurahia watoto wake hadi raha💕❤️… Mungu amkuzie watoto wake
@JaneMaiga
@JaneMaiga 9 месяцев назад
Dada hongela Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
@ukiasili352
@ukiasili352 9 месяцев назад
Mbarikiwe sana madaktari na manurse wa hospital hiyo kwa upendo...Mungu awamiminie baraka
@sadaalsheibani7106
@sadaalsheibani7106 9 месяцев назад
Hongera shadya nimependa tabasamu lako na kuna magumu unapitia usijali mungu akufanyia wepesi uzidi kutabasamu ❤
@FransiscaAlex
@FransiscaAlex 8 месяцев назад
Hongera dada Mungu akulinde pamoja na watoto wako nimefurah sana kwa sababu mim pia ni pacja 🙏🙏
@bunurijackson111
@bunurijackson111 9 месяцев назад
Wow! Hongera sana dada Mungu akusaidie wakue salama. Hakika na me ni dhamu yangu kupata mapacha
@leahmollel6589
@leahmollel6589 9 месяцев назад
Mungu njia zake hazichunguziki🙏🙏🙏
@gracapk10
@gracapk10 9 месяцев назад
Nimewapenda hao madaktari na manes, MUNGU AWABARIKI SANA. WAMEITENDEA HAKI FANI YAO.
@dn.n4983
@dn.n4983 9 месяцев назад
Wabarikiwe madoctor manesi wote
@asyakhatib7942
@asyakhatib7942 9 месяцев назад
Hongera mungu akuwekee wanao🎉🎉 jamani kutoa ni moyo ❤
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 9 месяцев назад
Alhamdulillah tunashukuru Mungu mkubwa akupe afya na watoto majina yao mazuri mashaa Allah tuko nawe kwa msaada wowote
@vero57
@vero57 9 месяцев назад
HONGERA SANA DR NA NURSE NA WAFANYAKAZI WOTE WALIO MSAIDIA HUYO DADA KAZI NZURI SANA 👌👏👏🙏🏾🙏🏾
@habibabarker1644
@habibabarker1644 9 месяцев назад
Kila alieomba pacha Mungu ampe ampe mimi nimepata mapacha ni uzazi wa furaha saana
@janifajani8875
@janifajani8875 9 месяцев назад
Amen yarb naikaww kweli
@alhamod5597
@alhamod5597 9 месяцев назад
Amiin
@joyce55727
@joyce55727 9 месяцев назад
Amen
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 9 месяцев назад
Asante kwa maombi yako
@SurprisedBanjo-oq5qx
@SurprisedBanjo-oq5qx 9 месяцев назад
Amen
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 9 месяцев назад
Alhamdulillah mashallah 🥰🥰 nami nakuomba mwenyezi mungu unipatie japo mapacha wawili aisee ntakushuruje ya Allah 🤲🤲🤲
@ZulfaMohamed-sx1it
@ZulfaMohamed-sx1it 9 месяцев назад
Hongera sana dada mwenyezi mungu akuzie watoto wako
@farajiajali3030
@farajiajali3030 9 месяцев назад
I love her smile
@hussainmasoudsubhannallah3786
@hussainmasoudsubhannallah3786 9 месяцев назад
Mashaallah Allah atufanyie wepesi na atukuzie wanetu
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 9 месяцев назад
Mungu mkubwa nami namuomba anijalie mapacha nijifungue mara moja❤
@SantaJumaa
@SantaJumaa 9 месяцев назад
Allahumma amiiiyn
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 9 месяцев назад
Utapata
@gracegeorge4848
@gracegeorge4848 8 месяцев назад
Amen me to..3 twins
@aminamahamudumtumba5897
@aminamahamudumtumba5897 9 месяцев назад
Alhamdulilah ❤❤ Hadi raha jaman du mm nataman kupata
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 9 месяцев назад
Hongera mwaya MUNGU Akukuzie watoto wako
@josephlorri431
@josephlorri431 9 месяцев назад
Hongera mama wanne.. waandishi msome na uandishi_tabibu au uandishi - sayansi ya binadamu..
