Тёмный

Bishop Stephen na Ramadhan Kuria katika kukuru kakara sehemu ya pili 

Straight Path Dawah
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 67 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 195   
@baakathirmahmoud5617
@baakathirmahmoud5617 Год назад
Allah akueke akupe afya na swiha njema na akuzidishie hekima ndugu yangu sheikh Ramadhan Kuria. Aamiyn
@jamuhurialiwazir4685
@jamuhurialiwazir4685 10 месяцев назад
Alhamdo lilhai Mwenhezi mungu awape afiya njema Amin Amin
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Yesu si Mungu kw sababu Mungu hafi wala halali wala hasinzii ukweli umedhihiri uogo umejitega
@asiaogle5832
@asiaogle5832 11 месяцев назад
Munguajazawalaajazaliwa
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
Alhamdulillah Allah guided me to the right path I nvr regret for the past 12yrs
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 4 года назад
Maashaallah waalimu zetu mungu awape subra, na huyo Bishop mungu amuonyeshe jia ya haqqi
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Ameen yaa Rabb
@oman7710
@oman7710 3 года назад
Allahumma amiiin Yarabb
@salimalawi1418
@salimalawi1418 7 месяцев назад
😊​@@StraightPathDawah
@aishamsangi983
@aishamsangi983 4 года назад
Maa shaa Allah, Allah awape uzima, nguvu na afya. Allahumma aamiin.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Ameen, nawe pia
@berberaboy9277
@berberaboy9277 Год назад
Ramadhan kuria Allah atakulipa kwa ulichomfanyia sheikh mwaipopo
@rosemery542
@rosemery542 2 года назад
Kuria Ma Sha Allah unajitajidi sana Allah akulipe. Amin
@abdikeirjimale8620
@abdikeirjimale8620 Год назад
MashaAllah may Allah Reward you All. When truth is hurled against falsehood, falsehood perishes, for falsehood is by its nature bound to perish: Quran 17:81"
@farahmacalinadan6688
@farahmacalinadan6688 4 года назад
Sheikh ramadan may Allah protect you and bless you
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 года назад
Allahuma Amin
@liyanahilwa9666
@liyanahilwa9666 3 года назад
Brother,may Allah Grant yu protection,keep guard over yu&yur team on this noble calling. The job yu're doing is great
@111dudi
@111dudi 3 года назад
I like this Bishop. He is very positive and willing to learn. May Allah guide him
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 года назад
And positive
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 года назад
Imajin he wants to change kina sheikh said na Kuria lakini Allah amuongoze jamani
@kassu9930
@kassu9930 Год назад
nipo zanzibar napenda saana debate zako kwa kweli unawaweza vizuri, mashaalla ALLAH akuongoze
@alishamlan7434
@alishamlan7434 Год назад
ALLAH SW atawahifadhi leo duniani na kesho Akhera
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 года назад
Masha Allah kazi nzuri.. Mungu amuongoze askofu aisome Qur_an ❤️
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 4 года назад
Mashehe wetu mungu awabariki
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Mwenyew Muhammad akuamini akawapa wao waamini, yesu alituonesha njia ya kweli pigap Askofu
@DrjosephKingo
@DrjosephKingo 4 месяца назад
Kiboko ya ramadhan ni ndacha tu. Huwa akikutana nae anamkwepa kwenye hoja. Ustadh Anaongeeeeeeeeea sana kukuchanganya na ndiyo sifa ya waisla. Hiyo.
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 4 года назад
In Shaa Allah bishop ata silimu tu iko siku maana bishop huyo ni mtu mzuri sana hana hasira wala zarau uyo aki slimu awe imam msikitini tena aitwe Issa maana anavio mpenda Yesu apewa jina la Issa
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allah amuongoze
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 4 года назад
Shukran Jazakallahu kheir Akhi
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allahuma ameen
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Nampenda Ramadhani kwa utani wake
@halkanokosi
@halkanokosi Год назад
Mashallah mualeweshe usthi
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 3 года назад
Njia nzuri kabisa yakueleweshana...
