Peter umeongea point na Kwa busara. Ni miongoni mwa vijana wachache ambao ni mfano wa kuigwa! Inaonesha kuwa una nidhamu na umelelewa vizuri! Hongera Kwa kumjali mkeo na kuthamini mchango wake ktk mafanikio yenu!
Sikieni. Mwijaku nyumba siyo yake. Mnapoteza mda kuzungumzia. Ya nini kulinganisha nyumba ya owner na mwingine mpangaji tu. 😂😂😂😂.. Mwijaku ni mpangaji tu. Sifieni ya Peter ambaye ni nguvu zake mwenyewe. Hongera brother Peter na mkeo.👏👏👏👏👏👏😇
Huyu mwijaku nilimbukeni kubali nyumba ya Msechu ina mvuto Hilo ghorofa lake sio standard . Hiyo bathroom tiles za mchina alafu the bathroom is big for nothing kaweka SINK jeusi choo cheupe daah. Peter Msechu is also interior designer tena international designer hiyo ni talent yake. Big up Msechu that is a good house and classic.
Wanahamasishana, Kwa hili litawakumbusha vijana kushindana ki maendeleo na sio kujirusha wapi na nani, mrembo yupi au kapangisha nyumba ya gharama Gani na maeneo Gani! Vijana shindaneni kumiliki vitu kama hivi.. Hongera sana Msechu, Hilo umeitoa hapo ni darasa kubwa.
Msechuu nmekuelewa sana tena mno,maneno Unayosema yamenif undisha sana,mimi mwenyewe kibanda changu nmeanza kujenga 2019 mpka leo sijamaliza na sio nyumba ni kibanda cha kuepuka kugombana na wenye nyumba mjini hpo,tuache sifa mnatakiwa mseme Ukweli ili sisi tujifunze kutoka kwenu,
Sijawahi kumusikiliza uyu jama peter .ina ni mtu anaakilizake timamu .anaogeha jambo lamahana sana ku usumaisha .kwanza nyumba yake kalisana tena sana Mimi naishi cape town .kuishi kwenye nyumba ya chini dio utajiri gorofa ni style zakimaskini sikuizi matajiri wote wanaishi kwenye nyumba as chini kama nyumba ya peter msechu ...kaka peter usiwe najibu kama ule mwijaku chizi ule .sio muzima ..
ata mimi mtani kwangu watu wamejenga magolafa ila me yachini na boma tu ahabali wanayo ✌️💯💯 ipo ivo mwijaku kaongea uwongo me boma mbaka nimekamilika na ni bola la viumba vi 4 ila nimetumia milioni 6 mbaka leo mwijaku muongo
Ooooh kumbe maneno alianza mwijaku 😂😂😂😂😂peter msechu achana na mambo ya mabishano,sio style yako. bora mtu una nyumba jamani ...kwani ni mashindano😮😢🙄🙄🙄
Hapa ndo utajua kuwa #mwijaku sio mpenda naendeleo kwa wenzake…na elimu yake haijamsaidia chochote. Uwezi kaa mbele ya chombo cha habari ukazungumza shiti… 1.3 billion. “Unaijua ??????” Peter msechu anaongea ukweli..na utainspire vizazi na vizazi. #mwijaku ropo ropo tu…
Nyumba ya Msechu ni nzuri na thamani.na very stand very organized tiles zake ni za Spain sio mchina garden nzuri .ghorofa ya mwijaku ni wingi wa matofali sir nzuri
Sema na ww Peter Msechu muongo iyo nyumba yako aifiki M 800 muongo ww sote tumejenga iyo nyumba yako inaweza kufika m200mpaka m180 au 150 umo msitake kudanganya watu,tena inategemea finishing ulio ifanya ndani ,ilo boma toka chini mpaka kuezeka maximum M 40 finishing ndo uwa inakula ela labda finishing umefanya M 80 let say,wasanii mmeanza kujenga juzi tu uongo mwingi,