@sabrinaibrahim1127
@sabrinaibrahim1127 9 месяцев назад
Mashallah hongera Sana❤ Inshallah nasi wenye kuhiyaji watoto mungu atukumbuke🙏🙏🙏
@jemamdendemi9636
@jemamdendemi9636 9 месяцев назад
Hongera dada Mungu awatunze
@zahramohammed2337
@zahramohammed2337 9 месяцев назад
Yarabiiii nijalie na mimi nipate zaidi ya hayo🤲
@aviwaomar439
@aviwaomar439 8 месяцев назад
🥰🥰
@halimahalima1488
@halimahalima1488 9 месяцев назад
MashaaAllah Allah awakudhe Kwa rehema zake Allahumma ami👏💕
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 8 месяцев назад
Asante Shadia, jembe tuzalie tena,5,hio 4 haitoshi, Mashaaalah,jembe,Hilo,
@nannakhamis5350
@nannakhamis5350 9 месяцев назад
Pamoja na maisha magumu lakn anafurahaa
@RoseMargareth-n1m
@RoseMargareth-n1m 9 месяцев назад
Watanzania always tunapenda watoto... Tuendelee na utamaduni huyo. Mungu ampe subira. Watakuwa baraka kubwa kwake huko mbele. Si yeye tu, na taifa letu lote.
@nannakhamis5350
@nannakhamis5350 9 месяцев назад
@@RoseMargareth-n1m AMEEN 🙏😍😍
@aviwaomar439
@aviwaomar439 8 месяцев назад
Umeona eeeh
@MarthaLujuo-s9r
@MarthaLujuo-s9r 9 месяцев назад
Jamanii pole sana mpenzi na honger
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 9 месяцев назад
Mama Samia mtazame huyu mama msaidie angalau kumjengea kibanda hata cha room 2 tu mama mwenzetu msaidie mama yetu kipenzi tunakutegmea wewe zaidi.
@RehemaJuma-rl5ry
@RehemaJuma-rl5ry 9 месяцев назад
Hongera kipenz
@jackiemussa897
@jackiemussa897 9 месяцев назад
Pamoja na hali hiyo bado ana tabasamu ashukuriwe Mungu wa mbinguni
@salamakiwinga6310
@salamakiwinga6310 9 месяцев назад
Mimi wawili tu nilikuwa nalia nikipata changamoto vip wanne unawabembeleza vip allah akukuzie baraka zako inshallah
@aziadaommary
@aziadaommary 9 месяцев назад
Hongera sanaa mama wanne mwenyez mungu akujaalie uwe Salama na watoto na uniombee na Mimi nipate pachs
@rebeccahadji5816
@rebeccahadji5816 9 месяцев назад
Wow Mungu awabariki wakue salama
@PriscaPaulo-y2t
@PriscaPaulo-y2t 6 месяцев назад
Hongera kipenzi MUNGU akupe afya njema na wanao❤
@sabrahally3797
@sabrahally3797 8 месяцев назад
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Mwenyezi MUNGU mkubwa jmn❤🎉
@AgnessMarcel-s2t
@AgnessMarcel-s2t 9 месяцев назад
shogaang miaka mingi sn tumepotezanaa😢 honger sn
@ElizabethCry-w3p
@ElizabethCry-w3p 21 день назад
Mungu ni mwema kabisa neema ya mungu iwe juu yetu wanangu🙏🙏🙏
@elizabethysamweli2187
@elizabethysamweli2187 9 месяцев назад
Mama samia mwangalie huyo dada mama.