@salimdaawah123
@salimdaawah123 4 года назад
MashaAllah
@saidfaki6579
@saidfaki6579 3 года назад
Mungu. Awape. Afyanjema. Muzid kuwaepeza. Hao wakrsto.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 года назад
Ameen
@musanike3079
@musanike3079 3 года назад
Majaabu dakika 15 to 20 Mabruk sheikh
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 года назад
A slim tu ili aache kuadanganya watu akisem Eti Yesu ni Mungu kipindi Anajua Mungu ni mmoja na hana mshiriki
@lkaboro7882
@lkaboro7882 4 года назад
Am realy happy uria gikuyu gitu kiramenya uhoro uria uri wama,hongera team
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Shukran sana, Allah arotutongoria
@amenakenya7993
@amenakenya7993 4 года назад
Ma ustdhsti zangu Allah awslipe kwakweli ma shaa Allah huyo masta ni mkaidhi sanaaa ila amelowa haha hana lakusema ila Allah amuongoze amiin
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allahuma ameen
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 года назад
Katika bibilia kuna iyo iyo gisi atapogwa mawe vazi lake lidondoke damu iyo ni haya yacangamoto yamuda wautume kumukanakana lwa ule muda wakutangaza utume wewe askofu Allah akuongoze
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 года назад
Kwakweli nikazi Allah awalipekherii
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allahuma ameen
@amirmohamedali7922
@amirmohamedali7922 4 года назад
Asalam aleykum mashekh wetu Kwakweli muna kazi ngumu kuwailimisha hawa wakristo Allah awape kila lakheri hapa duniani na kesho akhera na awajaalie mwisho mwema na waislamu wote Amin
@amirmohamedali7922
@amirmohamedali7922 4 года назад
Ni kweli ukitaka kua mkiristo kamili mpaka upinge Biblia hilo ndilo sahihi mkiristo nambar one lazima apinge Biblia
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Ni kweli kabisa
@halalwaithaka2573
@halalwaithaka2573 4 года назад
Ustadh Ramadan Kuria bin Kaguo that laughter is contagious 🤣🤣
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Hahahahaha🤣
@horatiusmzaledo1698
@horatiusmzaledo1698 3 года назад
@@StraightPathDawah bure kabisa
@allymbaruku6930
@allymbaruku6930 4 года назад
Allah awalipe mashekh zangu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allahuma ameen
@hannanyokabi7588
@hannanyokabi7588 3 года назад
Mungu wetu sio wa kufananiswa na kristo ndie somo lake kubwa
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 3 года назад
Kristo ni mtume wake mungu na Muhammad ni mtume wake mungu
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Yesu ninjia ayo nimaneno ya kirioo wao Wana tafsiria kimwili muwe makini wa Cristo kua vizuri kimwili na kirioo wao , Wislam Wapo vizuri kimwili s
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 3 года назад
Mungu ndie wakuunganisha watu
@AbdirahmanhHalakhe-pn2zd
@AbdirahmanhHalakhe-pn2zd 6 месяцев назад
MASHAALLAH
@magerezasanaa8666
@magerezasanaa8666 Год назад
Sheh Ramadhani kiria safi sana
@sifahamisi5872
@sifahamisi5872 3 года назад
Hongera bishop
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
We mbona umempongeza askofu Kwan we nikafiri?
@omargbabaomar2004
@omargbabaomar2004 3 года назад
Masha Allah
@shushu8105
@shushu8105 2 года назад
Uyo Bishop hajaelewa jaman kichwa kigumu
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Amen Askofu
@professerayyub4825
@professerayyub4825 3 года назад
Our basta he's so funny we mostly welcoming in the future we really welcoming you our brother to be Muslim inshaAllah and others in large number inshaAllah 🙏♥️
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 года назад
Hongera Ustafh Ranadhan,. Bishop ni kishipa lkn umemgandamiza ukuta🤣🤣🤣👋👋👋🇰🇪
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Shukran Mwanaisha
@tatuhaji8498
@tatuhaji8498 4 года назад
Waislamu takibir
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allahu akbar
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 года назад
Allahu aqbar
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 года назад
AllahuAkbar
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 5 месяцев назад
AllahuAkbaru
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 11 месяцев назад
Ustadh vidio inashek sana
@majidijumakatamo4654
@majidijumakatamo4654 8 месяцев назад
Mazinge bulndi
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Kweli Askofu ww ni mtume wayesu WA kweli
@sheikhmuhammadabdallatv2577
@sheikhmuhammadabdallatv2577 3 года назад
Askofu kele hazisaidii...Kubwali ukweli tu
@stoispapi2380
@stoispapi2380 2 года назад
That's why the holy Quran has many translations but one version and the bible has many versions and translations.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 4 года назад
Allah Akbar
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Alhamdulillah
@alijuma7391
@alijuma7391 3 года назад
Ustaz mfundishe huyu mchungaji uisilamu. hajafahamu Quran ya Allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 года назад
Inshallah
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
WISLAM Muna fundishaga kimwili Ila si kirioo
@mwajumamasumbuko2170
@mwajumamasumbuko2170 3 года назад
Yesu Kristo ni Bwana wa mabwana Yasua almasihu Mungu mkuu
@husha6372
@husha6372 3 года назад
Bishop haelewi Maana ya beduwi kiarabu ni Mtu wa ma Shambani
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
WISLAM UKISIKIA biblia imesema bahari ujuwe aijamaanisha ni maji Bali ni watu kwaiyo musiyageuze maneno yakina bii amujuwi chochote Muna ukweli waki mwili si wakiroo
@munaisa5850
@munaisa5850 2 года назад
MashaAllah ♥️
@daawaonlinetv4486
@daawaonlinetv4486 3 года назад
ASALAM ALYKUM SHEIKH RAMADHAN HABARI ZA SIKU? NAKUPONGEZA KWA KAZI NZURI YA DAAWA ALLAH AKUFANYIE WEPESI WEWE NA WANA DAAWA WOTE KENYA NA SISI WATANZANIA. KARIBU SANA DARESALAM MAANA TANGU MIAKA ILE HUJAJA TENA TZ
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 года назад
Wa aleikum salam warahmatullahi wabarakatuh kaka yangu kipenzi. Allahuma ameen, kwetu sote
@johnbernad6806
@johnbernad6806 4 года назад
Nimefurahi tu kitu kimoja mnaamani na furaha ya kutosha
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Mungu atuzidishie
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 Год назад
Kaka John mie Wallah kitu kimoja tu nafurahia kwenu kwa Kenya ni kuacha utafauti wenu za ki imani mkawa nchi moja
@marimman4821
@marimman4821 3 года назад
Manshaallah shurani sanaa
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 года назад
Kama yesu mungu kwako muhammadi yeye ni mtume hawezi kuongopa yeye ndio kila kitu anajuwa mungu yupo alla
@omaryissagumbi5242
@omaryissagumbi5242 Год назад
ALLHAMNDU LLLAH RABI
@jamuhuraly1238
@jamuhuraly1238 3 года назад
Salam alaikum ,vizuri Sana ,Ila naomba muda wakuongeya ongeyeni taratibu kama vile entevyou.
@alicemwangi174
@alicemwangi174 2 года назад
Kweli hawani wapiga neno
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 4 года назад
Takibirii
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Allahu akbar
@mtupeacetambi1171
@mtupeacetambi1171 3 года назад
Allah akbar
@eddy4998
@eddy4998 3 года назад
Upo wapi ndugu yangu mazinge kuna mtu anachelewa kufata haki huku njoo umsilimishe huyu mtuu
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Mazinge ndo wamwish ajuwi kbsa
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Simwamini mwamadi Ila maandiko2 kusilimu sitaki kwamana atanami nafunulia n'a Mungu kirioo lakini si kimwili
@kamauwauhoro8993
@kamauwauhoro8993 4 года назад
Pia mimi naomba Quran Kama hio
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Utapata inshallah
@icetruth
@icetruth 4 года назад
Allah Akuongoze
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 года назад
Maneno mengiya paulo amemupinga MUNGU wamaheshi ayo makanisa yote mungu hajafurahi na ibada izo paulo njo kaanzisha nanuinyi mukawa wapangaji ayo sio ma amurisho ya ALLAH
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Njoo tujadiliane ndugu.