@EuniceMwanri-jw9py
@EuniceMwanri-jw9py 9 месяцев назад
Hongera sana dada Mwenyezi Mungu awatunze ww pamoja na watoto
@sumayyahally3199
@sumayyahally3199 8 месяцев назад
Mashaallah alhamdulinllah mungu yumwema kwa Kira jambo yarabi tusaidie Kira mwanamke mjamzito maana sio kazi rahis hi hospital nimeipenda Sana ipo mkoa gani
@fallymetoo191
@fallymetoo191 9 месяцев назад
Mashallah! Allahumma bareek inshaallah 🤲
@SalamaDeborah
@SalamaDeborah 9 месяцев назад
Congratulations 🎉🎉🎉👏👏 my Mungu ni bariki Na mimi siku nikija olewa nimpe Mme Wang zawadi ya mapaja ❤❤❤❤🎉
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 9 месяцев назад
Inshaa Allah asiwe mkorofi wote wawe wapole na waweze kua na imani na wazazi wao
@Beatrice55-h4l
@Beatrice55-h4l 9 месяцев назад
Mungu akufanyie wepesi na kukuinulia watu sahihi wa kukusaidia..... hongera ❤❤
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 9 месяцев назад
🥰Mashaallah 😋🥰*🤲Ya Allah Wajaalie Mabint Hawa wakue vema Inshallah 🤲'''Hongera sana bi Shadya😋
@BensonfrankHerman
@BensonfrankHerman 8 месяцев назад
Hongera san dad mungu nimwema aliyekupa atakutunzia pia damu ya yesu ikufunike
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 9 месяцев назад
She is so lovely ❤ I just love her.
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi 8 месяцев назад
Allha Allha wewe ni mjuzi wa yalio wazi na yalio jificha namba utujalie na ss tupate mapacha zaidi ya wanne🥰
@MudyEdy
@MudyEdy 8 месяцев назад
Sikushauri vibaya ila jina la yusra so zur kwa mtoto maanaake kushoto ❤
@bebebebe5677
@bebebebe5677 9 месяцев назад
Hongera San shadia lkn pia Naomba serikali mumsaidie huyu dada nimefrah San unafrah had rah❤❤❤
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 9 месяцев назад
Mshllh wote na nes ni mzuri Anaonekana anaipenda kaz yke yupo vizur
@elizabethebambo6286
@elizabethebambo6286 9 месяцев назад
Dah nimetamani kuwa mie hadi Raha Mungu awakuze awasimamie na kuwalinda katika maisha Yao awafanye wawe na akili wakue salama na baadae wamsaidie Mama yao❤❤ hongera
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 8 месяцев назад
Mwenyezi Mungu akukuzie jaman❤❤
@FatmaHamisi-b6d
@FatmaHamisi-b6d 9 месяцев назад
Allah anijaliie na mm wanne inshallah
@RoanCorporation
@RoanCorporation 9 месяцев назад
TUMSAIDIE , AMEJIFUNGUA MTOTO 4 NA MUME AMEKIMBIA , SISSI KAMA BINADAMU TUMSAIDIE , WEKA NAMBA YA VODACOM
@RoseMargareth-n1m
@RoseMargareth-n1m 9 месяцев назад
Give the man some time... I guess he had a moment of weakness. It's a nightmare. I hope he gets back to some level of sanity. Girls are a dad's best friend. If he doesn't get back he'll miss out on the love and care.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 9 месяцев назад
Utaanza lini kumpa?
@AishaNayimana-pp2pu
@AishaNayimana-pp2pu 8 месяцев назад
Voda tunaomba
@stevenhassan269
@stevenhassan269 9 месяцев назад
Serikali imsaidie jamani
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 9 месяцев назад
Hongera sn shadia mwenyezi mungu akufanyie wepesi wamaisha naakufungulie ridhiki ya halali
@YustaAlinani-uu6rf
@YustaAlinani-uu6rf 8 месяцев назад
Hongera sana mdada mungu akutunze
@dn.n4983
@dn.n4983 9 месяцев назад
Pole na hongera
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 9 месяцев назад
Mashaallah hongera kipenz mungu akukuzie watt wako❤❤
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 9 месяцев назад
Nimempenda yani yupo happy muda wote hajali lolote anaamini mkono wa mungu 😂😂
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 9 месяцев назад
Hongera Sana Sana Mungu akukuzie❤❤❤❤
@FekiHappy
@FekiHappy 9 месяцев назад
Mmmh hospital nzuri na wahudumu mungu awajalie
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 месяцев назад
Hongera.Asaidiwe na serikali zetu
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 5 месяцев назад
Na mm Mungu anikumbuke nawataka Sana Sana Sana hao mapacha wanne❤
@LenaMgandaz
@LenaMgandaz 9 месяцев назад
Hongera binti Mungu akutunze na wanao Serikali ikusaidie na wapendwa wenye kuguswa toa namba za sm
@FaisalToto
@FaisalToto 9 месяцев назад
Maaashaallah mungu awakuze watoto wazuri
@ayshaahnad4472
@ayshaahnad4472 9 месяцев назад
Hongera sana kwake 🎉Mungu nibariki na mimi mapacha
@GiftMadaraka
@GiftMadaraka 8 месяцев назад
Hongera kubwa cnaaaa mungu akukuzie dear
@Edouardozebr
@Edouardozebr 9 месяцев назад
Mungu amukumbuke na DA WEMA SEPETO 👏
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 9 месяцев назад
Co sepeto ni sepetu
@rahma6189
@rahma6189 9 месяцев назад
Hongera na pole
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 9 месяцев назад
Amen amen MUNGU yu mwema sana hadi raha wenye kipato tumsaidie jamani, sijui lini nami ntazaa kabisa!!!
@mariamariavicety4006
@mariamariavicety4006 8 месяцев назад
Hongera sana dad mungu akupe nguvu hakika sio rahisi
@SalomeMwadongo
@SalomeMwadongo 8 месяцев назад
🎉🎉🎉❤❤❤❤ waaaaaaaaoooooo vizuri sana Mama
@MonaAlmona-c1n
@MonaAlmona-c1n 9 месяцев назад
Angejengewa na akapata mtaji1
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 9 месяцев назад
Maashaalah Maashaalah Maashaalah mungu akupe maisha marefu inshaalah akulinde na kila baya na watoto wako azidi kua na afya njema amin
@GatekaFatma
@GatekaFatma 9 месяцев назад
Jamani nimempenda tabasam lake Allah awalipe manesi hao kwakumjiali mama wa4❤
@janifajani8875
@janifajani8875 9 месяцев назад
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤jamaniii ana tabasamu adi rahaaaaaa Mwenyenzi mungu akukuziee my love
@Jackngote
@Jackngote 8 месяцев назад
Hongera dada
@MerryCelvin
@MerryCelvin 8 месяцев назад
Ooooh jmn hongera Sana mwaya mungu akutangulie Sana na awalinde watoto wako ❤ nami nataman Sana nipite mapacha.jmn
@AishaSaid-yx3jl
@AishaSaid-yx3jl 8 месяцев назад
Mashaallah Allah akulindie wanao❤
@fatmaally7252
@fatmaally7252 9 месяцев назад
Mashaallah Mashaallah adi raha na mungu atakusimamia itakuwa na utaweza inshallah
@SalomeMwadongo
@SalomeMwadongo 8 месяцев назад
Mshukuru mungu dada
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 9 месяцев назад
Mashallah na pole kwachangamoto
@AchouNdao-uf1ud
@AchouNdao-uf1ud 9 месяцев назад
Mashaaallah ongera
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 9 месяцев назад
Mashaallah😊 Allah awakuze vyema
@angebizokunda3447
@angebizokunda3447 8 месяцев назад
Amina Ya Rabih
@AikaTairo
@AikaTairo 9 месяцев назад
Hongera sana dada.mungu naomba unijarie na mimi nipate mapacha
@navyoagrey7523
@navyoagrey7523 9 месяцев назад
Mungu akukuzie aisee wasikumbumbue kamwe kipenzi ❤❤❤
@AbduSomo-b1n
@AbduSomo-b1n 9 месяцев назад
Naomba kujuwa namna ya kumtumia kitu kidogo huyu Mama 🙏🏼
@hanifamziray277
@hanifamziray277 9 месяцев назад
Hongera sn mungu yupo ila sk hizi kuna misaada sn
@FiollaIsaya
@FiollaIsaya 3 месяца назад
Ee Mungu nipe na mimi 🙏🙏
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 488 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 488 тыс.