@mamdiakite698
@mamdiakite698 4 года назад
Lo ni hatari kweli mashaallah Allah awazidishie awaongoze na daawa
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 4 года назад
Mashaallah pasta haeleweki kujibu 🤣 wataelewa
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Wataelewa inshaAllah
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 года назад
Makafiri manayeke watu wenye kupinga maneno ya MUNGU nakupinga MITUME ao mutume waowo wanageuza maneno ya mungu nakukana kweli njomakafiri sasa kwanjambo moja kafiri ni mupingaji .MUNGU hazaagi wewe bunadamu navingine viumbe njomutaza ili mupate furaha Allah iko na viumbe hana watoto ni baba muumbaji sio kuza za wewe naviumbe vingine mupate kufurahi na neema Allah anataka viumbe vimuabudu tu .yesu binadamu kama wewe isipokua MUNGU kamupaceo kaama MANABI wengitu Mungu anaumba atakavyo .yesu hajuwi sikuyakiyama ni Mungu gani awo mitume wote wanaambiwa madalilitu sikuyakiyama niya Mungu na hakuna anaye fafanua dalili za kiyama kama Mutume MUHAMADI fata haki aca kuona kama makanisa ndiyo mwissho mwema mwesho mwema lazima umuamini uyo unayomukata apo nakufata alicofundisha
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Ni kweli kabisa
@uuubfyfftyvcf4896
@uuubfyfftyvcf4896 4 года назад
Brother si ukuwe muislamu
@ramadhanabdalla1847
@ramadhanabdalla1847 3 года назад
Kuna tafauti ya uislam na waislam
@ikhavi
@ikhavi 3 года назад
Kama Yesu sio mungu,,, Yuda 1:5 ningependa ufafanuzi wake
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 года назад
Soma yohana 17:3 utalipata jibu
@horatiusmzaledo1698
@horatiusmzaledo1698 3 года назад
Mimi hustaajabu sana nikiona mtu akipumbazwa na kukubaliana na uislaam na vile matendo yao ni wazi kwamba hawana Mungu. Inakuaje walio waislamu mia kwa mia mfano kama somalia afghanistan ni vita siku baada ya siku miaka saidi ya dharadhini, damu ikimwagika, na allah hasimamishi. Mnaomba mara tano kwa siku kwa miaka hiyo yote kwani maombi yote yaenda wapi. Ni maombi mwaomba ama ni desturi tu? Mungu aliye hai hujibu watu wake. Wenye haki hujulikana kwa matendo yao sio kusema tu. Waislamu mambo yenu ni ya mdomo tu. Hamna hata upendo kwa wenzenu isipokuwa saa ile mnapingana na wakristo.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Год назад
Tofautisha baina ya uislamu na waislamu... Hakuna nchi zilizua watu wengi duniani kama nchi za kimagharibi.. world war 1 & 2 zilianzishwa na waislamu? Vita ya iraq ilianzishwa na waislamu? Wanaopiga wapalestina ni waislamu? Walioiteka Africa ni waislamu? Afghanistan wanapigana kwa 7bu america ameingia nchi yao.. Somalia wanapigana kwa 7bu america ametia fitna.
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Wislam muwe WA Cristo2 acheni kua budu majini
@domianomururu6885
@domianomururu6885 Год назад
Quran anaimanya vyema lkn bibilia ankumbuzwa
@cyrusmwatua5150
@cyrusmwatua5150 Год назад
Huyu Bishop hajielewi
@pazimazongera4934
@pazimazongera4934 Год назад
Shehe naomba namba kuna msaada nataka kutoa
@dalali_professionalwa_dodo8330
@dalali_professionalwa_dodo8330 3 года назад
Katika kitu huwa natamani katika dunia hii ni kuona ndugu zangu wakristo kujua kuwa wapo gizani...na kufaham mwanga uko wapi... these people wanaowafundisha wanajua what is the truth ila mtu akizaliwa anaaminishwa kitu cha uongo....
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 4 года назад
Mashekhe Allah Awabariki na Awahifadhi. Kweli mnafanya kazi kubwa sana na Allah awalipe kheri fi dunya wal akhira... naomba umulize askofu kwanini hawa magaidi wanawauwa waislamu kule Somalia kama wao ni waislamu ? Hiyo ni propaganda ya media na magaidi wenyewe. Wanaokufa zaidi dunia kote mkononi mwa wagaidi ni waislamu...mtafakari !
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Shukran sana ndugu
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 4 года назад
@@StraightPathDawah Baarakallahu fiik kaka
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 3 года назад
Naomba nimulze bisp kabla ya yesu kuzalia mungu wao alikuwa nn?
@princessminah2222
@princessminah2222 3 года назад
Good question
@زينبعليعبدالله-ز3س
Hakika
@زينبعليعبدالله-ز3س
🤣🤣🤣
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 3 года назад
Mungu alikuwepo tangu enzi,yeye ni alfa na omega,lakini yesu siyo mungu bali ni nabii wa mungu
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Huyu bishop,,, ukweli kma kashaanza kuujua
@deusnzelan8413
@deusnzelan8413 3 года назад
Tanzania mihadhara iliisha yenyewe baada ya waislamu kuanza kufumbuka macho na kuanza kuacha uchawi na majini na msikiti na kumgeukia Yesu hasa kigoma Tanga na pwani hadi Dar sasahivi waislamu hatuwasikii wanaogopa kwamba uislamu utaisha
@kulwamangalu1224
@kulwamangalu1224 3 года назад
A cha uongo
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 3 года назад
Tatzo uongo mwingi bila evidence,,,tatzo mnasimuliw tu makanisan kuw waislam Wana majini na uchawii lakin wakat hamjui kuwa piah majin n viumbe Kama viumbe vingne Kama ilivyo miti,,wadudu,,,wanyama na binadam kwa hyo suala Ni shule ( IQRAA) Soma kwa jina la mungu wako update kujua ukwelii!!!!
@alimakame3529
@alimakame3529 3 года назад
Aaa wapi?!!
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 3 года назад
@Chambo the traveler we acha kukufuru jiheshimu usiwachanganye waumini na hao washirikina unaosema
@davidmugabwa2527
@davidmugabwa2527 3 года назад
Mbona mwasoma bibilia n Quran? na mshika mawili moja uponyoka.
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Adi Muna futa comment za wacristo Muko WA nafki ndo muta hokowa Nani Sasa?
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Год назад
The way sheikh Ramadhan alikuwa anamuangalia bishop akismile nikajua tu anamlia tyming 😅😅
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Nifumbu Wislam mutaenda motoni 💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Uyu postor hajui mtume hupewa maneno kw ajibu mwenyew ndo maana ameambiwa sema sijui ntakachofanyw n nyinyi mtakachifanyw kw sababu lazima afunuliwe n Allah ndo aseme
@abordecapester9086
@abordecapester9086 Год назад
Kila kitu nicha kiroo matayesu walishindwa kumuelewa wakasema ana kufuru akasema yesu wao utafsiria ya mwili
@BisharAbdi-vp7bt
@BisharAbdi-vp7bt Год назад
M a ☝️☝️🤲🤲☑️☑️
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Kuna mahali wanakuzuga wamengundua makafili ni nani wabane hapo
@dalali_professionalwa_dodo8330
@dalali_professionalwa_dodo8330 3 года назад
24:12 😂😂😂😂😂 pastor was like what is this now mazeee..... mnanichoke... adam tena ni muislam?!!!! Hahahah... nacheka kama mazuri yaani...
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 6 месяцев назад
Makafiri maana yakevni wanaopinga. .. sasa waislam wanapinga kristo...sasa hao ndio makafiri..
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 3 года назад
Huyu bishop huwa hawezi nyamaza..akiongea yeye wenzake wanasikiliza lakin akimaliza ikiwa zamu ya mwenzake yeye naye anaingilia kati kati ..muambieni ni zamu kwa zamu sio majibizano
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 года назад
Yesu ninjia alikua anaongeya na Israël sio wewe .iyo sio ata neno ya paulo iyo ni yesu kabisa kwawatuwake mudahule bila mutume aliwaalbia wana wa Israël bilahajakuja lazima wabakikwanjiya yayesu napakija mutume yesu aliaca anatangazia wa Israël atakuja ya yesu lazima wamuamini Mutume anayekuja sio paulo paulo ni mutume wa shetani kwasababu anapinga manenomengi ya yesu na Allah sasa paulo akisema watu wakitailia yrsu hatowapokeya we umeona wapi mutume wakukataza amri ya Allah?
@asiaogle5832
@asiaogle5832 11 месяцев назад
Achanikuambiemunguajazawalaajazaliwakristoamjulikanisababumunasemamwanawamungnauyandmuabudusasamunguwenyuniwangapi
@faridahussein8632
@faridahussein8632 4 года назад
Bishop sema astaghfirullah astaghfirullah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 года назад
Atubie ama apate kibano
@ameenajumah7335
@ameenajumah7335 3 года назад
Ametoa salamu huyo bishop nikakatikwa Astaghfirllah
@bcbestcartoon576
@bcbestcartoon576 3 года назад
Kinachonifurahisha ni siri ya utauaaa
@horatiusmzaledo1698
@horatiusmzaledo1698 3 года назад
Mohamadi aliongeza kwa kitabu cha mungu wacheni kiarabu mingi . Hio ni lugha Kama kimasai ,kizungu,kiturkana nk. Mnataka kusema mlango wa binguni ni kujua kiarabu. Stop heckling the lone ' bishop'
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 года назад
Toa ushahidi wa aya aliyoongeza na uwache kelele
Далее
СОБАКА И ТРИ ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:24
MASWALI NYETI YALIYOWATATIZA WACHUNGAJI
35:55
Просмотров 12 тыс.
Ex-Bishop Isa John na Ramadhan Kuria mjini Embu.
42:42
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
MAPASTA 7 WASHINDWA KUTETEA UKRISTO
1:00:07
Просмотров 640 тыс.
JOURNEY TO ISLAM - RAMADHAN KURIA
28:21
Просмотров 3,6 тыс.